I was a devout Muslim and I was saved by Lord Jesus Christ 9 years ago.. please pray for my dad and the rest of family who haven't accept Jesus as their God and savior.
Tunakumbuka kweli FADHILI zako Bwana Yesu Amen Hongera Nicktary zao la LIVINGSTON BOYS SEMINARY Endelea mbele tunakuombea huduma yako izidi kukuwa Amen
STANZA Umenipitisha kwenye maji mengi Katikati ya bonde la mauti Wengi walisema nimefika mwisho Wanataharuki kuniona tena CHORUS Tunakumbuka Fadhili zako Tunakumbuka Rehema zako Kwa yote umefanya Bwana Tumekuja kukupa sifa zote
I've returned to say thank you Jehovah for this far it's been You Ebenezer. The lines have fallen in pleasant places for me. From January to now September you've protected, preserved and provided. Thank you Jesus. 🙌🙌🙌
Bwana yesu asifiwe Dr. Ipyana. Glory to god kwa utumishi Mungu alioweka na anaokutumia. Mimi ni Dada sophia Anselmu Asenga. Niliyetoa ushuhuda ktk wimbo wa Niseme nini? Dr. Ipyana, huwa Mungu anaokutumia kuwasemea watu matendo makuu Mungu aliowatendea. Nakumbuka mwaka 2015, nilikaa miezi 6 bila ya kwenda kazini Kwa kuugua na bila ya mkono wangu wa kulia kushinfwa kuandika. Namshukueu Mungu kupitia mtumishi wake Robert Matsai wa kkkt kimara korogwe aliniombea now nimeona kabisa Kwa asilimia 100. Glory to God
Tuna kumbuka fadhili zako Yesu Kwa tote uliyo Fanya you helped my daughters from when they started school to when they finish their primary Education .AMEN.
This morning i am here to represent Nairobi Milimani Secondary School and other High school students i pray that may God kings of kings to Deliver some one through this powerful song , CU Leader Stanley Desmond
Mungu awalinde watumishi wema kama hawa wanaomruhusu Bwana kuwatumia chombo cha kuleta ujumbe wa wakati kwa watu. Mungu akulinde Dr.Ipyana ma wenzetu katika Christo pia
We need to remind the Lord that good things he has done in our lives not only prayers to receive, for he will open greater doors. This is powerful be blessed brothers.❤❤🙏
Oooh dear God,,it's September,,,since January,,am alive and breathing,,,ooooh daddy,,I recall your mercies and your loving kindness,,thankyou n all praises to you.Praise presides victory
10. Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu. 11. Nitayakumbuka matendo ya Bwana; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale. 12. Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako. 13. Ee Mungu, njia yako i katika utakatifu; Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu? 14. Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu; Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa. 15. Kwa mkono wako umewakomboa watu wako, Wana wa Yakobo na Yusufu. 16. Ee Mungu, yale maji yalikuona, Yale maji yalikuona, yakaogopa. Vilindi vya maji navyo vikatetemeka, 17. Mawingu yakamwaga maji. Mbingu nazo zikatoa sauti, Mishale yako nayo ikatapakaa. 18. Sauti ya radi yako ikawa katika kisulisuli; Umeme uliuangaza ulimwengu. Nchi ilitetemeka na kutikisika; 19. Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana. 20. Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni. (Zaburi 77: 10-20)
😭😭 hakika ninakumbuka fadhili zako sikustahili kuwa hai ila kwa wema wako umeendelea kuwa pamoja na mimi mpka Leo 😭🙌 Asante sana kwa watumishi wako Hawa endelea kuachilia mafuta zaidi na zaidi kwa utukufu wako 🙌
This song was send from heaven to this planet purposely for me... Hata katika maji mengi... sikuzama... I have raised my head up and purpose to move on to achieve the great purpose and noble task
Kwa kweli sio kila wakati kuja mbele Zake na mahitaji Ila Ni bora tuje na shukrani tumkumbushe Yale aliyofanya maishani mwetu More grace Dr Ipyana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Dr ipyana Mungu azidi kuinua utumishi wako, matunda ya mti uliobora ni matakatifu mbele za Mungu, wewe ni mti uliobora uliokandokando ya kijiti cha maji ya uzima❤❤❤. GOD BLESS YOU MORE🎉
Tunakumbuka Baba FADHILI zako😭😭😭😭🙌
Hallelujah,, Apewe sifa zote Yesu..
Powerful 👏🎉
@@JudithMakuto😊😊😊😊
Amen
😭😭😭😭 powerful
I was a devout Muslim and I was saved by Lord Jesus Christ 9 years ago.. please pray for my dad and the rest of family who haven't accept Jesus as their God and savior.
God bless your people according to their needs in Jesus Christ name.
Your family is saved in Jesus name
@@rhodamunee2245amen kubwa
Don't worry Jesus the king of kings is there to save your family as he saved you. Let it be in Jesus name.
Nothing is impossible before the Lord God,when the time comes God will do it.
Ninakumbuka fadhili zako
Ninakumbuka rehema zako
Kwa yote umefanya Bwana
Nimekuja kukupa sofa zote
Kwa yote umefanya twasema asanti... Hallelujah 🇰🇪🇰🇪 Kenyans tuko wapi
🎉🎉
Am from tz am happy when i see a kenyan commenting.thats nice brethen🎉🎉
Tuko kwa wingi
Tupo wengi tuuu
Kwanza yule anakubali ilo Song ni wewe aweke like zake Kisha tuendelee kupokea baraka hizi ndani ya wimbo huu tunakumbuka🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ hallelujah
Ufike mbali Remnant Nicktary. U are a blessing
Daktari should do more collabos with this guy Remnant)soo anointed..👌👌💯💯🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪
🙈Daktari bado nasubiri album ya Tenzi za Rohoni(Hymns)🙌🙌🙏🙏2024
Nakumbuka ulivyoniponya na ajali mwezi wa tano😭😭Fadhili zako ni nyingi mno maishani mwangu Asante Yesu🙏🙏
My brother naupenda sana huu wimbo Mungu akubariki sana.
Tunakumbuka kweli FADHILI zako Bwana Yesu Amen
Hongera Nicktary zao la LIVINGSTON BOYS SEMINARY
Endelea mbele tunakuombea huduma yako izidi kukuwa Amen
Naona Dr katembembea na style ya uchezaji
Kwa yote umefanya bwana tunakupa sifa zozote🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🎉
Zooote
STANZA
Umenipitisha kwenye maji mengi
Katikati ya bonde la mauti
Wengi walisema nimefika mwisho
Wanataharuki kuniona tena
CHORUS
Tunakumbuka Fadhili zako
Tunakumbuka Rehema zako
Kwa yote umefanya Bwana
Tumekuja kukupa sifa zote
❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏 Mungu mwema
4.9.2023 🙏🙏🙏wakati sahihi
I've returned to say thank you Jehovah for this far it's been You Ebenezer. The lines have fallen in pleasant places for me. From January to now September you've protected, preserved and provided. Thank you Jesus. 🙌🙌🙌
Ni kwel tunakumbuka FADHILI ZAKO
Bwana yesu asifiwe Dr. Ipyana. Glory to god kwa utumishi Mungu alioweka na anaokutumia. Mimi ni Dada sophia Anselmu Asenga. Niliyetoa ushuhuda ktk wimbo wa Niseme nini? Dr. Ipyana, huwa Mungu anaokutumia kuwasemea watu matendo makuu Mungu aliowatendea. Nakumbuka mwaka 2015, nilikaa miezi 6 bila ya kwenda kazini Kwa kuugua na bila ya mkono wangu wa kulia kushinfwa kuandika. Namshukueu Mungu kupitia mtumishi wake Robert Matsai wa kkkt kimara korogwe aliniombea now nimeona kabisa Kwa asilimia 100. Glory to God
Tuna kumbuka fadhili zako Yesu Kwa tote uliyo Fanya you helped my daughters from when they started school to when they finish their primary Education .AMEN.
Nakumbuka mianzo na misingi ile Bwana, fadhili na rehema zako zimenibeba. Kwa yote umefanya Bwana, asubuhi ya leo nakupa sifa zangu zoooote
Tunakumbuka fadhili zako . Ulivyotubeba katika safari ya harusi yetu.2023
Hallelujah mbarikiwe sana
Tunakumbuka Nchi yetu tulipitia kipindi kigumu cha ukame, leo kila mkulima anafurah mavuno.Yesu umekumbuka nchi yetu ya Tanzania.
Tunakumbuka fadhili zako,tunakumbuka rehema zako 🙏 Kwa yote umefanya Bwana,tumekuja kukupa sifa zote 🤲🤲
Nice
This morning i am here to represent Nairobi Milimani Secondary School and other High school students i pray that may God kings of kings to Deliver some one through this powerful song , CU Leader Stanley Desmond
May this fire never go out in Jesus name. Amen.
This far is God has been soo faithful 🙌 🙏 Thank you Jesus 😊
Rehema na fadhili zako ni zamilele amina
Nakumbuka Rehema zako kwangu na fadhili zako kwangu. Ulinichagua kwa upendo wako
Tanzania banaa audience pekee wanajua mziki vibaya sana 😂😂
See how they split to sop, alto and tenor
Sauti ya Kwanza
Sauti ya pili
Sauti ya tatu
Sauti zote
Wonderful 🎉😊😊
😊😊😊😊😊
Nakumbuka rehema zako . Umekuwa mwaminifu kwa yote. Nakupa sifa zote Yesu.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakumbuka mengi meng tena mengi na ulipo nitoa nimbali🙏🏾🙏🏾
Asante kwa yote umetenda Bwana...
Ninakumbuka ulivyo nikomboa pale machakos level 5 hosp ...To God be all the glory 🙌🙌🙌🙏🙏
Acha nishuhudie jinsi alipo nitetea nikamaliza shule kimiujiza atanilipokuwa hakuna karo,napika nilipotengwa na marafiki kwaajili ya magonjwa napia kuwanami nilipokuwa mwana mpotevu ni fadhili zako 2 zimenifikisha hapa umeniokoa yesu nayakumbuka Nakupa sifa BWANA 🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌. Nakupenda Mungu wangu
Tunakumbuka kweli,,kama sio Bwana tungekuwa wapi kweli
Wow this is powerful.
Kenyans wapi like ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameeeen 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾
Kwa yote umefanya Kwa maisha yetu ,baba tunakupa sifa❤.much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakumbuka fadhili zako..nakumbuka rehema zako...Yote umefanya Bwana...Nimekuja kukupa sifa zote...hata kwenye bonde la mauti..sitasahau rehema zako Bwana🙌🙌
Kila nikikumbuka fadhili zako Yesu huu wimbo hauachi kuimba moyoni mwangu kila siku asubuhi. Asante Yesu kwa fadhili zako
Thus Far, ni Fadhili zako ❤🎉😭😭😭
Utukufu na heshima tunakurudishia wewe uketie kwenye kiti cha enzi
Mungu awalinde watumishi wema kama hawa wanaomruhusu Bwana kuwatumia chombo cha kuleta ujumbe wa wakati kwa watu.
Mungu akulinde Dr.Ipyana ma wenzetu katika Christo pia
😢😢Hallelujah. I've not consumed. Glory to God
Baba nakushukuru sana Neema zako nikuuu maishani Mwangu
Umenipitisha kwenye maji mengi katikati ya bonde la mauti wengi walisema nmefka mwisho ..... 🥰♥️😇🤗🔥🙏🏾🙌🙌🙌🙌
This song 😭😭😭😭🙌
Lovingkindness 🙌🙌🙌🙌
Hakika Fadhili na Rehema zake Bwana ni kubwa mno kwetyuuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Tunakumbuka Fadhili na Rehema za Bwana
Pokea sifa zote Mungu wangu
Oóooh hallelujah MUNGU ni mwema na kumbuka fadhili na rehema zake 🙏🙏🙏
Tumekumbukaa rehema zakoo tumekujaaa kuku shukuruu tuuu Ehhhh MUNGU barikaa kipawa Cha hawa waimbajiii wanatubariii sanaaaa
Nakumbuka Bwana nikiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉
I remember loving kindness and mercy and love 💕💕💕❤❤❤❤🎉
God, we remember your loving kindness, your mercies and sing praise to you oh God!!!❤
nakumbuka fadhili zako bwanaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Hakika wimbo huu umekuja kwa wakati. Tunakumbuka fadhili zako kwa yote umefanya
Hakika katika yote, ntakumbuka fadhili zako Yesu😊
Amen and Glory to God...
Nakumbuka fadhili Zak napata Nguvu mpya
Hakika rehema na fadhili za bwana imetuweka hai leo tunakumbuka katika kwa yote umetufanyia
Wawo Mulipendeza walivyo imba wandugu amena jina labwana lihimidiwe
Fadhili zako Baba tunazikumbuka milele... 😭Endelea kutubariki nasi tunakirudishia sifa kwani tunakumbuka Baba
Bwana hatujasahau ulikotutoa😭😭😭🙏🙏
Sifa na utukufu vimrudie Mungu wetu.
ninakumbuka gadhili zako Bwana kama si wewe tusingalikuwa salama 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hakika Bwana amefanya mengi sifa anastahili yatupasa kumrudiashia
Fadhili za Bwana ni mpya kila siku❤
Leo asbh nimeamka nasikia winbo wa NIKIWA NAWE nikaomba namalizia kumshukuru Mungu nikasikia huu wimbo naamini Mungu amefanya jambo jipya na kubwa leo
Tunakumbaka wema wako Bwana 🙌🙌🙌
Nimekumbuka fadhili naa Rehema zako Yesu
Wengi walisema nimefika mwisho Wana taharuki kuniona tena
Asante yesu😢🙏
Asante baba yangu wa mbinguni kwa wema wako
We need to remind the Lord that good things he has done in our lives not only prayers to receive, for he will open greater doors. This is powerful be blessed brothers.❤❤🙏
Amen
Indeed Good as been a blessing in my life and I do remember the marvelously
Oooh dear God,,it's September,,,since January,,am alive and breathing,,,ooooh daddy,,I recall your mercies and your loving kindness,,thankyou n all praises to you.Praise presides victory
God of wonders 🙏
10. Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu.
11. Nitayakumbuka matendo ya Bwana; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
12. Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.
13. Ee Mungu, njia yako i katika utakatifu; Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu? 14. Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu; Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa. 15. Kwa mkono wako umewakomboa watu wako, Wana wa Yakobo na Yusufu.
16. Ee Mungu, yale maji yalikuona, Yale maji yalikuona, yakaogopa. Vilindi vya maji navyo vikatetemeka,
17. Mawingu yakamwaga maji. Mbingu nazo zikatoa sauti, Mishale yako nayo ikatapakaa.
18. Sauti ya radi yako ikawa katika kisulisuli; Umeme uliuangaza ulimwengu. Nchi ilitetemeka na kutikisika; 19. Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana.
20. Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni.
(Zaburi 77: 10-20)
😭😭 hakika ninakumbuka fadhili zako sikustahili kuwa hai ila kwa wema wako umeendelea kuwa pamoja na mimi mpka Leo 😭🙌 Asante sana kwa watumishi wako Hawa endelea kuachilia mafuta zaidi na zaidi kwa utukufu wako 🙌
Tunakumbuka upendo bariki uponyaji uinuaji rehema ushindi juu yetu pokea eeeeh mfalme wa wafalme pokea sifa heshima na utukufu eeh baba.
Thankyu thankyu lord 4 yua Mercies n Grace even to use these artists
This song was send from heaven to this planet purposely for me...
Hata katika maji mengi... sikuzama...
I have raised my head up and purpose to move on to achieve the great purpose and noble task
Kweli Bwana umekuwa Mwema despite yale nimepitia... Ninakumbuka Fadhili na Neema yako... Nakupa sifa🙌🙌🙌🙌🙌
Tunakumbuka rehema zako tunakumbuka fathiri zako bwana tunakuja kukupa sifa zote🎉🎉🎉🎉❤
Kwenye maisha unapokua mzima usikate tama Mungu ni mwema sana
Oooooh! Jehovah I do remember your steadfast that endure forever, it were you God from January to September now😢
And He is not yet done doing, for He's a faithful God
There is always something I love about Ipyana's songs ❤️
Hakika Mungu ni mwenye fadhili na rehema nyingi....Yeye ni mwaminifu siku zote na sina budhi kumshukuru na kumsifu❤
MUNGU nakumbuka FADHILI zako🙌🙌🙌🙌
Nikiimba huu wimbo Huwa ninaingia kwenye maombi makubwa it break the waves
Kwa yote umenitendea nakupa sifa zote 🙌🙌🙌💃💃💃
Bwana yesu kanifamyia mambo mengi🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏👏👏🥰✅✅🙏😍❤️❤️💕💕💯
Aaah😭😭What is man that YOU, Oh GOD , are mindful Of.....Tunakumbuka rehema zako kwenye maji mengi, kwenye dhoruba za maisha....Usifiwee Ebenezer
Ninakumbuka fadhili zako bwana
Kwa kweli sio kila wakati kuja mbele Zake na mahitaji
Ila Ni bora tuje na shukrani tumkumbushe Yale aliyofanya maishani mwetu
More grace Dr Ipyana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Fact mkuu
Oh Lord, wakati nataka kufungua kinywa changu kulalamika nikumbushe Fadhili zako 😭
Nimengi Bwana amtenda maishani mwangu nakumbuka Fadhili zake😢
Mungu akubariki @dr Ipyana ni Kweli tunakumbuka rehema za Mungu kila siku😇😇😇😇
@Dr ipyana
Mungu azidi kuinua utumishi wako, matunda ya mti uliobora ni matakatifu mbele za Mungu, wewe ni mti uliobora uliokandokando ya kijiti cha maji ya uzima❤❤❤. GOD BLESS YOU MORE🎉
Nakumbuka fadhili zako My Master Jesus