Davista umenifunza mengi sana,umefanya Iman yangu kwa mungu ikue,,ila tatzo n moja tu unatoa Hadith nying tofaut tfaut lakñ humaliz,,kw nn usiwe unafatilia moja baada ya nyingine
Shuhuda nyingi zinaisha ila ukiona kuna ambazo hazifiki mwisho ujue tatizo lipo kwa watu ambao wanatoa story na hapa huwa kuna sababu mbalimbali zinatokea ila zote huwa ni upande wao tu na sio kwetu lakini sisi huwa tunapenda upate vipindi vyote mpaka mwisho na kwa wakati
Davista jambo Mimi ni Patrick niko Canada. Nauliza mbona watu wote unawao waoliza wana tumiya ushawi akuna mtu anaye maliza eti nilipata mali mwishoni. Kila mtu ana liya tu.nisaidiyeni. Why ?
Davista umenifunza mengi sana,umefanya Iman yangu kwa mungu ikue,,ila tatzo n moja tu unatoa Hadith nying tofaut tfaut lakñ humaliz,,kw nn usiwe unafatilia moja baada ya nyingine
Shuhuda nyingi zinaisha ila ukiona kuna ambazo hazifiki mwisho ujue tatizo lipo kwa watu ambao wanatoa story na hapa huwa kuna sababu mbalimbali zinatokea ila zote huwa ni upande wao tu na sio kwetu lakini sisi huwa tunapenda upate vipindi vyote mpaka mwisho na kwa wakati
hajui kuelezeya
Mbona hajui kueleza huyu😢
Huyuu muoga sana
Huyu jamaa yaonekana alirogwa
Pole kijana 😢
Hunasema malangi kujipaka wasionekane mbona wakikamatwa huwa wanaonekana na kujulikana huyu bibi mzee wote ujulikana???🇹🇿🇬🇷
Davista jambo
Mimi ni Patrick niko Canada. Nauliza mbona watu wote unawao waoliza wana tumiya ushawi akuna mtu anaye maliza eti nilipata mali mwishoni. Kila mtu ana liya tu.nisaidiyeni.
Why ?
Shetani huwa anawatumia watu na kuwaacha masikini kwa sababu yeye ni muovu
The devil is always profit oriented akikusaidia chochote lazma ulipe fidia utake usitake
Mabibi ni atari sana mungu atusaidie watoto wetu
Yani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣naogopa hatr mama mkwe wangu hanavyowapenda watoto wangu mpaka naogopa wallaah
I used to think "bibi" is the wife.
Grand mother
You must be a Kenyan