ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mbwaduke, Uchambuzi wako wa Kina, Na kukubali mno, BIG UP💪💥💪
Asante sana Mzee wa data 😂😂😂😂😂
Asante sana Kwa uzalendo wako mr .mbwaduke
The only analyst/pundit i RESPECT IN TANZANIA! NUMBERS DONT LIE
Mbwaduke big up unajuwa kufany uchambuz wa michezo kiujumla
Mbwanduke upewe 💐yako unajua
Asante kwa uchambuzi uliotukuka
naam mbwanduke safi hilo swali akawaulize wao watapo kutana na yanga
Mm binafsi bwana Bwaduke huwa nakukubali sana haswa kwa takwimu, pili hauna upande wa timu yyte big up sana.
Namba haziongopi! Hakuna eti za ndani!😂😂😂😂
Ok allah awajalie afya njema wachezaji wetu💪💪💪💪
Wonderful!
Me ni msimbazi ❤ lakin league naomba lianze atayefungwa afungwe tyuu❤
Asante sana mkuu, ianze tu tujue moja
Bwaduke hadi sekunde daaah hapo ndonakubaligi🎉🎉
Nilikua nasubiri Kwa hamu na bashasha uchambizi wako MUNGU akutuze 🙏
Sanaaa
👊👊🤣🤣 Mbwaduke anasema siri ya kambi haitoki🔰🔰💛💛💚#wee haugopi?!!!😂😂😂
Good job
Yanga nomaa hapo nikipgo tuu
🧡💛💚👏👏👏
Huruhusiwi kutoa Siri ya Kambi 👏👏👏👏👏👏👏👏
Natamani kumsikiliza mwamba Mbwandike.
Shukran! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
Bwaduke umenifurahisha hakuna kuvujisha Siri ya kambi😄😄😄😄😄
💐💐💐💐💐
Dada huyo yuko vizur
❤
Asante
Bwaduke mbona hutujuzi kuhusu mkude nungunungu
Kwa taarifa rasmi ya Yanga iliyotolewa na Kamwe, Mkude bado yupo Yanga...si kweli kwamba amepewa "thank you".
👍
@@MbwadukeStats❤❤
@Mbwadukestats. Fungua darasa la kufundisha wachambuzi wa bongo, hasa mahesabu ya kimpira kutokana na takwimu.
Kwani mkude humuoni mazoezini avc town
Huyo mwandshi anayeulza maswal, awe anasubir unamalza kueleza kile ulichokuwa unaeleza. Asikatishe maongez. Ana haribu. Kn kitu mmekiruka kwasbb y kuinterrupt. Samahan lkn.
Watangazaji wengi bongo wana hilo tatizo,the majority!huyu dada yuko poa though

👊👊🤣🤣 Mbwaduke anasema siri ya kambi haitoki🔰🔰💛💛💚
#wee haugopi?!!!😂😂😂