PART2:MCHAWI WA KASULU KIGOMA AELEZA JINSI ALIVYOKUWA ANAUA NA KUTEMBEA MAJINI BILA KUZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @YakoboSimon-wr7ru
    @YakoboSimon-wr7ru 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 waha tupooo, bhilinda bhimasufuria bhikubwa

  • @josephmaganga1931
    @josephmaganga1931 2 ปีที่แล้ว +2

    Nikabhiacha amenikumbusha lugha ya nyumbani🤣🤣🤣

  • @candyberger5097
    @candyberger5097 2 ปีที่แล้ว +1

    Super Story God blessing

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 2 ปีที่แล้ว +1

    Together Mr everything 🔥💯

  • @salehaltooq5829
    @salehaltooq5829 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa muongo anajichanganya

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 ปีที่แล้ว +2

    Tangu ni anze kusikiliza vipindi vya davista sijawahi kusikia muongo kama huyu mtu.brother davista huyu sio

  • @tiffaommy846
    @tiffaommy846 2 ปีที่แล้ว +1

    💃🏼💃🏼

  • @andrewuhuru3090
    @andrewuhuru3090 2 ปีที่แล้ว +1

    13

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 2 ปีที่แล้ว +1

    Mambo anayo sumbuka Mamaaang ndio kama hayo ya mikoba ya uganga

  • @mainapatrick2295
    @mainapatrick2295 2 ปีที่แล้ว +1

    002

  • @raynawilliam4719
    @raynawilliam4719 2 ปีที่แล้ว +1

    Hako kamziki kanaboa kweli

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 2 ปีที่แล้ว

    Kilinda sashe bambula huyu jama atakuwa ni m'bembe Congolese 🔥

    • @estatekisombola9251
      @estatekisombola9251 2 ปีที่แล้ว +1

      @@benjathekingofficialshows wétû mwana 😂🇨🇩🇨🇩🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺

    • @estatekisombola9251
      @estatekisombola9251 2 ปีที่แล้ว +1

      @@benjathekingofficialshows 😂aleatari

    • @estatekisombola9251
      @estatekisombola9251 2 ปีที่แล้ว +1

      @@benjathekingofficialshows 🤣

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaaa ni opless kabisa

    • @barakashamba5811
      @barakashamba5811 2 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kufuatilia shuhuda mbali mbali mwisho utakuja kutambua kuwa Allah = Lucifer

  • @dkanigi203
    @dkanigi203 2 ปีที่แล้ว +2

    Davista huyo jamaa sio mkweli story yake ya kutungwa. Amesema msahafu na mas haf ni vitu viwili tofauti na Yasin ni kitabu cha peke yake ambavyo sio kweli..Ni sawa na kusema biblia na bible ni vitabu viwili tofauti na injili ya Yohana ni kitabu cha pekee, Wakati msahafu na mas haf ni kitu kimoja ila ni lugha ya kiswahili na kiarabu na Yasin iko ndani ya msahafu
    Kuitwa Abdala sio kuwa muislam au kuitwa Joseph sio kuwa mkristo Je unaijua dini yako?? Jamani someni

    • @salehaltooq5829
      @salehaltooq5829 2 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa muongo sana tena sanaa

    • @barakashamba5811
      @barakashamba5811 2 ปีที่แล้ว +2

      @@salehaltooq5829
      Simulia yako yakweli, tatizo waislam majini yamewapoteza

    • @kamilyaibrahim9784
      @kamilyaibrahim9784 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha amebugi huyo kuna taurat . Injil .zabur. quran

    • @simenyasikhulu
      @simenyasikhulu 2 ปีที่แล้ว

      Nadhani si mkweli la sivyo angeshitakiwa kwa mauaji. Huenda katunga ayasemayo.

    • @juliusmakamba255
      @juliusmakamba255 ปีที่แล้ว

      Waislamu wote ni ndugu za majini na Nabii wao Muhammad aliwahi kumsilimisha shetani akawa Muislamu.ndiyo maana akitokea muislamu ambaye anayatuhumu majini kujihusisha na uchawi wanakasirika sana , sasa kama mnayaona majini si mazuri kwanini mnasali nayo kwenye misikiti yenu, kwanini mnayakumbatia? kwanini mlimsilimisha shetani? acheni ujinga mfuateni YESU KRISTO YEYE NDIYE NJIA , KWELI NA UZIMA, MTU YEYOTE HAWEZI KWENDA MBINGUNI ILA NI KWA NJIA YA YEYE( YESU KRISTO) Nyie mnamfuata mtu ambaye yuko kaburini? hana msaada wowote na nyiye? mfu ambaye anasubiri YESU KRISTO AJE KUFUFUA WAFU NA YEYE NDIYO AFUFUKE alafu mnamkataa, majini yamewapofusha nyie.