PART8:BILIONEA COSMAS ALIEKATAZWA KUBEBA MTU SITI YA MBELE KWENYE MAGARI YAKE KAMA SHARTI LA UTAJIRI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 118

  • @maicofidelix3549
    @maicofidelix3549 5 หลายเดือนก่อน +5

    Leo nimekuwa wa mwisho naomba like zangu 🎉🎉🎉

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 5 หลายเดือนก่อน +7

    Asante YESU 🙏 Mtumishi Barikiwa na MUNGU

  • @wilsonwilson2417
    @wilsonwilson2417 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi safi,tutangaze ushindi wa yesu

  • @shau78
    @shau78 5 หลายเดือนก่อน +1

    "Mungu amuweke mahali pema kama kuna uwezekano huo"
    Maisha yetu sio yetu. powerful testimony

  • @user-so2ol2tq8c
    @user-so2ol2tq8c 5 หลายเดือนก่อน +19

    Mimi mchungaji cosmas jumaa Hamis ambaye natoa shuhuda zangu hapo Davista nimeona meseji baadhi wanakataa kwamba Allah aliumba majini na wanadamu ili wamwabudu Allah sasa nawapa Aya isemayo waama-halakta-jin-wal-untha-ila-liabuduna naamini nimewajibu ila wakihitaji msaada wa Aya zipo kichwani za kutosha

    • @dondada1764
      @dondada1764 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tu njia ya ilo dangu mucungaji

    • @beathaishengoma4469
      @beathaishengoma4469 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nimejifunza mengi

    • @siasia5469
      @siasia5469 5 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe na Wazazi wako wote mlikuwa Wachawi ktk Sura ya Uislam.

    • @januaryyotham5514
      @januaryyotham5514 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahah..ukizungumzia Allah kta jin antha ila aliabdun,..yaaan kunawatu wanatetea huku moyonimwao wanajua Majin na wao ni ndugu

    • @Stayawayfromislam2
      @Stayawayfromislam2 5 หลายเดือนก่อน +3

      Yesu ni MUNGU amen .

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi waislamu wanajifunza habari za majini kuwajua tania zao au.wanaruhusiwa kuwatumia ma'ana.ezekiel Mungu amewasema majini.nà miti kuishi.dunian kama wanadamu hawatakubali kushika sheria za Mungu

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 5 หลายเดือนก่อน +2

    Story smart sana Mr DM👍👍

  • @josephkelvin3376
    @josephkelvin3376 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mr dm 🎉

  • @ceciliagilbert973
    @ceciliagilbert973 4 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa.mtumishi nimekukubali

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ihi ni historia yake unabidi kujifunza sio mapigano ya dini au matusi heshima na hetifaki zingatiwe st wamoja mambo ya dini acheni kila mtu na jia yake

  • @user-bb5ok6mc9o
    @user-bb5ok6mc9o 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shikeli ni aina yauchawi wakitabu niatali sana

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi ni kwanini waganga wengi wapo tu shinyanga mwanza kigoma Tabora na mwanza

  • @user-so2ol2tq8c
    @user-so2ol2tq8c 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ukitaka nikupe Aya inayosema Allah aliumba wanadamu na majini Ili wamwabudu Allah sema

    • @geofreymulei5695
      @geofreymulei5695 5 หลายเดือนก่อน +1

      Allah mungu wa makar😂😂

    • @rogerssimon9517
      @rogerssimon9517 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kama unadhani majini wanauhusiano na mungu muumba mbingu na aridhi umepotea njia

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      Sas ni nan kasema mungu hajaumba majini na watu ili wamuabudu?.TUNACHOTAKA NI WAPI MUNGU KASEMA MAJINI NA WAISLAM NI NDUGU ACHA KUTAFUTA KICHAKA.

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 5 หลายเดือนก่อน +3

    UNAILETA MUDA MUAFAKA,,UCHOSHI UBOI,,NAKUBALI 🖐

  • @user-so2ol2tq8c
    @user-so2ol2tq8c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Twaibu Mimi siusemi vibaya uislamu naomba usinigombanishe na waislamu kumbuka unaongea na msomi na mtoto wa shekh hapo mimi naelezea ushuhuda wa maisha yangu binafsi kuwa mpole acha jazba

    • @tanzalandtv3311
      @tanzalandtv3311 5 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi naomba namba yako

    • @richzebest2029
      @richzebest2029 5 หลายเดือนก่อน +2

      Dàwa ya mpuuzi ni kumpuuza...mtumishi wapuuze maamuma hawa

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna kusoma na kuna kuelimika pia kuwa mtoto wa shekh sio sabab,ibrahim alikua mtume ila baba yake alikufuru.Uislam unamisingi yake.Kwenye hadithi zako hakuna unalolijua kuhusu uislam zaid ya story za kuunga unga.

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ohh kumbe majini na Uislamu ni ndugu! Aisee hizi dini balaa

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 5 หลายเดือนก่อน

      Mm siamini kuwa waislamu na jini.ni.ndugu.ila.naamini.wanajifunza habari za jini.lakini.kama.muislamu.aliyeshika.amri.za Mungu kabisa kabisa hawezi tumia jini Mungu atusamehe jamani tuachie dhambi waislamu.na wakristo tuachie dhambi

    • @rogerssimon9517
      @rogerssimon9517 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa wamepotoshwa wanaambiwa kufanya nao ibada ni sawa ila kwa yesu ni moto kwa sababu hana ushirika nao majini waliomba bora awaruhusu waingie kwenye nguruwe kuliko kukutana yesu .

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      @@rogerssimon9517 wapi uislam umesema kufanya ibada na majini ni sawa

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Yourshabanmnafanya ibada nao au ni uwongo?

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 4 หลายเดือนก่อน

      @@Fm-MornStar2014 uongo

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mchungaji ana fanana sana na Regina yule dada mwenye story ya Malikya wa kuzimu

    • @Yusufu940
      @Yusufu940 4 หลายเดือนก่อน

      Labda ni ndugu

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 4 หลายเดือนก่อน

      @@Yusufu940 itakuwa maana wote Niwa uko tabora

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwana damu alichagua kifo badala ya kuchagua uzima.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa n muongo ukweli
    ni asılımia2
    %98 chumvi nying sana ktk hictoria hii n Uongo

  • @ombeninnko9332
    @ombeninnko9332 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wape vidonge vyao

  • @msilangasiraji4061
    @msilangasiraji4061 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yeye alisoma dini ya Majin akusoma uislam

    • @rogerssimon9517
      @rogerssimon9517 5 หลายเดือนก่อน

      Waislam wanasema mungu aliumba majini ili wamuabudu ni sawa lakini kabla ya kuasi ndio lilikuwa kusudi Hilo ila baada ya uhasi hawana uhusiano na mungu wa wanadamu pole kwa anaye fikiri kuna majini wazuri na kufanya ibada nao moto walio andaliwa hao mapepo ni pamoja nyinyi yesu ndiye mungu aishie milele hakuna mwingine.

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      @@rogerssimon9517 unafrahisha sana.Iko hivi kuna majini wema na majini wabaya kama ilivyo kwa binadamu wema na wabaya.
      Kwenye qur'an ibilisi ndio aliasi lakini kuna majini ambao wanamuabudu mungu kwa kuishi vile anahitaji na kuna majini waouvu waliokengeuka.Waislam kusema kuna majin wema haina maana wanashirikiana nao

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 5 หลายเดือนก่อน +2

    Aiseee kumbe kumbe waislam wanaundugu na majini au ni mwongo huyu

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      Muongo tena sana

    • @shadyadavid9292
      @shadyadavid9292 4 หลายเดือนก่อน

      Wasilamu na Majìni ni ndugu kweli Muhammad aliwasilimisha majini yakawa waislam

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bona mnapinga huyu huyu jamaa na wako wengi tu wametoka uislam tu baada ya kujua ukweri ikiwepo ustadhi amri, kuna hassan, Muhammed anji na wengineo

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona wapo wengi tu wametoka kwenye ukristo na saiv ni waislam mfano mazinge na mwaipopo

    • @user-xz2yu4hv4w
      @user-xz2yu4hv4w 4 หลายเดือนก่อน

      Wakristo weng wamekuja uislam. Usidanganye...

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio Dada

  • @aobasha1
    @aobasha1 2 หลายเดือนก่อน

    Kama huniamini Google tafsiri.ya Quran na iangalie tafsiri ya surat nas. Hii ni sura ya mwisho ndani ya Quran.

  • @arifosman3500
    @arifosman3500 5 หลายเดือนก่อน +1

    MUONGO MKUBWA. Hakuna palipo andikwa waislamu na majini ndugu. ila ipo sehemu imeandikwa kwamba majini na binaadamu wameumba kwa ajili ya kuja kumuabudu mungu. acha kupotosha watu. na viumbe vyote vimeumbwa na mungu. ukiwemo wewe mpotoshaji.

    • @Yusufu940
      @Yusufu940 4 หลายเดือนก่อน

      Ihi noma

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ushabiki wa Dini ndio alionao huyu jamaa.. asikofu JPM alikuwa muislam lakini hajawahi kufanya upotoshaji katika masimulizi yake.

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 5 หลายเดือนก่อน

      Jamaa Hujui Uislamu

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 5 หลายเดือนก่อน +3

      Kwa nini mnashindwa kukubali ukweli?mnapinga?mumefungwa ufahamu kwahiyo uwezo wa kufikiria kwenu ni mdogo.Ila ni kubishana tu.

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 5 หลายเดือนก่อน

      @@andrewmhagama9816 Anawadanganya nyie mabumunda msioelewa kinachosomwa kwanza anakosea haisomwi hivyo nyie makafiri!

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 5 หลายเดือนก่อน

    Hizo zinakuwaga kama kivuli tuu unapukiuka huwezi kuzikumbatia hata ufanyeje

  • @msilangasiraji4061
    @msilangasiraji4061 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni muongo mwambie atafsiri hiyo surat nnasi vzr

    • @ahmedomary2474
      @ahmedomary2474 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabisa hajatoa tafsi ya surat nasi kul aunzu birabiy nas

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 5 หลายเดือนก่อน +1

    We mzee usipotoshe dini kama umebadili niww usiponde dini mdanganye uyo kaka d asiye juwa uisilam

    • @mwami_the_don_
      @mwami_the_don_ 5 หลายเดือนก่อน +2

      Usilo lijuwa hatadavista alikuwa mwislam 😂

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 5 หลายเดือนก่อน

      @@mwami_the_don_ watajuwa wao

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 5 หลายเดือนก่อน

      @@mwami_the_don_ kama mm nakupenda ww siwezi kumponda jule

    • @fredrickdeus29
      @fredrickdeus29 4 หลายเดือนก่อน +1

      ukweli unauma

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 4 หลายเดือนก่อน

      @@fredrickdeus29 sasa niumie nn kwani akuna waganga wakristo au wanga mm siumi kilamtu atabeba mzigo wake na yesu sio mungu

  • @dianangethe7839
    @dianangethe7839 5 หลายเดือนก่อน

    Mifano miingi, punguza explanations na kutaja watu wengiiii wenye hawausiki

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mlikuwa amuendi msibani kuzika watu mlio watoa kafara

  • @user-pf1vl6wn4v
    @user-pf1vl6wn4v 5 หลายเดือนก่อน

    ww mchungaji unasema ulikuwa shekhe.sasa ulikuwa shekhe au unajuwa tu kusoma aya .sio kila mtu anayejuwa kusoma quran ni shekhe .ww mzee acha kutia chumvi baadhi ya maneno

    • @josephdionizy2868
      @josephdionizy2868 4 หลายเดือนก่อน

      Yaan huyu alikuwa anajua tu kusoma kidogo….na tamaa zake ndangu haihusian na uislam kabisa.?

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe unapotosha hujui Uislamu! Kul audh bila bin nas Malik nnass Ila in nass min sharir was wasir annas ala dhii yua suwis fisudurnnass minal jinat wannas! Hiyo sura ni ya kujukinga na shari za majini unapotembea! Wewe unawapotosha wasijojua kafiri wewe😂😂

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 5 หลายเดือนก่อน +1

      Anapotosha uyu mzee

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 5 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@rayahamisi118
      Kama anapotosha c mtoe vya kwenu tuvielewe,jehanamu ya moto inawaita nyinyi pendeni tu oohoo majini wazuri huku yamewafunga ufahamu.

    • @mahmoudmohamed3219
      @mahmoudmohamed3219 5 หลายเดือนก่อน

      Kama nyie mnavyofungwa kupiga mziki kuona ni Ibada mnafanya

    • @lilhydon452
      @lilhydon452 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ndugu zangu waislam achaneni na Mila na desturi za kiarabu ambazo mnaziita Dini...okokeni Yesu Kristo anawapenda

    • @mahmoudmohamed3219
      @mahmoudmohamed3219 5 หลายเดือนก่อน

      Wew endelea kuvuta bangi zako zikitoka ndo utajua nn unafanya

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ww mwehu kabsa
    Mm nilidhani ungesema hivi
    " Ndani ya biblia ungekuta AYA İSAMAYO
    UKRISTO NI DINI YA MUNGU
    ndıo nıwe MKRISTO!
    Ningekuona unaakılı sana!
    Sasa ww unasema DINI N MKRİSTO wapi umesoma KTK BİBLİA YAKO???????
    Huoni kama unafanya halipo?????????

    • @user-so2ol2tq8c
      @user-so2ol2tq8c 5 หลายเดือนก่อน +4

      Mimi ushuhuda wangu ni kuwasaidia walio tayari sasa siwezi kubishana na mtu na endepo utahitaji nikupe Aya zinazo eleza majini waliukubari uislamu nitafute kwenye simu yangu hicho unacho kisema kwamba Aya nilizo soma ni kujikinga na majini sawa je unakataa kwamba hakuna majini waislamu? Na je unakataa kwamba katika uislamu haifundishwi kwamba kuna majini wazuri na wabaya? Napenda kukushauri usihamaki Mimi kuwa mkristo ukitaka kujua elimu yangu ya uislamu nitafute nitakusaidia kwa moyo mweupe bila kinyongo Asante

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 5 หลายเดือนก่อน +2

      @twaibumikidadi
      Acha makasiliko,hayo yalikua ni maisha yake na vile nafsi ilivyo muongoza kiimani.
      Okoka ndio Mungu atakufunulia vitu vingine vingi utavielewa .Msikae na vifungo mpaka muna kufa
      Ata huyo na pengine zamani alikua mbishi kama wewe (mtashikilia tu mungu hana mwana) uku majini yanawanyonga.

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 5 หลายเดือนก่อน

      @andrewmhagama9816
      Nijibu haya ntaokoka ndugu
      1- wapi yesu asema mimi ni Mungu?
      2- wapi biblia inasema Ukristo ni dini ya mungu
      3- Wapi Yesu aiingia kasimisani kufanya ibada?
      4- Wapi yesı alioa ili mm na ww tuoe
      kama kweli tunamfuata Yesu?
      Kama haına majibu kwa maandıko ndani ya Biblia basi jua kuwa
      ww umepotea maana unafanya kıtu yesu hakufanya!!!!

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 5 หลายเดือนก่อน

      ​@twaibumikidadi7377
      Maswali ya chekechea kwa Mktristo alie hai.
      1.Yesu Kristo alijua zama alizo kuepo ya kwamba akisema yeye ni Mungu moja kwa moja Wayahudi wange mpiga kwa mawe kabla ya andiko kutimia..Zamani ilikua ni kufuru.kwahiyo yeye aliwaambia kwa mafumbo.
      Soma:Yohana 10:30
      Yohana 1:1 inasema “Neno alikuwa Mungu”. Yohana 1:14 inasema “Neno akafanyika mwili.” Hii inaonyesha wazi ya kwamba Yesu ni Mungu katika mwili. Matendo 20:28 inatuambia, “…Muwe wachungaji wa kanisa la Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe,” Ni nani aliyelinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe? Yesu kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 5 หลายเดือนก่อน +3

      Swali > 1- wapi yesu asema mimi ni Mungu?
      Jibu > Yesu hakuja kujitangaza directly Yeye ni Mungu ingawaje alijua Yeye ni nani - "yeye kwa asili alikuwa sawa na Mungu, lakini hakuona kwamba kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikilia sana. Bali alikubali kuacha vyote, akachukua hali ya mtumishi, akazaliwa na umbo la wanadamu." - Wafilipi 2:6-7
      Wayahudi (kama waislamu) walitaka kumpiga mawe “Tunataka kukupiga mawe si kwa sababu ya mambo mema uliyotenda bali ni kwa kuwa umekufuru. Wewe ni mtu tu lakini unajiita Mungu.” Yohana 10:33
      Makuhani wakuu na walimu wa sheria waliudhika waliposikia watoto wakishangilia Hekaluni wakisema, “Hosana kwa Mwana wa Daudi!” Wakamwuliza Yesu, “Unasikia hawa wanavyosema?” Akawajibu, “Nasikia. Kwani hamjasoma maneno haya, ‘Kutoka katika vinywa vya watoto wadogo na wale wanaonyonya umeleta sifa kamili’?
      Hapo Yesu alikuwa anawanukulia Zaburi 8:1 Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu,
      kweli jina lako latukuka duniani kote! Utukufu wako waenea mpaka juu ya mbingu! Kwa sifa za watoto wadogo na wanyonyao, umejiwekea ngome dhidi ya adui zako, uwakomeshe waasi na wapinzani wako.
      Mbona ni aya nyingi kuanzia mwanzo hadi ufunuo zinadhihirisha Yesu ni Mungu.
      2. wapi biblia inasema Ukristo ni dini ya mungu?
      Jibu...Ukristo sio dini kama uislamu na kadhalika...Ukristo ni kuwa mfuasi wa Yesu ...dini zote duniani zimeanzishwa na binadamu.
      Hakuna nabii wa Mungu alihubiri jiunge na dini hii au dine ile....Walihubiri imani kwa Mungu...ndio Ibrahim kwa Biblia anaitwa Baba wa imani...sio wa dini.
      Kiarabu Dini kiswahili ni NJIA.
      Yesu akawaambia, “Mimi ndiye NJIA (dini) NA Kweli NA Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu." - Yohana 14:6
      3. Wapi Yesu aiingia kasimisani kufanya ibada?
      Jibu > Luka 4: 16 Baadaye Yesu akaenda Nazareti, mahali alipokulia. Siku ya sabato alikwenda katika sinagogi kama kawaida yake. Akasimama ili asome Maandiko. 17 Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua akasoma kitabu cha Nabii Isaiah 61:1,2
      Kitabu cha Nabii Isaya kimo ndani ya Biblia ambayo inatumika kanisani kwa ibada.
      4- Wapi yesı alioa ili mm na ww tuoe
      kama kweli tunamfuata Yesu?
      Mpango wa Mungu kumleta mwana duniani hukuwa wa kuishi kama sisi wanadamu..
      Yohana 3:16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."
      Kwa kifupi...waislamu mumefumbwa macho na akili mkaamini uongo wa ibilisi kuwa Mungu hana Mwana wala hazai....ni kweli allah hana uwezo wowote....kwa hivo mumelaaniwa milele jehanamu >>>> Yohana 3:18 "Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakumwamini Mwana pekee wa Mungu."
      NJOO KWA YESU NDUGU ​ @twaibumikidadi7377

  • @tututz100
    @tututz100 5 หลายเดือนก่อน +1

    J.B.B.1999

  • @hurbaisadick128
    @hurbaisadick128 5 หลายเดือนก่อน

    Ma halaktuljinna wal innsa
    Ilalyabuduni maanayake ni sijaumba majini na watu ila waniabudu waliomuasi Allah, ndio wanaitwa mashetani

    • @rogerssimon9517
      @rogerssimon9517 5 หลายเดือนก่อน

      Usichokijua majini asili yake walikuwa malaika watakatifu huko mbinguni kabla ya kuasi zile ni roho ndugu, na asili ya roho wa mungu ni mbinguni ukiona roho yoyote yaani majini hapa ya mbingu hizo roho chafu unclean spirit.

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 5 หลายเดือนก่อน

      @@rogerssimon9517 sas unaleta ufafanuzi kupitia biblia kwenye hoja yenye misingi ya qur'an mbona unstaajabisha 😂.
      Kuhusu majini kuwa malaika hilo ni lenu ila kwenye uislam malaika ni malaika na jini ni jini.Malaika kaumbwa kwa nuru huku jini kaumbwa kwa moto.
      According to islam majini walimuasi allah hivyo mungu akatuma malaika kwenda kuwaangamiza,story ni ndef kidogo ila malaika waliondoka na ibilisi akiwa mdogo akaishi na malaika mpaka alipokuja kumuasi allah baada ya kugoma kumsujudia adam kisa yey ni bora kaumbwa kwa moto.