hizi ni chambuzi za akili,na kufuatilia vitu vya wachezaji mmoja mmoja yupo vzr siyo zile chambuzi za mahaba,mtu anamsema au kumsifia mchezaji hata statistics zake hana.
mbwaduke as one of the current best football analyst,’’ for Mzize, we can say that the star is shining at a great level, he is showing us more and more, it just took him time
If i was Mzize,i would stay at Yanga for more development! If he rushes for money,that will b the end of him( those offers are rubbish fro rubbish clubs as we speak) ATM , Yanga is the best club to play for!! Yanga are smart,they goma keep him then sell him at a good price! They will make sure all their money is back n pfofits juu! By the way,hizo ni ela ndogo sana!
Yanga must at any cost or circumstances retain Mzize. Those tricky offers are not serious issues and are simply trying to destroy us Wananchi. Ask them to stop disturbing our player's psychology. He need peace of mind to perform at his best. Hauzwiiii. We too have a mission to succesfuly accomplish 😂😂😂😂😂
Hii channel nilichelewa kusubscribe. Kaka unajua kuchambua , Hongera Sanaa 👏. Ila Nina swali naomba unijibu, ivi mchezaji anapouzwa Kwa mkopo inakuaje hii?? Yaani kuhusu mshahara wake, n.k??
Shukrani sana kwa kutuunga mkono...masharti ya mkopo hutegemea makubaliano ya klabu 2 husika. Wanaweza kukubaliana kwamba klabu mama ndiyo iendelee kulipa mshahara wote, au kucgangia sehemu ya mshahara au jlabu inayomchukua kwa mkopo ndiyo ilipe mshahara wote n.k. Hakuna fomula maalumu katika kufanikisha hilo.
Hujui biashara ya mpira wewe! Hizo ni ela ndogo sana wanazo offer! Na hizo team haziko kwenye kiwango bora sasa hivi, Mzize inabidi apate uzoefu in CAFCL ili pia thamani yake ipande,! Ela sio kitu kwa umri wake! Development ndo muhimu! Na Yanga ndo itamtoa! Madalali ndo wanataka kumpotosha kwa manufaa yao sio yake! KUCHEZA nje in Africa,sio kama ULAYA! Kuna uchawi,ubaguzi, mazingira nk! Inabidi akue kiakili pia!
@@RamadhanMbwana-o1jIna shida labda labda kama hujui mpira,! Atakuaje akiwa na wachezaji hovyo Yanga kuna majina bana! Watu huko bongo hamjui! Mnaioma Yanga ni ya kawaida? Kila mchezaji sasa hivi anataka kujaa yanga!
Asante sana Mbwaduke kwa kweli uchambuzi wako ni mzuri sana
Nakuelewa sana bro unajua sana.
Uncle Mbwaduke anafanya kazi kubwa sana kutupa uchambuzi huu, tusisahau kusubscribe, kushare, kulike na kucomment.
Big Up Bro Mbwaduke. Zidi kutupa uchambuzi huu yakinifu .Nobody does it best like you.
hizi ni chambuzi za akili,na kufuatilia vitu vya wachezaji mmoja mmoja yupo vzr siyo zile chambuzi za mahaba,mtu anamsema au kumsifia mchezaji hata statistics zake hana.
mbwaduke as one of the current best football analyst,’’ for Mzize, we can say that the star is shining at a great level, he is showing us more and more, it just took him time
Not one! The Only ONE,! ,the rest are crap!
If i was Mzize,i would stay at Yanga for more development! If he rushes for money,that will b the end of him( those offers are rubbish fro rubbish clubs as we speak) ATM , Yanga is the best club to play for!! Yanga are smart,they goma keep him then sell him at a good price! They will make sure all their money is back n pfofits juu! By the way,hizo ni ela ndogo sana!
Mchambuzi wangu Bora kabisaaaa
Mchambuzi wangu bora kwa.sasa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka unajua sana kuchambua 🎉
Good bro
Talent broo keep up
Yanga wapo sawa kabisa kwa sababu hao wapuuzi wanamshusha thamani mchezaji na yanga wapo katika kumkuza mcheza yanga kubwa kuliko hizo timu
Yanga must at any cost or circumstances retain Mzize. Those tricky offers are not serious issues and are simply trying to destroy us Wananchi.
Ask them to stop disturbing our player's psychology. He need peace of mind to perform at his best. Hauzwiiii.
We too have a mission to succesfuly accomplish 😂😂😂😂😂
Hiyo ni mashine hata Manchester City anakipiga bila wasiwasi
Wewe ni zaidi ya mwalimu
Offer ya ausbarg hujaweka
💚💛💚💛🔥🔥
Nakuelewa sana huyu mwamba katika uchambuzi wake
Hii channel nilichelewa kusubscribe. Kaka unajua kuchambua , Hongera Sanaa 👏.
Ila Nina swali naomba unijibu, ivi mchezaji anapouzwa Kwa mkopo inakuaje hii?? Yaani kuhusu mshahara wake, n.k??
Shukrani sana kwa kutuunga mkono...masharti ya mkopo hutegemea makubaliano ya klabu 2 husika. Wanaweza kukubaliana kwamba klabu mama ndiyo iendelee kulipa mshahara wote, au kucgangia sehemu ya mshahara au jlabu inayomchukua kwa mkopo ndiyo ilipe mshahara wote n.k. Hakuna fomula maalumu katika kufanikisha hilo.
❤❤❤❤
YANGA BINGWAAAAAAA 🤣
Mzize sitosita kusema we ni fire baba utatoboa kwa sasa watu kama wewe hapo Tz hakuna ni we tu mmoja
Mwaduke ndo mamchambuzi wang bora
King
Mwaduke xaf kabx
Yanga yangu muachieni
Yanga = real Madrid ya Africa 🌍
Hujui biashara ya mpira wewe! Hizo ni ela ndogo sana wanazo offer! Na hizo team haziko kwenye kiwango bora sasa hivi, Mzize inabidi apate uzoefu in CAFCL ili pia thamani yake ipande,! Ela sio kitu kwa umri wake! Development ndo muhimu! Na Yanga ndo itamtoa! Madalali ndo wanataka kumpotosha kwa manufaa yao sio yake! KUCHEZA nje in Africa,sio kama ULAYA! Kuna uchawi,ubaguzi, mazingira nk! Inabidi akue kiakili pia!
Tuambie je Kuna busara kumuacha aende timu am azo hazimo ktk mashindano ya CAF au akachesmze faraja la pili ulaya?
Haina shida ...
@@RamadhanMbwana-o1jIna shida labda labda kama hujui mpira,! Atakuaje akiwa na wachezaji hovyo Yanga kuna majina bana! Watu huko bongo hamjui! Mnaioma Yanga ni ya kawaida? Kila mchezaji sasa hivi anataka kujaa yanga!
@@frankphiri9132 Ni bora akacheze Ulaya...