#PART2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 หลายเดือนก่อน +14

    Wachawi wapo Duniani kote hata wazungu,Ila wanatofautiana Ila wanashirikiana na kutembeleana,yaani shetani yuko kila mahali tena ulaya kuna uchawi wa Hali ya juu Sana km freemason

    • @section8ight174
      @section8ight174 หลายเดือนก่อน +1

      Freemasons mbona cha mtoto! 😅

    • @Deedlr4767
      @Deedlr4767 หลายเดือนก่อน

      Uyu sjui ametunga stor hajui km ulaya ndo kuna uchawi atr na anadai mchawi tangu mtt af hujui izo taarifa

    • @julianamabamba5536
      @julianamabamba5536 หลายเดือนก่อน

      Hajui kama Free Mason na Illuminati ni uchawi uliokubuhu!

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 16 วันที่ผ่านมา

    Ulaya uchawi upo, lakini hawalogani kuharibiana maisha kama Africa. Ata nchi za kiarabu zipo, wanatumia kupata utajiri.

  • @beckychepngetich758
    @beckychepngetich758 หลายเดือนก่อน +7

    Wachawi wapo kila mahali. ATA Uku Mzunguni ipo

  • @FrankieFrank-e4e
    @FrankieFrank-e4e หลายเดือนก่อน +2

    Msimuliaji uelewa wake mdogo sana hajui kusimulia

  • @aminamacha5594
    @aminamacha5594 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mm na kupinga uchawi upo kote tena hakuna watu wachawi Kama wazungu na waraabu

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +6

    Acheni ujinga nyinyi!!

    • @noelashaoona
      @noelashaoona หลายเดือนก่อน +1

      Do u live in the western

  • @gloriakatikiro5945
    @gloriakatikiro5945 หลายเดือนก่อน +2

    Uchawi upon Dunia nzima

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh หลายเดือนก่อน

    Usunguni uchawi upo dadazanguni

  • @bahatimtiesa2794
    @bahatimtiesa2794 หลายเดือนก่อน

    Uchawi upo kila sehemu kwa kweli msidanganyike kuna uchawi siyo kawaida niko uk

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh หลายเดือนก่อน

    Wasungu wanatumiaga black MAGIC

  • @bahatimtiesa2794
    @bahatimtiesa2794 หลายเดือนก่อน

    Huku kuna uchawi tena nje yaani huku ni kawaida

  • @Mamshika
    @Mamshika หลายเดือนก่อน +2

    Hapana huyu hajabobea kwenye uchawi mimi nimeshasikia ushuhuda wa magwiji wa kichawi in short huyu amegusagusa uchawi UCHAWI UPO KOTE DUNIANI tena hao mnaosema hawana uchaw ndo wataalamu.

  • @MariamGundula
    @MariamGundula หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini hatamki jina la Yesu kristo ila na mshukuru Mungu wa nabii wake kwani hamjui Aliyemponya

  • @wanejohnmsukwa6590
    @wanejohnmsukwa6590 หลายเดือนก่อน +3

    Wachawi wanafanya kazi kwa mipaka na tena wanaheshimiana sana hivyo mchawi wa Africa hawezi kwenda bila kuwa na kibali kama jinsi amabavyo huwezi kwenda bila kuwa na Visa katika nchi amabayo siyo yako.Kifupi ni kwamba wachawi wapo dunia nzima sema utendajikazi wa wachawi wa Ulaya na Africa unatofautiana.

  • @RayOmar-vk2nn
    @RayOmar-vk2nn หลายเดือนก่อน +5

    South Africa Capetown unauzwa hadi sokoni 😂😂upo uchawi kila mahali msidanganye watu marekan hakuna

  • @mountaincrystal1630
    @mountaincrystal1630 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wako dunia nzima, mimi nimeishi nchi tofautitofauti duniani, mtu asikwambie kitu,

  • @mountaincrystal1630
    @mountaincrystal1630 หลายเดือนก่อน

    Uchawi uko kila mahali, ulaya wana uchawi lakini uchawi wao ni ya kufanyia mambo ya maana,

  • @LizybethKyungay
    @LizybethKyungay หลายเดือนก่อน

    Jamani sijui hamtembei nan kasema ulaya na south uchawi ???? Vipi Asia??? Omg mnaongea ujinga leo

  • @Ummulkulthum-e1m
    @Ummulkulthum-e1m หลายเดือนก่อน +1

    Jamani. Inamana. Hii. Storiniyakweli

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu หลายเดือนก่อน +1

    Lilian safar hii mbona umeleta mada isiyo na mtaalam, bundle inapotea Bure, lete watu waliobobea Kweny fani iyo

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo manake wachawi ni wauaji wasioshtakiwa kwa kesi za mauaji?

  • @NeemaMollel-d6l
    @NeemaMollel-d6l 29 วันที่ผ่านมา

    Mi ninacholuliza je wapata miujiza kwa manabii wanakujaga kupotea nao cz kazungumzia upande wa kwa mganga tu!

  • @FekiHappy
    @FekiHappy หลายเดือนก่อน +1

    Passport ulikuwa nayo

  • @Nice-Conrad1
    @Nice-Conrad1 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mdada mbn anajikanyaga sn kwenye kuongea

    • @section8ight174
      @section8ight174 หลายเดือนก่อน +1

      Hana uhakika na anachoongea, hizi porojo tu za vijiweni!!

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 หลายเดือนก่อน

    Shetani yuko kila mahali Duniani,Kwa kuwa alitupwa duniani anamtumia mtu yoyte

  • @zoey2635
    @zoey2635 หลายเดือนก่อน +1

    Wachawi wako Kila sehemu

    • @Nice-Conrad1
      @Nice-Conrad1 หลายเดือนก่อน

      Who told u…

    • @section8ight174
      @section8ight174 หลายเดือนก่อน

      @@Nice-Conrad1it’s common knowledge! Read up & travel

  • @marthajeremiah
    @marthajeremiah หลายเดือนก่อน

    Dada lilian Hadi wewe hujui uchawi Nini ? Ulaya kuna uchawi hali ya juu yaani waziwazi

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh napata question marks nyingi mno kwenye hii interview uhalisia mdogo mno🚮

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน

    Ina maana ulaya hakuna mapepo??? Shetani yuko dunia nzima ndio mana kuna imani za kumwabudu mungu kila mahala.... Wazungu wenyewe wanaombewaga na waafrica... Tazama marehemu TB joshua

    • @zoey2635
      @zoey2635 หลายเดือนก่อน

      Wapo Tena konki Hawa waongo sanaaaaaa

  • @shamzone388
    @shamzone388 หลายเดือนก่อน +1

    Ujinga tu tulionao sisi wazungu hawana time na wajinga
    Kama wana uchawi wanaweza kwanini wanapita njia za panya kwenda nchi za watu waruke wafike

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 หลายเดือนก่อน

      Wanaenda lakini kwa faida ni kuwaharibia wengine ndo kazi yao

    • @sikitujuma4866
      @sikitujuma4866 หลายเดือนก่อน

      Lilianuchawi wazungu wanao ivi kanasikukuu ya mashetani tens kiving​@@upendogreutert199

    • @sikitujuma4866
      @sikitujuma4866 หลายเดือนก่อน

      Filmason wako wapi?