TOBAAH!! HILI NDIO TENGA LA KUKUSANYA PESA ZA GOLI LA MAMAA |VITAL'O WAMEYAKANYAGA WANAPIGWA NYINGI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- livestreaming #chama #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad
The Official TH-cam Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)
Booking : jrmtitatv@gmail.com
Contact : +255 716 051 853 - กีฬา
Daaaaah dogo hongera san Kam umemkubal huyu dog npe Lak zenu
Love yanga
Jamaa anaongea vizuri sana uwezi kuamini
Ubunifu mzur hongera sana
Mama hongera sana kwa kusapoti mpira
Huyu kaka kapendeza, mshabiki ndaki ndaki, goli la mama, na kapu kubwa mtakijaza
Daa! Safi sana mwananchi
Umetisha mkuu
Jamaa safi kabisa 🎉🎉🎉
Injinia anatakiwa uyu kwa mechi za kimataifa akatiwe pasport aende kusapoti timu
😅😅😅ukiwa na mtoto mkasi uongeze shamba
Hahahahahaaaaaaaa!!!!! hatariiiiiiiiiiiiiiii
Mabangi izoooooooooo
Mama Kibaka tu! Ungejua matrilioni yanayopigwa na wahuni wanzie ,mwanae na yeye mwenyewe, asingesema!
Yanga Leo sio 4 tena ni 5
Vital o 2_1 yanga
Makolo huyooo analia 😂😂😂
Colo wizad
Kolo...Unaweweseka Ukiwa Wapi😂😂
DUUUU
Yanga bingwa vaa hii😂😂😂😂
Huyu jamaa nimesoma nae Shule ya msingi Uwanja wa Ndege tulimaliza la Saba 2005.siyo mdogo kiivyp!.
Mwamba ametisha sana
Krabubingwa ganihio? mbonamchujoooo awaliiiiiiii
Aiseeee dogo ametisha sana
😂😂😂 Jamaa kabaki meno tu
Mbona kama roboti
Hizo hela za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni hela za Kodi za watanzania walalahoi?
Mnacheza nawamasai wenzenu. Mchujooooo
Huyu jamaa vionhozi wa yanga wampe kadi ya wanachama
😂😂😂😂
Dogo umeua😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😢😅
Dah!huyu dogo
aiseee dogo ametisha sana
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂