MKE WA BILIONEA COSMAS AELEZA JINSI MUME WAKE ALIVYOPATA UTAJIRI WA KICHAWI NA WALIVYOISHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 5 หลายเดือนก่อน +5

    Yan nn wanangu uyu ndio mke ❤

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukisikia mke ndo huyu mama mungu awajalie maisha marefu maana mmepita vikwazo vingi

  • @navokisembo
    @navokisembo 5 หลายเดือนก่อน

    Great ushuhuda be blessed Davista

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Mr DM 👍👍

  • @user-ub1yx5vc8b
    @user-ub1yx5vc8b 5 หลายเดือนก่อน +1

    Peter rulagora usichanganye injili na torati yaani sheria. Nywele hazihusiani na kuokoka. Hujui maana ya wokovu. Soma Wakolosai 2:16 na Waefeso 2:5-8

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 5 หลายเดือนก่อน +2

    Davistar soma Biblia, Ndoa Mseto zinaruhusiwa kwenye barua za mtume Paulo.
    Hata kama mtu ni wa imani gani, mradi kila mmoja abaki katika imani yake.

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 5 หลายเดือนก่อน +1

      Biblia inaruhusu kuishi lakini sio ndoa! Na hi ni kwa sababu ndo haijatajwa ndani ya biblia! Ila kwa kufunga ndoa hakuna kanisa inayoruhusu kufungisha dini tofauti! Labda ndoa za bomani!

  • @mamertarweyemamu3438
    @mamertarweyemamu3438 5 หลายเดือนก่อน

    Acha ushamba.😅 14:51 14:46 Mbona nyeele Ni 14:22 Ni mzuri anapendeza😅😅

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 5 หลายเดือนก่อน +2

    We mama mwongo! Romani catholic hakunaga ndoa mseto! Hapo unatupiga! Mi mwenyewe nilioa muruthelani niligomewa ndoa kwanza mpaka mwenzangu akili imani ya kanisa catholic mchumba wangu alikili kwanza na kupokelewa ndo nikakubaliwa kufunga!

    • @josephsabuni795
      @josephsabuni795 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo aliyekugomewa hajui utaratibi wa Kanisa katoliki na alikosea kukugomea, ndoa za mseto zipo na kanisa linaruhusu, ila mnahimizwa wote muwe wakatoliki..

    • @user-ll5qx5up8n
      @user-ll5qx5up8n 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabisa si muongo ndoa za mseto ziko kabisa mimi mwenyewe nimefunga hiyo ndoa yamseto catholik tena hatukusumbuliwa

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ndoa ni ndoa tu haijalishi dini

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kufuata mtiririko wako ndugu DAVISTA naimani kuna changamoto kubwa sana kwa sasa zinasumbua,,tangu niifahamu chaneli hii 2020 kila siku unapunguza namba......vita uliyonayo ni kubwa sana toka kuzimu Mungu akusaidie.......je tunafanyaje ili usipotee kabsa......wadau wa mama wa mikono 3,bakora za mikakati,gambosi na nyingine toeni mawazo.

    • @mayanmlingwa4250
      @mayanmlingwa4250 5 หลายเดือนก่อน

      Pia ili namba ziongezeke ningekushauri eneo la kudownload uliondoe.

    • @user-ye1dt2eb8u
      @user-ye1dt2eb8u 5 หลายเดือนก่อน

      Akiondoa ndio tunaondoka pia sisi,

    • @mayanmlingwa4250
      @mayanmlingwa4250 5 หลายเดือนก่อน

      Kwaiy upo kudownload tu na si kutazama online ili apate riziki,,,kiufupi huna unachopoteza kwake Aiseeee.

    • @kelvinramson2164
      @kelvinramson2164 5 หลายเดือนก่อน

      Vita ni kubwa naamini Mungu atasaidia atashinda tu atafika mbali

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo nywele hazifai mama mchungaji km ameokoka

    • @gabrielisdory9686
      @gabrielisdory9686 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nywele zinashida gan 😢😢

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wameanza sasa wajuaji wa dini

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 5 หลายเดือนก่อน +2

      Unajua utofauti wa nywele na Moyo?

    • @richardndegese1448
      @richardndegese1448 5 หลายเดือนก่อน

      Nywele zinashida gani tafuta kumjua Mungu ni Roho.

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ufupi wewe mama una hekima sana kama nimimi ningekua nishapayuka nikamwambia wewe wanataka toa mtoto kafara

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 หลายเดือนก่อน

    msalaba ni ishara ya kuzimu
    soma Biblia vizur utaona

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo hana sifa za kuwa mchungaji kama mke wake ndo ana mwonekano uho

    • @user-gl7ze2rn1g
      @user-gl7ze2rn1g 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani umeshakuwa Mungu wewe?

    • @user-so2ol2tq8c
      @user-so2ol2tq8c 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani kuna Nini?

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-so2ol2tq8c mwonekano wa mke wake kwenye bibilia ni kahaba sasa kama kashindwa nyumbani kwake kwa wengine hataweza

    • @gabrielisdory9686
      @gabrielisdory9686 5 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi kunashida sana,ko mke wa mchungaj hatakiw kusuka??,nafikil labda angekua katoboa pua au sikio,katinda nyusi,kapaka mekapu hapo ndo ingekua shida

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 5 หลายเดือนก่อน

      @@gabrielisdory9686 hii nchi tena wewe unaishi unavyotaka au unaishi kama mungu anavyotaka kwanza kama ungekuwa unamtii mungu mke ilibidi awe amefunika kichwa anapokuwa kwenye nyumba ya mungu,kusuka ni kujilemba mungu anasema wanawake wajilembe kwa ajili ya waume zao mimi nimemuona ni mke wangu waelekeze watu kwa mungu mistake mfanikio ambayo yanawafanya mkose ufalme wa mungu

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe muandishi acha maswali ya kipumbavu ni mdini na mchonganishi wa kiimani nimekufatilia sana kama wewe mdini katafute taifa lako mjinga sana wewe

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 5 หลายเดือนก่อน +2

      Nimeona jina lako nikaelewa kwanini!
      Pole sana.

    • @user-so2ol2tq8c
      @user-so2ol2tq8c 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa tumpe pole huyu ndugu​@@Fm-MornStar2014

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 5 หลายเดือนก่อน

      Unapaniki nini mwanangu? Siuende ukalale utuache tulivyo! Kama vipi, pita kuleee, ukihitajika utaitwa!

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 4 หลายเดือนก่อน

      Yeah hawanaga akili hao,,na shida hapo ni kwamba uchawi wao unadhihirishwa​@@Fm-MornStar2014