SHEIKH: MSELEM BIN ALY INAUMA SANA KWA TULIYO FANYIWA SIO HAKI KABISA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2021
  • #AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran
    Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

ความคิดเห็น • 35

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah mkubwa.
    Tumuombe mwisho mwema.
    Amiin.

  • @mohammedmbarouk7711
    @mohammedmbarouk7711 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa hakika kila nikisikiliza hzi clip hua macho yang yanatoka machoz na moyo wangu hua unauma sana kwa waliofanyiwa hawa mashekh zetu,lkn Allah ndie mjuzi wa yoote haya,Shekh Msellem nakupenda kwa ajili ya Allah

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 10 หลายเดือนก่อน +1

      Khaki utapatikana tu ata kama sio apa dunian ipo siku tutaeejea kwa Allah kila mtu atalipwa kwaalicho kichuma

  • @hemedykhamis833
    @hemedykhamis833 2 ปีที่แล้ว +8

    Allah ni mlipaji wa haki Allah atakulipeni kheri na waliofanya dhulma Allah atawalipa dhulma yao

  • @zaitoonhassan1268
    @zaitoonhassan1268 2 ปีที่แล้ว +2

    Watu wa nakupenda kwa busara zako ALLAH akulipe kheri

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah atawalipa in sha Allah

  • @amynaseif5202
    @amynaseif5202 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah Atawahifadhi inshaallah

  • @aliy3303
    @aliy3303 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah awape subra

  • @noorsa88d
    @noorsa88d หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @shabanhassan4272
    @shabanhassan4272 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuondoshee mazito.

  • @ahmedadan1915
    @ahmedadan1915 ปีที่แล้ว +1

    Mashekhe zangu poleni sana malipo mtakwenda kuyapata kwa mungu

  • @nassorsaleh3803
    @nassorsaleh3803 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah atupe mwisho mwema

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 2 ปีที่แล้ว +4

    Maisha yetu ni ya kijungu jiko, tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @nasraomar3701
    @nasraomar3701 ปีที่แล้ว +1

    Subra muhimu ila msiwe nahofu Allah ashamtia mkononi alie kukoseeni hata duniani hayupo

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 ปีที่แล้ว +1

    MSHEKHE MSELEMU TUNAKUPENDA SANA NA TUNAWAPENDA NYOTE KWA AJIL YA ALLAH ATAWALIPA KHEIRY

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭dunian hakuna haki haswaaaa nchi zenycahnganyiko wa dini

  • @HappyCoyote-ne2un
    @HappyCoyote-ne2un 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulipe na sot tup pamaj na we

  • @najimshaib9306
    @najimshaib9306 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 ปีที่แล้ว +1

    HAO WOTE VIONGOZI WANAFIKI WAOVU MADHALIM MWENYEZI MUNGU MKUBWA HAKI ATAILETA KABLA YA MAUTI YAO ADHABU KUBWA IWIFIKIE HAPA DUNIANI NA KABURINI AMEEN YA RABI ALLAMEEN IN SHAA ALLAH.

  • @mtelewalindi84
    @mtelewalindi84 2 ปีที่แล้ว +1

    so sad ndo mitihani ya dunia mungu aendelee kukulinda insha allah

  • @nak3477
    @nak3477 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 2 ปีที่แล้ว +2

    Inasikitisha

  • @rajabuhassani1105
    @rajabuhassani1105 2 ปีที่แล้ว

    allah kareem

  • @AllyNgale
    @AllyNgale 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahakika ujira wenu uko mbele ya Allah Kwa subra mlio kua nayo

  • @amrubinannasannas9185
    @amrubinannasannas9185 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu misikiti kama wa Muhammad bachu vile

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 2 ปีที่แล้ว +1

    Hao mnaowaita makafiri ndio waliokuwa wakipiga kelele bungeni mkatoka

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 2 ปีที่แล้ว

      Katika mashetani kuna majini na watu.

    • @kassimmurji2872
      @kassimmurji2872 2 ปีที่แล้ว +2

      Fredy Tanzania niyawaislamu wakristo na dini zote,kafiri ni neno kama lilivyo kaburu kaburu anaweza kuwa hata mtuu mweusi sio lazima awe mzungu,hii nnchi ikiharibika hatuna pakukimbilia kwahiyo tupiganie haki yakila mmoja wetu bila kujali imani ya mtuu

    • @aminajuma1262
      @aminajuma1262 2 ปีที่แล้ว

      Hawan lolot ao ndo walikua hao wakiwaumiza

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 ปีที่แล้ว +1

      Waliokuwa wakipaza sauti ni wale wenye kujua ubinaadamu na wengine wakishangiria.Ni udhalimu na uvunjaji wa haki za binaadamu.Vipi utamweka mtu maabusu miaka minane eti uchunguzi unaendelea.mwisho wa siku hakuna kesi.

    • @kassimmurji2872
      @kassimmurji2872 2 ปีที่แล้ว

      Ww tulia hakuna mjinga asiyeelewa nn kinachoendele tz mtake msitake historia ya kweli lazima iandikwe,wadai uhuru wanajulukana kulikoni wawe second class leo hii?