SHEKH: MSELEM BIN ALY MAISHA YA MOTONI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ค. 2021
- #AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran
Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246 - บันเทิง
Hakika serikali ilitudhurumu sisi na mashehe zetu .Elimi hii tumeikosa kwa Muda wa miaka takilbani 9 Allah atawalipa wanachostahikhi maana siyo kwa dhurma hii waliyotufanyia.
Mashaallah Allah akubariki sheikh msellem.Na hii Adil tv Allah aitilie kheri na barka nyingi na kila penye uzito awafanyie wepesi.Amiin
Mashalwah mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya njema shekh wetu mselem
MashaAllah Nakupenda kwa ajiri ya Allah
Mashallah Allah akujaze yalio mema inshallah
Jazakumullahu khaira,Allah akujaalie shehe Mselemu
Mashallah Allah akubariki
Tunamshukuru mwenyezi Mungu kwa kutoka masheikh wetu
Mashaallah Allah akupe umr mrefu ututafsirie juzuu 30 zote inshaallah
Suleiman k
Alwaa akupe maisha marefu
Tupate darisa yako
Masha'Allah
Allah atuongoze penye kheri na atukaalie elimu yenye manufaa
Shukrani sana kwa ukumbusho 🌙💟
Shukran sheikh
Mashallah mashallah mashallah
Allah akubariki shekh
Jazakalau Kher
Nauudhu billahi min dhalika, minan nnaaar
Mashallaah
Mashaallah
Allah akuhifadhi
Mashallah
Mashallah
Hatari
Habali
Good lecture but Maisha ya motoni is wrong title, he never mentioned life in hellfire
Kila nikiwaon mashkh wng chozi la furah lanitok jmn .
Mbona aifunguki video
ahlan msikiti wa maeneo gani na huwa anatoa darsa saa ngap
Sahiv kwanza anazunguka misikiti kitoa shukuran kwa watu na kuwasalimia,lakin msikiti wake mkubwa anaofanyia darsa zake ni MASJID SWAHABA,mtoni kidatu
Ok
Box wetu tunakubali mafundisho yko
Una maana gani kumwita shekh Box?
Sheikh Allah akuhifadhi
Pole kk