From Kenya, I have noted the the Lord's visitation in Tanzania. The kind of worship currently is really inspiring. Dr. Ipyana, Danken, John Lisu, Essence of Worship, Eliya Mwantondo ... the list is endless. May the LORD also visit us in a double portion. We need God more than ever.
To the 1% of people who see this comment, God’s not done with you. Don’t stop, be grateful for what you have, Mark 1: 35-45 is a story of how Jesus found a leopard and the man said, “if you are willing, you can heal me.” And Jesus told the man, “ I am willing, be healed.” And the man was healed. I think we forget that God is willing to heal us, we just need to ask him...
Dr Ipiyana Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana nimehisi bubujiko na kujawa na Roho ninapoendelea kuisikiliza hii nyimbo ,,,, kama unamuunga mkono Dr Ipiyana gonga like hapa...
Umeketi kwenye enzi yote....Yesu pekee wastahili utukufu! My son has cleared his KCSE exam...haki Mungu ni mwema..i have been thru a lot with this boy! Mungu sijui nikupe nini
Kweli Aisee Tz Gospel industry is now uplifted by Jesus Christ. Let us our heart come together so that nations can move towards Jesus. Note this, IT BEGINS WITH YOU AND ME ALSO
Glory to God! Mungu anazidi kulifungua anga la nchi yetu Tanzania, imuabudu yeye kwa viwango vya ki-mbingu! Be blessed man of God kwa kuugusa moyo wa Mungu namna hii.
Utukufu wa Mungu ni mkubwa sana. Yesu ameketi enzini pake .Hakuna anayestahili UTUKUFU HUU ISIPOKUWA YEYE ALIYECHINJWA,AKAMNUNULIA MUNGU WATU WA KILA KABILA,JAMAA NA LUGHA. NA SASA TUNAMUIMBIA,AMEKETI ANASTAHILI UTUKUFU.UTUKUFU DUNIANI #KAMA MBINGUNI.
My two year Daughter love this song so much. She sings till she closes her eyes. She can listen this one song the whole day.. May God bless and uplift you Dr Ipyana.
Anastahili utukufu Yesu Kristo pekee. Siku ipo nayo inakuja nayo ndio hii wanaomwabudu Mungu watamwabudu katika Roho na kweli. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikawe nawe daima mtumishi
Umeketi Kwenye enzi yote Wastahili utukufu......🙏😇👏🙇♀️🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you abundantly u don't how many hearts u have touched with this particular song including me😇
Ukiachana na wimbo wote kwa ujumla wapendwa kuna gitaa moja linanibariki sana kila nilisikia nahisi connection kubwa na wimbo huu.Kazi unayoifanya wewe na timu yako Mungu anaitambua.Mungu awabariki sana sana sana.Amen
Kaka Ipyana daktari mtumishi wa Mungu nakosa maneno ya kusema ninamtukuza sana Mungu juu kwa hii kazi nzuri namna hii kwa hiki chakula wewe na timu yako mlichomuandalia Bwana kwa hii sadaka kubwa ya ibada mliyomuandalia Bwana kama ingekuwa ni chakula ningesema ni moja kati ya vyakula navyovipenda sana Je inakuwaje kwa Mungu wetu kama anaandaliwa chakula hiki cha sifa na ibada tena mahali hapo anasema ndipo anapoketi.Unadhani nini kinabakia hapo kwa wanaomuandalia sifa kama hii nzuri nadhani ni baraka nyingi za kimwili na kiroho sana sana. Once again MUBARIKIWE SANA SANA
Just discovered this guy today and i cant stop listening his songs wow Glory to God much love to your ministry from Kenya 🇰🇪 watching from Saudiarabia this songs are annointed
Asante YESU....as I spiritually unaokoa mataifa ya kila rangi na kabila za ulimwengu wewe ni mkuu # UMEKETI kwenye enzi yako eeeee YESUUU wastahili utukufu
Twende kwa Nani wakati kwake yeye Kuna maneno ya uzima?? Hakika ameinuliwa juu kwake yeye kuwe na utukufu..Nguvu..Enzi..mamlaka..heshima..uweza..adhama..Haki..na vyote vina yeye aketiye just ya kiti Cha Enzi na kwa mwanakondoo aliyechinjwa...hakika AMEKETI JUU YA VYOTE..waefeso 1:21-24
Asante Sana Dr. Ipyana *Kwa Huu Wimbo Unayonibariki Na Ule Ukona Upawa, Wa Baraka, Wa Kushangilia Na Wa Kuabudu Mungu Wetu Ule Ni Mwenye Enzi Yote Kama Ilivyoandikwa Kwenye Kitabu Cha Revelation **4:11* Na Mungu Akubariki Bariki Sana Dr. Ipyana Na Awe Nawe Milele.🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊
@@DrIpyana I really pray that God should raise me and use me in such dimensions man of God...am a Tanzanian residing in Lusaka,Zambia. I'am always blessed by your ministration...God bless you more!
From Kenya, I have noted the the Lord's visitation in Tanzania. The kind of worship currently is really inspiring. Dr. Ipyana, Danken, John Lisu, Essence of Worship, Eliya Mwantondo ... the list is endless. May the LORD also visit us in a double portion. We need God more than ever.
He surely will.. 🙏
Amen,He will surely answer.🙏
True
There's an uprising in East Africa.Imeanzia Tz,inakuja Kenya,Rwanda na Uganda pia.Mungu wetu ainuliwe
Haleluya! It's true , all in all Glory to God
Ooowh Munguu, wewe tuuu 😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌...kama umebarikiwa na huu ujumbee gonga like
Travesscoot
Travesscoot
th-cam.com/video/AJMV0nElu0I/w-d-xo.html
@@alephsessions9616 l fz
❤❤❤
To the 1% of people who see this comment, God’s not done with you. Don’t stop, be grateful for what you have, Mark 1: 35-45 is a story of how Jesus found a leopard and the man said, “if you are willing, you can heal me.” And Jesus told the man, “ I am willing, be healed.” And the man was healed. I think we forget that God is willing to heal us, we just need to ask him...
Amen 🙏🏾
Dr Ipiyana Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana nimehisi bubujiko na kujawa na Roho ninapoendelea kuisikiliza hii nyimbo ,,,, kama unamuunga mkono Dr Ipiyana gonga like hapa...
It's 2024 this song still reveal the presence of Holy Spirit it's so strong indeed it will be this strong till the end of times...🙏🙏🙌🙌
Umeketi kwenye enzi yote....Yesu pekee wastahili utukufu! My son has cleared his KCSE exam...haki Mungu ni mwema..i have been thru a lot with this boy! Mungu sijui nikupe nini
YESU PEKEE WASTAHILI UTUKUFU🔥🔥🔥 thnks Dr ipyana for this nyc song. 🙏
Kama unahisi kubarikiwa na huu wimbo gonga like hapa🥰
Amina amina..he is realy seated on his presence..i glorify your name dear Lord🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
There’s a sound i hear! My Heart is overwhelmed by his presence.
Kweli Aisee
Tz Gospel industry is now uplifted by Jesus Christ. Let us our heart come together so that nations can move towards Jesus.
Note this, IT BEGINS WITH YOU AND ME ALSO
Hello Eliya..... Tanzanians you are blessed 🙏
🙌🙌🙌
utukufu wa Mungu ni mkubwa mno😞🙏
tunaomba nyimbo pia utuwekee audiomark
Revival is here🕊 Every knee shall bow and every tongue shall confess that Jesus Christ is Lord 👑
Glory to God!
Mungu anazidi kulifungua anga la nchi yetu Tanzania, imuabudu yeye kwa viwango vya ki-mbingu!
Be blessed man of God kwa kuugusa moyo wa Mungu namna hii.
We yearn for such here in kenya.
wimbo huu si wa kawaida,Nimehudumiwa na Roho wa Kristo
Kweli kabisa, Mtumishi wa Mungu!
Utukufu wa Mungu ni mkubwa sana.
Yesu ameketi enzini pake .Hakuna anayestahili UTUKUFU HUU ISIPOKUWA YEYE ALIYECHINJWA,AKAMNUNULIA MUNGU WATU WA KILA KABILA,JAMAA NA LUGHA.
NA SASA TUNAMUIMBIA,AMEKETI ANASTAHILI UTUKUFU.UTUKUFU DUNIANI #KAMA MBINGUNI.
th-cam.com/video/AJMV0nElu0I/w-d-xo.html
Hongera sana Mtu wa MUNGU ubalikiwe sana MUNGU azidi kukuinua sana sana
Napokea baraka mtu wa Mungu
Nlitaman ku-like zaidi ya mara moja kwenye comment hii,maana ndani yako kuna unyenyekevu mkubwa kaka Boaz. Mungu akubariki na upendo kati yenu utawale
My two year Daughter love this song so much. She sings till she closes her eyes. She can listen this one song the whole day.. May God bless and uplift you Dr Ipyana.
Ooooh my God! I've sung this song I don't know how many times. Ukikumbuka Yale Yesu amefanya maishani mwako unamwimbia huu wimbo🙌🙌🙌🙌🙌. Powerful song
Hakika MUNGU pekee anastahili utukufu ameketi patakatifu pa patakatifu JEHOVAH ...kuwa blessed always DR Ipyana .
YESU pekee wastahili utukufu 🙌
Hongera sana Mtumishi wa Mungu
Hakika Yesu Ameketi
Like Nigeria kwa Elijah
Ppp9 to ⁿ999
Nimekuelewa hapa Elijah oyelade namkubali pia Sana
🔥🔥🔥🔥❤️💞💞 MUNGU MKUU WASTAHILI UTUKUFU KTK KRISTO YESU MTAKATIFU.🖐️🙋👏
Mungu pekee ndiye anastahili,sikio linaposkia sauti hii namskia MUNGU akinifundisha nakunipa wazo jipya.
Wastahili utukufu Yesu pekee wastahili utukufu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tanzania is taking worship to higher levels, from Kenya I bless the lord
Anastahili utukufu Yesu Kristo pekee. Siku ipo nayo inakuja nayo ndio hii wanaomwabudu Mungu watamwabudu katika Roho na kweli. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikawe nawe daima mtumishi
Kila nikiangalia hii nyimbo alafu ninavyoifeel kwny moyo I can't imagine MBINGUNI kulivyo na raha🙌👏👏👏👏♥️
Wewe pekee wastahili utukufu Bwana🙏🙏🙌nimebalikiwa sanaaaaa...... Wastahili Yesu
Na aimidiwe bwana kwa kila jambo ukweli anastahili utukufu kibali hicho kisitoke ndani yako mtumishi
Am here after hearing your story from hope f.m from Kenya 🇰🇪🇰🇪 blessings
Mungu akubariki sana Dr..hakika hizi ndio concert za kuhudhuria...unapona, unapona hakika...The presence of Holy Spirit over therr
TANZANIA inamuinua Yesu 🇹🇿 we Glorify JESUS
This is where we reach and nothing else matters other than being in His presence
Halelluyaaaaaah,....
Ameketi kwenye Enzi Yote
YESU pekee wastahiri utkufuu . AMEN
Umeketi kwenye enzi yote,Yesu pekee
Wastahili utukufu.
Mungu akubariki na uduma hii njema na ya upako
WASTAHILI UTUKUFU, YESU PEKEE.....GLORY BE TO GOD
Hakika Yesu pekee anastahili utukufu ameketi kwenye enzi yote
This is a sound
This is a move
This is what I needed to hear
Breaking News. Watch out this. th-cam.com/video/H7P2lwu63tg/w-d-xo.html
Mungu wa Eliya azidi kuinuliwa kwa sifa na kuabudiwa katika Roho na kweli..barikiwa Mtumishi wa Mungu Dr.Ipyana
Oooh Hallelujah hakika wewe YESU pekee wastahili utukufu hakuna mwingine 🙏🏼🇹🇿
This is kind of worship you can worship in the middle of the storm and you forget all your problems. Thank you Jesus.
I am listening in the middle of snow storm in the Mid west and instead of shoveling I started dancing to this music music in a car garage.
So true ...
Dr Ipyana you're always on repeat mode in my playlist... Your songs..messages are timely. God bless you, much love from Kenya 🇰🇪.
This was among my fav songs during the worship experience.. CHUKUA UTUKUFU WAKO BWANA😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Umeketi Kwenye enzi yote
Wastahili utukufu......🙏😇👏🙇♀️🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you abundantly u don't how many hearts u have touched with this particular song including me😇
Wastahili utukufu Jehovaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Yesu Pekee wastahili!!!
Ukiachana na wimbo wote kwa ujumla wapendwa kuna gitaa moja linanibariki sana kila nilisikia nahisi connection kubwa na wimbo huu.Kazi unayoifanya wewe na timu yako Mungu anaitambua.Mungu awabariki sana sana sana.Amen
Kaka Ipyana daktari mtumishi wa Mungu nakosa maneno ya kusema ninamtukuza sana Mungu juu kwa hii kazi nzuri namna hii kwa hiki chakula wewe na timu yako mlichomuandalia Bwana kwa hii sadaka kubwa ya ibada mliyomuandalia Bwana kama ingekuwa ni chakula ningesema ni moja kati ya vyakula navyovipenda sana Je inakuwaje kwa Mungu wetu kama anaandaliwa chakula hiki cha sifa na ibada tena mahali hapo anasema ndipo anapoketi.Unadhani nini kinabakia hapo kwa wanaomuandalia sifa kama hii nzuri nadhani ni baraka nyingi za kimwili na kiroho sana sana.
Once again MUBARIKIWE SANA SANA
Ni daktari wawapi nikatibiwe hapo mimi
@@happinessshija5136 Ni daktari by professional but kwa sasa anamtumikia Mungu. Unaweza kumtafuta tu akakupa ushauri wa kimwili na kiriho pia dada
Uwepo kama Wote Kama Mbinguni Aiseee...This is The Real Meaning of Gospel and Worship😋🙌🙌🙌💥💥💥💥🙌🙌🙌
Just discovered this guy today and i cant stop listening his songs wow Glory to God much love to your ministry from Kenya 🇰🇪 watching from Saudiarabia this songs are annointed
Watch out this. th-cam.com/video/H7P2lwu63tg/w-d-xo.html
Breaking News. Watch out this. th-cam.com/video/H7P2lwu63tg/w-d-xo.html
Peke yako Yesu wastahili utukufu. Mamlaka zote ni zako,heshima zote ni zako, juu ya falme juu ya enzi yote. Barikiwa mtumishi wa Bwana
from kenya more love to you ipyana may God bless you🤍🤍🤍💯
Asante YESU....as I spiritually unaokoa mataifa ya kila rangi na kabila za ulimwengu wewe ni mkuu # UMEKETI kwenye enzi yako eeeee YESUUU wastahili utukufu
Wastahili utukufu na heshima Yesu pekee
Heard this yesterday on Rauka show-Kenya, and it's on repeat mode...powerful worship..
Amen
Twende kwa Nani wakati kwake yeye Kuna maneno ya uzima?? Hakika ameinuliwa juu kwake yeye kuwe na utukufu..Nguvu..Enzi..mamlaka..heshima..uweza..adhama..Haki..na vyote vina yeye aketiye just ya kiti Cha Enzi na kwa mwanakondoo aliyechinjwa...hakika AMEKETI JUU YA VYOTE..waefeso 1:21-24
Wastahili utukufu BWANA, umeketi kwenye enzi yote, haleluyaaa
Uwepo wa Mungu ndio ninachokiona hapa
Nimependa wadada wa Umeketi wana nywele zao natural🥰🥰🥰
Umeketi kwenye enzi yote YESU peke wastahili sifa zangu.
Vyombo vimepigwa kwa ustadi mkubwa...waimbaji sauti zote zinasikika vizuri..hakika Mungu anastahili Utukufu kwa ajili yenu
Wastahili utukufu ewe yesu, juu umeketi kwenye enzi yote. Ohh rikayandarababosa. Glory be to God
Dr Ipyana Mungu akubariki sana kwa kukubali kutumika nyumbani mwake. Umefanyika baraka kwangu lakini pia kwa HOEM na dunia kwa ujumla. Mungu akutunze.
Nipo safarini naona napata tumaini zaidi maana kwa yote haya Yesu bado anastahili utukufu!🙏🙏
Yesu pekee wastahili utukufu...🙌😭😭
Wakati huu ni wakumpokea Mungu kwa matendo sio kwa hisia. I feel the spirit moving.
Ubarikiwe sana Dr...Mungu azidi kukupaka mafta kila itwapo ck
Nakutakia mafanikio mema ya kiroho na kimwili , ufanikiwe kama roho yako ifanikiwavyo .
UMEKETI bhnaa kwenye enzi yote very powerful song MUNGU azidi kukutumia dr ipyana
Nabarkiwa San na wimbo huu but nasubir kwa hamu umewazid wote
Jesus our advocate is seated at the right hand of the FATHER pleading together with us!!!!!!!!! 💃 💃
Oooooh oooooh wastahili utukufu...umeketi kwenye enzi yote...YESU PEKEE WASTAHILI UTUKUFU
Asante Sana Dr. Ipyana *Kwa Huu Wimbo Unayonibariki Na Ule Ukona Upawa, Wa Baraka, Wa Kushangilia Na Wa Kuabudu Mungu Wetu Ule Ni Mwenye Enzi Yote Kama Ilivyoandikwa Kwenye Kitabu Cha Revelation **4:11* Na Mungu Akubariki Bariki Sana Dr. Ipyana Na Awe Nawe Milele.🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊
Bwana Yesu azidi kukuinua zaidi
Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿
Nikiona Bendera yetu nabarikiwa sana 🇹🇿
Powerful song. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweli anastahili utukufu...bwana wa ma bwana...#DrIpyana you are such a blessing...am enjoying this from lusaka-zambia.
Jesus is LORD
@@DrIpyana I really pray that God should raise me and use me in such dimensions man of God...am a Tanzanian residing in Lusaka,Zambia. I'am always blessed by your ministration...God bless you more!
I can feel the Music, i can feel the presence of holy spirit,,OOH Jesus your name must be praised,,I love you jesus!!
YESU pekeyako wastahili utukufu
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu umeketi kwenye enzi yote !!! Wastahili utukufu
More likes
Bwana daxo upo live....Malinga apa
The Sopranos outdid this jam... They are so amazing!!!❤ #Godblessy'all, I'm blessed
such a strong song' i wanna join you' please assist!! umeketi kwenye enzi yote ....
Unastahili heshima zote yesu...😥😥
I've been listening to this worship over and over again, with this touching song I can't imagine how the worship will be in heaven!
It will be more than this
Yesu Kristo Pekee anastahili...hakuna mwingine kamwe
Wastahili utukufu, Wastahili Utukufu. Yesu pekee, Wastahili Ukukufu. Umeketi kwenye enzi yote, Umeketi kwenye enzi yote, Yesu pekee, Wastahili Utukufu
Mungu ni mwaminifu SANAA
Glory to Jesus Christ
Enzi yote ni yako YESU ni wewe pekee wastahili heshima na utukufu oohhh... Halleluya .. utukufu ni wako YESU🙌🙌🙌
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu huu wimbo mafuta yake yalikuwa yanasubiriwa sana,sasa nikujipaka tu @haleluya@
Yesu ameketi kwenye enzi yote,Yesu pekee anastahili utukufu. Blessed @ Dr.Ipyana
Umeketi kwenye Enzi yote. Yesu Pekeeeee WASTAHILI UTUKUFU.😇amazing song . Thank you for sharing. Blessings wote🇹🇿😊
JESUS IS LORD... Halellujah. Umeketi kwenye Enzi Yote
God, may you search for search young worshippers in truth and Spirit in Kenya!!!
Amen I pray
..........and find them. 🙏🏾
Hallelujah hallelujah asante Yesu maana umeketi ndani ya nafsi yangu na waniongoza njia zangu
Asante Yesu, maana niliusubili kwa ham kubwa sana, hakika umeketi Bwana kwenye enzi yote, Wewe Yesu pekee wastahili utukufu.
Mungu wangu na Bwana wangu YESU nakutukuza wewe Peke yako maana uko Juu ya vitu vyote..Efeso 1: 18-22
I will never forget this day 😭😭😭😭😭🙌🏾
hahahaa utafkiri ulikuwepo. Ila daah....this is lit
👍❣️❣️❣️❣️❣️
Raise an altar baba....
God is looking for a man to stand in broken wall !!
Hizi live concert wanafanyiaga wap natamani niwe nahudhuria.... nipo Dar.
Hilo ni kanisa la capstone ..
Mungu azidi kukuongoza katika huduma hii
Ooh he's still sitting in His throne,,,no matter the situation you're in He is still God, the creater, provider, healer, 🙏🙏🙌🙌🙌
Yes, Christ is properly seated on the throne... now and forever! He is worthy of our worship and all glory, King of kings and the Lord of lords.
Yesu pekee wastahili utukufu
Wow! Amaizing...Minister of God
You never stop to bless me
Astahili utukufu
Umeketi kwenye enzi yote...Yesu pekee..Hallelujah Yesu Pekee wastahili utukufu.
Asante sana kwa nyimbo nyingine nzuri kama hii , bado nasubiri na zinginee
Kuliko kufata miujiza 🧐🧐ukikaa kusikiliza nyimbo kama izi kama una matatizo unapona kabisa barikiwa mno mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏