NABII MKUU AMZAWADIA MTUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 207

  • @Bashando
    @Bashando 2 ปีที่แล้ว +11

    Kwa kweli Mungu amenishangaza sana tena sana.... Mungu wa Nabii Mkuu Dr. GeorDavie ni Mungu aliye hai anaestahili kuabudiwa... Nakushukuru sana Nabii Mkuu Dr. GeorDavie kwa kubadilisha maisha yangu....

    • @evangelist_gaitani
      @evangelist_gaitani 2 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana masihi wa MUNGU

    • @evangelist_gaitani
      @evangelist_gaitani 2 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana bashando

    • @naomishimwela4093
      @naomishimwela4093 2 ปีที่แล้ว

      Jamani mungu aendelee kukubaliki

    • @japhetymichael4663
      @japhetymichael4663 2 ปีที่แล้ว

      Prophet bashando naomba unisaidie nifike kwa baba yangu nabii mkuu

    • @japhetymichael4663
      @japhetymichael4663 2 ปีที่แล้ว

      Brother prophet bashando naomba unisaidie nifike kwa baba yangu nabii mkuu

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +3

    Worshipping man is an idol.

  • @nemwelombasa3689
    @nemwelombasa3689 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi,kukuinua baba,huduma,yako inanifurahisha,hakuna nabii anapeana Kama wewe.watching from Kenya,pia Mimi nahitaji maombi yako yanaupako.

  • @twemeremunguzacharie6395
    @twemeremunguzacharie6395 ปีที่แล้ว

    Nabii Mkuu! Nimekufata Vizuri...
    Kwa Imani Nimepokea!
    Nataka Nifanye Kazi Za Mungu...

  • @odarickmenard9107
    @odarickmenard9107 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki nabii mkuu wa Bwana Kwa matendo yako kuwa sapot wengine groly to God

  • @fdizzo
    @fdizzo 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumish na Mungu akuzidishie uvitoavyo viongezeke Zaid kwako Amin

  • @Emiliachambo
    @Emiliachambo 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi wa Mungu aliye hai, Mungu atabak kua Mungu hata km hajajib km nilivyotaka

  • @donardnolo4210
    @donardnolo4210 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki nabiimkuu wewe ni mtumishi wa mungu watofauti sana

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 2 ปีที่แล้ว +2

    Wabarikini kwa sababu nanyi mmebarikiwa. Thank God for life of Prophet.

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu baba nabii mkuu hana roho ya choyo na ndio maana hajawahi kufilisika.
    Napokea kwa maombi kwa maombi yako yote roho ya mafanikio utoaji na kusaport kazi ya Mungu.
    Nakataa roho ya umaskini ktk jina LA Yesu Kristo, Amen, Amen, Amen!!

  • @kenneth.m.siwale9699
    @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว +2

    Truly speaking with my all heart, THIS IS my heartfelt sincerely appreciation to you NABII MKUU WANGU, nimeuona mkono Wa BWANA juu ya KAZI NZURI unayoifanya hapa Duniani....Ukisema Wewe unawakilisha SERIKALI TUKUFU KUU YA MUNGU MWENYEZI (ALLAH Akbar)

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว

    Ee Mwenyezi Mungu naomba na mm unibariki km amevyobarikiwa mtumishi Bashando

  • @saadasamson5020
    @saadasamson5020 2 ปีที่แล้ว

    Ni vigumu Sana kupata nabii Kama huyu kwa nchi yetu.najivunia nabii mkuu ijapokuwa hajanionekania bado.but I blve one day it will.He is eliyah of our time,he is geodave.

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +2

    Aisee ukimtumikia Mungu, Mungu pia atakuheshimu atakuweka juu!.

  • @bigmachineschannelkenya7408
    @bigmachineschannelkenya7408 2 ปีที่แล้ว +2

    Am very much impress by the wonders of God ,prophet may you be lifted up to a high and great level that Almight God will make you wonder. This kind of blessings may it be my portion this year in jesus name.Amen.

  • @merissapati9630
    @merissapati9630 2 ปีที่แล้ว

    AMENA 😭😭😭😭😭😭😭👏👏👏👏👏👏Una niliuzaga Saaana nabi muku👏👏👏👏mungu aku ongeze siku zakuishi mimi ni murundi ira napenda unavyo bariki watu

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen hallelujah thank you Jesus Christ for your life Nabii Mkuu Baba yangu umetusaidia wengi sema watu hawajui yote ingali Kama MUNGU wako angewaonyesha watu jinsi gani tunavyobarikiwa kwa neno lako tu hallelujah sijui imgeluwaje Asante Baba kwa baraka zako MUNGU alulinde na kukupa imri mrefu ili tuzidi kutembea na baraka za MUNGU wako🥰🥰🥰🙏🙏🙏

  • @saidyrashid1495
    @saidyrashid1495 ปีที่แล้ว

    Kazi mzuri xana kweli mungu ni mwema

  • @GosheSecurity
    @GosheSecurity 2 ปีที่แล้ว

    Ukristo wa Namna hii kuu ndio utukufu kwa Mungu. Endelea kubalikiwa Mtumishi wa Mungu Geordavie

  • @dalphanmathayo5392
    @dalphanmathayo5392 2 ปีที่แล้ว

    Aaamen barikiwa sana mtumishi na nabii wa mungu kwa kazi nzr

  • @yusuphbachubila5579
    @yusuphbachubila5579 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana BABA NABII MKUU wa Mungu aliye hai kutoka serikali kuu ya Mbinguni balozi Mwema Amen

  • @leonardcharles3169
    @leonardcharles3169 2 ปีที่แล้ว

    Halleluya! Mungu aliyefanya miujiza kwa akina yusuph, Yona, yakobo na wengine wengi bado anaishi na namuona kupitia huduma ya nabii mkuu. Nabarikiwa sana sana na mtumishi huyu wa mungu

  • @pastormarkokabisatv6821
    @pastormarkokabisatv6821 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana prophet

  • @joshuakatano4584
    @joshuakatano4584 ปีที่แล้ว

    watching from Nairobi kenya natetemeka kwa matendo yako

  • @evangelistmumogideon2602
    @evangelistmumogideon2602 2 ปีที่แล้ว

    I am touched with this true example of a prophet

  • @bahatikarume3203
    @bahatikarume3203 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu yu mwe Mwema.Ukimtumainia anakuinua katika viwango vya juu kwa dakika 0.Amen hakika neno la nabii mkuu Geo David ni mwangaza katika maisha yetu.Amen nimepokea

  • @chaomadedo
    @chaomadedo 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba wa watu jmni Mungu Ambariki mno kwa kweli. Amtie nguvu amjalie umri mrefu. Mwanzo yeye mwenyewe kijana tuu sijui ana miaka 40 au 42 lakini ampe uzima

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 ปีที่แล้ว

    Aiseeee Mungu akubariki sana nabii mkuu Dr Geordav kwakweli binafsi nakuelewa sana

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki baba. I connect to this today's annointing in Jesus. AMEN

  • @doctormalikitibazamitisham8903
    @doctormalikitibazamitisham8903 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha malefu joo dev

  • @saadasamson5020
    @saadasamson5020 2 ปีที่แล้ว

    Hii clip imeinua Imani yangu Sana,geodave is a mirror to me,Dad remember in to your kingdom,iam hear.

  • @masaweasenga6957
    @masaweasenga6957 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa kibali kwa mtumishi wako.napokea unabii

  • @nduwumukamasandrine2068
    @nduwumukamasandrine2068 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki Baba🙏

  • @isayapetro1371
    @isayapetro1371 2 ปีที่แล้ว

    BABA endeleya na moyo huo huo wakutubariki sisi ambao hatujiwezi ki uchumi naamini hata Mimi Baraka zako zitanifikia ubarikiwe Sana na Mimi nitaendeleya kukufuatilia mpaka ukamilifu wadahari

  • @propheteasimweaimetimothee634
    @propheteasimweaimetimothee634 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa Bwana Yesu Kristo. Ninapokea hii neema kubwa katika utumishi wangu na uduma pia.

  • @sundymolls9673
    @sundymolls9673 2 ปีที่แล้ว

    Amen napokea baraka zangu

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeeen mtumishi wa MUNGU , kama YESU ilifika saa akasema MUNGU wangu, MUNGU wangu mbona umeniacha, hakika kuna wakati unapita kwenye mapito mpaka unadhani MUNGU kakuacha, nimejifunza, kuto kukata tamaa, kunyenyekea, kuvumilia, kusubiri. Siku moja MUNGU atanitokea.

  • @mugishajohansen9619
    @mugishajohansen9619 2 ปีที่แล้ว +3

    Glory Glory Glory to be almighty God

  • @rosegideon336
    @rosegideon336 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sanaa G dev

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 5 หลายเดือนก่อน

    Great nabii wangu

  • @estomiailomo7844
    @estomiailomo7844 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe maisha marefu nabii yn huwa napenda Sana kukufuatilia mafundisho yako unatutia mioyo ya kuenderea kuzi kumwomba mungu ameni na nisipo pata hata siku moja mafundisho yako huwa nakosa amani

  • @alexpancras7459
    @alexpancras7459 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani MUNGU azidi kukuongeza na kukubariki zaidi,wewe ni baraka kwa Kanisa la MUNGU duniani,nimebarikiwa sana

  • @brightonanold4535
    @brightonanold4535 2 ปีที่แล้ว

    Baba ubarikiwe

  • @theresiatate8043
    @theresiatate8043 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu ubadilishiae watu staili ya maisha kupitia mtumishi wako.asante sana Nabii mkuu kwa kuwaheshimisha watumishi wa Mungu

  • @godloveakyoo9221
    @godloveakyoo9221 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu Asifiwe Naomba Mungu amponye mama Yangu Anaumwa kwa muda mrefu Naomba Mungu amponye Arudi kwa hali yake ya kawaida ,Anaitwa Lucia mollel

  • @elizabethmakhanu3391
    @elizabethmakhanu3391 2 ปีที่แล้ว

    Praise the Lord daddy, Mimi nashukuru Mungu Kwa umbali amenitowa, baba mm naomba uniombee naweze kupata mwelekeo Wa Maisha yangu, kwa ajili sijielewi ninahitaji kujielewa mm, nko uwarabuni kwa ajili ya kutafutia watoto Wangu riziki ya Maisha naomba unikumbuke Na mm Ile niweze kutimiza ndoto zangu, Na natamani Sana kuja kwenye matabahu yako siku moja, nitahakikisha Fika kwa matabahu yako siku nikirudi kenya, ninacho hitaji n kibali baba

  • @christophermwita4498
    @christophermwita4498 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabii wa Mungu nimekuelewa I know one day God will do his miracles to my life

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sn Mtumishi w Mungu! Najiungamanisha ,na madhabahu hii.

  • @josephmolle
    @josephmolle 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuongezea nabii mkuu tunafuraiya sana uwepo wako baba tz

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 2 ปีที่แล้ว

    Allah twakuomba utuongoze na tuzidishie kuiona noor.

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 2 ปีที่แล้ว +2

    Najiunganisha na huu upako wa kufadhiliwa ulioshushwa Leo juu ya mtumishi wa Mungu huyu aliyepewa gari na pesa ktk jina la Yesu .Nabii mkuu Mungu akubariki Sana baba🙏🙏🙏

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @catherinemhagama7505
      @catherinemhagama7505 2 ปีที่แล้ว

      Nabii nakuheshimu, nakupenda na ninakufananisha na manabii was ukwelii. Nina miaka zaidi ya 60 sijawahi kuona au kusikia Nabii Mwenye huruma useijali sarafu yako bila kutumia na SS was chini na wenye uhitaji. Mungu akuongoze utukumbuke na SS tunaye abudu utumishi wako na ambao tupo mbali nawewe utusaidie baba hata Senti tano tu tunaokoka kimaisha kwa baraka zako. Amina

  • @luciamsabi1131
    @luciamsabi1131 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen namimi napokea kwa Jina la Yesu Kristo aliyehai

  • @lilianowti5477
    @lilianowti5477 2 ปีที่แล้ว

    Ndungu Mungu Amekupanguza machozi muishie Mungu Anaye badilisha maisha ya watu kwa sekunde pap!Halleluhya Yesu ni Bwana!! Anatawala milele Ameeena.

  • @joycekumwembe5269
    @joycekumwembe5269 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Asifiwe Nabii mkuu na mimi naomba zawadi ya gari nisife bila kumiliki gari namuomba Mungu ombi langu lipate kibari kwako

  • @master-pu2hc
    @master-pu2hc 2 ปีที่แล้ว

    Asante nabii mkuu natamani nikuone nipate Baraka zako baba

  • @marymbusiro8749
    @marymbusiro8749 2 ปีที่แล้ว

    My prayer to God is may God bless you with long life
    Again akupe mwili kama ya moses na mifupa yako iwe na nguvu siku zote kwa kazi ya ufalme wa mbinguni. Mungu ajekukuchua mbinguni kama vile Enock na Eliya bila kuoncha mauti. AMEN

  • @angelwilliam3471
    @angelwilliam3471 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani watumishi wote wangekuwa Kama uyu baba Mungu azidi kuinua huduma yako

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว

    Amina iwe kwangu.

  • @siamwase1938
    @siamwase1938 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen Glory to Lord Jesus

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba unajitoa sana

  • @stephenjackson7479
    @stephenjackson7479 2 ปีที่แล้ว +2

    Praise the Lord!!!

  • @mgdleenknzo9297
    @mgdleenknzo9297 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa aminaaaa

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 2 ปีที่แล้ว

    Napokea muujiza wangu kwa iman barikiwa mtumishi ulichokihubir ni maisha yangu tosha😭

  • @fredyefd8116
    @fredyefd8116 2 ปีที่แล้ว

    Amina na iwe hivo kwangu siku moja tu

  • @elishamwakapugi7751
    @elishamwakapugi7751 2 ปีที่แล้ว

    Nakuwelewa baba nabii mkuu

  • @saramartin1182
    @saramartin1182 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen to that
    MOYO WA KUSHUKURU
    MOYO WA KUTOA
    MOYO WA KUJITOA BILA KUCHOKA
    GLORY TO GOD

  • @juliussuleiman3999
    @juliussuleiman3999 2 ปีที่แล้ว

    Amen, Mungu ni mwema

  • @georgebosire7016
    @georgebosire7016 ปีที่แล้ว

    Kweli Kabisa Nabii Mkuu Mheshimiwa Geordavie.

  • @mechackmarwa5789
    @mechackmarwa5789 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubslika mtumishi kwa kuwakumbu watumishi na kuwainua kutoka chini Mungu atakupa mara dufu

  • @merissapati9630
    @merissapati9630 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @velentinamethod9079
    @velentinamethod9079 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu hongera Nakuombea Mungu aendelee kukutumia nachoamini ndani yangu kitatimia nikufika madhabahuni kwako Mungu aniongoze vyema niweze kufika Asante

    • @priskahesebi256
      @priskahesebi256 2 ปีที่แล้ว

      Asante sana baba kwa kutupenda wanao

  • @ginahvlog7683
    @ginahvlog7683 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen and Amen Dady🙏

  • @majorv8580
    @majorv8580 2 ปีที่แล้ว

    Your a true father

  • @evelineyohana3283
    @evelineyohana3283 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali mtmishi

  • @rodgersagonda3418
    @rodgersagonda3418 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongeze amen

  • @meckitildasebastian3122
    @meckitildasebastian3122 2 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu anaweza

  • @johnal2229
    @johnal2229 2 ปีที่แล้ว +1

    hi I love GeorDavie Ministry. I would love see him here in Canada 🇨🇦 unfortunately I don't understand the language he speaks

    • @kenneth.m.siwale9699
      @kenneth.m.siwale9699 2 ปีที่แล้ว

      But you can find means of translating kiswahili into English,I wish I was in your beautiful country Canada was really going to help you.

    • @rosenyambura6149
      @rosenyambura6149 2 ปีที่แล้ว

      I'm really sorry for that...I love him too

    • @leonardkajuna1213
      @leonardkajuna1213 2 ปีที่แล้ว

      Is just prophesying to the man of God and has given him that car BMW,and offered him Tanzania shs12m,for his ministry.

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata yesu aliwalisha mamia ya watu hakika huyu nabii nampenda anaroho nzuri huruma na anasaidia watu sana hivi imagine mtu akupe pesa garii akubariki huu kweli mungu amtunze sana huyu nabii mkuu arusha mmepata nabii wa ukweli amen🙏🙏🙏🙏🙏😭

    • @henrymatebe1492
      @henrymatebe1492 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa kwani kutoa ni moyo wala siyo utajiri imagine Tz kuna matajiri wangapi ? Je walishawahi kutoa zawadi za magari mangapi kwa wahitaji ?

    • @sazanahussen6715
      @sazanahussen6715 2 ปีที่แล้ว

      @@henrymatebe1492 hakuna hata pesa zao hufanyia anasa tu za dunia hawawezi hata kulisha mayatima yanii mungu amtunze zaidi🙏🙏🥰

  • @titoantony3500
    @titoantony3500 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana nabii mkuu nakukubari sana wewe baba

  • @gerardnyandwing8087
    @gerardnyandwing8087 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @lameckmuro3450
    @lameckmuro3450 2 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha na huo upako ktk jina la Yesu Kristo

  • @beatricemaina2155
    @beatricemaina2155 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen i receive

  • @learnswahiliandenglishlse5888
    @learnswahiliandenglishlse5888 2 ปีที่แล้ว

    Nimeona manabii wengi! Ila huyu ni Exceptional kwa kweli!

  • @nyasatv1212
    @nyasatv1212 2 ปีที่แล้ว +1

    Live long nabii

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว

    Baba Geordavie

  • @johnkusaga9062
    @johnkusaga9062 2 ปีที่แล้ว

    Babaaaaaaaaa wa ajabu sana huyu sijawahi kuona kama wewe Tanzania hata Dunia kote.acha niseme tena Namuona Mungu wako jinsi anavyotenda.jamani Dunia yote tumwabudu Mungu wako Babaaaaaaaaa Nabii mkuu Geor Davie

  • @sekellantondolo423
    @sekellantondolo423 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwaminifu sana

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @khamisitangono5377
    @khamisitangono5377 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Baba

  • @hosianaeliud243
    @hosianaeliud243 2 ปีที่แล้ว

    Natamn kufika apo Arusha naomba Mungu anipe kibali napia naomba Mungu siku hiyo nafika niondoke na unabii wangu....

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubaliki kwa moyo wa utoaji nabii kwa kumtia moyo mtumishi wa Mungu huyo ubalikiwe sana

    • @ngwanafabian4612
      @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว

      Mch Mwahangila hv ni kweli unamwamini huyu jamaa kuwa ni mtumishi wa Mungu aliye hai?

  • @hekimasandet5332
    @hekimasandet5332 2 ปีที่แล้ว

    Yesu aniliwe kwa mambo makubwa

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 2 ปีที่แล้ว

    Hakika tunaye Baba Mwenye NGUVU.🙏🙏

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 ปีที่แล้ว

    Amina naamini

  • @magdalenaobeth9605
    @magdalenaobeth9605 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimelia sana Kweli MUNGU si mwanadamu anajua afanye nn na kwa wakati upi naiwe na kwangu

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 2 ปีที่แล้ว

    Bado mimi two kupewa bajaji na nabii mkuu 🤴 lazima niende Arusha kwenye hii madhabahu siku moja

  • @browrinah9357
    @browrinah9357 2 ปีที่แล้ว

    Imekuwa kwetu sote 🙏🙏

  • @sweetrayuzuwiya8375
    @sweetrayuzuwiya8375 2 ปีที่แล้ว

    I'm speechless kwakweli❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @murengentwari_jb
      @murengentwari_jb 2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe nabi,namintakuja kukuwona,Miami unibariki kwenye,maxabawu yako

    • @egbertkalumuna3761
      @egbertkalumuna3761 2 ปีที่แล้ว

      nabii mkuu naftamani nikutane nawe katika madhabu hii nabarikiwa sana na huduma hiii

    • @egbertkalumuna3761
      @egbertkalumuna3761 2 ปีที่แล้ว

      maana nabarikiwa saana amen

  • @twemeremunguzacharie6395
    @twemeremunguzacharie6395 ปีที่แล้ว

    Nabii Mkuu Ungurumo Wa Upako!
    Nipe Kazi..