NINI KINAFATA BAADA YA KUFA? |SHEKH:MSELEM BIN ALY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2021
  • #AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran
    Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 67

  • @user-oc4zc4eg3f
    @user-oc4zc4eg3f 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah mm huyu shekhe nampenda kuliko nnavojipenda mm kwa ajili ya Allah Allah tukutanishe sisi na waja wako wema na utupe hatma njema

  • @hemedjumaa390
    @hemedjumaa390 ปีที่แล้ว +2

    Faswaha wa Kuichambua Tafsiri ya Qur'an vilivyo Sheikh Mselem Bin Aly M/Mungu amjaze kheri Tunakupenda kwa Ajili ya Allah Sheikh Wetu.

  • @husseinfunga3272
    @husseinfunga3272 2 ปีที่แล้ว +4

    Shekhe mselem bin alli allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa akhera yako na dunia pia ,uwe ni mwenye manufaa kwa watu

  • @fadaukheri2746
    @fadaukheri2746 21 วันที่ผ่านมา

    Allah akujaalie umr mrefu wenye neema kher barka na mafaniko

  • @fadaukheri2746
    @fadaukheri2746 21 วันที่ผ่านมา

    Sheikh msellem bin ally nakupenda sana kwa ajl ya Allah

  • @alliabdallah224
    @alliabdallah224 3 ปีที่แล้ว +5

    Fundi Allah ameturudixhia ktka macho yetu alhamdulillah

  • @tindambaraka2357
    @tindambaraka2357 2 ปีที่แล้ว +3

    MAASHALLAH NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH SHK MSELLEM ALLAH S.W AKULINDE

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Subuhanallah yarabi tujaaliye mwisho mwema wajawako

  • @mwajumamfinanga5778
    @mwajumamfinanga5778 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah tulikumisi shehe wetu

  • @salmamohd5110
    @salmamohd5110 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akubarikini nyote masheikh wetu tuliowamiss muda mrefu

  • @mrishobaranabas9897
    @mrishobaranabas9897 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh yupo vizur mno anakumbusha kwa dalili na mifano

  • @khatumalisalman2547
    @khatumalisalman2547 ปีที่แล้ว +1

    Umri wako uwe na manufaa sku zte inshallh

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 2 ปีที่แล้ว +2

    Yarab tupe husnlhatimaa wajawako

  • @albahry2280
    @albahry2280 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu jamaaa fundi jaman achen masihara kabisa

    • @albahry2280
      @albahry2280 3 ปีที่แล้ว +1

      Kaka sio mchezo she mselem anajuwa. ....Mana mm nlitegemea atakuwa kashasahu baadhi ya vit ila ndo kwanza amezd

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 ปีที่แล้ว

      Maashaa Allah

    • @idrisashaka5881
      @idrisashaka5881 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah shekhe wetu

    • @swabriali4583
      @swabriali4583 3 ปีที่แล้ว

      Mola amzidishie elimu ya dini na dunia

    • @jumatano242
      @jumatano242 ปีที่แล้ว

      Hicho kipaji sio bahati

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Allah akuhifadhi 😭😭😭kuamsha. Nafsi zetu yote unayozungumza tunapitia yaarabby tujalie kujenga aakhera yetu🤲🤲🤲

  • @khalfanmkonde6819
    @khalfanmkonde6819 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah Quruan imetoka gerezan, Allah ampe siha njema

  • @saidaomar6084
    @saidaomar6084 3 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdullilah. Sauti tuliyoizoweya ktk tafsiri ya quran imerudi. Alhamdullilah. Barakallahu fyk.

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukupa Ujuzi zaidi sheikh wetu

  • @adammakeo9366
    @adammakeo9366 3 ปีที่แล้ว +3

    Fasaha la kutasir Quran,,,amerudi kwenye mimbar,,Allah amfanyie wepesi

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 3 ปีที่แล้ว +1

    Homgeraa sana mamaetu samiya allah akulipe ww na kizazi chako amin

  • @sufianimgeni4792
    @sufianimgeni4792 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe umri mrefu sheikh wetu.

  • @imanmohamed2215
    @imanmohamed2215 6 หลายเดือนก่อน

    Subhan’Allah

  • @iddymwingamno7144
    @iddymwingamno7144 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe kheir

  • @abdulhalimahmed207
    @abdulhalimahmed207 3 ปีที่แล้ว +4

    MASHALLAH ALLAHUMMA BARIK

  • @khamismwakiro1568
    @khamismwakiro1568 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akurefushie umri sheikh wetu na alipambe bongo lako na nur ya elmu

  • @mudathirabdallah1582
    @mudathirabdallah1582 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah Allah akupe umri mrefu

  • @Ali-ui7qh
    @Ali-ui7qh 2 ปีที่แล้ว

    JAZAKA ALLAHU KHER SHEIKH ALLAH AKULIPE MALIPO BILA.YA HISABU NAKUPENDA SANA SHEIKH MSELEM UNAFAHAMIKA SHUKRAN SANA ALLAHU AKBAR

  • @ruqaiyahmuhangia9002
    @ruqaiyahmuhangia9002 ปีที่แล้ว

    Allah akufanyie kwakila zito kwako liwe jepesi

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrni sna sheikh tuko pamja kutoka Kenya

    • @hamidomar7474
      @hamidomar7474 3 ปีที่แล้ว +1

      Vp uko kenya mupo powa

    • @mavigomavigo1415
      @mavigomavigo1415 3 ปีที่แล้ว

      Allah zidikumlinda hiyu fundiwetu aa rahasana shekhe wangu unajuasanaaaa

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Asante shekh wngu

  • @rukiaibrahim7124
    @rukiaibrahim7124 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @yahayab4u614
    @yahayab4u614 2 ปีที่แล้ว

    Allah tuwezeshe tuingie peponi inshaaaalah

    • @jumatano242
      @jumatano242 ปีที่แล้ว

      In sha Allah ila juhudi tuioneshe ili kupitia juhud hiyo Allah atufanyie wepesi

  • @abasukhairsikhairi115
    @abasukhairsikhairi115 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuifadh shek mselem akupe umli mlefu

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Neema imeturejelea

  • @abdulhakim4650
    @abdulhakim4650 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli shekhery umesemea kweli kabisa Allah atupe mwisho mwema

    • @khamisyussuf9645
      @khamisyussuf9645 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaaallah tujalie hatma njema sisi na masheghe w2 na utuingize peponi pmj na m2me wetu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 ปีที่แล้ว +1

      @@khamisyussuf9645 AMIIN

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 3 ปีที่แล้ว

      Amiin allahumma amiin

    • @idrisashaka5881
      @idrisashaka5881 3 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @shaabantano9507
      @shaabantano9507 3 ปีที่แล้ว

      Nuru imerudi znz Allah akupe umri mrefu

  • @saidhamadkhamis8445
    @saidhamadkhamis8445 3 ปีที่แล้ว

    Barakallah fiiqum

  • @idrisashaka5881
    @idrisashaka5881 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @abrahmanally5679
    @abrahmanally5679 ปีที่แล้ว

    Mashallahh

  • @bashkidana9404
    @bashkidana9404 2 ปีที่แล้ว

    Manshallah

  • @mrishobaranabas9897
    @mrishobaranabas9897 2 ปีที่แล้ว

    Mim nimemuelewa vizuri kuhusu baada ya kufa nini kinafuata

  • @jafarismaily266
    @jafarismaily266 2 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 2 ปีที่แล้ว

    Jaazakallah

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 ปีที่แล้ว

    Hii ndo quran tafsiri sio neno maana

  • @mwajumamfinanga5778
    @mwajumamfinanga5778 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah tulikumisi shehe wetu

  • @ibrahimmwazin.8819
    @ibrahimmwazin.8819 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah