Wkt Lawi anaondoka nyie wote mlimdozoa ati abaki Simba lkn kwa huyu wa Yanga mnabadilisha kauli. Yanga ni timu kama hizo nyingine ina project yake, acheni abaki atimize ndoto ya klabu yake.
Kamwe ameshawapa makofi ya kwenye mashavu na masikio. Fei yuko vizuri kuliko mzize, jitahidini kumshauri aende huko mnakokutaka ile tsifa stars ifanye vizuri.
National team imewasaidia nin hadi sahiz? Aende halafu wakampige benchi au wafanya udalali? Acheni ujinga na ushamba wa kizamani, mpira sahizi unafanana kila sehemu...Wachezaji wa Yanga mnawakalia kooni kila siku ila madunduka hamsemi...Toweni udalali wenu...
Nyinyi vichaa kweli ni wachezaji wangapi wamefanya makubwa taifa stars na hawakutoka nje bado mtu anaulizwa swali hili anajibu vingine nyie mazumbukuku kweli
Nyie wachambuzi ni wajinga tu sinyie mlikuwa mnamlaumu lamek lawi kwenda nje au kwa sababu leo ni mchezaji wa yanga uchambuzi wa kijinga timu inayotaka maendeleo haiuzi wachezaji ovyo nenda all ahaly leo kama utampata pec tau.
Haswa wewe jemedar kwa yanga sawa kumuuza mzize ila simba na lamek cio sawa kuuzwa nje na cost ila aje simba milioni sitini umeona nyingi kamchukue mchezaji wa simba umpeleke mchambuzi uchwara .
National team kwa gharama ya Mzize kuwekwa bench? Hamkumuona Mzuva avokuwa akifanyiwa na hao maarabu hata akipangwa asipewe pass kufunga? Mayele mwenyeww ankutana na hiyo adha!!!
hapa sasa ndo tutaona media zetu zinavyochukulia mambo kishabiki, yaani mzize kuwa yanga inakuwa nongwa, kwani hapo yanga hachezi? ao yanga mnawaona je hasa.
Hivi waandishi kweli mtu anatakuoa anaanza kupamba ukumbini..kweli kabla huja kubaliana nae.kwa ridhaa ya wazazi wake..na mwenye ukumbi anawashutumu wazazi hata posa hana..duuuuh mzize mchezaji wa yanga..vilabu vinakuja kwa wachambuzi wanamtaka mzize..heeeeh ..aaaa sawa wachambaji..
kwani hiyo yanga mnajikuta mnaiona je hasa ni kama dodoma jiji eeeh..? muwe na adabu, hizo wydad zimesha shuka viwango zimebakiza majina tu, yanga ndo inathibitisha kuwa ni timu kubwa, nyie si mnaionaga tu kama pamba jiji mnaiongelea kirahisi tu, sasa huko nje heshima ya yanga ndo hiyo ni kubwa. maana yake yanga ina wachezaji wa kuonekana na timu zenye majina kama hizo mlakini yanga nao kwa sasa wako juu, acheni propaganda na ujuaji mwingi.
Wewe mchambuzi haujui kitu yanga ni kubwa kuliko unavofikilia wewe acha mzize abaki yanga tu maana timu kubwa razima ibaki nawachezaji wazuri ila mnaangalia faida tu
YANGA BINGWA

Mchambuzi unashauri km wew simba, hatutoi mzize
Hili sio sakata ila nyinyi ndio mnataka ionekane sakata.Mzize bado yupo km mmekasirika nendeni FIFA.fuataneni na Magoma
Kamwe ameshawapa makofi ya kwenye mashavu na masikio. Fei yuko vizuri kuliko mzize, jitahidini kumshauri aende huko mnakokutaka ile tsifa stars ifanye vizuri.
Hawa wanaojitia mawakala ndio wanaowatia wazimu wachezaji kwa tamaa zao.
Huyu mchambuzi ni mpuuzi hajiamini eti wamruusu kwani Yanga anaiona timu ndogo?
Tengenezeni academy acha kukalili
Ww km nani.... Uipangie Yanga sio nyinyi mlosema huyo mzize bado sana inabidi akuwe na kujifunza kwa wengine
National team imewasaidia nin hadi sahiz? Aende halafu wakampige benchi au wafanya udalali? Acheni ujinga na ushamba wa kizamani, mpira sahizi unafanana kila sehemu...Wachezaji wa Yanga mnawakalia kooni kila siku ila madunduka hamsemi...Toweni udalali wenu...
Wacheni kutojiamini na sisi ni wakubwa hata mbuyu umeanza km mchicha.kwani chama,hakwenda huko na akarudi
Nyinyi vichaa kweli ni wachezaji wangapi wamefanya makubwa taifa stars na hawakutoka nje bado mtu anaulizwa swali hili anajibu vingine nyie mazumbukuku kweli
Nyie wachambuzi ni wajinga tu sinyie mlikuwa mnamlaumu lamek lawi kwenda nje au kwa sababu leo ni mchezaji wa yanga uchambuzi wa kijinga timu inayotaka maendeleo haiuzi wachezaji ovyo nenda all ahaly leo kama utampata pec tau.
Haswa wewe jemedar kwa yanga sawa kumuuza mzize ila simba na lamek cio sawa kuuzwa nje na cost ila aje simba milioni sitini umeona nyingi kamchukue mchezaji wa simba umpeleke mchambuzi uchwara .
Kaka timu aitengenezwi kwa mtu kuuzwa
National team kwa gharama ya Mzize kuwekwa bench? Hamkumuona Mzuva avokuwa akifanyiwa na hao maarabu hata akipangwa asipewe pass kufunga? Mayele mwenyeww ankutana na hiyo adha!!!
hapa sasa ndo tutaona media zetu zinavyochukulia mambo kishabiki, yaani mzize kuwa yanga inakuwa nongwa, kwani hapo yanga hachezi? ao yanga mnawaona je hasa.
Hivi waandishi kweli mtu anatakuoa anaanza kupamba ukumbini..kweli kabla huja kubaliana nae.kwa ridhaa ya wazazi wake..na mwenye ukumbi anawashutumu wazazi hata posa hana..duuuuh mzize mchezaji wa yanga..vilabu vinakuja kwa wachambuzi wanamtaka mzize..heeeeh ..aaaa sawa wachambaji..
Wee jemadari hee hee ndo Nini Sasa.Mzize piga kazi.
Nasisi tuna kazi nae hayawahusu makolo nyie
kwani hiyo yanga mnajikuta mnaiona je hasa ni kama dodoma jiji eeeh..? muwe na adabu, hizo wydad zimesha shuka viwango zimebakiza majina tu, yanga ndo inathibitisha kuwa ni timu kubwa, nyie si mnaionaga tu kama pamba jiji mnaiongelea kirahisi tu, sasa huko nje heshima ya yanga ndo hiyo ni kubwa. maana yake yanga ina wachezaji wa kuonekana na timu zenye majina kama hizo mlakini yanga nao kwa sasa wako juu, acheni propaganda na ujuaji mwingi.
wamwachie vipi? we mchambuzi hujielewi hata mifano huoni kuna msuva aling'ara na yanga akaenda huko kwa warabu kikowapi saivi pia samata
Usiwapangie watu,ikiwa Yanga anapata nafasi dakika 20, je warabuni ataingia dakika ngapi?
Wewe mchambuzi haujui kitu yanga ni kubwa kuliko unavofikilia wewe acha mzize abaki yanga tu maana timu kubwa razima ibaki nawachezaji wazuri ila mnaangalia faida tu
Wachambuzi wa ovyoo kabisa
Acheni ushabiki,Mzinze atakwenda ulaya kupitia Yanga,watanzania tu watu wa ajabu ,Yanga hawastahili kuchukua ubingwa wa Afrika?
Tafuta wa kwako umpeleke wivu unakusumbua kolo mkubwa wewe