SHEIKH:MSELEM BIN ALY HII NDIO HISTORIA KAMILI YA MAISHA YANGU YA GEREZANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2021
  • #AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran
    Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

ความคิดเห็น • 89

  • @salummajigamajiga2870
    @salummajigamajiga2870 2 ปีที่แล้ว +11

    Polen sanaaa shekhe wetu inshallaa Allah akulipeni pepo tena frdausi

  • @haroubsamir9450
    @haroubsamir9450 2 ปีที่แล้ว +8

    Shehe wetu bado tunakuelewa sana ALLAH atatulipia

  • @shabaniumande
    @shabaniumande 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Sheikh wetu,
    Kila Mahala Masalafiya jadidah ni mtiani sana

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi hapa duniyani na akupe pepo ya juu kwa rehema zake

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว +4

    Do!!! Yaani uliyokutananayo ndio maisha yetu waislam dunia nzima wallahi hii NI adhabu toka kwa Allah kwa kuwacha dini. Yaani umenipa funzo la kuogopa kushirikiana na muislam ila kwa tahadhari kubwa mno wallahi.

  • @MohdAbdalla-uq4pe
    @MohdAbdalla-uq4pe 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awaoneshe na wao hao walio watia ndan bila ya sababu yyote mungu awaoneshe hapahapa dunian Kila Alie shiriki kufanya hvyo

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 2 ปีที่แล้ว +6

    الله يحفظكم يافضيلة الشيخ مسليم علي وهكذ المسلمون داءما مختلفون.

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana masheikh wetu

  • @iddyally7471
    @iddyally7471 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah akulipe sheh wetu

  • @YussufHaji-go6tk
    @YussufHaji-go6tk 25 วันที่ผ่านมา

    Allah in shaa Allah atakulipeni

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam aleikum Sheikh umeeleza vizuri sana lakini ulipotafsir "Ayat kursii" pale hakuna mtu wa kuombea ila. Muombaji apate radhi za Allah SUBHANA WATAALAH, "naomba mniweke sawa. Hapo

  • @hassanaloisi3643
    @hassanaloisi3643 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika dunia ni chumba cha mtihani kwa muumini.Allh atawangaza wetesi kwa waumini.

  • @YussufHaji-go6tk
    @YussufHaji-go6tk 25 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipeni

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 2 ปีที่แล้ว +5

    Subhana Allah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulipe mema saidi, akuondolee wabaya woote wauuni.

  • @user-nd2ev5hu1m
    @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

    Wape dozi masheikh kula😊😊😊😊😊😊

  • @user-jh3xm1vu3d
    @user-jh3xm1vu3d 4 หลายเดือนก่อน

    Allah (S.W) hamtupi mja wake,hakuna mkamilifu n umetenda uliyojaliwa kadri uwezavyo .Hiyo n Mitihani y hapa Dunia.Na Uislam n Dini inayoongozwa n Kitabu Kitukufu Quraan,matendo yote y Mitume wetu Muhammad (S.W) n Quraan.Hivyo Mitume walipewa Wahyi n walifundishwa Kw kupitia Malika Jibril.

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 4 หลายเดือนก่อน

      Rekebisha hapo bro Mtume wetu ni (S.A.W) sio S.W tafadhali kaka.

  • @user-nd2ev5hu1m
    @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akubarik sheikh

  • @user-sy1vv6ej1m
    @user-sy1vv6ej1m ปีที่แล้ว

    Pole sana sheikh mselem Allah atakusaidia

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +13

    Ndio tatizo letu waislamu uongo ndio sera zetu.kichwa cha habari umetuambia ni historia kamili.Je ni kweli?

    • @mim9607
      @mim9607 2 ปีที่แล้ว +1

      ATI Kisha tunatarajia nusra

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 10 หลายเดือนก่อน

      Muongo weee na baba yako mulo wafunga mashekh wetu allah awakusameheni na akuongozeni

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 10 หลายเดือนก่อน

      Huna lolote wewe abuu mjinga

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukran

  • @is-hakabinruweikh3833
    @is-hakabinruweikh3833 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @user-nd2ev5hu1m
    @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana sheikh

  • @khamismombo
    @khamismombo 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atakulipa

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar

  • @omarykusah9719
    @omarykusah9719 2 ปีที่แล้ว +3

    Eeeeeh mungu tulinde ss waja wko

  • @user-nd2ev5hu1m
    @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

    Asant sana sheikh kwa kusema ukweli

  • @rahimmbezi9936
    @rahimmbezi9936 2 ปีที่แล้ว +6

    Shukran. Al Akh Adil Abd. Ila mbona sio historia kamili kama tulivyotarajia

  • @user-jh3xm1vu3d
    @user-jh3xm1vu3d 4 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleiykum Warahmatullaah Wabarakatul.

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 ปีที่แล้ว +3

    Dahhh! hatari sana jamani

  • @user-ht8po7un8p
    @user-ht8po7un8p 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nikupe pole sana lakini kwa jela sio waislam tu ni mfumo uliopo jela kuna watu wa usalma wanakuepo ktk makundi wana kuwa wafungwa au mahabusu na wakati mwingine hata mkuu wa gereza na askar awajui kwaiyo ni ngumu kufanya jumuia au kitu cha umoja ukiwa jela ila inshallah tumefahamu

  • @saidmuhsin2446
    @saidmuhsin2446 2 ปีที่แล้ว +6

    Vichwa vigumu popote vipo !!ndio maana tunapata shida

  • @user-kx8ph3ks2k
    @user-kx8ph3ks2k 3 หลายเดือนก่อน

    Shari yako ioo dunian ndio her yko akhera na akher ndo itayobakia Allah ukulipe Pepo yote atayasahau Allah akudimishe ktka twaa

  • @aliy3303
    @aliy3303 2 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Fareed yuko wp

  • @user-nd2ev5hu1m
    @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe malipo mema

  • @user-sy1vv6ej1m
    @user-sy1vv6ej1m ปีที่แล้ว

    Yaa rabbi nisamehe makosa yangu

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH awavuwe hilii na jengineee

  • @rehemaanyosisye5791
    @rehemaanyosisye5791 6 หลายเดือนก่อน

    Asa unasemaje makafiri wew 😢 wakristo sio makafiri boya ww

  • @xmathematics_
    @xmathematics_ 2 ปีที่แล้ว

    Shekh Andika Kitabu#

  • @haifaichongachonga8775
    @haifaichongachonga8775 ปีที่แล้ว +1

    Allah ni mlipaji wa yote

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 ปีที่แล้ว +1

    A alaykum naomba namba ya huyu shekh kwa aliyekuwa nayo japo nimpe pole

  • @abdilahimusa3777
    @abdilahimusa3777 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndo maisha.

  • @KhatibMakame-dp1mn
    @KhatibMakame-dp1mn 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @HalimaSamwel-md1uz
    @HalimaSamwel-md1uz ปีที่แล้ว +1

    Danlood

  • @HdhsHhshd-dc7vt
    @HdhsHhshd-dc7vt 7 หลายเดือนก่อน

    Mayokeo

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 ปีที่แล้ว

    Tatizo linakuja kwa makundi fulani,kuupinga uongozi Saudi Arabia,na kuupiga vita na kuufitinisha utawala huu kwa waislamu,na hapa ndio mwanzo wa yote hayo,kuna wanaouzulia utawala huo ni wa kiyahudi,na mengine,na hilo Allah analishudia,jee Lina ukweli au Ndo tunamkasirisha Allah,Makka na Madina zipo Saudia,kuimarika kwa miji hiyo kunajionesha wazi,jamani hizi fitna ni za nini waislamu?tujiulize tawal ngapi zimepita,waislamu wanataka mtawala gani??.

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 2 ปีที่แล้ว +2

    punguza maandishi kwenye hizi klip boss wangu yanakera wanzio wanaweka neno moja tu au mstari mmoja tu hapo chini ya klipu

  • @suleimansalum.7816
    @suleimansalum.7816 2 ปีที่แล้ว

    Oya

  • @user-in2gi6ho3t
    @user-in2gi6ho3t 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani kumbe weye hujitambui itikadi yako niyaikhiwaanu msilimiina, inawezekanaje tuungane na mashia napote ambayo yanakwenda kinyume na Ahlu sunnat wal- jamaa?

    • @taifaglass6239
      @taifaglass6239 2 ปีที่แล้ว

      Daah Hyyu kumbe mshia?

    • @zenasaid5607
      @zenasaid5607 2 ปีที่แล้ว

      kwani mtume hakuunganisha waislamu wadunia nzima....shia no zao LA mgawanyo

    • @allyabdallahally9637
      @allyabdallahally9637 2 ปีที่แล้ว

      Wewe chenga

    • @Abuqayyim157
      @Abuqayyim157 ปีที่แล้ว

      Pooole

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 10 หลายเดือนก่อน

      Nani mshia weee mhuni sheha mselem ahlu sunna waljamaa

  • @hosannainternationaloutrea7491
    @hosannainternationaloutrea7491 2 ปีที่แล้ว +1

    UNAONGEA VIZUR SHEKHE, LAKINI NAOMBA UNAPOZUNGUMZIA NENO MAKAFIRI HEBU TOFAUTISHA NA KUITAJA DINI YA KIKRISTO , KWA KUWA MAKAFIRI NI WAPO, NA HAO MAKAFIRI SIO WAKRISTO WALA SIO WAISLAMU, kwa sababu ukafiri ni uovu Au ubaya, mbona sisi tunauhrshim uislam?

    • @hosannainternationaloutrea7491
      @hosannainternationaloutrea7491 2 ปีที่แล้ว

      NIMEONGEA IVO KWA SABABU UMESEMA MAKAFIRI UKAUTAJA NA UKATOLIKI

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 ปีที่แล้ว

      Kafiri nikafir2 awe nimkirsto au laa wote nikufaar

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 2 ปีที่แล้ว

      Tujitahidi kuitafuta sheria ya alotuumba. Mtu asjihukumu kuwa yeye si kafiri pasi na kuheshimu muongozo wa Mwenyezi Mungu.

    • @ismailothman8063
      @ismailothman8063 2 ปีที่แล้ว

      Mahana ya kafika ni mpinzani yani ni mtu yoyote anayepinga manenonya Mwenyezi Mungu ndoanaitwa kafili na kutaka wakilsto ni kuwasifia kwa umoja wao tofauti na waislam wameshindwa kuwa na umoja kama wakatoliki

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂pole saana

  • @twahaabrahman-ev8co
    @twahaabrahman-ev8co 10 หลายเดือนก่อน

    Dola Haichezewi,

  • @swaf-wanyahya7657
    @swaf-wanyahya7657 2 ปีที่แล้ว +2

    Icho kitu hakiwexekani ata sikuu mojaa sunn hawexi kukaa nashia tena ixo fikira mxiondoshe kabisa fkra za kighawargy

    • @kitwanaabuu809
      @kitwanaabuu809 2 ปีที่แล้ว

      Ulishawahi kwenda akhera ukaona huko uliko uko sasa mungu ndo mjuzi zaidi

    • @user-nd2ev5hu1m
      @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

      Pole sana sheikh

    • @user-nd2ev5hu1m
      @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

      Pole sana sheikh

    • @user-nd2ev5hu1m
      @user-nd2ev5hu1m 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli wasomi wasio na maarifa mazuri wapo

  • @abusumayyah2338
    @abusumayyah2338 2 ปีที่แล้ว +3

    Rudini katika manhaj ya Salafus swaalih acheni fikra za kikhawaarij

    • @karimulahiabdullahi6816
      @karimulahiabdullahi6816 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama wale wanaojitoa kwenye uongozi wa Demokrasia Ni Ukhawaariji, na wale wanao jitowa kwenye uongozi wa Kiislamu wanaitwaje?
      Acha kutia Shubha kwenye Akili za watu. Walioitwa Khawaariij waliitwa kwa kujitoa kwenye uongozi wa Alii na Mua'wiyah ambao walikuwa wakiongoza kwa kitabu na Sunnah. Je hawa viongozi wenu wa nchi wanahukumu kwa kitabu na Sunnah? Mpaka muwaite watu Khawaariij kwa kujitoa kwenye uongozi wao.
      Kama kujitoa chini ya kiongozi Kafiri haifai, mbona Mtume na Maswahaba walijitoa kwenye uongozi wa Abu jahl Makkah ? Si angebaki Makkah tu?
      Tatizo lenu hamjalifahamu suala la Utawala na kubaki chini ya watawala katika Uislamu .Mtawala ambaye ukitoka chini ya Utawala wake Mtu huwa Khaarij, Ni Mtawala Muislamu, sio Hawa Makuffaar na Martadiin.

    • @abuunusaiba7679
      @abuunusaiba7679 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa wao Wanavyoambiwa na mashekh zao Tanzania ni nchi ya kislam na wamekubali mashekh wanawafanya Kama mitume hawakosei Wana ushabik mwingi na majivuno kaz yao kubwa ni kuowa na kuacha wanawazazalisha mabinti za watu

    • @xmathematics_
      @xmathematics_ 2 ปีที่แล้ว

      @@karimulahiabdullahi6816 umeongea kitaalamu sana#

    • @abdalaseleman921
      @abdalaseleman921 หลายเดือนก่อน

      Mayahudi wametuletea masalafi ili kuwagawa waislamu na kwasasa wamefanikiwa kwa hilo.

  • @deuscylilo6015
    @deuscylilo6015 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu unawaita kafiri, unauhakika gani kwa mungu Bora ukafungwe Tena ili ujifunze

    • @allyabdallahally9637
      @allyabdallahally9637 2 ปีที่แล้ว

      Kafiri inamaana pana wewe unachojua ni mkristo si uache kusikiliza

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 ปีที่แล้ว

      Ww deus sikulaumu kwani ww huna elimu hata muisilamu anaweza akawa kafiri sio mkristo tu mungu atakufanyia wepesi na ww utaenda jela kama ni vizuri kumtakia mwenzio abaki jela

    • @maryamerick749
      @maryamerick749 ปีที่แล้ว

      😡😡😡😡😡😡

    • @is-hakabinruweikh3833
      @is-hakabinruweikh3833 ปีที่แล้ว +1

      Huy deus ataka makwaju mshenz uyo

    • @is-hakabinruweikh3833
      @is-hakabinruweikh3833 ปีที่แล้ว

      Sheikh wetu ataka arudshwe tena gerezani we deus mpuuzi nin NENDA ww uko gerezani!! Mshenz ww!!

  • @IdrisaIsmail-mt3ks
    @IdrisaIsmail-mt3ks ปีที่แล้ว

    Allah atakulipa