DENIS MPAGAZE: Mambo Ya Siri Usiyofahamu Kuhusu Hayati JPM Magufuli -ANANIAS EDGAR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2021
- denis mpagaze,
denis mpagaze na ananias edgar,
denis mpagaze youtube,
denis mpagaze umaskini na utajiri,
denis mpagaze wanawake,
denis mpagaze tafuta hela,
denis mpagaze magufuli,
denis mpagaze mix,
denis mpagaze raila odinga,
denis mpagaze mapenzi,
denis mpagaze 2023,
denis mpagaze africa,
denis mpagaze all story,
denis mpagaze afrika,
denis mpagaze aina za marafiki,
denis mpagaze akili,
denis mpagaze acha dharau,
denis mpagaze all,
denis mpagaze amazon,
denis mpagaze audio,
denis mpagaze audio download,
ananias edgar & denis mpagaze,
ananias edgar & denis mpagaze 2023,
ananias edgar & denis mpagaze wanawake,
ananias edgar & denis mpagaze mobutu,
ananias edgar & denis mpagaze magufuli,
denis mpagaze wanawake mungu anaona,
denis mpagaze na ananias edgar latest,
denis mpagaze binadamu,
denis mpagaze biblia,
denis mpagaze burundi,
denis mpagaze biashara,
denis mpagaze bidii bila akili,
denis mpagaze bangi,
denis mpagaze bob marley,
denis mpagaze bokassa,
denis mpagaze bandari,
denis mpagaze books,
best of denis mpagaze,
the story book denis mpagaze,
the story book na denis mpagaze,
wasomi huru gerezani by denis mpagaze,
historia ya bob marley denis mpagaze,
jitambue by denis mpagaze,
kamuzu banda na denis mpagaze,
the story book 2023 denis mpagaze,
story book wasafi denis mpagaze,
magufuli by denis mpagaze,
denis mpagaze congo,
denis mpagaze chuki,
denis mpagaze chezea ujana,
denis mpagaze fidel castro,
denis mpagaze kifo cha magufuli,
fidel castro denis mpagaze,
denis mpagaze dubai,
denis mpagaze lucky dube,
simulizi za denis mpagaze download,
lucky dube denis mpagaze,
denis mpagaze elimu ya nyota,
denis mpagaze enyi wanawake,
denis mpagaze elimu,
denis mpagaze na ananias edgar 2023,
denis mpagaze & ananias edgar,
denis mpagaze na ananias edgar historia,
denis mpagaze na ananias edgar 2022,
denis mpagaze na ananias edgar mapenzi,
elimu ya nyota denis mpagaze,
denis mpagaze freemason,
denis mpagaze focus,
denis mpagaze fungua ubongo sehemu ya 1,
denis mpagaze faida za kukumbatiana,
denis mpagaze ukombozi wa fikra,
freemason denis mpagaze,
ukombozi wa fikra denis mpagaze,
denis mpagaze global tv,
denis mpagaze gaddafi,
denis mpagaze gadaf,
denis mpagaze sodoma na gomora,
denis mpagaze wasomi huru gerezani,
global tv denis mpagaze,
denis mpagaze historia ya gaddafi,
denis mpagaze muammar gaddafi,
denis mpagaze historia,
denis mpagaze historia ya afrika,
denis mpagaze historia ya mwafrika,
denis mpagaze historia ya magufuli,
denis mpagaze haile selassie,
denis mpagaze hekima,
denis mpagaze history,
denis mpagaze historia ya mobutu,
denis mpagaze historia ya wabembe,
historia ya mobutu sese seko na denis mpagaze,
historia ya magufuli na denis mpagaze,
historia ya putin denis mpagaze,
historia ya kim jong un na denis mpagaze,
historia ya jomo kenyatta by ananias edgar & denis mpagaze,
historia ya kikwete na denis mpagaze,
historia ya william ruto na denis mpagaze,
historia ya mike tyson denis mpagaze,
historia denis mpagaze,
denis mpagaze imani,
denis mpagaze india 2023,
denis mpagaze interview,
denis mpagaze historia ya israel,
denis mpagaze jogoo,
denis mpagaze jitambue,
denis mpagaze jomo kenyatta,
denis mpagaze jinsi ya kukabili kesho yako,
denis mpagaze kim jong un,
denis mpagaze nguvu ya jina,
denis mpagaze kwame nkrumah,
denis mpagaze kamuzu banda,
denis mpagaze kuhusu mapenzi,
denis mpagaze kuhusu maisha,
denis mpagaze kikwete,
denis mpagaze kenya,
denis mpagaze kukata tamaa,
denis mpagaze kuhusu ndoa,
denis mpagaze kigoma,
vita vya kagera denis mpagaze,
nyamaza kimya denis mpagaze,
denis mpagaze wanaume kufa mapema,
denis mpagaze prince katega,
denis mpagaze martin luther king,
denis mpagaze latest,
denis mpagaze lumumba,
patrice lumumba denis mpagaze,
denis mpagaze mobutu sese seko,
denis mpagaze mpya,
denis mpagaze maisha,
denis mpagaze matatizo,
denis mpagaze mwanamalundi,
denis mpagaze majini,
mfahamu denis mpagaze,
makala za denis mpagaze,
mateso ya wanaume denis mpagaze,
mwanamke denis mpagaze,
magufuli denis mpagaze,
maono denis mpagaze,
mansa musa denis mpagaze,
mapenzi denis mpagaze,
maisha denis mpagaze,
magufuli na denis mpagaze,
denis mpagaze nyota,
denis mpagaze new 2023,
denis mpagaze ndoa,
denis mpagaze nyerere,
denis mpagaze nelson mandela,
nguema denis mpagaze,
ndoto na tafsiri zake denis mpagaze,
nyota yako denis mpagaze,
ndoa denis mpagaze,
denis mpagaze operation entebbe,
denis mpagaze oscar kambona,
denis mpagaze robert ouko,
omar al bashir denis mpagaze,
denis mpagaze pesa,
denis mpagaze putin,
denis mpagaze pombe,
denis mpagaze patrick lumumba,
putin denis mpagaze,
historia ya denis mpagaze,
historia za denis mpagaze,
history denis mpagaze,
denis mpagaze ruto,
denis mpagaze rais mvuta bangi,
denis mpagaze rafiki wa kweli,
denis mpagaze roho mbaya,
denis mpagaze russia vs ukraine,
denis mpagaze rafiki,
denis mpagaze siri,
denis mpagaze samora machel,
denis mpagaze story,
denis mpagaze story book,
denis mpagaze simulizi,
denis mpagaze saddam hussein.
Denis mpagaze ndo Tanzania one🎉🎉🎉 mpenimauayake
Am a Kenyan I followed Him maghufuli he was a mirror to east Africa
Magufuli and Nyerere are the Greatest Tanzanian Presidents of all time 😊😊😊❤❤
RIP we lost the best leader in our country history RIP JPM
Mpagaze uko vizuri sana kaka.
HUYU MWAMBA MAGUFULI MM NILIKUA NAMWITA NABII MUSA WA TANZANIA. 😭😭😭RIP MWAMBA WANGU
Denis mungu akubariki kwa kutuelimisha.
M.mungu amlazee mahala pema peponi jembe letu magufuli ❤❤❤
We mwadishi bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Mwenyezi MUNGU akupe maono zaidi na historia yangu pia uiandike
Kukosowana siyo Dhambi
@@johnmabugalusalulo2066 ubarikiwe
Kabisaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤
Habari mzuriii hii
Nakupingeza Sana ndg yetu kwa jinsi unavyo andaa na kuhutubia...
Ww nimwandish ambae umetusaidia sn kuelewa mambo Mungu akulinde
Mara pa ! Magufuli tunaye huyu hapa Mungu amemfufua ili aendelee kuchapa kazi,ninaweza kushangilia na kumshukuru Mungu.
Atatumia kanuni ipi kurudi madarkani
Acha kuota ndoto za alinacha..!😅😅😅
Hilo linachezea marungu ya moto huko kwa sir god
Bangi mbayaaa🤣🤣
Daaaah ni huzuni sana
Alikua ndiye RAIS WETU SISI WANYONGE ALLAH ampe kauli thabiti Ameen🙏🏽
Nilimuelewa sana mzee Jpm
Sikuwahi Kuacha Kumuelewa DENIS MPAGAZE kwa Kupitia Sauti hii ya ANANIAS EDGAR...niwe wazi ukimsikiliza Harafu usimuelewe basi Utakuwa 'JUHA'..ANANIAS EDGAR ubarikiwe Sana Big up sana kwako Bro...REST IN PEACE PARADISO MAGUFULI
Huyu Dr Magufuli hukika alikuwa ni chaguo la Mungu kuifanya Tz iwe ya kipekee sana.Mungu akuweke mahali pema peponi.Amina.
Hekoooo kaka! Maelezo mufti kabisaaa. Lala palio wema mzee Dakt Joseph Magufuli🙏🏾.
yaani Magufuli hakika alikuwa na kibali cha uongozi. Mungu atusaidie tupate nasi Wakenya. halifu Dennis twakutambua sanaaa..hongera
For sure mioyo yetu daima hukunjamana pale story ya Baba wetu huyu shujaa hakika tulimpenda San 😢😢😢😢😢
Wengi wape ukweli utabaki palepale, Magufuli aliweza R.I.P
We miss you Magufuli.😥😥
Ryambo sana. Naitaji vitabu vinaongelea kuhusu maisha Ya Magufuli
❤❤saf saan nataman nngelikuw rais nngekuw km magu mpk sasa hawez kunitoka kchwan
RIP CHUMA MAGUFULI THE BEST AFRICAN PRESIDENT EVER
Acheni ujinga eti mtu mhimu aliyetesa watu, kulikuwa na wasiofahamika, alikiuka Katiba than ever before, kulikuwa na kutekwa, kulikuwa na kujiita Mungu, pumbafu kabisa.
Magu Mungu akulaze mahali unapostahili,the worst African leader ever
HARD REALTY ♥️💯
@@abelnyenye4500 haya ishi kwa raha sasa ka JPM alikuwa mbaya. Sasa raha yako ni kuuzwa kwa waarabu. Watz sisi wajinga sana. Mleta maendeleo ni mbaya wetu, mfukuza watu loriondo na muuza bandari ndi raisi. Stupid us???? God help us
@@benjaminjoseph1747 watu wengine ni kuwaacha na ujinga wao,haitatokea tumpate kama jpm
Marais. Wanao kaaa upande wa maberuberu na kugandamiza wanaichi hatuwataki kama kikwete na mama wametutesa sana
Nimelia sana nchi ilipata mkombozi
Mwandushi mzuri, umemthamini sana MAGUFULI ndiyo maana umeitoa historia ya MAGUFULI. Mungu akubariki.
R.I.P JPM
Maraisi wote wajifunze kwenye somo hili alilotoa Mpagaze.
Kaka wew ni baba lao
Mwenyezi mungu simama utusaidie Tanzania 😂 tunalia
umetixha xna big bro mungu akubariki
Nilazima tuamke katika usingizi mwamba alijaribu kuwaamsha watanzania akaondoka mapema na kuwaacha watanzania wameduwaa. Rip JPM daima tunakukumbuka
Wewe ni commando na R.I.P. magufuli chuma cha reli
Now We will late 2 get gd president like JPM
Uko vizuri mwandishi ila hivi ni wanainchi wangapi na Tena wale WA Hali ya chini na wazalendo ambao wanasikiliza makala zako ? maoni yangu tafuta njia mbadala ya kuufikisha ujumbe na ukitufikia nasi tufikishe. Tunakuunga mkono
Listening to you Mwalimu from Kampala.
Tungetamani kumpata raisi kama Magufuli tena Mungu amlaze mahali pema peponi. 🙏
❤Nimeipenda sana. Nimejifunza. MAGUFULI NI MWAFRIKA KWANZA. Kweli tupu. Alikuwa mtu wa HAKI. MWENYEZIMUNGU ampumzishe AMINA.Asante Denis Mpagaze.
Alikuwa mtu wa haki? Haupo kabisa Dunia endelea kulima huko.
Abel Nyenye, sawa kabisa ! Wewe umejieleza vizuri sana,una haki ya kutoa maoni kadri uonavyo, ila Wahenga twasema "Wengi wape" inayoshabihiana na hiyo yasema "Mnyongeni haki yake mpeni " Naam ndivyo ilivyo sote si wakamilifu kwa asilimia Mia moja .Hii ndo dunia!
Ubarikiwe sana denis mpagaze
Ana watoto wengine Yugen na wengine
Big up Magufuli son of Africa
tulikupenda ila mungu akakupenda zaid
Mama kwa woga wa mabeberu anavyowaogopa basi atupisha wananchi hawampendi
Mungu ampe maixha mema pepon DKT john pombe maguful ama kwel alitusaidia watanzania masikin ila wao waliomtanguliza huenda mungu atatulipia ss maskn wa mung
I have no words to express how I feel about the loss of the fallen hero, loved and lovely president of all time JPM. No one can measure the magnitude of the loss but patriot Tanzanians and other honest and God fearing persons. May you rest in eternal peace Baba 🙏 ❤ ♥ 💔 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 ❤🇹🇿 tanzania 🇹🇿
Aisee haya bwana.
Unatukumbusha maumivu makali kaka, lkn Mungu yupo.
Walimtumia TU kwa AJILI ya kuiokoa CCM.
Ni usenge kuundandamiza ukwel kwa kuukuza ujinga wako umoj wa wa Tanzania Ni wasenge ninyi hamjitambui
Ule ulikuzaa analifurahisi Sana AMEN❤
Big up JOHN POMBE JOSEPH
MAGUFULI, jembe toka Chato.
Lala salama mzalendo
Mungu ampumzishe kwa amani JPM wetu.... Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania🤲🙏🙏🙏🙏 Be blessed Kaka!🙏
Hakika Magufulli alikuwa kiongozi shujaa wa Tanzania na Afrika kongole Mpagaze kuitoa hii historia ya yule mwamba
MACHOZI YANIDODOKA
Tunakuomba Uiendeleze hii historia kuuguwa kwake mpaka kufakwake!!,
Tuliondokewa na Mtu wa thamani sana ktk historia ya nchi yetu. Regancy itaishi milele yote
Wa thamani kwako.
Legacy
Hakika tutakukumbuka shujaa wetu ❤❤
Huyo alikuwa Magufuli. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
Ukweli kabisa angallia vile vitu MAGUFULI alifanya hakuna aliyefanya kama yeye rest in peace sir.asante sana kijana.tupe story
Denisii
Huhitaji kuwa geneus kuyaelewa maneno ya Mungu, unahitaji kuwa geneus kuelewa thiologia ya maneno ya Mungu, lakini unamuhitaji roho mtakatifu kuyaelewa maneno ya Mungu 1kor 2:11
Ndio Mungu amupe zaidi ya yote.. Bila kuogopa atoe yaliyo Haki.. Mungu akubariki mno Mpaganze
Heshima kwko Magufuli!!🖐️🖐️🖐️
Mkamilifu Mungu pekee ,hakuna kiongozi mkamilifu asilimia 100, kila aliyemzuri na mapungufu yapo. Labda awe Mungu au ana sifa za kiungu ndio awe mkamilifu asilimia 100
Sure,remain blessed.
Mungu amrehemu Mheshimiwa Magufuli na aendelee kuwalinda viongozi wetu Wengine Kazi ya kuongeza nchi ni ngumu na kila mtu anajua Yahitaji moyo
TUTAKUKUMBUKA DAIMA. MH. MAGUFULI LALA SALAMA😭
Mwamba ninakubaliana sana aani mungu aendelee kuku linda
Endelea kupumzika Magu,still in our minds
Rest in peace 😢JPM
Je?! Atapatikana kama yeye TZ,hii Mungu alamlaze mahali pema pepono 🙏
Mungu wape viongozi Hekima yako.
Aliacha alama.Mungu atatupatia mwingine hata tuacha kamwe japo hatuto msahau tunakumiss Rais wetu
JOSEPH POMBE MAGUFULI aliondoka ghafla katuacha mpaka leo bado tumeduwaa
Super
Wewe ni hatari ❤❤❤
JPM❤
Hua naumia sana kumpoteza mwamba na jemedari wetu JPM. Lala salama baba yetu😭
Ma
yele
Duuh mpagaz unakipaji sana, mungu akubariki
Vipi, bado unaendelea kutoa makala za kumsifia JPM, au umekaa kimya kama ndugu yako Musiba?
Tutamkumbuka sana aliweza RIP magufuli 😢😢
Historia za magufuli
Onather side of the coin?
R I P sii tamko ya mwanadamu hiya ni tamko ya mwenyezi Mungu la biblia hata korhan inasema apandacho mtu ndicho avunacho na kila mtu atalipwa kadiri yamatendo yake.
Basi Mungu amlipe kfwatana na kazi alizo ztenda❤
Rest in peace my leader
Lala salama shujaa wetu
Pumzika kwa Amani JPM
RIP JPM MKOMBOZI WA FIKRA ZA WAAFRIKA
Asante sana kwa ujumbe kuusu président wangu magufuli
Ni ukweli kabisa. Mungu akubariki
😪😪😪😪magu jamanj
😢RIP Dad please 🙏
❤❤❤🎉🎉🎉
Hata sasa bado tunataka Rais kama Magufuli. Anayesema na kutenda. Na ameacha alama kubwa ya maendeleo. Alikuwa mzalendo wa kweli. Mtetezi wa wanyonge. Inapasa awe mfano kwa viongozi wengine wa Afrika.
Nchi imebaki na kibaraka wa magharibi na falme za kiarabu
Very true, and very 😥
Kweli tumempoteza kiongozi mzuri, Na waliopo hawataki kujifinza Kwa kiongozi huyu wao Ni kurandaranda nchi za nje tu. RIP MAGUFULI.
Pole sana Janet magufuli
Kaka shikamoooo unajua Sana......
😢😢😢😢
Daah sometime inanitoa sana machoz rip comrade magufuli
Kazi Bora Sana.