I was born a Muslim in Iraq. I was worried and depressed, sitting and looking at the Tigris River in my city.Jesus' face appeared to me in the water and told me. "Son, you're not alone" And now I'm a Christian, and I pray every day at the edge of the river.Thank you Jesus for this grace. I'm not alone right now. Jesus is with me.✝🙏💖💖🙏🙏
Ngoma tamu mnoo Dr ipyana nimeipenda sana Sololist Guitar Andrew Ameutendea haki wimbo but pia nimeipenda dance Yako na Takie ndoe hasa ulivo kimbia amazing song
NIMEONA NIACHE KWANZA KUANGALIA , NISHUSHE KA KOMENTI HAPA AISEEE , KULE MUNGU ANAIPELEKA TANZANIA NI KUKUBWA MNO,,, THANK YOU JESUS,,,,, DR I appreciate You Man of GOD (with the Servants of GOD In your Team) Thank You for standing in your place.
Mungu akubariki sana napenda kukufuatiria sana na ninabarikiwa sana ila kama basi tunaruhusiwa kuongea au ku comment ushauli wangu kwako mutumishi jitahidi sana hao wasichana wakavae nguo ndefu na zisioneshe vifuwa au maziwa inje wewe ni mutumishi wa Mungu na jamii tunakuangaria jitahidi sana nguo za kubana makalio waache kabisa . Nina imani hili nalo utalitendea kazi tunawapenda.Nimeandika kwa amani sina nia mbaya .
Oooh hallelujah kama hujawah mshukuru Mungu basi ni wakati wako kumshukuru Mungu Naam Kama wamkubali Dr ipyana like zako hapa ila heshima utukufu kwa Yesu
ZABURI 1:3 “Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.” Kuna siri kubwa nyuma ya hili andiko.. kinachoufanyq huu mti / huyu mtu kuzaa matunda yake kwa majira , Na kila alitendalo linafanikiwa , siri yake NI KUPANDWA MAHALI SAHIHI . Yaani huu mti unazaa sana kwa sababu tu umepandwa kando kando ya maji. Mtu wa Mungu kanuni kubwa ya kustawi kwenye lolote unalofanya, HAKIKISHA UMEPANDWA / UKO MAHALI SAHIHI . Mambo mengi yanayotutesa ni matokeo ya kupandwa / kuwa mahali pasipo sahihi, unahitaji nguvu kubwa mno (nguvu ya ziada) kufanikiwa mahali hapo. 📌Na ndiyo maana ukiona unatumia nguvu na juhudi kubwa sana lakini hauoni matokeo , basi fanya tathimini ya mahali ulipopandwa ! Ukitambua hauko mahali sahihi , kwa gharama yeyote fanya maamuzi sahihi ya kung’oka Lakini kuna neema kubwa sana ukipandwa mahali sahihi na kwa majira sahihi, KILA UNALOGUSA KWA MAJIRA YAKE HUWA LINAITIKA. #KwaMunguWangu_TaifaLanguNaKizaziChangu
I'm so excited to see such a collabo all for the Glory of GOD!! Takie Ndou has always been one of my best Gospel Music Ministers from SA..this song deserves millions of views and likes!! 👍 😊 ❤️
I love the way Holy Spirit is limitless, that even in diversity,His presence is evident in this ministration...Lord Jesus you are worthy of praise 🙌🙌🙌🙌
This is a hot one🔥🔥 Asante Yesu Kwa Wema Wako, Bwana Umefanya Mambo Makuu 🔥🔥 Ngiyabonga Jesu ...🔥 Weka Like ya Dr. Ipyana and Team ✅ More Grace To Them.
This song is released just on Right time,I've been sick untill was admitted to a point I wasn't feeling myself but was discharged yesterday Iim grateful for God he saved me from the claws of death
This season Dr Ipyana songs Zina ujumbe wa shukran Sana zimegusa maisha yangu Hatuna budi kushukuru Haijalishi hatuon njia lkn yupo anayetengeneza njia pasipo njia
God has done it again...my heart is full of gratude for the Lord has been kind to me...i want to tell someone it's not by my might or effort His grace has been sufficient for me...I thought everything is gone and done but He gave me a reason to smile again...am here to tell someone God is real and is working out everything for you... I can't stop the dance and singing along ....my God is an awesome God.
This is EPIC 🙏🙏. TO GOD BE THE GLORY. I wish someone would write the lyrics of that Zulu part so we can all atleast pronounce right while we all rejoice in this Glory... 🙏
I was born a Muslim in Iraq. I was worried and depressed, sitting and looking at the Tigris River in my city.Jesus' face appeared to me in the water and told me. "Son, you're not alone" And now I'm a Christian, and I pray every day at the edge of the river.Thank you Jesus for this grace. I'm not alone right now. Jesus is with me.✝🙏💖💖🙏🙏
Congratulations. If you hope now you have everything
Glory to God. You have the greatest worrior and that's Jesus Christ
Wooow ❤Amen,🙏🏼🙏🏼
Surely you are not alone expect more n more miracles, spiritual, body n mind healing, even blessings will flow abundantly. Amen 🙏
Amen 🙏🏽
Asante Yesu umefanya makubwa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ngoma tamu mnoo Dr ipyana nimeipenda sana Sololist Guitar Andrew Ameutendea haki wimbo but pia nimeipenda dance Yako na Takie ndoe hasa ulivo kimbia amazing song
ASANTE YESU..MEMA NA MAZURI UNATUTENDEA HAI ESABIKI ..❤😊
Mungu amekupaka mafuta barikiwa sana kwa kazi njema.... neema ya Mungu izidi na kuzidi juu yako
Hatimaye mzee wa live @Dk Ipyana amechezeshwa kwaito😂😂😂 God bless you guys ❤❤❤
Sitaki kuamini hiki ninachokiona waooooooh congratulations me nilijua kuwa siku moja utafika kwenye viwango hivi
Asantee nashukuru Yesu kwa wema wako
NO 1 KUITAZAMAAA..na comments
Congratulations 🎉
Umetisha kuniwahi
L88😅9lllll
@@marionodhiambo5525 😄😄💃
Nakubaliana
Mungu akubariki sana mtumishi nami namatumaini yakufikia kama ww 💖🙏
Nyimbo inatubariki sana
Kama inakubariki gonga like
Asante Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai hata sasa
NIMEONA NIACHE KWANZA KUANGALIA , NISHUSHE KA KOMENTI HAPA
AISEEE , KULE MUNGU ANAIPELEKA TANZANIA NI KUKUBWA MNO,,, THANK YOU JESUS,,,,,
DR I appreciate You Man of GOD (with the Servants of GOD In your Team) Thank You for standing in your place.
Hasanti mungu wangu
Humetenda. Hili .humetenda lile babah ninakushuru 🙏
Mungu akubariki sana napenda kukufuatiria sana na ninabarikiwa sana ila kama basi tunaruhusiwa kuongea au ku comment ushauli wangu kwako mutumishi jitahidi sana hao wasichana wakavae nguo ndefu na zisioneshe vifuwa au maziwa inje wewe ni mutumishi wa Mungu na jamii tunakuangaria jitahidi sana nguo za kubana makalio waache kabisa . Nina imani hili nalo utalitendea kazi tunawapenda.Nimeandika kwa amani sina nia mbaya .
Jmni dr ipyna kwani kanisa gani unasali daaaah❤❤❤❤❤❤
Bwana umetenda mema Bwana umetenda mambo makubwa
If you are south African drop your flag here🇹🇿🇿🇦
Asante yesu Kwa Wema wako umefanya mambo makubwa
From Kenya we are lit by this thanksgiving song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👌👌💞💞💞
I no longer desire to have the grace but I want the grace am ready in jesus name
You got it already..
Was. Waiting.......u never disappointed mtumishiiii.......from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Kenya.....
What's Yours? 😁
Mine : Natasha 🇿🇲
Asante 🇹🇿
Ngiyabonga🇿🇦
Asante yesuuu! Kweli wema wako ni mkuu sana
Oooh hallelujah kama hujawah mshukuru Mungu basi ni wakati wako kumshukuru Mungu Naam Kama wamkubali Dr ipyana like zako hapa ila heshima utukufu kwa Yesu
Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu Dr Ipyana
Kwel anatenda kila siku mambo Makubwaaa mpk muda mwingine unawaza ni mm kwel nastahili haya au 🙌🏾 mpk unaishiwa maneno ya kusema ❤️🩹🤍 Asante YESU 🤩
Bwana umefanya mambo makubwa
ZABURI 1:3
“Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.”
Kuna siri kubwa nyuma ya hili andiko.. kinachoufanyq huu mti / huyu mtu kuzaa matunda yake kwa majira , Na kila alitendalo linafanikiwa , siri yake NI KUPANDWA MAHALI SAHIHI .
Yaani huu mti unazaa sana kwa sababu tu umepandwa kando kando ya maji.
Mtu wa Mungu kanuni kubwa ya kustawi kwenye lolote unalofanya, HAKIKISHA UMEPANDWA / UKO MAHALI SAHIHI .
Mambo mengi yanayotutesa ni matokeo ya kupandwa / kuwa mahali pasipo sahihi, unahitaji nguvu kubwa mno (nguvu ya ziada) kufanikiwa mahali hapo.
📌Na ndiyo maana ukiona unatumia nguvu na juhudi kubwa sana lakini hauoni matokeo , basi fanya tathimini ya mahali ulipopandwa ! Ukitambua hauko mahali sahihi , kwa gharama yeyote fanya maamuzi sahihi ya kung’oka
Lakini kuna neema kubwa sana ukipandwa mahali sahihi na kwa majira sahihi, KILA UNALOGUSA KWA MAJIRA YAKE HUWA LINAITIKA.
#KwaMunguWangu_TaifaLanguNaKizaziChangu
hakika MUNGU ni mwema 💞
Asante Yesu..umefanya mambo makuu...
God bless you doctor Ipyana
umetenda mema umefanya mambo makubwa Asante yesu ..indeed more to my favorite ministers.wapi likes from Kenya
Asante Yesu kwa wema wako 🙌🙌🙌 umefanya mambo makuu
I don't know about other countries but we Tanzanians are so grateful to you Lord Jesus Christ 🙏🙏👏👏🙌🙌🙌🙌
Thank you for your representation, thank you for telling Jesus how Tanzanians are greatiful on their behalves.
Wow dr ipyana uparikiwe sana l love you songs na hii imenibariki sana
Wow I'm a fan of Spirit of praise I'm glad to see Takie coming to East Africa 🇰🇪
Yesu anaazimishwa kwa njia yoyote
Hallelujah, kama unajua Mungu kakutendea mambo makubwa , hebu sema asante YESU, sifa zinabaki kwake Mungu tu 🙏🙏
Kenya loves you Dr Ipyana ,, cant wait for you to come on 7th July my birthday 💜🖤💛
Ahsante Yesu kwa wema wako unayofanya ni makubwa kuliko tunayotarajia jina lako lizidi kusifiwa na kuabudiwa🙏🙏🙏
Bwana umefanya mambo makubwa Asante Yesu.
Anthem🔥
Asante Yesu kwa wema wako 🔥
🇰🇪🇹🇿♥️
ni kitu kipya tenaa aloooo❤ Bwana umefanya
Bwana asante umetenda mema umefanya mambo makuu. Asante Yesu kwa wema wako🙌
collaboration ya artist uyu msouth imebamba sana na wimbo umebamba sana hongera dr ipyana
Wimbo unaokuja kwa majira yake🙌🙏. Mungu akuzidishie neema zaidi Mtumishi Dr. Ipyana pamoja na Takie ndoe. Pokea Baraka kutoka Kenya
Ahsante Yesu.
Nice song melody 🎶 💣 ❤❤❤❤❤🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇹🇿 🔥 South African
Mziki mtamu kwa afya 🎉🎉🎉🎉🎉
Bwana umetenda mema Bwana umefanya mambo makuu.🙌.Asante Yesu wewe ni mwema🙌
Mungu akutumie zaidi ya hapo ulipo my brother, Hakika unatubariki sana
I'm so excited to see such a collabo all for the Glory of GOD!! Takie Ndou has always been one of my best Gospel Music Ministers from SA..this song deserves millions of views and likes!! 👍 😊 ❤️
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii BWANA umefanya makuu🥰🥰🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mr Takie Got fine moves ..More blessing and Much love from KE
Aisee Kwenye Ukweli Tuseme tu Dr ipyana hukamatiki Na Gospel Ya Tanzania Ndo Unaishikilia Kwa sasa
Have tested His Love for God has done It I represent Kenya 🇰🇪 let us make it our first trend ✅❤❤❤❤
Asante Yesu Wewe ni mwema
Umefanya mambo makuu 🙌🙌🙌🙌
Ngiyabonga Jesu
I love the way Holy Spirit is limitless, that even in diversity,His presence is evident in this ministration...Lord Jesus you are worthy of praise 🙌🙌🙌🙌
🙏
Huu wimbo nimejaribu kuurudia×4 kila ninapourudia naongezeka imani
This Takie Ndou guy is such a viiiibe, he knows how to engage the audience.....I've really enjoyed those moves. God bless you Daktari and the team
WAAAOOOH MUNGU AZIDI KUKUINUA MTUMISHI WA MUNGU
This is a hot one🔥🔥
Asante Yesu Kwa Wema Wako, Bwana Umefanya Mambo Makuu 🔥🔥 Ngiyabonga Jesu ...🔥
Weka Like ya Dr. Ipyana and Team ✅ More Grace To Them.
Huduma yako ninzuri mtumishi, ila sibarikiwi na hizo shanga mnazo vaa mikononi
Asante Yesu, am so grateful for your love and mercy for me
Nyie nyie nyie njoooooni muoneeee jamaaa amewaleta Hadi wasauzi hukuuuu woyooooooooo ❤❤❤❤❤❤❤
🇲🇼🇲🇼 Zikomo Yesu pa zabwino zonse m'mandichitira ( Thank you Jesus for your greatness)
Asante Yesu. Kwa kweli wewe ni mwema na umefanya mema
Fast to comment the song is inspiring
Naangalia kwanza safi🎉 inafaa na kupendeza sana
Ngayiyabonga Yesu🙏Glory to God... ubarikiwe mtumishi
Shalom, Atukuzwe Mungu aliyeweka Moyo wa kumshukuru Mungu ndani yako, tunabarikiwa na familia yangu. Dr, Mungu azidi kukuinua.
Today you have done great thing in my life, what was my fear you have replaced it with a lifetime testimony..... THANK YOU LORD.
I lack even words to express how God has done great things in my life just to say .. Thank you God
Asante Yesu umefanya mambo makubwa kwangu.
Wow ,2023 is the year of revival new songs in every part of the globe 🌍 glory To king JESUS much love from Kenya ❤
Nahisi kubarikiwa kutoka 🇰🇪
Oh...just amazing❤❤ exceeding love from Nairobi, Ke🇰🇪 🇰🇪
NO WORDS JUST LOVE FROM NAIROBI KENYA 🇰🇪
Hongera sana brother tunabarikiwa mno na kazi ambayo Mungu amekupatia
Mbarikiwe sana watumishi wa mungu wimbo ni mzuri sana umenibariki mno 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzania 🇹🇿 ft South Africa 🇿🇦🔥🔥🔥
Finally🔥🔥🔥🔥
Asante Yesu kwa WEMA wako ooh haleluya
This song is released just on Right time,I've been sick untill was admitted to a point I wasn't feeling myself but was discharged yesterday Iim grateful for God he saved me from the claws of death
This season Dr Ipyana songs Zina ujumbe wa shukran Sana zimegusa maisha yangu
Hatuna budi kushukuru Haijalishi hatuon njia lkn yupo anayetengeneza njia pasipo njia
This should be a national anthem I love it so much more grace mtumishi 🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥
I just remembered Dr ipyana saying that one of his model is takie d and today I witness live here God amefanya mambo makuu @dr ipyana
God has done it again...my heart is full of gratude for the Lord has been kind to me...i want to tell someone it's not by my might or effort His grace has been sufficient for me...I thought everything is gone and done but He gave me a reason to smile again...am here to tell someone God is real and is working out everything for you... I can't stop the dance and singing along ....my God is an awesome God.
Kila siku naomba.ahsante Yesu
Am blessed, Actually he has done good ad great things for me
Talkie 🇿🇦💪🏿 ipyana 💪🏿🇹🇿
#𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐘𝐞𝐬𝐮
Yesu umetenda mema
Two of my favourite artists
❤❤🇿🇦South Africa & Tanzania 🇹🇿❤❤
Nice song mtumish
First comment
Asante yes kwa wema wako vile ume nitendea ktk maisha yangu jinalako lipewe sifa 🙏🙏😢😢😢
This is EPIC 🙏🙏. TO GOD BE THE GLORY.
I wish someone would write the lyrics of that Zulu part so we can all atleast pronounce right while we all rejoice in this Glory... 🙏
Takie ndou ❤❤❤
Glory be to Jesus Christ 🙏 son of the living God 🙏❤️ amefanya mambo makumbwa
Bwana Yesu Asante🙏
HALALA... 🎉 I'm loving the song. Love from South Africa 🇿🇦
Kazi yako ni njema kaka Mungu akuongeze viwango vya juu utumike zaid
God bless you men of god 🙌🙌🙏🏽serving us heaven taste haleluya👏👏👏