KAZI nzuri bro. Tupe na chanzo na ukweli wa mauaji ya mkuu wa mkoa wa Iringa wakati wa Nyerere. Kuna taharifa ya kuwepo taharifa ya kwamba kulikuwa na mgogoro kati RC na huyo mkulima tajiri, tupe facts.
Good boy never ever angekuwa hai mpaka sasa wamasai wangekuwa mbali sana very smart jamaa alikuwa ujasusi mbaya sana ndio unawamaliza watu wengi duniani kwa matakwa ya watu wachache
Tuseme kifo Cha sokoine kilipangwa au hakikupangwa Mungu ndio Anajua lkn lililo wazi kwetu sokoine alikufa na washukiwa kupanga au kutopanga kifo chake walio wengi kama si wote walikufa kifo kibaya,Cha aibu na mateso ya muda mrefu. Ubaya au uzuri wa mtu hulipwa hapa hapa duniani. RIP sokoine.
Sokoni alikuwa mzalendo wa kweli nilimuona Kwa macho yangu nikisoma darasa la pili mwaka 1983 Bariadi Shinyanga akitoa hotuba nzuri kuhusu kilimo Cha mtama Selena ili kujikinga na njaa alikuwa kiongozi shupavu na mzalendo wa kweli watu kama hawa kuwapata niadimu sana kuishi kwako ni mda mfupi sana r I p moringe sokoine
Uko vzr let simulizi inayohusisha harakati za Marehemu shekh Abedi Amani Karume tangu kupigania Mapinduzi ZANZIBAR Hadi kifo chake kwa kuuwawa kwa kupigwa risasi wkt akihutubia nani anayehisiwa
Siku moja ukweli wote utawekwa wazi wakati ambao wahusika wote watakuwa makaburini wakivuna matunda ya uovu wao milele hadi Kiyama Sokoine alisimamia haki inayokubalika hata mbele ya Mungu muumba na mjuzi wa siri zote. Tulishuhudia uadilifu wake usio na mfano hapa nchini. Hata mavazi anamiliki jozi 3 tu.!!! Wamasai Wana Asili ya uaminifu.
KUMFANANISHA E. SOKOINE NA MAGUFULI NI KUTOMTENDEA HAKI KABISA E. SOKOINE TUWE WAMINIFU MUNGU ANATUONA!!! NINAWEZA KUKUBALIA NA MTU ATAKAYE MFANANISHA E. SOKOINE NA MWAL. NYERERE HAWA WATU WAWILI WALIKUWA WAMINIFU SANA JUU YA MALI YA UMA, WALIKUWA MASIKINI HAWA KUJILIMBIKIZIA MALI!!! HAWAKUWA WATOA WALA WALA RUSHWA, HAWA KUWA WAVUNJA KATIBA YA NCHI(WALIIHESHIMU VIAPO VYAO, HAWAKUDHULUMU MTU HAWAKUJIPENDELEA KWA KUJENGA VIWANJA VYA NDEGE VIKUBWA KWAO N.K NAJUWA WAJINGA WANAOONA NI SAWA TU KUJENGA UWANJÀ WA MABILIONI UKIWA HAUNÀ TIJA KWA UCHUMI WA NCHI LEO HII UPO UPO TU!!! YAKO MENGI TU YA HIVYO NI AIBU HATA KUYÀTAJA!!! IKO SIKU YATAFUNULIWA WAZI!!! KAMWE USIKUBALI MAENDELEO YOYOTE YANAYOFANYWA KWA NJIA ISIYOMPENDEZA MUNGU, MUNGU ANAPENDEZWA NA MAENDELEO YA KIDOGO KIDOGO LAKINI KWA NJIA YA HAKI.
Edward Sokoine, Edward Sokoine Kwakheri...,Juzi Juzi tuu Edward Tulikuwa wote Endward Kwa Kheri Corus: Edward Sokoine, x2 Kwa kheriii! Tuliimba hii nyimbo kwenye kifo chake 1984 Rip Sokoine🙏
KWANINI SISI AFRICA KIONGOZI AKIWA NA MSIMAMO MWISHO WAKE UNAKUWA MBAYA😢😢😢.WAAFRICA TUWE SIRIAZI MUNGU UTUMIAGA WATU HILI KUSAIDIA 😢😢, NI MUHIMU KUWASAPOTI VIONGOZI KAMA HAO❤
shida ni kwamba wazungu wametushikia akili ila siku tutakapoanza kutumia za kwetu tutaacha kuwaua viongozi wa namna hii, maana Kila msema kweli katika nchi hii au Africa huwa adui wa nchi amin usiamini ndivyo ilivyo!
In one of my comment nilisema "Msituue"Tutafutieni Kijiji tunaweza kuwa msaada au hazina baadaye.Sokoiine ,Kolimba,Mtikila na Mimi nimetafutwa but I am alive.Devils are killing prophets,Dogs are killing Gods to mask truth!
Waliofanya njama hiyo nao wamekwisha tangulia mbele ya haki. Hapa duniani sisi wote ni wapita njia tu! Sokoine umeacha legacy kwenye nchi hii kama alivyoacha legacy muasisi wa nchi yetu Mwalimu Nyerere.
History inaonesha aliandaliwa ndege asafiri nayo akagoma maana ingetunguliwa, alipotaka gari akatengenezewa ajali ya gari akatoka salama akatumiwa soja mmoja kummaliza na risasi ili kifo chake kiwe cha ajali, hata risasi haikumuua wamasai wakapiga ramli wakaona ndugu yao bado hajafa ikaonekana kuwa ni soo akaminywa akamalizwa kabisa R.I.P Sokoine.
CCM kaka hawapendi watu wanaopinga rushwa toka asubuh.....Mwalimu alikataa team nyingi tu za uchunguzi kutoka nje ya nchi.....hapo ndipo palipoleta mashaka why Mwalimu anakataa hilo suala..
Kwa sisi wazee tulioishi enzi hizo, tunashukuru Sana ufafanuzi wako maana ilikuwa ni kitendawili kwa miaka mingi sana. Kweli viongozi wazalendo hawadumu duniani kote. Hiyo ndiyo maana ya dunia. Tuliondoka kwenda masomoni huko lndonesia mwaka huo na wenyeji wetu tulioongozana nao toka hapa hawakuamini kuwa alikufa kwa ajali.
Anayesema Moringe Sokoine alikufa, anakuwa yuko sahihi zaidi lakini anayetafuta nani alihusika na kifo chake, anakosea sana. Mungu alitoa na mungu alitwaa jina Lake lihimidiwe
Ndugu mwandishi wa matokio ya kisiasa,jina langu nnaitwa Austin nikiishi Souther Africa,nakuomba utujuze kilicho mtowa waziri wa zamani wa mambo yandani muheshmiwa Augustin Aliatinga Mrema ,adi kuasisi chama chake NCCR mageuzi.
Hakuna nchi inayoendelea bial kujito muhanga. na haukan muafrika anayefaidika kwa kufuata sera ziliachwa na wazungu! mabadiliko ni lazima yatokee! nyie wengine ni kenge tu kama Lissu.
Wivu ni kitu kibaya sana na chenye nguvu ndani ya mtu ingawaje tulipewa uwezo wa kukishinda kama kweli tunajishusha, ila siamini kama Mwalimu aliyeamua kuachia madaraka Kwa hiyari anaweza kuipanga kitu kama hicho lakini naona kwamba wazungu wanyonyaji waliogopa sana uraisi wa Sokoine walipanga hiki kitu wakawanunua watu Fulani hii inawezekana sana kwamba hata Mwl Nyerere hakuelewa kilichotokea.
Nawaza combination ya Kambona ,sokoine ,na Mwamba Magufuli Mungu alitugea hawa watu kama zawadi lakin hawakudumu Kambona na sokoine wameondoka kwa hila anaedaiwa baba wa taifa baba wa taifa ni Oscar kambona....
Ndiyo mbaka tv Ila nyelele alikuwa mjanja anatumia yeye kupata taarifa arafu anawadanganya watu hanaota😁😁😁😁 kafanya mbaka leo Tanzania inaamini doto😅😅Ila nyelele kiboko
KAZI nzuri bro. Tupe na chanzo na ukweli wa mauaji ya mkuu wa mkoa wa Iringa wakati wa Nyerere. Kuna taharifa ya kuwepo taharifa ya kwamba kulikuwa na mgogoro kati RC na huyo mkulima tajiri, tupe facts.
Nimependa sana hii Story! Hata sisi tuliozaliwa miaka ya 90+ tumeelewa.... Story hii haitofautiani sana na kilichotokea kwa J.P.M
Nikweli ,historia imejirudia
Good boy never ever angekuwa hai mpaka sasa wamasai wangekuwa mbali sana very smart jamaa alikuwa ujasusi mbaya sana ndio unawamaliza watu wengi duniani kwa matakwa ya watu wachache
Mtangazaji safi sana,tuletee na mambo mengine❤❤❤🙏🙏🙏
Shukran na barikiwa sana kwa kufuatilia Amina
Tuseme kifo Cha sokoine kilipangwa au hakikupangwa Mungu ndio Anajua lkn lililo wazi kwetu sokoine alikufa na washukiwa kupanga au kutopanga kifo chake walio wengi kama si wote walikufa kifo kibaya,Cha aibu na mateso ya muda mrefu.
Ubaya au uzuri wa mtu hulipwa hapa hapa duniani.
RIP sokoine.
Waliomuua nao walikufa/watakufa na hakika watajibu kwa Mungu
KWANINI NYERERE HAKURUHUSU UCHUNGUZI UFANYIKE WAKATI ALIKUWA POWERFUL 😮😮😮🤔🤔🤔😢
Sokoni alikuwa mzalendo wa kweli nilimuona Kwa macho yangu nikisoma darasa la pili mwaka 1983 Bariadi Shinyanga akitoa hotuba nzuri kuhusu kilimo Cha mtama Selena ili kujikinga na njaa alikuwa kiongozi shupavu na mzalendo wa kweli watu kama hawa kuwapata niadimu sana kuishi kwako ni mda mfupi sana r I p moringe sokoine
Mungu Awaweke peponi ndungu wazili mkuu wenyezimu Awape wepesi ishaalha
It was great leader and a hero in Tanzania
Uko vzr let simulizi inayohusisha harakati za Marehemu shekh Abedi Amani Karume tangu kupigania Mapinduzi ZANZIBAR Hadi kifo chake kwa kuuwawa kwa kupigwa risasi wkt akihutubia nani anayehisiwa
Kazi nzuri sana kaka, tuletee simulizi ya kina ya kifo maisha na kifo cha Mwl Nyerere
Tuletee kifo cha kolimba
Siku moja ukweli wote utawekwa wazi wakati ambao wahusika wote watakuwa makaburini wakivuna matunda ya uovu wao milele hadi Kiyama Sokoine alisimamia haki inayokubalika hata mbele ya Mungu muumba na mjuzi wa siri zote. Tulishuhudia uadilifu wake usio na mfano hapa nchini. Hata mavazi anamiliki jozi 3 tu.!!! Wamasai Wana Asili ya uaminifu.
Wallahi Allah Subhana Wataalah ndio hakimu wa haki. Na huko tutayatambua.n
Ongera sana mtangazaji,leo wote wako wapi?mungu analipa hapa hapa dunian.
Kama kunawaliomuua huyu mwamba ,azidishiwe adhabu mara 10
Malipo ni hapa hapa dunian
Malipo ni hapa hapa dunian
you deserve my subscription broo. Salute👍👍
Salute bro. Thank you for watching!
Upo vizuri umenikumbusha history nyingi.
Hongera sana ndugu. tuletee Historia ya Osca Kambona
Mbona ipo tayar
awanaga maarifa mengne awo mashetani ya ccm. mungu ailaze pema roho yake peponi
Sokoine na Magufuli walikufa kwa sababu ya Kufatilia uujumu uchumi.... Na wote hawa walikufa kwenye hawamu zao za pili
Kweli kabisa
Napenda kupata historia ya RAIS wa pili wa zanziba Abdul Jumbe. Asante.
Miujiza ya Mungu
Utuletee na taarifa ya kifo cha Br. Gen. Kombe
Vizur havidumu. Inna lillah wainnalillah rajoun
REST IN HEAVEN SOKOINE NA WALIOKUUA NAO WAMESHASEPA KUZIMU NA WENGINE WANASUBIRIA KWENDA KUZIMU BORA YA WEWE UNAYEKUMBUKWA KWA MEMA HAPA DUNIANI 😢😢😢
sokoine hakuna kama huyu na aitatokea mwingingine
Hatari sana
Mungu.amlaze.mahari.pema.peponi.amina
Wote walio husika kuondoa nafsi ya sokoine kipenzi cha watanzania mungu amewaadhibu na ataendelea kuwaadhibu,
Kumbe magufuli walikuwepo tangu zamani ,Mungu ibariki Africa,tunahitaji Magufulification of africa
KUMFANANISHA E. SOKOINE NA MAGUFULI NI KUTOMTENDEA HAKI KABISA E. SOKOINE TUWE WAMINIFU MUNGU ANATUONA!!! NINAWEZA KUKUBALIA NA MTU ATAKAYE MFANANISHA E. SOKOINE NA MWAL. NYERERE HAWA WATU WAWILI WALIKUWA WAMINIFU SANA JUU YA MALI YA UMA, WALIKUWA MASIKINI HAWA KUJILIMBIKIZIA MALI!!! HAWAKUWA WATOA WALA WALA RUSHWA, HAWA KUWA WAVUNJA KATIBA YA NCHI(WALIIHESHIMU VIAPO VYAO, HAWAKUDHULUMU MTU HAWAKUJIPENDELEA KWA KUJENGA VIWANJA VYA NDEGE VIKUBWA KWAO N.K NAJUWA WAJINGA WANAOONA NI SAWA TU KUJENGA UWANJÀ WA MABILIONI UKIWA HAUNÀ TIJA KWA UCHUMI WA NCHI LEO HII UPO UPO TU!!! YAKO MENGI TU YA HIVYO NI AIBU HATA KUYÀTAJA!!! IKO SIKU YATAFUNULIWA WAZI!!! KAMWE USIKUBALI MAENDELEO YOYOTE YANAYOFANYWA KWA NJIA ISIYOMPENDEZA MUNGU, MUNGU ANAPENDEZWA NA MAENDELEO YA KIDOGO KIDOGO LAKINI KWA NJIA YA HAKI.
Asante Sana Kwa kutukumbusha
Edward Sokoine, Edward Sokoine Kwakheri...,Juzi Juzi tuu Edward Tulikuwa wote Endward Kwa Kheri
Corus: Edward Sokoine, x2 Kwa kheriii!
Tuliimba hii nyimbo kwenye kifo chake 1984 Rip Sokoine🙏
Sana nawepesi
Ufisadi ni. Mbaya sana
Inasikitisha sana yani.
Tumuombee sana ndugu yetu Makonda viongozi wa aina yake wanauawa sana 😢
Tunamkumbuka sana marehemu Edward Sokoine K4, 1983 Same S S
Inauma sana
Hata Nyerere anajua kila kitu sizan kama alikua hajui
Hii historia inaumiza sana kwa watu wanaoua ndoto za jah
Reapit it so that thouse Tanzania yang ganeretion can understand how we know our nation
Mungu amewaweka hakiba wote waliowezesha kifo cha Sokoine katika moto usiozimika.
Ewe Mungu wetu linusuru taifa letu kutokana na maadui wanaowaua watetezi wetu.
Nikiangalia taifa letu lilivyochezewa, na kusikiliza historia ya mtu mchapakazi na na mzalendo kama sokoine kuuwa kwa ajali ya kupanga nimelia Sana.
Kwan huyo tuu. Huko serikalini kumejaa ftna, chuki na roho ya kwann. Ukiwaza mchapakaz hata boss anakuchukiaa
Dhuruma kwa watu WENYE haki ni laana kubwa. Historia ya Sokoine Kila ninapoisikiliza Huwa inanihuzunisha sana.
KWANINI SISI AFRICA KIONGOZI AKIWA NA MSIMAMO MWISHO WAKE UNAKUWA MBAYA😢😢😢.WAAFRICA TUWE SIRIAZI MUNGU UTUMIAGA WATU HILI KUSAIDIA 😢😢, NI MUHIMU KUWASAPOTI VIONGOZI KAMA HAO❤
shida ni kwamba wazungu wametushikia akili ila siku tutakapoanza kutumia za kwetu tutaacha kuwaua viongozi wa namna hii, maana Kila msema kweli katika nchi hii au Africa huwa adui wa nchi amin usiamini ndivyo ilivyo!
Wapiga madili! Watu wanashindwa kupiga madili lipoti ya CAG siumesikia.
In one of my comment nilisema "Msituue"Tutafutieni Kijiji tunaweza kuwa msaada au hazina baadaye.Sokoiine ,Kolimba,Mtikila na Mimi nimetafutwa but I am alive.Devils are killing prophets,Dogs are killing Gods to mask truth!
Sio Africa tu ni duniani kote ipo hivyo, fuatilia hata kifo cha John Kennedy na Abraham Lincolin waliokuwa marais wa Marekani
Tena hakai muda mfrefu
Nmerizika sna n simulizi hii mayo inaonekana kua na ukweli mwingi ndani yake
Hadi leo anainiuma kiongozi huyu nahisi kama kadhulumiwa roho yake jana tu RIP WAZIRI MORINGE
Eti watu wazuri hawafi si ndivyo baadhi ya viongozi wetu wanavyosema labda hawafi Rip Sokoine Rip Magu
Nashangaaa kwakweli.
Waliofanya njama hiyo nao wamekwisha tangulia mbele ya haki. Hapa duniani sisi wote ni wapita njia tu! Sokoine umeacha legacy kwenye nchi hii kama alivyoacha legacy muasisi wa nchi yetu Mwalimu Nyerere.
Aisee tumetoka mbali sana
History inaonesha aliandaliwa ndege asafiri nayo akagoma maana ingetunguliwa, alipotaka gari akatengenezewa ajali ya gari akatoka salama akatumiwa soja mmoja kummaliza na risasi ili kifo chake kiwe cha ajali, hata risasi haikumuua wamasai wakapiga ramli wakaona ndugu yao bado hajafa ikaonekana kuwa ni soo akaminywa akamalizwa kabisa R.I.P Sokoine.
Kumbee Hii Tabia ya kuua Viongozii wanao tetea WANANCHI wa Hali ya Chini Ilianza zamani. Mungu awasamehee Wauajii
Vizuri havidumu. Pumzika Kwa amani
Sanaa,nakumbuka nilinunua nguo duka la rtc nikaziuza Tena ili kununua chakula ,
Sokoine alikuwa anapendwa sana na jeshi kwa kuwa hakuwa kariba sana mheshiwa alikwa anapenda kuangalia mbele ujamaa hakuupeda
Acha uongo, hakùwa bepari kama hao maccm waporaji
Afraka tumepewa Lana kwananza Wana uchu wamadaraka mm naona walikatisha maisha yake
Good
Thanks
Kweli kazi ilifanyika lkn Leo yote Yako wapi?
Ujue mungu wa Ajabu Yako wp mnayo kimbizana nayo Kwa tamaa !!
Aliyemuua waziri mkuu anahukumiwa miaka mitata mama wa vipande vya nyama anahukumiwa miaka 22. Mahakama za tz 🎉
Kumbe hii style ya kuua viongozi ilianza mda mrefu sio kwa Magufuli tu😭😭😭
so sad
CCM kaka hawapendi watu wanaopinga rushwa toka asubuh.....Mwalimu alikataa team nyingi tu za uchunguzi kutoka nje ya nchi.....hapo ndipo palipoleta mashaka why Mwalimu anakataa hilo suala..
🎉🎉@@betitympeleta9697
Na hao Viongozi wenyewe pia wanaua.
Taifa letu linalaana ya kuuwa viongozi wazuri.
Kwa sisi wazee tulioishi enzi hizo, tunashukuru Sana ufafanuzi wako maana ilikuwa ni kitendawili kwa miaka mingi sana. Kweli viongozi wazalendo hawadumu duniani kote. Hiyo ndiyo maana ya dunia. Tuliondoka kwenda masomoni huko lndonesia mwaka huo na wenyeji wetu tulioongozana nao toka hapa hawakuamini kuwa alikufa kwa ajali.
Nashkuru mzee wangu kwa kufuatilia na kwa maoni yako.
Tuletee taarifa kuhusu kifo cha Gen kombe
Llll lol l
Anayesema Moringe Sokoine alikufa, anakuwa yuko sahihi zaidi lakini anayetafuta nani alihusika na kifo chake, anakosea sana.
Mungu alitoa na mungu alitwaa jina Lake lihimidiwe
Mmmh ukikuwa utajua ndugu yngu
Kwahiyo watu wafe tu bila kuangalia kisababishi
Ila wewe kwanza naona hujawai kufiwa, ndiomana unaongea makorokocho.
@@happylynguya3464ndioooo hajawahi
Mwaka 1984 ingawa nilikua mdogo lkn kiliniuma mno nilikua ktk folen dukan tukisubir sukar
poleee
😭😭😭 Waafrika na mamlaka katika serikali.
Ndugu mwandishi wa matokio ya kisiasa,jina langu nnaitwa Austin nikiishi Souther Africa,nakuomba utujuze kilicho mtowa waziri wa zamani wa mambo yandani muheshmiwa Augustin Aliatinga Mrema ,adi kuasisi chama chake NCCR mageuzi.
Azimio la Arusha ilikuwa Dhulma kubwa Sana kwa watu wengi. What goes around comes around.
Hakuna nchi inayoendelea bial kujito muhanga. na haukan muafrika anayefaidika kwa kufuata sera ziliachwa na wazungu! mabadiliko ni lazima yatokee! nyie wengine ni kenge tu kama Lissu.
@@josephgomalo41 Dhulma haizai,mtu wangu
@@samuelmuthui4699hakika kabisa
Sut 3..viatu pea 2...uliza mkuu wa wilaya tuu wa leo mailing zake
😭😭😭😢yaaaan imeniuma sana na nimeipwlenda sn hi story
Pole na asante sana kwa kufuatilia
Kumbe ivi vifo vya utata vilianza zamani eenh?
Hii ajali ni mipango ya binaadamu sio mungu
Sokoine,hakufa,pale,alipopata ajali,alikimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro,kifo,ndiyo kilimkuta Hospitali.
Kwa kweli alikuwa mpiganaji wa kweli
Wivu ni kitu kibaya sana na chenye nguvu ndani ya mtu ingawaje tulipewa uwezo wa kukishinda kama kweli tunajishusha, ila siamini kama Mwalimu aliyeamua kuachia madaraka Kwa hiyari anaweza kuipanga kitu kama hicho lakini naona kwamba wazungu wanyonyaji waliogopa sana uraisi wa Sokoine walipanga hiki kitu wakawanunua watu Fulani hii inawezekana sana kwamba hata Mwl Nyerere hakuelewa kilichotokea.
Katika maisha popote unapoishi usipende kuwa mkweli sana jamii huwa haitaki!!!!!
Ftna, chuki na roho ya kwann ndo tunazo jua sisi watz
Nimekuelewa kamanda Sanga, ulichokipost ni Ukweli mtupu japo Kuna watu watakupinga
Mimi natoka Makete, vipi ndugu Sanga, wewe una asili pia ya huku ukingani?
Hizo ni stori tu,Mwl kama mkuu wa Nchi alichukua hatua gani😢😢😢,ingependeza zaidi kama uchunguzi huru ungefanyika hata leo.😢😢😢siamini!!?
Mwalimu alihusika ndo maana uchunguzi ulizimwa mpaka kaburi liliwekewa ulinzi mkali kwa miaka
Mbna walikataza team ya mercedes benz kufanya uchunguzi Nyerere alihusika kila kitu uzur waliofanya ivyo walikufa
Ni kweli kabisaa
Nakumbuka nilikuwa mjamzito wa miezi minane lkn jinsi nilivyokuwa nampenda huyu kiongozi mahiri nilienda kumuaga na foleni ilikuwa kubwa sn.
Kuna kitabu niliwahi kusoma kinaitwa “Who says the truth in Tanzania “ kilichoandikwa na Ndimara Tegambwage! Kimeeleza mengi juu ya kifo cha Sokoine!
Mi nafikiri hata wao wameshakufa bila kuwa waziri mkuu.
Hakika kweli alikua kiongozi mahili sana japokua mimi sikuku mkuta
Ni mipango ya mungu
Ukweli mmenitonesha kidonda baba huyo alikuwa jembe ila mshahara wa dhambi ni mauti je wako wapi waliomuua mungu yupo
Ukila nyama ya mtu huwez acha kuila,na hili la kuua watu wazur ccm hawataliacha milele
Niwe mkweli niliumizwa Sana na Kifo Cha Sokoine ...Yaani Hizi sisa na uchu wa Madaraka aseee
Waliyo panga njama za kumuua sokoine ndiyo waliyo panga njama za kumuua J.P.M
@danielcharles
Tanzania tutaendelea kuishi katika ombwe la neocolonialism maana vyetu hatuthamini!?
Huyo Waziri Sokoine alikuwa kama hayati Magufuli na wema hawaishi lazima wauwawe Mungu walszei mahali pemaprponi
Nawaza combination ya Kambona ,sokoine ,na Mwamba Magufuli Mungu alitugea hawa watu kama zawadi lakin hawakudumu Kambona na sokoine wameondoka kwa hila anaedaiwa baba wa taifa baba wa taifa ni Oscar kambona....
Hii issue haingii akilini kwamba eti alifariki kwa ajali. Hii inaonyesha kulikuwa na mpango kazi
Duuu ila inchii hiii noma sana 😢😢😢😢
Huyo Waziri Mkuu niyo aliyemleta Lowasa Ccm kumtoa umasaini
Nimejifunza upigaji mali za umma zilianza mapema, meli iliuzwa mil.60 du hatari
Inaumaaaaaa!
Huyu walimuua mre mre ndani ya gari huyo alio mgonga amekuja kumalizia tu tu ila uziri wake kila mtu atakufa ...na washatangalia teali
Nakumbuka miaka hiyo wahindi na matajiri mjini Dar walitupa pesa barabarani.
Tunashukur kwa historia ndefu tuletee ya mh. Magufuli rais wa wanyonge
Shukran kwa kufuatilia Miriam. Nitafanya hivyo!
Nani aliye mla kichwa sokoine
Sikiliza wimbo wa patrick balisidya,Duniani hakuna wema,uone jinsi viongozi wa kiafrika walookuwa wema walivyo uwawa
Duh kumbe mwaka 84 simu zilishafika Tanzania
Za mezani
Simu za waya unatandazwa kama zilivyo nyaya za umeme
Ndiyo mbaka tv Ila nyelele alikuwa mjanja anatumia yeye kupata taarifa arafu anawadanganya watu hanaota😁😁😁😁 kafanya mbaka leo Tanzania inaamini doto😅😅Ila nyelele kiboko
Ni za wire,za mezani
Zilishakuwepo
Walikuwa vichaa kupanga kuja kufanya uchunguzi kwenye nchi zawatu bila kuombwa na wenyewe
Edward moringe sokoine pumzika kwa Aman