"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024
  • November 8, 2017 mkutano wa sita wa Bunge la 11 umeendelea tena Bungeni Dodoma ambapo Wabunge walikuwa wakijadili na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa.
    Ni mpango unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango na bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
    Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuzungumza ni pamoja na Mbunge wa Tarime vijijini John Heche ambae alihoji uhalali wa Serikali kuchoma moto nyumba za Wananchi wa tarime pamoja na kukamata mifugo ya wafugaji.

ความคิดเห็น • 152

  • @kitongojitz6476
    @kitongojitz6476 5 ปีที่แล้ว +3

    nikiwa kama mhamasishaji wa vijana kanad yakinondoni mh Henche 2po pamoja 2020 kileleni gonga like apa kama wew nikijana

  • @silversilas3634
    @silversilas3634 5 ปีที่แล้ว +6

    Mbunge wangu yupo vzr sana mungu akutangulie uko vzr

  • @jomogimonge8333
    @jomogimonge8333 4 ปีที่แล้ว +1

    big up heche kumbe hatukukosea

  • @georgenjeri7196
    @georgenjeri7196 5 ปีที่แล้ว

    John Heche for president ! from Kenya

  • @annacarlos7925
    @annacarlos7925 6 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akulinde heche point tupu umeongea

  • @kelvinmbena8144
    @kelvinmbena8144 6 ปีที่แล้ว +3

    mheshimiwa ahsante sema hata wasipokuelewa au wakubeze mungu ndo anaejua ipo siku mungu atajibu ubalikiwe heche.

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 6 ปีที่แล้ว +7

    Wewe ni kiongozi hasa Mungu akubariki kwa kuongea ukweli

  • @japhetnzunda5421
    @japhetnzunda5421 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki hata wapinge hoja yako mungu ndiye anatujua sisi watoto wake

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 6 ปีที่แล้ว +2

    Sema Mh. Cheche amna kuogopa huo ndio uongozi, vichanga kimara wanalala nje jua mvua yote yao inasikitisha sana

  • @zakayosanga1430
    @zakayosanga1430 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki mshhua

  • @gangangan1478
    @gangangan1478 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana Mh. Heche!!!

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว +4

    Mhe. Heche 👍🏽👍🏽👍🏽

  • @frankmahalanha6867
    @frankmahalanha6867 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu maana kuna hekima na busara ndani yake. Kwa kweli ninakuombea saana kwa mtumishi wa Mungu nazan kila mtu akisikiliza hii clip nazan atapata hekimu na busara kutoka kwa Muumba wetu. Mungu akubariki kwa kweli

  • @redimnapaul9311
    @redimnapaul9311 6 ปีที่แล้ว +11

    UMEONGEA POINT SANA!UMEWASEMEA WANYONGE! UNGEKUWA KARIBU MAFUTWA YALIYOMIMINWA DAUDI KUWA MFALME NINGEKUMIMINIA KICHWANI

  • @flaviankiria435
    @flaviankiria435 6 ปีที่แล้ว +7

    Duh! Heche unatisha kweli Chadema ndio habari ya mjini.

  • @kimatamasasi6582
    @kimatamasasi6582 6 ปีที่แล้ว +1

    big up jembe safi sana

  • @wilbardmussa8232
    @wilbardmussa8232 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana Heche, nakupongeza sana

  • @sojaman7825
    @sojaman7825 6 ปีที่แล้ว +2

    wote mngeungana nakutusemea ingekuwa safi sana

  • @chancemtitu1852
    @chancemtitu1852 6 ปีที่แล้ว +3

    Mi CCM lakin nimekuelewa mheshimiwa umeongea poiint🙋

  • @lovenessgoodluck3486
    @lovenessgoodluck3486 6 ปีที่แล้ว +8

    Bg up heche

  • @faridmobji
    @faridmobji 6 ปีที่แล้ว +5

    Awakukosea kukuchagua big up

  • @moudkinjiki9842
    @moudkinjiki9842 4 ปีที่แล้ว

    Sema tata heche

  • @TitusNiwemugizi
    @TitusNiwemugizi 6 ปีที่แล้ว +4

    Hilo suala la airport umeongea point sana. Spidi ya ujenzi na utaratibu uliotumika inaacha dukuduku sana

  • @mtakitibezuka9604
    @mtakitibezuka9604 6 ปีที่แล้ว +24

    heche uko sawa tuko pamoja ngoja 2020 kitaeleweka 2 waache wataipenda wenyewe

    • @anozacha611
      @anozacha611 5 ปีที่แล้ว

      👊👊👊👊👊👊👊👊

  • @charleslaizer1749
    @charleslaizer1749 6 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana Mh Heche

  • @brownmshan2629
    @brownmshan2629 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante heche!!

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 4 ปีที่แล้ว

    Separation of power ...haipo🙏🙏

  • @johnmabochela15
    @johnmabochela15 6 ปีที่แล้ว +3

    uko vzr all things when you talking is true

  • @jumakinonono-jj4zy
    @jumakinonono-jj4zy หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa alikua mbunge wa nchi nzima nimemfatiria Sana uchangiaji wake yaan hajawa tu mbumnge wa Tarime Ila alikua mbunge wanchi yaan daah mungu aendelee kukulinda mzee

  • @godfreymashana6111
    @godfreymashana6111 6 ปีที่แล้ว +8

    umeongea point kabisa baba

  • @paulojosephy6338
    @paulojosephy6338 6 ปีที่แล้ว +9

    Axante xana heche wapasue

  • @ndikumanakalenzo2440
    @ndikumanakalenzo2440 6 ปีที่แล้ว +4

    duuuuh haya bhana

  • @danielhasunga8740
    @danielhasunga8740 6 ปีที่แล้ว +10

    nitakitunza kitambulisho changu cha mpiga kula

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Heche oyee

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 6 ปีที่แล้ว +10

    Ukweli mchungu.ambao mzalendo yoyote lazima aupongeze.

  • @kato_tz
    @kato_tz 6 ปีที่แล้ว +10

    Duh bro umeongea Fact, Narudi darasani kusoma uchumi sana sana topic ya DD & SS VS Economic Development bila kusahau Market segmentation/Niche

    • @erickchikawe9109
      @erickchikawe9109 6 ปีที่แล้ว +1

      Uko sawa kamanda

    • @johnsonbagambi1908
      @johnsonbagambi1908 ปีที่แล้ว

      Hapo tatizo sio shule unafik,kujipendekeza,kutojiamin na uzwazwa wasomi nchi hii ndo changamoto

  • @nathanmapunda1052
    @nathanmapunda1052 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mzee baba

  • @petermwandenuka3711
    @petermwandenuka3711 6 ปีที่แล้ว +1

    Moja kati ya wabunge wanaoniinspire ni John Heche, hajawahi kuwa muoga kusema kweli.

  • @pauljohn3321
    @pauljohn3321 5 ปีที่แล้ว +2

    Mh,heche msema ukwel mpenz wa Mungu,simamia ukwel

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 6 ปีที่แล้ว +1

    wanyonge wataeleweka tu na Kiongozi wao ,

  • @renatusmgina4003
    @renatusmgina4003 6 ปีที่แล้ว

    God ukwel husmama daima

  • @vickypoul9117
    @vickypoul9117 6 ปีที่แล้ว +5

    Safiiii baba umeongea

  • @shidaseleman7922
    @shidaseleman7922 6 ปีที่แล้ว +6

    daah kwel aiseee

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaa hii issue ya Uwanja wa Ndege mimi pia cjajua kwa nini imekua hivyoo!!! Daaaaa hii INJIii

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 6 ปีที่แล้ว +1

    Positive thoughts

  • @lovenessgoodluck3486
    @lovenessgoodluck3486 6 ปีที่แล้ว +17

    Kweli kbsa heche ya ukweli ongea baba no uoga ila ksho utitwa htiana

    • @anozacha611
      @anozacha611 5 ปีที่แล้ว

      👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @abbamohamed6302
    @abbamohamed6302 6 ปีที่แล้ว +1

    nakuunga mkono kwa asilimia zote ndg yng heche maana km 185 cyo padogo

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 6 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana kwa kutusemea Yaani inauma sana tunazidi kuwa maskini kwa bomoa bomoa serikalini inatuumiza sana

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 6 ปีที่แล้ว +4

    upo sawa mbunge

  • @hanzunimgogoro5722
    @hanzunimgogoro5722 5 ปีที่แล้ว

    Upo uzuri kaka

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli unauma wakitingwa ni tarifa taarifa taarifa. Hovyooo!

  • @jacquelineboazy4641
    @jacquelineboazy4641 6 ปีที่แล้ว +4

    Nyie Ccm tukutane 2020

    • @greensky9607
      @greensky9607 6 ปีที่แล้ว +1

      Jacqueline Boazy tutakutana, sijui mna kitu gani cha kuwaambia wananchi kuwa mmewafanyia zaidi ya kuropoka hovyo na kuongozwa kwa matukio, ila CCM inayo mengi tu ya kusema mbele ya jamii, mfano kuubadili muonekano wa mji wa mbeya kwa barabara Safi na zenye kuvutia ambazo sugu aliwadanganya wananchi mbele ya Waziri mkuu kuwa ni jitihada zake pamoja na meya, bila ya kusahau na bukoba ambapo kama kawaida yenu rwakatale naye akasema ametafuta pesa wakati ni Serikali iliyopeleka fedha za kusimamia ukarabati wa miundombinu, Niishie hapa sababu najua wajua kuwa CCM imefanya meeengi ndani ya miaka 2

    • @jacquelineboazy4641
      @jacquelineboazy4641 6 ปีที่แล้ว

      Mtanzaniahalisi 2910 kwan hƙo mɓy mnaongozwa na mbunge gan?? Halaf ss hatupoƙei kodi za wananchi hatuwez fanya kitu zaid ya kuihimiza serikali ifanye kama wananchi wavotaka na ndo maana pamoja na kwamba hatujafanya kitu ila ni watetez wa wananchi upinzan na ccm mnatetea serikal so wananchi!!

    • @mokhimji
      @mokhimji 6 ปีที่แล้ว

      Hamna cha CCM wala CHADEMA! Watanzania kwa ujumla tumekosa Uzalendo! Sekta ya Elimu tumeidharau kwa miaka mingi na tunaendelea kuvuna matunda mabaya. Tunajaribu kuiga Utamaduni ya Maghribi na tunajisahau wenyewe. Tunahitaji Raisi ambae ni Mchapakazi kama JPM (bila Ubabe) na ambae ni Mnyenyekevu kama JMK (bila Commission)

  • @hamisimwilola3220
    @hamisimwilola3220 6 ปีที่แล้ว

    nice heche man of people

  • @nestokisima5193
    @nestokisima5193 5 ปีที่แล้ว

    Unatutetea sana watanzania ila tatizo ni kwamba unaowatetea hawajielewi

  • @fantmpango5506
    @fantmpango5506 6 ปีที่แล้ว +3

    Kuna nyumbu niliskia inaomba taarifa, ccm mtuonee huruma tumechoka mbona mh heche kaongea fact tupu?

  • @neemayo4693
    @neemayo4693 4 ปีที่แล้ว

    Jamani tatizo sio chama tunaangalia ukweli na kazi

  • @mulyainternationalmediakay679
    @mulyainternationalmediakay679 5 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @sebastianmmary7040
    @sebastianmmary7040 5 ปีที่แล้ว

    asante chief

  • @michaelmuchomerson2658
    @michaelmuchomerson2658 4 ปีที่แล้ว

    Good bro.

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 6 ปีที่แล้ว +2

    millard mbona umekata hapo kwa mobutu

  • @mariammobeto5512
    @mariammobeto5512 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaah tatzo wa2 wanapigwa sas me nmechok hta kupiga kura

  • @chongenyambarya2538
    @chongenyambarya2538 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa imekubalika mtoto wa sikuda

  • @matikosillamunanka9987
    @matikosillamunanka9987 6 ปีที่แล้ว +10

    Hahahaha Safi

  • @delebm543
    @delebm543 6 ปีที่แล้ว +6

    semeni tu msiogope

  • @mwitereginakimbwi4924
    @mwitereginakimbwi4924 6 ปีที่แล้ว +4

    kama mobutu na zaire yake

  • @macgeorge7693
    @macgeorge7693 6 ปีที่แล้ว +1

    Selikali hii itoke madalakani hata Kwa nguvu absult nchi imeozaaa itoke tu selikali hii afai

  • @nkwabimayunga473
    @nkwabimayunga473 6 ปีที่แล้ว +11

    100%nakuunga mkono kila jambo jema lipimwe kwa fainda ya watanzania wote bila kujali rangi yake au chama alichotoka kazi bila mipango hovyo watanzania weye hali ngumu wanayaona kwa macho

  • @crianussyliacus1995
    @crianussyliacus1995 6 ปีที่แล้ว +3

    Yani zahanati ya kwetu ukienda unapenda panadol ata vipimo hamna

  • @abdulkalimbenz7011
    @abdulkalimbenz7011 ปีที่แล้ว

    Kwa nn usigombee uraisi

  • @santibaniusabdy8857
    @santibaniusabdy8857 5 ปีที่แล้ว

    Heche kumbuka tulipokatana mapanga kipindi kile tukiwa warisya mimi ndo nilikupa huo ujasiri wa kuwapasua vichwa akina wazir mpango

  • @johnrogath1066
    @johnrogath1066 5 ปีที่แล้ว

    Daaaaah so sad why this shits happening jmn

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Painful truth

  • @mbogomagembe6318
    @mbogomagembe6318 6 ปีที่แล้ว +3

    tunataka wabunge kama hawa wanaongea ukweli ,kuliko kupeleka wabunge kama mbunge was bunda vijijini boni ketele yeye alienda kutafuta hela tu

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 6 ปีที่แล้ว +1

    1000% fact

  • @goodluckstepheny582
    @goodluckstepheny582 6 ปีที่แล้ว +3

    Talime heche ni madini msimpotezeee

  • @mkmtepah9376
    @mkmtepah9376 6 ปีที่แล้ว +3

    nisawa kabis

  • @JoyceGeorge-qv4ck
    @JoyceGeorge-qv4ck 6 ปีที่แล้ว +1

    chademe oyeeeeeeeee

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 ปีที่แล้ว

    Mhe Heche tunakuelewa baba

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 ปีที่แล้ว

    Mtaniiiiiiii

  • @godypatrick6485
    @godypatrick6485 6 ปีที่แล้ว

    Unaongea ukwer sana good kamanda

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 6 ปีที่แล้ว +1

    2020 wakitaka kujua watanzani tumechoka polic wasisimamie kula ili waone

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 6 ปีที่แล้ว +7

    hivi huyu serikali ni nani? maana nina hasira nae haswa

  • @ezekieledson502
    @ezekieledson502 6 ปีที่แล้ว +2

    facts t

  • @mashaallahmashaallah1658
    @mashaallahmashaallah1658 3 ปีที่แล้ว

    Jembe la msoma

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 ปีที่แล้ว +9

    Mh .Huko vizuri sema tu NI kwamba MAJINGA YA KUSHANGILIA KILA KITU HAYAWEZI KUKUELEWA,stupidities

    • @greensky9607
      @greensky9607 6 ปีที่แล้ว

      Gasper Massawe na majinga ya kutokuelewa yatamshangilia heche

    • @sadaramustafa8401
      @sadaramustafa8401 6 ปีที่แล้ว

      Mtanzaniahalisi 2910 we ndo mjinga mkubwa

    • @anozacha611
      @anozacha611 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa👍👍👍👍👍

  • @fantmpango5506
    @fantmpango5506 6 ปีที่แล้ว +6

    Hizo billion wangekopesha mabenk nasi zingetufikia tu, sasa uwanja chato halafu kinyemela watanzania hatujui kupitia bunge. Kweli wajinga ndiyo waliwao

  • @williamsamweli1100
    @williamsamweli1100 ปีที่แล้ว

    Duuh

  • @erickmsuha1390
    @erickmsuha1390 6 ปีที่แล้ว +1

    serikali ikifanya vizuri lazima tuseme,pesa za dawa zinaletwa,tuishauri serikali ituongezee bajeti ya kununua dawa maana 33% ya bf ni ndogo sana kwenye manunuzi ya dawa.

  • @amirmotors9735
    @amirmotors9735 6 ปีที่แล้ว +1

    hospital hazina dawa juz tu nimempeleka mama hospital bomba na dawa zakuchomea tumeambiwa tukanunue

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU BARIKI HECHE NA WA BUNGE WOTE WA UPINZANI KWA JINSI WANAVYO TUTETEA WA TANZANIA! HECHE UNAONGEA MPAKA MA CHOZI YANANITOKA.MUNGU AKUBARIKI HECHE!!! Freedom is coming tomorrow! !!!

  • @joshuamkali4598
    @joshuamkali4598 5 ปีที่แล้ว

    kwakweli kunavitu vinaendeshwa kiimla nakuwafanya Watanzania hawayaoni.
    alafu viongozi waandamizi wamejaa kujipendekeza mpaka wanatia aibu wanasahau kwamba kesho yaja na watakuja kuwajibika mbele za Mungu na kwa Watanzania

  • @jonaslameck1563
    @jonaslameck1563 6 ปีที่แล้ว +1

    Kuna nyumbu et anasema taarif ..hovyo kabisa yanafata mkumbo tu ...tunakuelewa heche

  • @daudichrchristopher8564
    @daudichrchristopher8564 5 ปีที่แล้ว +1

    2020 ccm achieni madalaka pumbavu nyie

  • @ferdinandnkamu8638
    @ferdinandnkamu8638 6 ปีที่แล้ว

    Wananchi tunafahamu hiyo ni Kampeni ya KATA FUNUA inayoendeshwa na watumishi wa umma ambao wameshawishika kuitekeleza kwa kutengeneza mazingira ya kwafanya wananchi kuichukia serikali.

  • @jumajasjas2925
    @jumajasjas2925 6 ปีที่แล้ว

    dah

  • @ishivamgimba3672
    @ishivamgimba3672 5 ปีที่แล้ว

    Hii serikali ya ccm nimbovu sina na sijahi kuona serikali kama hii kule mbarali wakulima wa mpunga mwaka juzi waliuza junia moja la mpunga sh,100000 mpaka 120000 leo hii junia moja la mpunga linauzwa 40000 mpaka 50000 nadhani utaangalia afu pima na wanasema hii niserikali ya wanyonge

  • @nurdinimussa1916
    @nurdinimussa1916 6 ปีที่แล้ว

    Jiwe ilo

  • @julianusnambert2237
    @julianusnambert2237 6 ปีที่แล้ว

    bora uwe rais

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 6 ปีที่แล้ว +1

    nchi ishakua ya kifalme bashite ndio mtoto wa mfalme hamna jinsi tutafika tu

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mbunge yupo sawa