MOHAMED KAWAIDA ALIPUKA WANAOPINGA DP WORLD KUPEWA BANDARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 19

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 วันที่ผ่านมา +5

    Hakuna mtu mwenye nia ya kuuza Nchi, Nchi iko mikono salama saaana chini ya SSH, Dunia inasonga mbele haisimami, kazi nzuri saana inayofanyika Bandarini

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 2 วันที่ผ่านมา +3

    Vijana msiwe machawa kwa faida za walio juu kuweni makini sana na kauli zenu kuangalia kesho yenu na watoto wenu sio upigaji debe

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona kodi nyingi pesa hatuone hajira hakuna tupunguzieni kodi makato hadi kwenye cm

  • @user-ys3gt8lp5h
    @user-ys3gt8lp5h 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kama kuna faida mbona kodi nying kwa sisi wananchi punguzeni kodi nasisi tuishi kwa raha chukuen faida hyo mnayosema nass tupate ahueni ya maisha😢

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 2 วันที่ผ่านมา

      Sasa yaani muekezaji ndio anaingiza vifaa hajakamilisha kazi rasmi ajaanza vzr,wape mda kisha huko mbele meli nyingi zikishaaingia na tukaona basi kuhoji kupungua kwa kodi itakuwa haki yako kabisa

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 2 วันที่ผ่านมา

    Mnakaa mnasifia sifia ujinga,kwanza mmeonesha udhaifu wa serikali,kwanini wapewe bandari wengine,na wapate faida hali yakuwa serikali yetu ilishindwa huo si uthaifu wa serikali yetu.Yani mnapenda kutafuniwa kweli,,kodi zinapanda Kila siku acheni zenu

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie Mnatuonesha Hizo Picha Ndani Ya Mikataba Hakuna Anayejua Kinachoendelea na Faida Hakuna Mtanzania Mwenye Uhakika Kama Kuna Faida inapatkana au Kuna Wizi Unaendelea Kama Kawaida ?"

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 3 วันที่ผ่านมา

      Muda ndo utakao ongea mana kwa kawaida mkataba ni siri kijana ila ufanisi ukibadilika bandarini na mapato yakiongezeka basi hayo ndo mafanikio

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 2 วันที่ผ่านมา

    Sisi hatuwezi kushangaa mitambo ni yao tunataka matokeo na hiyo volum zionekane.magufuli alifanya muda mchache mazuri sio kwa kukodisha bandsri tuone matokeo

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 21 นาทีที่ผ่านมา

    Mm nadhani waliokua wanapinga walikua wamehongwa na walipa kodi

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 2 วันที่ผ่านมา

    Acheni kusifia ujinga,maana faida huwezi kuiona kwa siku hizi chache huo ni uongo na ni unafoki.Simamieni ukweli,hata kama ukifukuzwa kazi utaishi tuu mbona sisi tunaishi kwa kutumia elimu yetu wenyewe bila kuaniliwa na mtu.

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hiyo mnapingana kauli alizo kuwa anatoa makufuli ?

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 3 วันที่ผ่านมา

      Kwani kila alichosema ni sheria

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 2 วันที่ผ่านมา

      Magu alikuwa Mungu kwani hem acheni ubinafsi

  • @IbrahimKabeniani
    @IbrahimKabeniani 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa mwekezaji namambo ya mitano tena kwani mda wakampen imefika

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 2 วันที่ผ่านมา

    Ndio maana namuona Makonda tuu ndo anaefanya anacho kijia sio wengine waoga tuu

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa hivi najua mchanga wata beba hadi mawe maana hakuna kuingia bandalini nyie viranja,mnasimamia mali za warabu tuu.Kinacho patikani ni mali ya warabu ninyi hadi mgawiwe faida utadhani sio kwenu.Hamnatofauti na ombaomba maana unasubiria ugawiwe pasipo kujua kilicho patikana

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 2 วันที่ผ่านมา

    Kusema huko ndo kumesaidia yote hayo

  • @antonyibrahim5949
    @antonyibrahim5949 2 วันที่ผ่านมา

    Hao ni viranja tuuu. ni wasimamizii tuuu