NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 09 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2

  • @neema37_christmyredeemer
    @neema37_christmyredeemer 10 วันที่ผ่านมา

    Glory to God the creator of all things.
    Sehemu hii imeyafumbua macho yangu juu ya malezi na maandalizi kwa watoto kiroho na kimwili. Nimetambua kuwa wazazi ni mawakili tu wa kuilea roho iliyoumbwa na Mungu kwa ajili ya kusudi fulani. Walezi na wazazi tukifanya wajibu wetu kwa maongozo ya Roho Mtakatifu itasaidia kila mtu katika jamii kutambua njia sahihi itakayotuwezesha kulitumikia kusudi la Bwana ndani yetu.
    Hakika KANISA LA KRISTO tunawajibu mkubwa wa kufanya kupitia somo hili.
    Ubarikiwe sana mtenda kazi wa Bwana kwa kutuwasilishia yale Roho anayafunua kwako.

    • @kweliituwekayohuru
      @kweliituwekayohuru  9 วันที่ผ่านมา

      @@neema37_christmyredeemer Amen amen Mtumishi wa BWANA. Uko sahihi kabisa, tuna wajibu wa kusikiliza ili kuwasaidia watoto kukua katika wito walioitiwa!