Ushuhuda wa aliyekua muislamu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มี.ค. 2020
  • Ameokoka na sasa anamuhubiri Yesu Kristo kila sehemu.

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @JesusOwn1
    @JesusOwn1 4 ปีที่แล้ว +31

    Jesus is the Way, the Truth and the Life. Mtafuteni Mungu. God bless u brother for the testimony.

  • @rehemajoseph1264
    @rehemajoseph1264 3 ปีที่แล้ว +14

    Amen yesu alifufuka hayumo kaburini tena *we ngine walikufa bado wako kaburini yesu yuaja tena kunyakua walio wake *asiye mpokea yesu okoka usiachwe na yesu 🙏🙏

  • @daisylangat820
    @daisylangat820 2 ปีที่แล้ว +10

    Amen,damu ya Yesu Ina nguvu na uzima,Yesu azidi kukulinda na kukupaka mafuta zaidi,nguvu za Roho mtakatifu zikujaze upya katika kina kuu la Yesu Kristo,Asante Yesu Kwa kumwokoa huyu kaka

  • @prettylove5295
    @prettylove5295 3 ปีที่แล้ว +27

    Kila siku huwa namshukuru mungu kuzaliwa mkirsto nampenda sana YESU mwana wa mungu

  • @kingdonald3312
    @kingdonald3312 2 ปีที่แล้ว +16

    God BLESS you Brother of mine🙏
    Welcome to JESUS.
    KWA YESU KUNA RAHA-AMANI- NA UTULIVU.
    I NEVER REGRET BEING A CHRISTIAN 👌❤❤

  • @Godisgreat20243
    @Godisgreat20243 2 ปีที่แล้ว +8

    Amen.Barikiwa sana ndugu,asanta kwa ushuhuda.Bwana Yesu akulinde daima,ushuhuda huu ubadili wengi.

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 ปีที่แล้ว +6

    Waaaa ,majabu haya ,,kweli Jehovah anaweza ,and sisi WA kristo we save a living God 🔥🔥🔥🔥🙏

  • @anisiamwaniki4153
    @anisiamwaniki4153 3 ปีที่แล้ว +8

    Praise the Lord, Mungu wetu ni mwaminifu sana. Asante Yesu kwa wokovu mkuu namna hii.

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 4 ปีที่แล้ว +37

    Amen JAMANI NIME JENGEKA KWA YESU KUNA AMANI
    I'm team JESUS
    ONE Mission
    One Church Glory to JESUS

    • @mshanaakbar3687
      @mshanaakbar3687 3 ปีที่แล้ว +3

      Alikuwa mshirikina leo amekuwa kafiri aishie huko huko

    • @wazirikhamisi4828
      @wazirikhamisi4828 3 ปีที่แล้ว

      @@mshanaakbar3687 MPK MAKAFIRI PIA WASHIRIKINA KAKA WANAMUITA YESU MUNGU WENGINE MWANA WA MUNGU NK WENGINE KTK IBADA ZAO AZIFANYIKI MPK MBELE WAEKE SANAMU YA MARIAM AU YA YESU

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Wapi imani kwa Yesu acheni usharati nyie.
      Kujidai kumpenda Yesu na kumsifu saana, na hakuna hata kimoja alichokifanya Yesu wakiristo wanalifata.
      Yesu hakuwa mkiristo wala hajafunza ukiristo wala haujui ukiristo.
      Mnafikiria Yesu anapokea Rushwa ya maneno?.
      Bila kufata sheria za Mungu, hakuna uokovu. Ni kujidanganya nafsi.
      Bibilia yako inasema wanaoabudu masanamu (kama Sanam la Yesu na Maria) na walevi, wazinzi, hawaingii ufalme wa Mungu (peponi).
      Soma:
      [ 1Wakorintho 6:9-10] " Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
      10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
      Kama kuabudu sanamu na kunywa ulevi unakwenda motoni, vipi utadai wewe uko katika njia ya kweli?.
      ONDOKA HUKO KUNAHATARI UKIFA UTAJUTIA MAISHA YAKO UMEYATUMIA BILA FAIDA.
      Kanisa ni kwenye kiti cha Enzi cha Shetani.
      Soma bibilia yako.
      [Ufunuo wa Yohana 2:12-13] " Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili (msalaba).
      13 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
      Mapepo wachafu (mashetani) ndio walioleta itikadi ya kumwita Yesu ni mtoto wa Mungu.
      Soma Bibilia :
      [Marko 3:11] " Na pepo wachafu (mashetani) , kila walipomwona (Yesu), walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.
      Sasa wewe vipi utamfuata Shetani na Shetani ni Muongo mkubwa?.

    • @totodavis1949
      @totodavis1949 3 ปีที่แล้ว

      Hakika bro amani tele milele

    • @totodavis1949
      @totodavis1949 3 ปีที่แล้ว +2

      @@wazirikhamisi4828 wewe haujui yesu ni roho Wa mungu mungu ni moja yesu ni njia kila maali uwendako lazima ufate njia hivo yesu ni njia na sio mwanadamu karibu uwokoke

  • @goodlucklendey1722
    @goodlucklendey1722 3 ปีที่แล้ว +3

    Sawaaa mungu akujalie muombe mungu akusaidi umjue yesu na uombe na kufunga umpokee roho mtakatifu ili umuabudu mungu kwa roho na kweli uta yashinda yote na akuna nguvu za kukushinda na mwisho urithi ufarume wa mungu

  • @domnicowele5384
    @domnicowele5384 2 ปีที่แล้ว +7

    There is contentment in serving the true yahwe in Jesus name we overcome..I love you jesus

  • @bythegrace8087
    @bythegrace8087 3 ปีที่แล้ว +16

    Amen🙏🙏their is power in name Jesus

  • @mamuually5579
    @mamuually5579 3 ปีที่แล้ว +12

    In sha allah mungu atusame waja wake,,,,,nashindwa ata kuchangia nahisi kama nitamkufuru mungu tu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      Kuna watu watasema kanunuliwa.

    • @georgebugangazpoa4975
      @georgebugangazpoa4975 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna namna zaidi ya kutoka kwenye ushetani kama aliyekuwa kiongoz wako tena msomi wa hayo mambo kaondoka kuko

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว +88

    Every knee shall bow before Him and every tongue shall confess Jesus is Lord, praise Jesus

  • @Swians
    @Swians 3 ปีที่แล้ว +10

    Kiswahili kizuri bwana! Watched from Kenya.

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 ปีที่แล้ว

      Maaskof wenyewe wanaamini mungu ni moja na uislam ndy njia pekee atakayokubaliwa na mungu na tayar washaclim sasa ww uciejielewa cjui uko wap

    • @vickybest6296
      @vickybest6296 3 ปีที่แล้ว +2

      Yesu ndiye njia

  • @naomieliasmanyilizu761
    @naomieliasmanyilizu761 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameen Mungu aendelee kuwa mlinzi wako, na damu ya mwanaye Yesu Kristo ikufunike

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kumufuata Yesu Kristo kuna faida kubwa mno
    ISAYA 54
    17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa, huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana
    Amen !!!

  • @rayanaabdallah473
    @rayanaabdallah473 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akupe umri mrefu Inshallah huenda ukaja zinduka...Shukran

    • @channynsabimana1997
      @channynsabimana1997 3 ปีที่แล้ว +1

      @Somali Bajun99 nikwasababu anatoa silizenu ndomaana unasema ivo

    • @vickybest6296
      @vickybest6296 ปีที่แล้ว +2

      Alishazinduka na kumjua Yesu

    • @user-ve3wu5jn1l
      @user-ve3wu5jn1l 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa anaweza zinduka . Mmmh Mwenyezi Mungu amsaidie kwa kweli

  • @issarashid4296
    @issarashid4296 3 ปีที่แล้ว +13

    Allah atupe mwisho mwema

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 5 หลายเดือนก่อน

      @cdramacovers
      Pumbavu wewe alie kwambia Allah ni jini ni nani?

  • @andrewmhagama629
    @andrewmhagama629 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubari sana ndugu .
    wewe ni shujaa,kwani kutoka utumwani ni ushindi mkubwa.Ukimtumikia Mungu aliye hai ambaye sisi tunamwamini utashinda kila ubaya na hila za shetani na wafuasi wake woote.Jina la Yesu ni kubwa kupita majina yote kwa kila nguvu za giza liite ni zaidi ya chochote na utakombolewa.Amina

  • @neemarichard1256
    @neemarichard1256 3 ปีที่แล้ว +16

    Amen God bless you

  • @officialjaxwizard2877
    @officialjaxwizard2877 4 ปีที่แล้ว +16

    From Mozambique ubalikie kwa jina la Yesu..! Amen

    • @rachelevarist70
      @rachelevarist70 3 ปีที่แล้ว +1

      ivi nyinyi wakristo imani mnatoa wapi? minashindwa kuelewa ivi dalili mnaitoa wapi? ujasiri huo mnautoa wapi yakusema yesu yesu mnatoa wapi

    • @kuruthumuissa5539
      @kuruthumuissa5539 3 ปีที่แล้ว +1

      Upumbavu tuuumewajaa mfyuuu

    • @kakumakenya6784
      @kakumakenya6784 3 ปีที่แล้ว

      Glory be to God.Amen

  • @paulomaona7627
    @paulomaona7627 3 ปีที่แล้ว +3

    Yan kaka sula yako tu inaonesha wew ni mteule fanya kaz ya mungu ubalikiwe kaka

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +4

    Karibu sana ndugu wetu,Yesu Kristo anakupenda sana.

  • @rizikimustapha3806
    @rizikimustapha3806 3 ปีที่แล้ว +17

    SUBHANA ALLAH ALLAH AKUHDI KIJANA KABLA HUJAFA ATUBIE

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu jamaa kasomea uchawi. Katoka kwenye dini kaingia kwenye uchawi.

    • @abuuhafswamunsheedu5790
      @abuuhafswamunsheedu5790 8 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@RamadanPaulhuyu kasomea uganga na sio Uisilamu

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@abuuhafswamunsheedu5790 umeona ...
      Uchawi si Haram kabisa QUR'AN ipo wazi kabisa 😅

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 8 หลายเดือนก่อน +1

      Al Quran: 10:77
      ---
      قَالَ مُوسَىٰ أَتَقُولُونَ لِلْحَقِّ لَمَّا جَاءَكُمْ ۖ أَسِحْرٌ هَٰذَا وَلَا يُفْلِحُ السَّاحِرُونَ
      Translations:
      ---
      Akasema Musa: Mnasema hivi juu ya Haki ilipo kujieni? Huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi!
      -- Ali Muhsin Al-Barwani
      ---

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuuhafswamunsheedu5790ndio nimeandika hata mimi yaani huyu pamoja na familia yao yote na huyo mwalimu walisomea uchawi sio uislamu

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +5

    Amen and Amen Jina la Yesu lenye nguvu🙏🙏🙏🇰🇪

  • @nizaelluka627
    @nizaelluka627 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde, kwa hapo ulipo fikia ni pagumu mno, ukitaka kuona majaribu okoka, mungu akulinde akutete, akufunike,

  • @vallembaya2708
    @vallembaya2708 3 ปีที่แล้ว +6

    Yesu ndio njia ya kipekee ya kuenda Kwa Mungu 🙏

  • @juniorwadri4240
    @juniorwadri4240 4 ปีที่แล้ว +5

    Da ujumbe mzuri sana mwalimu kasinah watu waujue pamoja na waislamu nahisi wata badilika nime amini yesu ni mkuu

  • @omwoyoonchweri6933
    @omwoyoonchweri6933 4 ปีที่แล้ว +53

    Great message!There is Great victory in Jesus Christ......Amen.

    • @geraldlaurent7465
      @geraldlaurent7465 4 ปีที่แล้ว +3

      Exactly brother

    • @salmakiame9864
      @salmakiame9864 4 ปีที่แล้ว +1

      omwoyo onchweri acha unafki ulisoma kitabu vzl Kwanni uliacha Qoroani tukufu ukafata mambomaovu yakuzurumu nafsi zawatu wengi mungu hakuagiza hivyo wwe ulimfata shetan maana mlikua wanafuz weng lakn ulichaguliwa wwe naulikubali pasipo kujiuliza kitabugan chamungu kinachagua mtu wakumfundisha hicho si kitabu chamungu omba msamaha wakweli lakin wwe unaendelea kupotosha watu angalia kesho kuna jaanam maana mungu ni1 tu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +3

      @@salmakiame9864, Inaonekana kwao wna mila za kishirikina hakuna mwalimu wala nani mshirikina huyo Allah amemrejesha panapostahili

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 ปีที่แล้ว

      Kajambe mbele huko imani yako zibala tu. Tena usijifanye unaijua qr aan. Punye weeee. Kila aliye hai anajichagulia makazi yake akifa.

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 ปีที่แล้ว

      Eti mkakutana msikitini, mnaenda kuchafua wiislam wachafu nyie.

  • @clementmwampash168
    @clementmwampash168 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante yesu kwa uzao wako huu mtunze mtumishi wako akutumaini ww ktk maisha yake yote

    • @allyjumaallyjuma692
      @allyjumaallyjuma692 3 ปีที่แล้ว

      poleni sana nawahurumia sana lkn ndio ni mipango ya الله ﷻ

  • @HappyChemistryExperiment-hp9mq
    @HappyChemistryExperiment-hp9mq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Ashukuriwe Yesu Kristo kwa ukombozi wake.

  • @ikwabeinjilitv9758
    @ikwabeinjilitv9758 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mungu azidi kukubariki kijana wetu

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 ปีที่แล้ว +22

    Ameen...wapendwa huyu Yesu wetu ni mkubwa! Jamani Yesu yupooo tumeziona kazi zake

    • @thomasdaniel3834
      @thomasdaniel3834 3 ปีที่แล้ว

      Jah is great

    • @berthairungu6746
      @berthairungu6746 3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @mariamathuman2639
      @mariamathuman2639 3 ปีที่แล้ว

      Acha kumshitikisha yesu ambae ni Issa kwa mambo yasio na maana

    • @neemasabure9061
      @neemasabure9061 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamathuman2639 mmmmh embu yesu ni Mwana wa Mungu

    • @mariamathuman2639
      @mariamathuman2639 3 ปีที่แล้ว +1

      @@neemasabure9061 kama unajua ni mwana wa mungu mbn usimsifie mungu kwa kazi yake unasifia yesu ...yesu ni nabii wala si mungu ...mungu n mmja na afananishi n kitu chochote akuzaa na wala hakuzalia sasa niulize yesu alizaliwa au laah

  • @bensononyango1426
    @bensononyango1426 2 ปีที่แล้ว +4

    Praise the Lord God, the truth has set you free in Jesus Christ. Amen

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen naisi kulia kwajili ya furaha utapata amani brother neema ya bwana iwe nawe

  • @combinedreview9517
    @combinedreview9517 3 ปีที่แล้ว +10

    AMEN ,OH GOD ,POWERFUL TESTIMONY .

    • @mwalimuassaa1857
      @mwalimuassaa1857 3 ปีที่แล้ว

      WHAT TESTIMONY ? THIS GUY IS JUST WITCHCRAFT ,THERE IS NO VERSES IN WHOLE QURAN SUPPORT WHAT HE SAYS.

    • @jemimanekesa2782
      @jemimanekesa2782 2 ปีที่แล้ว

      God bless u

  • @samuelmoses9243
    @samuelmoses9243 4 ปีที่แล้ว +14

    Kaseana Mungu awarinde maana mnapigwa sn vita sbb mnaifunua dini ya majini na imewateka wengi.

  • @martharmoranga2541
    @martharmoranga2541 3 ปีที่แล้ว +9

    Glory be to God

  • @pknife88
    @pknife88 ปีที่แล้ว +3

    Inna lilahi waina ilaahi rajioun ww mtu hujui ata unachokisema yaani ww ni kama umepitia hayo mambo hivi hujaona dini ya kuipiga vita isipokua Uislaam? lakini si shangai haya yote yalishaandikwa ndani ya Quran tukufu kuwa watu watakuja na mikakati tofauti ya kuipoteza dini ya kiislam lkn watashindwa na hatimae watazidi watu kuingia katika dini ya kiislam makundi kwa makundu. Takbiri ....Allah Hu Akbar... Mtashidwa na mtaangamizwa kuanzia hapa dunia hadi Akhera .... Ya Rabbi tuongezee Imani katika Dini yetu ya kiisalm na tuongeze Elimu na nguvu zidi ya hawa viumbe vyako hivyo vibaya na ndo tunajua miongoni mwa mitahani uliyotuwekea na In shaa Allah tutafaulu. Hasbiya Allah wa neima wakil ... Ya Rab Rab husnul hatima Ameen

  • @emanuelbatholomeo5903
    @emanuelbatholomeo5903 4 ปีที่แล้ว +17

    Innalilah waina ilah rajiun

    • @AndrewKundya
      @AndrewKundya 8 หลายเดือนก่อน

      Mngepambana kwanza na Waganga wasifanye kazi zao kwa jina la dini yenu ikiwezekana mngekua mnawatenga kabisa lkn tuchoona hao waganga wanaheshimika kwelkweli kwenye jamii kisa wanapiga visomo kwa kitabu chenu

  • @josephatjoseph1755
    @josephatjoseph1755 4 ปีที่แล้ว +4

    naomba umohoji tena kaka nimeupenda sana ushuhuda wake aelezee vitu vyote bila haraka

  • @twobrothers8228
    @twobrothers8228 3 ปีที่แล้ว +14

    Sifa Nautukufu Zikurudie Wewe. Karibu Ndungu Ndani Ya Yesu Yoote Yanawezekana, Tazama yakale yamipita yamekuwa Mapya🙏🏿

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Kwani kwa Yesu wapi na Kuna nini huko?.
      Kwani Yesu alikuwa Mkiristo au kafundisha ukiristo?.
      Huyo ni mkiristo toka mwanzo unamkaribisha nini?
      Alama za ukiristo anazo wala uisilamu haujui anazungumza yasikuwemo katika Uisilamu.
      Acheni kutengeneza Waislamu Fake kama mnavyotengeneza vilema fake ili muonyeshe maajabu.
      Nyingi ndio wale aliotabili Yesu mwenyewe akasema.
      (Mathayo 24:24) " Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule (Waislamu).
      Acheni uongo Dini haisambazwi kwa kupitia khila za uongo.
      UKIRISTO ingelikuwa Dini ya Mungu basi sheria za Mungu mngelizifuata.
      Wangelikwisha walevi, wezi wazinifu, ulawati, unyang'anyi.
      Watu wangliishi kwa Amani kabisa.
      Kwanza vipi Mwenyezi Mungu kakuumbeni ili mumwabudu yeye halafu Mnaabudu Sanam la Mariya na Sanam la Yesu?.
      Bibilia yenyewe inasema watu kama Hao hawaingii PEPO (Ufalme wa Mungu)..
      Soma:
      [1 Wakorintho 6:9-10] " Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala WAABUDU SANAMU , wala WAZINZI , wala WAFIRAJI, wala WALAWITI,
      10 wala WEVI, wala WATAMANIO, wala WALEVI , wala WATUKANAJI, wala WANYANG'ANYI.
      NA HAYO YOTE YAMEJAA HATA KANISANI.
      Endeleeni ndio mnafichua njama za ukiristo kubomoa Uisilam.
      Wala sio kitu kimpa lakini matokeo Uisilamu unazidi kuenea.
      Hamuwezi kumshinda Allah (Mwenyezi Mungu) aliekuumbeni.
      (Qur'an 61:8) " Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa MAKAFIRI WATACHUKIA.

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Wapi hiyo ahadi ukiwa mkiristo inakuwa umesamehewa madhambi na umekuwa mpya?.
      Mnakopia Ya Uisilamu. Hayo hakuna katika Ukiristo.
      Ukitoka kwenye uisilam basi unakwenda kwenye madhambi sio kuondosha madhambi.
      Kwani kwenda kuabudu Sanam la Mariya na Sanam la Yesu ndio kufutiwa madhambi?.

    • @twobrothers8228
      @twobrothers8228 3 ปีที่แล้ว

      Wewe Abudu Dini Yako, Nauwache Kuhukumu ya Wenzio. Mwenye Hukumu Ni Mungu, Sisi Tuwaachie Imani Yetu Tuilinde Wewe. Amini Yako. Siku Ya Hukumu Tutajua Haki Ilopo.

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      @@twobrothers8228 : Ina maana ndugu uliezaliwa nae kwa baba na mama.
      Akimuasi mama yako au baba yako wewe utamuachia MBALI maana wewe haikushu?.
      Mbona bibilia yako huisomi inavyosema.
      [Luka 17:3] " Kwa hiyo, jihadharini. Ndugu yako akikukosea mwonye; akiomba msamaha, msamehe.
      Mimi nakuonya ndugu yangu Acha kuabudu Sanam la Mariya na sanamu la Yesu.
      Yesu sio Mungu.
      unamwabudu asiekuwa Mungu.
      Yesu kazaliwa na mama yake mwanadam.
      Na mwanadam hazai Mungu.
      Njoo huku umwabudu Allah alikuumba kwenye tumbo la mama katika mifuko mitatu na step Tatu.
      (Qur'an 16:78) " Na ALLAH (Mwenyezi MUNGU) amekutoeni matumboni mwa mama zenu, hali ya kuwa hamjui kitu, na amekujaalieni masikio na macho na nyoyo ili mpate kushukuru.
      (Qur'an 39:6)" Amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Kisha akamfanya mwenziwe katika nafsi ile ile. Na akakuleteeni wanyama wa mifugo jozi nane. Anakuumbeni katika matumbo ya mama zenu, umbo baada ya umbo, katika viza vitatu. Huyu ndiye Mwenyezi Mungu Mola wenu Mlezi. Ufalme ni wake. Hapana mungu isipo kuwa Yeye. Basi nyinyi mnageuzwa wapi?.
      ALLAH ndio anestahili kuabudiwa.
      Acha nakuonya ndugu yangu kwa ubinadamu.

  • @gracebalaboy4849
    @gracebalaboy4849 3 ปีที่แล้ว +33

    Yesu ndiyo msaada wetu ktk maisha yetu, wanaompinga yesu wanahitaji msaada wa maombi.

    • @apostlebenny5319
      @apostlebenny5319 3 ปีที่แล้ว +3

      Yesu ni Bwana wa ma Bwana.. Mm nampenda sana. Mwamba hyu haaaaa!!

    • @bakariamour6024
      @bakariamour6024 3 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ni msaada wako wewe sio wengine

    • @issamohd9955
      @issamohd9955 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani yuko mtu ana mpinga yesu kwani

    • @issamohd9955
      @issamohd9955 3 ปีที่แล้ว

      Mm napenda nikwambie tu ww kijana tangu mwanzo hukua na imani ya dini ulikua mshirikina nasasa umeacha dini ya kweli ya Mungu sasa unaenda kwenye dini ya wataliano aibu yako mana umejifichulia siri mwenyeo kua pande za wazee wako wote mama na baba muna mambo ya mizimu je uislamu unawakubali waislamu kama nyinyi jibu ni hapana nyinyi muko mbali sana na uislamu kwamaana Mungu anasema katika Qur'an waislamu wakweli hawana kuamini mizimu hawana kuomba katika makaburi na mapango Mungu alijua kama mtakuako watu kama nyinyi ndomana akaiweka mbali dini yake nahayo mambo wewe ni mshirikina mpenda pesa mwenye pupa na dunia kwahio ndomana hao wakaamua kukununua ili wakakutie motoni vizuri tena umesema wazi kua ulikua ukichukua watoto wa watu mahospitalini kama serikali munanipata chonde chonde huyu mtu katili akamatwe afunguliwe mashtaka

    • @maryammohd5994
      @maryammohd5994 3 ปีที่แล้ว

      Kuumbe eehh?🙄🙄🙄

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Yesu Kristo ni yeye yule Jana leo na hata milele Jina la Bwana libalikiwe Ndugu zangu waislam Njooni Kwa YESU KRISTO Ili muokolewe na siku ya mwisho tuingie wote ktk ufalme wake wa Mbinguni.

  • @agneskenya3709
    @agneskenya3709 3 ปีที่แล้ว +7

    A living testimony, God bless you Brother, hakika Yesu Bwana, Amen

  • @agapemtuli9175
    @agapemtuli9175 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu hajawahi kushindwa kamwe. Asante Yesu kwa kumtoa utumwani. Hakika ndo tunapata mwanga kumbe upande wa pili Kuna Mambo mengi.

  • @ashahaji6786
    @ashahaji6786 3 ปีที่แล้ว +4

    Inna lillah wainna ilayhi raajiuun
    Ya Rabbi tuhifadhi na utuepeshe na mambo km haya ss na vizazi vyetu

  • @julianampanduji6000
    @julianampanduji6000 3 ปีที่แล้ว +10

    Hallelujah...yuko Mungu mmoja na kila jicho litamuona,Amina.

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 3 ปีที่แล้ว +18

    Hakika stareh za dunia ni fupi mno usihadalike na dunia inna lillah wa inna illaih rajiun

    • @wazirikhamisi4828
      @wazirikhamisi4828 3 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi baarakallahu fiyka

    • @emmanuelgodwinmollel3714
      @emmanuelgodwinmollel3714 3 ปีที่แล้ว

      Swali moja. Je kale ka-aya ka mwisho alokasema umekasoma ukakaelewa na kufanyia kazi?

    • @mordekairehani5821
      @mordekairehani5821 3 ปีที่แล้ว

      Jahanamu ni wewe uliyekataa kumwamini Yesu kama Mwokozi

    • @prettylove5295
      @prettylove5295 3 ปีที่แล้ว +1

      Shida yenu waislam ndo hiyo mnapenda kuhukumu acha afichue mambo yenu nyie ndo mashetan wakubwa

    • @wazirikhamisi4828
      @wazirikhamisi4828 3 ปีที่แล้ว +1

      @@prettylove5295 HAHAHAHAHAHAH UJINGA MZIGO ALLAH AKUONGEZE KTK HAKI. KTK UISLAMU kaka yangu UISLAMU na ushirikina ni Maghreb na mashariki. Angalia ktk Suratl annisaa sura ya 4 Aya ya 116 yani msitali 116 pia angalia pia sura ya 5 ktk Suratl maida Aya ya 72 angalia tena sura ya 98 Aya ya 6 ANGALIA MUNGU ANASEMAJE KUUSU SHIRIKI NAJE MTU ATAKAE KUFA HALI YAKUWA MSHIRIKINA MAFIKIO YAKE YATAKUWA WAPI CC TUNA MPINGA HUYO KIJANA KWASABABU CC TUNASOMA MPK KESHO NA TUNAUJUA UISLAMU VILIVYO WW INGIA Goggle KAKA DANLOD QUR'AN ILIYO TAFSILIWA KISWAHILI YANI KIARABU NA KISWAHILI ALAFU WW MWENYEWE UTATUAMBIA HUYO QUR'AN GANI ALIYO ISOMA YEYE YENYE KUFUNDISHA UCHAWI HIZO MBINU ZA WAKRISTO KUTAKA KUU CHAFUA UISLAMU 0718020252 NAMBA ZANGU HIZO IKIWA UONGO AYA NILIZO KUAMBIA UANGALIE NIPIGIE NA UNIOJI VZR

  • @winniewambua1972
    @winniewambua1972 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah, Yesu jiwe lisilotigizika

  • @pastoreliamsika9355
    @pastoreliamsika9355 3 ปีที่แล้ว

    Well done
    Songambele mwamba!
    Najua ushauona ushujaa wa YESU
    Upo mahali sahihi sana sana huku
    Sinaga shaka na mageuzi ya Yesu hata mimi nimeyaona mageuzi ya YESU, anidanganyi mtu kwa habari ya uwezo wa YESU KRISTO.
    2008 mpaka now 2020 najua umeshakomaa kabisa
    Mtu akitaka aamini au asipotaka asiamini YESU hajawahi mlazimisha mtu kuingia kwenye neema hii ya WOKOVU ni suala la muda tu na wakati sahihi.

  • @user-il1bv6vs9q
    @user-il1bv6vs9q 4 ปีที่แล้ว +71

    Welcome to Jesus for salvation of ur soul in Jesus mighty name Amen

    • @cupcakesanddounuts6555
      @cupcakesanddounuts6555 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +1

      Utakufa na ukafiri wako ukachomwe moto kama ni mvivu wa kutafuta ukweli mwenyewe

    • @raynerrasher1558
      @raynerrasher1558 3 ปีที่แล้ว +4

      @@alhamdulillah5796 nani kakuzuia kuamin unachokiamini? Acha kuponda dini za watu wewe

    • @omarymnola1011
      @omarymnola1011 3 ปีที่แล้ว +1

      Mm ctamani nife hali ya kuwa mkristo (KAFIRI )
      Hakika Uislamu ni raha sana
      Huyo jamaa HATA KIARABU HAJUI NA KWA WAKRISTO NDO ANAWADANGANYA KABISAA

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว

      @@omarymnola1011 masha Allah

  • @peterallan6311
    @peterallan6311 3 ปีที่แล้ว +29

    Glory to God for giving this soul another chance.

  • @sammagesa8184
    @sammagesa8184 3 ปีที่แล้ว

    Amen... Mungu azidi kukutetea mtumishi....songa mbele

  • @thedyassenga477
    @thedyassenga477 3 ปีที่แล้ว +8

    Karibu kwa Yesu

  • @carolinenatembeya6787
    @carolinenatembeya6787 4 ปีที่แล้ว +10

    YESU ASIFIWE TAMBAAA KOTE UJAE JILA ENEO, YESU NDIO HABARI GEUKENI LEO MKAPINE. AMEN

  • @christinamaston6585
    @christinamaston6585 4 ปีที่แล้ว +12

    Jesus is great all the time

    • @mabletandawili4128
      @mabletandawili4128 3 ปีที่แล้ว

      Una Sema ww ume wacha uislam lakini bado una vaa cazuu

  • @rebeccampaki9647
    @rebeccampaki9647 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina MUNGU akujaalie ufike mbinguni

  • @edwardmanota998
    @edwardmanota998 3 ปีที่แล้ว

    Amina. Asante kwakuijuwa kweli. Maana yesu ndie njia ya kweli na uzima amwaminie yesu hapotei wala ahukumiwi bali atakuwa na uzima wa milele, kijana piga injili tupe u kweli huo

  • @monicaelias3801
    @monicaelias3801 3 ปีที่แล้ว +5

    ENDELEA kuusema Ukweli na Yesu akutie Nguvu nakukuepusha na Adui zako Bwana Ate na wanaoteta nawe Mtumishi Zaburi 35 Intense Kazi KWA Maisha yako yote na Zaburi 23 na Mungu akubariki Sana kujitia MHANGA KWA AJILI ya Kirsto tupo Pamoja Mtumishi wa Bwna

    • @allyjumaallyjuma692
      @allyjumaallyjuma692 3 ปีที่แล้ว +1

      ENDELEENI KUPEANA UJINGA MPAKA YAWAFIKIE MAUTI ,MUTMJUWA MUUME WA BIBIZENU HUKO AKHERA

  • @truth7796
    @truth7796 3 ปีที่แล้ว +10

    There's power in the name of Jesus to beak every chain glory to God

  • @everlynemiriam5231
    @everlynemiriam5231 3 ปีที่แล้ว +2

    Dont go ibeg u the name of GOD BE BLESSED ALOT KEEP IT UP

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 3 ปีที่แล้ว +12

    Innallah wainnallah rajun Allah akuongoze kabla roho yako haijatoka kurudi kwa mola wako maana utakuja kujuta milele kama hukurudi ikiwa bado hai ya rabbi tuongoze waja wako

    • @thegospelmessage5039
      @thegospelmessage5039 3 ปีที่แล้ว +1

      ahaaa uislamu dini ya shetani

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo Wanaobaki Huko Wanakosa Msaada Wa Kuachana Na Uchafu Huo Ndiyo Maana Wanakimbilia Kwenye UKRISTO Ili Wapone.

  • @geraldlaurent7465
    @geraldlaurent7465 4 ปีที่แล้ว +19

    Yesu Baba yangu unaishi mile na mile mwanzo mwisho Mimi nasema ni YESU TU.

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 3 ปีที่แล้ว +10

    Yesu diye njia ya kweli 🙏

  • @56manya
    @56manya 3 ปีที่แล้ว +2

    Jesus you are too too awesome!!!

  • @rabilubinza7661
    @rabilubinza7661 3 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu apewe sifa.Haleluyaa

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 3 ปีที่แล้ว +5

    Unapendeza sana kaka yangu ndani ya Yesu kuna raha.

    • @twobrothers8228
      @twobrothers8228 3 ปีที่แล้ว

      Sio Raha tu, Na Uzima Wa Milele.

    • @marykibwana9413
      @marykibwana9413 3 ปีที่แล้ว

      @@twobrothers8228 Kwa kweli na uzima tele. Nimeipenda hiyo nyongeza.

    • @aberboaz9512
      @aberboaz9512 3 ปีที่แล้ว

      @@twobrothers8228 amen

  • @mussa6990
    @mussa6990 4 ปีที่แล้ว +20

    Kijana unapaswa kufanya toba kubwa sna na usiweke hasira kichwani mwako mana mtu akikuudhi unaweza kurudi tena huko na kumfanyia kitu kibaya kwhy utubu kwa toba ya kweli na Mungu akufungue kweny hicho kifungo na damu ya Yesu ikufungue na kukuweka huru kabisa watu wengi tunateseka kwasababu ya watu wenye vitendo kama hivyo wanatesa snaa maisha yetu.

    • @khalifahmtata8659
      @khalifahmtata8659 3 ปีที่แล้ว

      Kijana kapotea

    • @happynicholaus6474
      @happynicholaus6474 3 ปีที่แล้ว +1

      @@khalifahmtata8659 JESUS KING OF KING

    • @saidhomie3368
      @saidhomie3368 3 ปีที่แล้ว +2

      Kijana yupo pale anapaswa kuwepo, kwenye nguvu za giza, na ndipo anapostahili kuepo, kwa yale alioyafanya, anaelezea kwa ustadi na kwa mapambo, kama vile abaelezea vipi kupika chakula, Mungu atunusuru kwa majanga hayo.

    • @mariamjumamariamjuma4331
      @mariamjumamariamjuma4331 3 ปีที่แล้ว

      @@happynicholaus6474 na MUNGU NI NANI
      KAMA UYO JISUS NI KING. ACHA UJINGA WW

    • @happynicholaus6474
      @happynicholaus6474 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamjumamariamjuma4331 hayo ndio maoni yangu

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 3 ปีที่แล้ว +6

    Innalilah wainnailaih rajiun

  • @sharifabdalla3549
    @sharifabdalla3549 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu nimuweza wakilakitu namuomba akutowe ktk hiyo imani ya kikafiri aliyokuingiza na akurejeshee imani yako ya kiislam kabla hujakata roho.....nayoyote atakae chagua dini isiyokuwa wa kiislam haitokubaliwa na Allah na siku ya kiama atakuwa nimwenye kuhadirika...Allah akuongowe pamoja nasisi.

  • @annamrima5507
    @annamrima5507 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu ni mungu tu na atabaki kuw mungu, ubarkiwe san kakaangu ieneze injili

  • @halimaalsaad5469
    @halimaalsaad5469 3 ปีที่แล้ว +19

    Laaanatullwah

  • @fatumadonath2068
    @fatumadonath2068 3 ปีที่แล้ว +3

    Subuhanallah subuhanallah hata aya za Allah huzitaji inavyopaswa so inaonyesha kuruan hukuisoma vizuri mtihani wallah

    • @ICON633
      @ICON633 ปีที่แล้ว

      Yesu anakupenda

  • @lucyolindo5732
    @lucyolindo5732 3 ปีที่แล้ว +5

    I am the light and the peace of the world and you should believe I love you jesus thank you for making me understand your love is so abundant and no one can take it away from me

  • @johnpangalas9687
    @johnpangalas9687 2 ปีที่แล้ว +4

    Yesu ni njia ya kweli na ya uzima

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 ปีที่แล้ว +6

    Inna lilah wainna ilahi lajihun

  • @williamjamanda8892
    @williamjamanda8892 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Kwa kujua ukweli wa Yesu Kristo Mungu akuongoze

  • @jemimanekesa2782
    @jemimanekesa2782 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed my brother ju ulikubali kubadilika

  • @majariwagift1498
    @majariwagift1498 4 ปีที่แล้ว +10

    Ameen yesu ndie njia ya ukweli na unzima

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 ปีที่แล้ว +16

    Yesu Kristo Ni njia kweli na uzima watu wote tumfuate yeye

    • @rachelevarist70
      @rachelevarist70 3 ปีที่แล้ว +1

      ckia wewe nikuambie ukristo sio dini hakuna dini inaitwa ukristo nyinyi kama sio tamaa za dunia msingepotea huyo ni muongo hua walokole niwaongo huo ushuhuda niwauongo huyo alikua kafiri kaenda kusoma kiarabu ili aje awahadae wakristo ambao hamjui huo niuongo

    • @gracecharles2696
      @gracecharles2696 3 ปีที่แล้ว

      @@rachelevarist70 Mbona wapo wengi mashekh wanaoushuhudia uchawi kwenye uislam..kama shekh anapaa ,anaua,anafuga majini sindo uchawi wenyewe huo ..Wachawi ata makanisani wapo utofauti wakanisani tamaa za pesa lkn Biblia haijafundisha hayo..Ila kwa wwnzetu mtu anafungua kabisa kitabu anamusomea dua upatwe na jambo baya hapo ndo sipaelewagi Mungu wetu anatuwazia mema iweje wewe uniwazie mabaya kwa kutumia kitabu unachosema cha Mungu ..Huyu anaweza kua muongo kwa sababu simfahamu lkn wapo nnaowaamin wametoka kwenye ushetani nawaona na wanashuhudia mengi tu ..kila shekh anafuga majini loooh huku sie twayaombea yatoke nyie mwayatafutia chumba yakae..Yesu ndie njia ya kweli na uzima tunafika kwa Mungu kupitia yeye....

    • @berthairungu6746
      @berthairungu6746 3 ปีที่แล้ว

      Aminaaaaaaa

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 2 ปีที่แล้ว

    God bless you my friend 🙏.

  • @ruehassan8999
    @ruehassan8999 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen brother God bless you.

  • @adinanijackobo1328
    @adinanijackobo1328 3 ปีที่แล้ว +8

    Sura 2 - Aya 14
    وَإِذَا لَقُواْ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ قَالُوٓاْ ءَامَنَّا وَإِذَا خَلَوْاْ إِلَىٰ شَيَـٰطِينِهِمْ قَالُوٓاْ إِنَّا مَعَكُمْ إِنَّمَا نَحْنُ مُسْتَهْزِءُونَ

    • @fauzatisospita5053
      @fauzatisospita5053 3 ปีที่แล้ว +3

      Swadaqallah alaliyyul adhiiim

    • @adinanijackobo1328
      @adinanijackobo1328 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fauzatisospita5053 manshaAllah

    • @yasalaam590
      @yasalaam590 2 ปีที่แล้ว +3

      Inasikitisha sana huyu kijana kwakweli kashakufa tuseme tu innalillahi wainna ilayhi rajiuna ni msiba mzito allah amuhidi yeye na wengine yaarabbi awajaaliye watubiye toba yakweli kumbe wanafiq wanaishi mpaka leo jamani subhanallah

    • @SAM_163
      @SAM_163 ปีที่แล้ว +1

      @@yasalaam590 ACHA KIBURI MPOKEE YESU.
      KUUKATAA UKWELI HAIBADILISHI UKWELI ANAUONGELEA KUHUSU UISLAM KAMA SIO KWELI TUAMBIE UKWELI HIVYO VITU HAVIPO KWA QURAN?

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 10 หลายเดือนก่อน

      @@yasalaam590 Acha taarabu jifuze ndugu Usiamini Majini

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe Mungu atakufedhehesha Mungu atakushinda

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 4 วันที่ผ่านมา

    Amen. God bless You

  • @leahmujemula5387
    @leahmujemula5387 ปีที่แล้ว +5

    Nampenda huyu Yesu

  • @moseswekesa8366
    @moseswekesa8366 3 ปีที่แล้ว +5

    Laanatullahi allayk

    • @allybashiru2120
      @allybashiru2120 3 ปีที่แล้ว

      Allah akusamhe kwa mamb unayoyafanya na kudhalilisha uislam haliya kuwa haupo hvyo,acha uongo kaka

    • @churaukuni6366
      @churaukuni6366 3 ปีที่แล้ว

      Wew nimchaw nasio mganga

    • @churaukuni6366
      @churaukuni6366 3 ปีที่แล้ว

      Kudadadek umekimbia kuuliwa pumbav

  • @nuryatsaid6405
    @nuryatsaid6405 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalilahi wainna ilaih rajiun

  • @janekamau6189
    @janekamau6189 3 ปีที่แล้ว

    I just love how waislamu wana tetea dini yao. They are trying their best. Kila muslamu aliokoka wanasema hakua muslamu. But mchristo akienda kwa waislamu inakua ni mungu amemuonyesha njia. Woooiye. Heri kwa Yesu. Yesu anakutetea.

  • @z.osterzulu6899
    @z.osterzulu6899 3 ปีที่แล้ว +4

    Subuhana llah

  • @ambokileboniface3691
    @ambokileboniface3691 4 ปีที่แล้ว +14

    Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli na uzima; MTU haji kwa Baba, ila kwa njia ya Mimi. Mungu akubariki kwa kuichagua njia ya kweli na uzima.

    • @suzieomega6356
      @suzieomega6356 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndiyo kweri, alipo yesu ndipo mungu alipo,

    • @omarymnola1011
      @omarymnola1011 3 ปีที่แล้ว

      Kwenu nyie yesu sio njia bali ni jina la dini yenu Maana baada yake ndo mmejiita Wakristo sasa kabla mlikuwa akina nani

    • @ambokileboniface3691
      @ambokileboniface3691 3 ปีที่แล้ว

      Omary mnola Neno LA Bwana katika kitabu cha Isaya 42:22 Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa ; wote wamenaswa katika mashimo , wamefichwa katika magereza ; wamekuwa mawindo ,wala hapana aokoaye , wamekuwa mateka , wala hapana asemaye Rudisha..Mungu alie hai katika Kristo Yesu anakupenda na kumbuka kila goti litapigwa kwake na kila kinywa kitakiri kuwa Yesu ni mfalme anayetawala milele. Yesu anakupenda kwake yeye hakuna lisilowezekana kwake , mpokee leo abadilishe historia ya maisha yako.

    • @suzieomega6356
      @suzieomega6356 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ambokileboniface3691 wamepofushwa, hawawez kuona yesu ndie njia yakwer nauzima wamilele sema amen

    • @suzieomega6356
      @suzieomega6356 3 ปีที่แล้ว

      @@omarymnola1011 , kama kwetu si si wewe kinakukera Nini ama kukuuma Nini ?

  • @patrickwafula3432
    @patrickwafula3432 4 ปีที่แล้ว +6

    #@Jesus Christ Amen welcome bro to the truth

    • @twahamachozi8018
      @twahamachozi8018 3 ปีที่แล้ว

      Waislamu msimtukane huyu kijana ameamua kupotea muombeeni maana hakuujua uislamu vizuri

  • @tumpenywapi8422
    @tumpenywapi8422 3 ปีที่แล้ว +6

    Glory to Almighty Jesus who saved us on the cross....you matter to God

  • @stancychemutai3830
    @stancychemutai3830 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you God for showing me the way..I was confused in which religion to be...now I know

  • @zephaniandumba8562
    @zephaniandumba8562 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana kwa ushuhuda Mungu ni mwema

  • @mawazomwamba7503
    @mawazomwamba7503 3 ปีที่แล้ว +6

    Karibuni kwa YESU

    • @Truth771
      @Truth771 3 ปีที่แล้ว

      Karibu kwa Yesu?.
      Kwani Yesu nyumbani kwake wapi?

  • @sandenjumbo2596
    @sandenjumbo2596 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana ndugu nimejifunza mengi kupitia ww ubarikiwe sana

  • @rehemajoseph1264
    @rehemajoseph1264 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ndiye njia kweli na uzima hakuna atakaye fika kwa mungu Bila kupitia kwake(yesu)

    • @abdulskhery3002
      @abdulskhery3002 2 ปีที่แล้ว

      Ushirikina ndio ndio ulio kusumbua na sio dini ulipenda sana uchawi na sio kumjua allah