DIAMOND Aacha HISTORIA ZANZIBAR, Apiga SHOO Kali MBELE ya MAGUFULI na DKT MWINYI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2020
  • DIAMOND Aacha HISTORIA ZANZIBAR, Apiga SHOO Kali MBELE ya MAGUFULI na DKT MWINYI...
    MGOMBEA Urais Visiwani Zanzibar, Dkt Mwinyi, na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt Magufuli kwa pamoja wamefanya Kampeni visiwani Unguja Zanzibar ambapo wameewaeleza wananchi vipaumbele watakavyo hakikisha wanavitimiza..
    hata hivyo katika Mkutano huo wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva wamepewa Fursa yakutoa Burudani Kama vile Harmonize, Nandy, Alikiba na Diamond..
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 77

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 3 ปีที่แล้ว +4

    Diamond Platnumz 🔥Simba🦁

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว +8

    Wasafi hoyee
    Diamond Platnum hoyee!
    Magufuli hoyee! 💯💯💯💯
    CCM HOYEE!

  • @ayshasalimaysa2030
    @ayshasalimaysa2030 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah

  • @fat-hiyatahir895
    @fat-hiyatahir895 3 ปีที่แล้ว +6

    CCM oyeèeeeèeee hii ndo ccm

  • @3kings63
    @3kings63 3 ปีที่แล้ว +4

    WCB 4life

  • @King_186
    @King_186 3 ปีที่แล้ว +3

    Simba fireeee

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +2

    Mondiii your are moto

  • @ionaramsay149
    @ionaramsay149 3 ปีที่แล้ว +3

    Wazanzibar wa asil hawatakiii wako majumbani mwaaaoo hawataki zogooo hawa wotee wageni sio wazanzibar

  • @yeremiaphilimon4385
    @yeremiaphilimon4385 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah kijani kinapendeza kweli

  • @eliyaombayemko7312
    @eliyaombayemko7312 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa Mimi nakubali sana kwa sa7bu hamna ndgo wala kubwa

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว

    ❤👌

  • @ATHUMANIddi
    @ATHUMANIddi 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥👑👑👑

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 3 ปีที่แล้ว +2

    Ccm baba lao💚💛🔥

    • @mercyshadrack4013
      @mercyshadrack4013 3 ปีที่แล้ว

      Wenye chama chetu bhana wacha tucheze hatuna mambo mengi.magu /mwinyi oyeeeeee

  • @naasamson4905
    @naasamson4905 3 ปีที่แล้ว

    Hatareeeee

  • @hancemagembe7554
    @hancemagembe7554 3 ปีที่แล้ว +2

    Simba baba laoo

  • @lindamziray7926
    @lindamziray7926 3 ปีที่แล้ว +6

    Mond msifaa sas 😂😂😂

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️👌👍

  • @bableeyzabdalla531
    @bableeyzabdalla531 3 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe ccm wamepeleja shoo ya bure wanafunzi mbona mnawavisha sare za chama

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 3 ปีที่แล้ว +1

    Hebu acha sifa si tushakupenda hivyo hivyo

  • @ranaAli-if3nf
    @ranaAli-if3nf 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba baba laooooooooo

  • @Amourharoub-rf1tc
    @Amourharoub-rf1tc 8 หลายเดือนก่อน

    Simbaaaaaaa❤❤

  • @mahmoudmatola7861
    @mahmoudmatola7861 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewee ndo pumbaa usio jielewa ila sio so wanao imba nakuchezaa falaa we we ccm juuuu magu juuu mwinyi juuu dadekiii

    • @seifsuleiman3866
      @seifsuleiman3866 3 ปีที่แล้ว

      wahambie maan kuna mijitu inapend sifa na roho mbay anawapigia kelele wazee wako kwaiy umeon dai ndiy aliy kuja kufany shoo peke yake uko au mnapend kumuone tu mumuache ajajileta uko kaitwa kwaiy msimfokehe wala msimpigie kelele kaja hapo kazi tu siyo mengin au marumbano

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyo ndio mchawi wa stage 💥💥💥

  • @estermpagama9664
    @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว +7

    Ccm oyee Magu oyee Husein oyee kura ccm

  • @godwinemmanuel2009
    @godwinemmanuel2009 3 ปีที่แล้ว +5

    Like kama unamkubali simba🦁🦁

    • @witrackyona6269
      @witrackyona6269 3 ปีที่แล้ว

      Jaman diamond utaua watu wewe kijana hivi kwa mzuka huo Kuna mwanamziki yeyote atakayeufikia wewe ndo ninakuelewa kwa kupiga show wengine kama alikiba na harmonize wanafuata upepo wako hawajui kupiga show mond salut kwako

  • @joshualotha114
    @joshualotha114 3 ปีที่แล้ว

    Jiniiiii

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว

    Simbaaa fire ya kuotea mbali anapenda kazi yake jamaaa yuko na bidiii mwepesi siyo kama wale kutembea na bag kwa mgongo hahaaa baba lao juuuuu

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +2

    Dahhhhhhhhh!! Hii ndo Ccm bhana, chezea weweeee!!%%%%%@

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 3 ปีที่แล้ว

    Zanzibar

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 ปีที่แล้ว +1

    KAZI KUTUMIA NYIMBO ZA WATU..!!
    PENDA CHAKO KWANZA, HII NI ISHARA YA KUFELI.

  • @jumasaidi8537
    @jumasaidi8537 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe mafanikio zaidi platnumz maana hakuna msanii kama ww mm naimba ila wee mondi saluti

  • @msalabanreko7001
    @msalabanreko7001 3 ปีที่แล้ว +4

    Wataweza kweli huu moto kweli

  • @ranaAli-if3nf
    @ranaAli-if3nf 3 ปีที่แล้ว +3

    Simba oyeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥❤

  • @suhaylamohd320
    @suhaylamohd320 3 ปีที่แล้ว +1

    Watoto watakulizeni hao

  • @estershadia2008
    @estershadia2008 3 ปีที่แล้ว +3

    SIMBA ANANGURUMA ZANZIBAR 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @edwinsanga6661
    @edwinsanga6661 3 ปีที่แล้ว

    Hatutaki nyimbo tunataka sela baba atatufanyia nini kipya.

  • @husseinc
    @husseinc 3 ปีที่แล้ว

    Jpm mpe kofia ya pili diamond

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Mtawajuahao wacheni chuki za kijinga cc m Mipango mzima♥️♥️

  • @aminasimai9726
    @aminasimai9726 3 ปีที่แล้ว

    Umenda eka kelele zanzibar kuna wazee wetu wagojwa

  • @1carbon676
    @1carbon676 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahah watoto wengi

  • @pauljonh8268
    @pauljonh8268 3 ปีที่แล้ว

    Makin xana

  • @1carbon676
    @1carbon676 3 ปีที่แล้ว

    Mond misifa tunataka mamlaka kamili usitufanyie zogo

  • @khamisihaji4815
    @khamisihaji4815 3 ปีที่แล้ว

    mkitaka mxitake malim tuna muingiza ikulu

  • @hancemagembe7554
    @hancemagembe7554 3 ปีที่แล้ว

    Du

  • @machuiremo4896
    @machuiremo4896 3 ปีที่แล้ว

    Wenyuvu utawaju

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 3 ปีที่แล้ว +3

    Sawa ,waimbaji na wachezaji,,pumba tupu

    • @asiaa6924
      @asiaa6924 3 ปีที่แล้ว

      Sana kanisa konde uwa anapanga peke yake bila shoo nahanakiwasha atar chezea konde ww

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +1

      Maana ya pumba ni nini!! Acha wivu

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 3 ปีที่แล้ว +1

      Haikuhusu huwezi mchagulia jirani rafiki au maamuzi ccm oyee

    • @mercyshadrack4013
      @mercyshadrack4013 3 ปีที่แล้ว

      Wivu tu .wacha wacheze bhana.

    • @refaahthegreat9007
      @refaahthegreat9007 3 ปีที่แล้ว

      Ni Kawaida kwa limbuken kama ww kusema hivyo

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwiii! Eti wewe litupe huku ( koti)

  • @chasutv7560
    @chasutv7560 3 ปีที่แล้ว

    Naona badala ya kushuka diamond mmewakosa wana nchi

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 3 ปีที่แล้ว

    Safi magufuli na mwinyi safi

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 3 ปีที่แล้ว

    Safi magufuli na mwinyi safi