SAKATA LA "SKULI YA AMICI" HUKO KIWENGWA ZANZIBAR LIMEFIKIA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 ปีที่แล้ว +3

    Samahanini jamani...Sasa Zanzibar hakuna Walimu walokuwa wanazo Qualifications kama miyaka ilopita. Private Schools Mjini Waalimu hawajuwi hata Lugha ya Kingereza (English) na wanasomesha kuharibu msingi wa Wanafunzi. Mlohusika kuweni makini sana na Waalimu. Walokuwa siyo Walimu...

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka Mashekhe wetu

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 4 ปีที่แล้ว +1

      Inshallah watatoka

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว

      @@mahmoudaziz4717 in sha Allah kila lenye mwanzo linamwisho n msimamo wetu pale pale

  • @sharifuabasi624
    @sharifuabasi624 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo bibi (rossana)matatizo sana na wako hapo kwakupiga hela tu,wanakushana pesa nyingi sana kutoka kwawafadhili kwa ajili ya skuli lakini zote zinaishia mikononi mwao......

  • @majaliwahamad4053
    @majaliwahamad4053 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa nakukubali unachapa kaz

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo walimu wenu hawajuwi English-speaking. Kusoma wala kuandika . Wasomi wa zanzibar wana elimu ya kukrem to au kuhifaz masom lakini kuchanganuwa hawajuwi.