Mchungaji mimi ninaombi kwako kuniambia kuhusu vaccine hii ya covid-19 maana watu wanasema ni namba ya mnyama , ninahitaji msaada wa kunielewesha kama inakumbalika kwako kunisaidia kunielewesha maana wewe ndio mchungaji watu nakubali sana mafundisho yako kwa kutumiwa na MUNGU nahitaji msaada kuhusu hilo tafadhali , Asante
PASTOR MUNGU AKUBARIKI SANA MM BINAFSI NIMEONA FAIDA YA HAYO MAMBO LKN NILIKUA BADO NAFELI KDG KDG LKN UMENITIA NGUVU NA SASA NGOJA NIENDELEE....NASUBIRI HILI LA TATU😇
Kweli kabisaaaa huko sahihi sana sana. hata jana nilimwambia rafiki yangu husimpangie mtoto kitu cha kusomea. Afanye kilicho ndani yake amuulize amsaidie.
Mchungaji nakushukuru kwa mahubiri hakika nimejielewa!! Mungu nisaidie.
A brilliant servant of God 🙏! Shine on your way to serve God in your position.
A model to emulate!
Can give him a like....
Amin ubarikiwe sana mchungaji kwa mahubir yeny kutuinua🙏🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇹🇿
Amina pastor
Asante sana pastor mbaga,
Umenipa mwanga mkubwa sana.
Mungu mwenyezi azidi kukutia afya na hekima tele.🙏🙏🙏
Very brilliant man of God ,you've planted a seedling in my life, thank you and may God bless you more to bless us from these broadcast.
The man of GOD. GOD Bless You
Mungu akupe elim zaid ya hapo ulipofikia nasi tupate kujifunza Ahsant japo mm ni mwislam lakin nimejifunza mengi mazuri
The Best teacher on youtube.
Genius. You are the gift the world. (Wewe ni zawadi ya dunia)🙏🙏🙏
😢😢r run FF FF😢 FF
Mungu akubariki Pr Mmbaga🙏
Past mungu akubariki
Mchungaji mimi ninaombi kwako kuniambia kuhusu vaccine hii ya covid-19 maana watu wanasema ni namba ya mnyama , ninahitaji msaada wa kunielewesha kama inakumbalika kwako kunisaidia kunielewesha maana wewe ndio mchungaji watu nakubali sana mafundisho yako kwa kutumiwa na MUNGU nahitaji msaada kuhusu hilo tafadhali , Asante
mungu sndbhshie ohp mtakatfu na mtumish anapohubir nisikie hih tunauombea sana
Nabarikiwa sana mchungaji ...niko mbali sana na kabisa lakini nahisi niko darasani.Ameni
Ubarikiwe sana mutumushi wa Mungu
Munguakubariki sana tenasana
Asante kwa mahubiri ya kuongeza nguvu Pastor
Barikiwa sana hii ipo vizur mm nimeelewa sana
Pastor,thanks sana,ubarikiwe.nahitaji maombi kwa watoto wangu
Wewe ni mwalimu wa watu WAZIMA,Ubarikiwe sana.
Asante Sana mtumishi wa Mungu 🙏
Baba mungu akusaidiye tukitaniye mmbinguni Siku yaujo wake
mbaga you are amazing pastor
Praise the Lord
Mungu akuzishie nguvu
Barikiwa pr
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Amina mtumishi Asante kwa kunifungua
Amina
We thank God for you !
Mafanikio n matokeo ya kuliishi kusudi uliloumbiwa
PASTOR MUNGU AKUBARIKI SANA MM BINAFSI NIMEONA FAIDA YA HAYO MAMBO LKN NILIKUA BADO NAFELI KDG KDG LKN UMENITIA NGUVU NA SASA NGOJA NIENDELEE....NASUBIRI HILI LA TATU😇
Mungu akamate makanwa yako ayape ulinzi ili tupate ufahamu zaidi kumjua kristo Wa Neema yote
@@christophermalilah7110 qouyyyy
Utajuaje makusudi ya Mungu ktk maisha yako???
Asante pastor Ila nahitaji usaidizi kutoka kwenyu
+255755932283 tuma ujumbe Whatspp
Ameen
Barikiwa sana baba angu
Nakuelewa sana Mchungaji
Pastaa nakuaminii ety😮😂
Kweli kabisaaaa huko sahihi sana sana. hata jana nilimwambia rafiki yangu husimpangie mtoto kitu cha kusomea. Afanye kilicho ndani yake amuulize amsaidie.
Hahahahah mambo ya Samsoni usije ukajaribu yatakutokea puani ....Mungu akubariki Pastor
Pasta uko visuri Sana mafundisho yako yanabariki Sadi yayote
Uko sahihi kabisa barikiwa
Watoto wa Mungu hatuna hasara sisi
Aamen😢
Hallelujah! 🤲
Amen it's true
Amen
Barikiwa sanaa mtumishii
Nc content
Amina.
Amina
We
Hakika
MBAGA UNAJUA VITU SANA SANA
Ubrkiw
🙏🏻🙏🏻
Aki maelezo yako ni ya manufaa saana
Unacheka,wenzako walishacheka.akili hii tabu
Nakipata je? Niko Kenya
Don't forget to watch this true story and insparitional story from tanzania by clicking the link below
th-cam.com/video/KYJGonlrZps/w-d-xo.html
🙏🙏
Sema yote
Good
Munguakubariki sana tenasana
Amina
Mafanikio n matokeo ya kuliishi kusudi uliloumbiwa
Amen
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen