Kauli ya CAG nchini Marekani yazua mjadala, wachambuzi waweka mambo wazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2018
  • Baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa na viongozi wa kisiasa nchini wamekuwa na mitazamo tofauti kuhusu kauli aliyoitoa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Mussa Assad nchini Marekani juu ya kuimarisha mifumo ya kitaasisi ili kutekeleza kwa ufanisi malengo endelevu, SDG.

ความคิดเห็น • 24

  • @davidmagori5666
    @davidmagori5666 5 ปีที่แล้ว +1

    prof appriaciate u , kama taasisi zetu zkiwa strong hakika Tanzania mpya yaja. MUNGU Ibariki. TANZANIA

  • @saidbakari1127
    @saidbakari1127 6 ปีที่แล้ว +6

    Prof Assad Upo vzur

  • @karimnelson5168
    @karimnelson5168 6 ปีที่แล้ว +4

    Mzee yupo vzur

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 5 ปีที่แล้ว +6

    Upinzani waliwahi kuzungumzia umuhimu wa kuwa na taasisi imara lakini tuliwapuuza!

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 5 ปีที่แล้ว +1

    watu kama nyinyi tunawaitaji sana unamtazamo wambali sana

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 5 ปีที่แล้ว +1

    ssm wanatengeneza mazingila yakuiba zaidi

  • @kizitodeodat905
    @kizitodeodat905 5 ปีที่แล้ว +5

    CAG YUPO SAHII BUNGE LIMEKOSA MENO HALINA UWEZO! CAG ANACHUKIWA KWA KUSEMA UKWELI?

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +1

    CAG yupo sahihi,Km Trump angekuwa ana nguvu kuliko taasisi leo hi US kusingekalika,angeamua kila atakacho

  • @josephmwakosya4708
    @josephmwakosya4708 5 ปีที่แล้ว +2

    CAG SIO WEWE MUNGU AMEKUTUMIA NANI ASEME WOTE KIMYA SEMA TANZANIA IPONE TULIPO PABAYA SANA

  • @drnelsonangajilo6860
    @drnelsonangajilo6860 5 ปีที่แล้ว +1

    okay

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 5 ปีที่แล้ว +1

    Msema ukweli Tanzania ni msaliti tuwe na tabia ya kuelezana ukweli hata kama unauma ..No one perfect..Tusiwe na tabia ya kushangiria hata tukitukanwa , lazima tupime yanayosemwa na tuliowachagua ili tuwe na taasisi imara , tukubali kuwa sisi ni watu kwa hivyo hakuna asie kosea.

  • @jumahassan5683
    @jumahassan5683 5 ปีที่แล้ว +2

    Naunga mkono hoja

  • @sulymansalymaly3859
    @sulymansalymaly3859 5 ปีที่แล้ว +1

    CAG ww upo vzur piga kazi achana na wagonga meza wanaotaka kusifiwa tu ukweli hawautaki badala wa kuwawajibisha wanaohusika leo wanawakingia kifua.

  • @bekasaimon3528
    @bekasaimon3528 6 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kkweli huo ni muono WA. Hali. Ya juu na wasomi Wetu wawe na ujasiri Ili kusaidia uelewa.

    • @mwesigepaulo4308
      @mwesigepaulo4308 5 ปีที่แล้ว

      Tanzania kwaiyo atuna tasisi inayojisimamia auzipo kamakapu lamvuvi

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 5 ปีที่แล้ว +1

    C A G YUKO SAWA KABISA..

    • @khamiszuberi4177
      @khamiszuberi4177 5 ปีที่แล้ว

      C A G kaizalilisha nchi muache ubinafsi ukisema bunge nizaifu imaana yake nikwamba aliemteuwa spika wange nizaifu ambae ni mkuu wanchi pia wewe mwenyewe nizaifu Kwa sababu una Fanya kazi zabunge kupitu C AG Kakoea

  • @robertmwasaga7190
    @robertmwasaga7190 5 ปีที่แล้ว +1

    speaker alitaka CAG asifie bunge linafanya vizuri, uyo si mwanasiasa kama Jobo ndugai, mbunge uyo ni mtaalamu aliwaletea taarifa kama akutekelezwa Ni uzaifu Kweli wa muumuu, taasisi au wizara legwa,
    kajibu swali alilo ulizwa anakosa gani CAG? Speaker ajitasimini yeye anatosha

  • @TheAlman
    @TheAlman 6 ปีที่แล้ว +3

    What happens when magufuli gone ???