Cheki 'Wajeda' walivyotambiana ndani ya studio kuelekea CDF Cup 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • VIWANJANI 08/07/2024 | Ni wawakilishi wa kamandi mbalimbali za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakieleza jinsi walivyojipanga tayari kwa mashindano la Kombe la Mkuu wa Majeshi, #CDFCup 2024 .
    Kamandi zilizowakikishwa ndani ya kipindi hiki cha #Viwanjani ni Kamandi ya Anga chini ya Kanali David Luoga ambao wametamba kuchukua ubingwa wa basketball
    Kamandi ya Wanamaji ikiwakilishwa na Luteni Navy Rashid Ally imefichua siri ya kujichimbia Kigamboni..
    Kamandi ya Makao Makuu, Kanali Valerian Mwita anasema wao ni tishio kwenye ngumi akitamba kuwa na bondia Selemani Kidunda..
  • กีฬา

ความคิดเห็น •