Asante Yesu, nisaidie kuyaishi mafundisho haya maana kwa akili zangu siwezi nikiangalia changamoto ninazopitia, mbarikiwe mahubiritv kwa kutujali kiroho kila siku
Pastor sijui nikwambie nini NIKISEMA MUNGU ANANIPENDA NAMAANISHA. Naomba MUNGU anijalie nipate nafasi ya kuzungumza na ww. MUNGU wa Mbinguni akubariki sawasawa na MAPENZI YAKE/KUSUDI LAKE KWAKO.AMENI
Jambo pastor. Nafurahi na sisi Africa kupata mtu kama weye. Nakusikia mahubiri yako na kumbuka Dr males monre. Email yangu hiyo shabaninunda@gmail.com. phone number yangu ni +61478656411. Maneno hunayo sema siyo yako nia mungu From shabani nunda
Pastor sijui nikwambie nini NIKISEMA MUNGU ANANIPENDA NAMAANISHA. Naomba MUNGU anijalie nipate nafasi ya kuzungumza na ww. MUNGU wa Mbinguni akubariki sawasawa na MAPENZI YAKE/KUSUDI LAKE KWAKO.AMENI
I'm so blessed pastor vitu zingine tunapitia na hatujui maana yake Asante sana kwa kutusimulia amina🎉🎉🎉
Asante pastor umeniaidia sana kwa funzo nzuri barikiwa sana
Amen
Asante Yesu, nisaidie kuyaishi mafundisho haya maana kwa akili zangu siwezi nikiangalia changamoto ninazopitia, mbarikiwe mahubiritv kwa kutujali kiroho kila siku
Asante sana muchungaji,nilikuwa sijuwi hilo.nimebarikiwa. vile Mungu anisamehe kwakuwa nilikuwa nazoeya tukana watoto.ubarikiwe zaidi.
I'm blessed with the encouragement message pastor, I'm very important kweli
Wewe kweli ni mchungaji Tena Mwalimu mkuu mwenyesi mungu akubariki san.
Somo zuri sana,Mungu akubariki zaidi Mch. Mbaga
Ameni asante pst natakakukiri na kuamini mungu anisaidie amina
Asante yesu kwa neno lako asante mungu maana Unanipenda
Kila nitakacho panga kitafanikiwa kwa nguvu ilioko ndani yangu amen mungu akubariki mchungaji kwa mafunzo mema haya
Amen
Asante Pastor, mpaka hapa tu tayari nimefanikiwa kwenye Kila eneo la maisha yangu. Barikiwa mtu wa Mungu.
Pastor hiyo miti niyaogelesa yote mungu ni mwema hakuna ata moja imekauka amen.
Ubarikiwe Pastor. Mungu akupe hekima na maarifa nyingi kwa kutusaidia kukua na kukomaa KIROHO na kimwili pia. Ubarikiwe, ubarikiwe. Amina.
Nimebarikiwa sana pastor, Mungu azidi kukufunika katika mbawa zake
Ubarikiwe mchungaji kwa mafundisho mazuri. Nimefikia kubarikiwa sana.
Asante sana pastor nimejifunza sana maisha yangu yamebadilika kuanzia sasa sikuyajuwa haya....🙏🙏
Nashukuru pastor umeniongoa
Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu hakika nabarikiwa Sana na mafundisho yako
Amen you are among the best teacher
Praise the Lord
Ameeeeeeen barikiwa Sana mtumishi
Your preaching is so powerful and motivated, Amen
Tema chini umenikumbusha mbali sana, Mungu unaishi.
Asante Mchungaji. Somo la kipekee. Barikiwa sana. Eleza hiyo dawa ya malaria
Mungu amekutumia vyema nami naomba hiyo dawa barikiwa sana
Mchungaji Naenjoy sana, Ubarikiwe
Amen nitabarikiwa kwa imani
Ameeeni sana...nimebarikiwa
Jamani mchungaji Mungu akupe maisha marefu mwee naona uzima kabisa.
Some Zuri mno. Limenibariki sana mchungaji Mmbaga. Mungu awe nawe daima🤲🙏
Ameni hili neno nimeni peleka kiwango chengine🙏🙏👏
Nabarikiwa Sana na masomon haya pastor MUNGU akubariki sana
Pastor sijui nikwambie nini NIKISEMA MUNGU ANANIPENDA NAMAANISHA. Naomba MUNGU anijalie nipate nafasi ya kuzungumza na ww. MUNGU wa Mbinguni akubariki sawasawa na MAPENZI YAKE/KUSUDI LAKE KWAKO.AMENI
Unatubariki mchungaji sana ubarikiwe sana
Asante Mwalimu !!
Mungu akubariki mtumishi wa mungu.
pr umebadilisha maishayangu kwa kweli
Amina, hakika nguvu ya kinywa,Mithali18:20-22
Mungu apewe sifa nilikuelewa sana muchungaji
Amen ubarikiwe Pr
Ameen barikiwa mtu wa Mungu
Mungu asante ila naomba uniongoze katika njia yako nakatika kusudu lako
Balikiwa kwa mafundisho pasta Mbaga
Asante sana kwa ujumbe huu mzito.ubrikiwe sana
Naongea na watu ama binadamu huhuhuuhu ubarikiwe
Pastor ubarikiwe kwa mafundisho mazuri najifunza mengi kwako
Big up pastor may God bless you
Amina barikiwa sana mchungaji 🙏🙏🙏🙏
Nimebarikiwa mnoo pastor
Esther Nyabuto from KSA Ameen🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe pr
Sasa nmeelewa pastor asante sana
ama kwa kweli nimerishwa na mafunzo yako mchungaji. naendelea na sehemu ya pili
Amen
34:23 "bwana atusaidie sana" SAUTI YA MTOTO INASIKIKA KANA KWAMBA INASEMA AMEEEN
Yaani pastor umenifurahisha 😂
Kweli Mungu alitujuwa tangu hatuja zaliwa
Kila nitakachopanga kitafanikiwa kwa nguvu iliyoko ndani yangu.
Ninapo endelea kukiri kitu kinaumbika...Amina
Ubarikiwe na wewe mtumishi
😇 amen
Niliposikia mahubiri yk leo hiinajisikia kua wa dhamani ndani ya yesu barikiwa sn number Nina shida ndani yangu
Ameen.
Powerful pastor
Amen
Ubalikiwe
" NAONGEA NA WATU AMA BINADAMU" .....Haaa ubarikiwe Mchungaji
true. uwazalo ndilo litatokea kwenye mafanikio hata mm hunitokea halikama hyo
Amen 🙏🙏🙏
amen
Mtumishi kweli kuna ufunguo nauona kabisa ukgusa akili yangu nahitaji vitabu vyako nipo mbeya
Amen
Hakika mm ni mshindi
Mchungaji ubarikiwe
Kila nitakacho panga kitafanyikiwa kwa nguvu iliyoko ndani yangu.
Jambo mchungaji nífafanulie uyo mtu
Nimeelewa sasa kwanini Mungu alimwambia Yeremia kwamba alimjuwa tangua hajazaliwa
Psalms 8:4
Ubrkiw san
Hakika somo hili limenipa mtazamo Mpya.
My english version says.." angels" not God ...why is it different? isnt the bible supposed to be the same one universally
Which version and which verse ?
@@MahubiriPrMmbaga ps 8:5 kjv
Ila pastor naomba unijibu .Je mkristo ni halali kulima au kufuga kilimo chakisasa kilichojaa machemicalz au hiyo inakaaaje?
MUNGU AKUBARIKI MCHUNGAJI WA MUNGU ENDELEA KUTULISHA UTALIPWA NA BWANA NI MIMI HOLINESS MWANAO.
Genesis 1:26
Amen
Amen.
Amina
To GOD almighty one be the glory forever and ever AMEN.
Bwana akubariki Mchungaji
Ni dawa gani ya kuuwa mararia kwa masaa 24
Waeberania 2 : 5
Methali 13:16
Mchungaji kuanzia sasa nitaanza kulifanyia mafundisho yako.
.
Jambo pastor. Nafurahi na sisi Africa kupata mtu kama weye. Nakusikia mahubiri yako na kumbuka Dr males monre. Email yangu hiyo shabaninunda@gmail.com. phone number yangu ni +61478656411. Maneno hunayo sema siyo yako nia mungu
From shabani nunda
Nina swali, je ukilirudia ombi kwa mara kadhaa, inamaana kwamba hujaamini au ni vipi?
Pastor sijui nikwambie nini NIKISEMA MUNGU ANANIPENDA NAMAANISHA. Naomba MUNGU anijalie nipate nafasi ya kuzungumza na ww. MUNGU wa Mbinguni akubariki sawasawa na MAPENZI YAKE/KUSUDI LAKE KWAKO.AMENI
Kila nitakachopanga kitafanikiwa kwa nguvu iliyoko ndani yangu
Mchungaji ubarikiwe
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen