BREAKING: WALIOMBAKA NA KUMLAWITI MSICHANA WAKIMREKODI WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAMO ASKARI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 444

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 2 หลายเดือนก่อน +10

    Eeeeh Mwenyezi Mungu Linda kizazi chetu....waepushe n tamaa zote za dunia hii unaweza mlea mtoto vzur akaharbikia mikononi mwa marafiki shulen kanisan au mskitin. ....hamna sehemu salama isipokua kwako MUNGU .......Naamn MUNGU umeskia DUA HII AMEN

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 2 หลายเดือนก่อน +25

    Aliyewatuma akamatwe na Hao Wanyongwe iwe funzo kwa wengine. Hakuna kula ugali wa bure huko jela. Wakirudi mtaani msije kuwalaumu wananchi wenye hasira

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 หลายเดือนก่อน +37

    Duuuuuue, watu wengine hata Shetani anawashangaa.

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 2 หลายเดือนก่อน +32

    Vijana waovyo sana hao wapewe adhabu kali ili iwe funzo kwa wengine

  • @SalaDLDMKagema
    @SalaDLDMKagema 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na huuo mwanamke aliewatuma akamatwe,mishenzi Sana hiyo,Ahsantw Rais wetu na mama gwajima kazi nzuri

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ukiwa na Yesu huwez kutana na ujinga huu. Waliozin, waliobaka, na aliyelipiza kisasi , haya yote yanakufata ukimkataa Yesu.

  • @williammyemba8374
    @williammyemba8374 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hao wakienda gerezani na wenyewe watafanyiwa kama walivyomfanyia huyo binti,,Ni huzuni kwa kweli

  • @EmmanuelChaula-v5s
    @EmmanuelChaula-v5s 2 หลายเดือนก่อน +30

    Wamtaje aliyewatuma, au binti aulizwe huyo mzee aliyekuwa anatoka nae kwaajili ya kumpata huyo aliyewatuma

    • @block24tv60
      @block24tv60 2 หลายเดือนก่อน +1

      Akikusikia kazi unayo

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kbs yn ivyo ndo inavyo takiwa

    • @sharifu-story4644
      @sharifu-story4644 2 หลายเดือนก่อน +6

      Bint yupo chini ya miaka 18 pia yule bwana nimtuhumiwa kwa kumrubun mtoto pia yule alie watuma nimtuhumiwa namba Moja yupo wap na anafanya nn?

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa yani akiojiwa yule binty ndio tutamjua huyo mwanamke

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@block24tv60naaje watukamate wote

  • @jaqlinemanyama
    @jaqlinemanyama 2 หลายเดือนก่อน +1

    hawa nahis walitaka wamtumie yule mama kwamba kazi wamemaliza ila wakajikuta wamepost mtandaoni😂😂😂😂wauwawe

  • @gasperymisungwi960
    @gasperymisungwi960 2 หลายเดือนก่อน +15

    Wanasema eti “tunamlinda”, mnawezaje kusema mnamlinda wakati huo mnamuita kahaba!! Hii kitu imeniuma sana. Harafu eti walisema wamemuweka sehem wanampatia msaada wa kisaikolojia, wakati huo huo mnamuita kahaba! This isn’t fair at all

    • @sarahminja7255
      @sarahminja7255 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umeonaeee ni kweli unachosema yani roho imeniuma Sana walivyomuhita kahaba alafu walimvalisha tisheti ya wafungwa ya orange je kahaba anavishwaje tisheti ya wafungwa na yule mwanamke aliyemuhita kahaba inawezekana akawa ndiyo afande mwenyewe aliyewatuma

  • @Rehemamakuka
    @Rehemamakuka 2 หลายเดือนก่อน +32

    Tunataka hukumu stahiki ili iwe funzo kwa wengine na boss wao pia tunamtaka

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hawa ilitakiwa walawitiwe kwanza halafu wapigwe misumari ya kichwa mpaka vifo, ili.iwe fundisho kwa majeshi yetu ya ulinzi na usalama.

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 2 หลายเดือนก่อน +3

      Huyo bosi wao anatakiwa anyongwe hadharani

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน

      @@raymondnlelwa427 Imagine RPC wa Mkoa anatoa kauli ya ajabu namna ile mpaka serikali kupitia IGP kuona aibu na kumuhamisha kikazi.Hii nchi inabidi reform ianze kuanzia wanasiasa mpaka Hawa watumishi wa umma.Kwanza hao 2 waliobaki ni wakina Nani? Na matukio Kama haya kwann rais yupo kimya?.Amani ya nchi hii Kuna siku itakuja kutoweka sababu ya chuki za wananchi dhidi ya watumishi na viongozi wao.Hawa watu ningekuwa Mimi sasa hivi ningewalambisha mchanga aisee.

    • @issaalfani1030
      @issaalfani1030 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujui tamko la hukumu sio adhabu hao wanalindana hata wakitamka hukumu miaka 100 kesho wanatolewa sasa hapo kuna nini tatizo hii nchi inaendeshwa kishikaji sio tena kielimu

    • @issaalfani1030
      @issaalfani1030 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna haki hapo mmesha tufanya sisi watanzani majinga

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 หลายเดือนก่อน +17

    Haki ipo mbinguni peke yake na Wala sio duniani💔🫶🙏

    • @peterkabeke362
      @peterkabeke362 2 หลายเดือนก่อน +2

      nani anauhakika na haki iko mbinguni

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 หลายเดือนก่อน

      We vipi

    • @AishaAishasalum
      @AishaAishasalum 2 หลายเดือนก่อน

      ​@peterkabekem8mi362

    • @ReychoMc
      @ReychoMc 2 หลายเดือนก่อน

      Uyo wambele na ufupi uwo alijionea huruma jmn

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jeshi lenyewe ndo kwanza wanasema alikuwa anajiuza hadi unashangaa natamani angekuwa binti ya mkuu wa polisi labda wangejua maumivu

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 2 หลายเดือนก่อน +22

    Walikuwa wa5 mmoja yuko wapi, hajapatikana..... Ameenda wapi ??? Atafutwe hadi apatikane

    • @alitante4279
      @alitante4279 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sawa mkuu tutamtafta 😅

    • @sharifu-story4644
      @sharifu-story4644 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 bila kusahau boss wao

    • @UmmyZakiah
      @UmmyZakiah 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@alitante4279nimecheka😂😂

    • @husnatjh5969
      @husnatjh5969 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @farajirubisi1114
      @farajirubisi1114 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@alitante4279Daaaaah 😂

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chinja..kodi yangu isitumike kuwalisha huko jera. PLEASE!!

  • @kassimmchebe-d2d
    @kassimmchebe-d2d 2 หลายเดือนก่อน

    Alihamdulinllah mungu ni mwema wameshikwa na mmoja atafutwe apatikane na boss wao pia

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 2 หลายเดือนก่อน

    Emwenyezi mungu wanusuli watoto wetu

  • @paulojohn-bh2vz
    @paulojohn-bh2vz 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani hapo waulizwe alie watuma nae tumuone na wote wachukuliwe hatua kali kwani itakuwa kama funzo kwa wengine

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 2 หลายเดือนก่อน +2

    Binafsi namshukuru Mungu angalau tumewaona mahakamani... Mwenyezi Mungu aweke mkono wake,haki itendeke kwa yule binti jamani...Hiyo mijanaume ifungwe hata maisha na itakuwa fundisho kwa wengine.

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 2 หลายเดือนก่อน +3

    Angekuwa makufuri yupo kesi ingeisha mapema nayure arisema arikuwa anajiuza kazihana lakinisasa mungutusaidie

  • @staanstaan8722
    @staanstaan8722 2 หลายเดือนก่อน +2

    Adhabu ni mbili tu wakalie chupa na wao au wapige nyeto wakidisa unapiga ruler za mboo ikisinyaa unapiga nheto tena ivo ivo

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yan hawa mbwa haki itendeke kwa kweli wamemdhalilisha san yul dad

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 หลายเดือนก่อน +6

    Alowatuma mbona atumuoni yye ndo msababishaji. Achukuliwe atua haraka

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri sana tu naomba na alie watuma lazima achukuliwe nayeye iwe fundisho Kwa mwengine

  • @victoriapatrick9840
    @victoriapatrick9840 2 หลายเดือนก่อน +3

    Icho kifupi si ndo kilikua kinajiona kibabe kinajiselfisha kabisa kione kilivyo😆 jamani em fanyeni haraka hii mijitu ikanyee ndoo uko.

  • @getajo1153
    @getajo1153 2 หลายเดือนก่อน

    JUSTICE MUST BE SERVED...

  • @shadidajumaa2902
    @shadidajumaa2902 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana jeshi letu

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wasiachiliwe wafungwe maisha ili iwe funzo kwa wengine.

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 2 หลายเดือนก่อน +17

    HIVI KWANINI WATANZANIA TUSIANDAMANE HUYO RPC AFUKUZWE KAZI? JAMANI HAKI ZA WANAWAKE MPO WAPI? HAKI ZA BINADAMU MPO WAPI 😢

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 2 หลายเดือนก่อน +2

      Acha ujinga wewe hujui kilicho nyuma ya pazia

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tatiz hap Tanzania ukiwa mtumish ukikosea unahanishwa ndio maan wat hawan nidham.na kaz

    • @Ashrey82
      @Ashrey82 2 หลายเดือนก่อน

      Tayari ameshaamishwa ktk kitengo chake kwa matamshi yake

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tutaandamana kwa mangapi ndugu yangu kila kona kuna wanyonge wanalia,watu wanapotea na hawapatikani shida tupuuu

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 2 หลายเดือนก่อน

      @@Chettymlambalipsi-lb9km asante wewe mwerevuu

  • @atuokoetweve412
    @atuokoetweve412 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi hawa akili zao au ndio walitekeleza amri ya aliye watuma maana haiingii akilini wqsomi Tena wakada yao. Haya ngoja tusubiri labda wenyewe watamtaja aliye watu kama walitumwa ila kama niakili zao basi wapewe haki sitahiki bila huruma.

  • @ericamwkyokile4681
    @ericamwkyokile4681 2 หลายเดือนก่อน +13

    Aliye watuma mbona haonekani.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yeye ndio atafanya michakato watoke hao maana ndio afande kisha itakuwa anaukubwa ukubwa serikalini na ndio hajashikwa

    • @EmmanuelMsangi-kb3vv
      @EmmanuelMsangi-kb3vv 2 หลายเดือนก่อน

      Cndio kes inaanza watamtaja nafikiri ila ilipaswa akamatwe kwani inajulikana hao mafala walitumwa

    • @ericamwkyokile4681
      @ericamwkyokile4681 2 หลายเดือนก่อน

      @@EmmanuelMsangi-kb3vv ni kweli.ila nina wasiwasi.kama wana kana kosa.maana yake watapambana wao

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

      @@EmmanuelMsangi-kb3vv Ndivyo ilivyo uwa wametumwa kwa mujibu wa ushahidi wa clip yao wenyewe.

  • @SPORTSCHEMBATV
    @SPORTSCHEMBATV 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kuna haja ya ushahidi Hao siwanatakiwa kwenda moja Kwa moja jela jmn, nitashangaa kama watashinda hii Keshi aixee

  • @HizaMwaimu
    @HizaMwaimu 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu amtie nguvu muhanga .

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan wanavotembea na kujiamini duh😢

  • @DominicaShio
    @DominicaShio 2 หลายเดือนก่อน +1

    Manjemba makubwa hivyo jamani na Binti ni mdg tu jamani tendeni haki na nchi ibarikiwe

  • @naamanifaida7944
    @naamanifaida7944 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana sweka ndani pumbafu hao

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mwema tusiwaone ulaiani watajuta.

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani Hawa wangenyongwa hadharani mpaka kufa Ili iwe funzo kwa wengine.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

    Hao kesho wapo nje mana hiyo serekali yenu wengi wazinifu na mabasha na masenge wamo kwa hiyo hapafanyiki kitu.bora mtu uchukue hatuwa mikononi tia mapanga basi au zamisha machiti ya nyuma na wao fureshi tu

  • @sebamlelwa
    @sebamlelwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo sawa lazima haki itendeke

  • @AzizaMohhamed
    @AzizaMohhamed 2 หลายเดือนก่อน

    Hivii hawa wavulanaa hawana wazazii au ,,walilelewajee,,aau walilipwaa sh ngapii ,mpaka hawakuogopaa,,jee naa alieewatumaa,,

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyewatum hana kosa ukiambiwa kula mavi utakula jifunzeni

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน

    Dhamana tena kwa kosa hilo ....?
    Basi sheria zitakuwa ni sanaa tu za unyanyasaji . Usenge ule waliofanya hao jamaa bado wanatakiwa dhamana .

  • @FloraMarinyo
    @FloraMarinyo 2 หลายเดือนก่อน

    Angekuepo magufuri angeamua kila apo apo kusingekua na hizo rongolongo ....wakamatwe wawekwe ndani miaka kadhaa na faini kadhaa kwishaaaa ....sasa mmeanza kutafutizaaa vitu vyaajabuajab tu

  • @Novmedia2013
    @Novmedia2013 2 หลายเดือนก่อน

    ILE NGOMA YA JAIVAA
    Mtoto kautaka.
    Wakisikilizishwa labda itasaidia kuharakisha kesi.
    Kajamaa kumbe kafupiii

  • @WiliamTomas-oo9kb
    @WiliamTomas-oo9kb 2 หลายเดือนก่อน

    Waze wa utelezi wameteleza sana 😊

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mbona camera mani wapo chapu chapu shida nini wavueni nguo muwaache uchi waangariwe km movie 😂😂😂😂

  • @frankmedard7801
    @frankmedard7801 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu

  • @MKOLOSAIZENGO-o7f
    @MKOLOSAIZENGO-o7f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila tunataka tusikie baada ya mahakama watamalizaje atutaki jambo lije liwe kimya

  • @SalmaYoram
    @SalmaYoram 2 หลายเดือนก่อน

    Yhn Allah alitaka kuwahukumu na kuwadhlirisha hapa hpa duniani maana kitendo cha kujirekod kwa selfie walijua wanamkomoa bint
    kumbe nao wamejiingiza kwenye
    mfumo pasipotegemea Allah
    analipa duniani wallah😢 Yhn ingekuwa amri yangu wanyongwe mpk kufa😢😢

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 2 หลายเดือนก่อน

    Na huyo aliyewatuma pia akamatwe
    Hapo vijana WA hivyo hawafai kukaa uraiani hao kifungo cha maisha

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน

    Ktk video walionekana wa5 , lkn wao wanajua walikuwa wangapi . Na room ya kufanyia huo ujinga waliorganize na nani ..... yaan fagio lipite na wote walioshiriki.

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 หลายเดือนก่อน

    Nachoshangaaaaa ety ni wanajeshi wa jwtz daaaaah 😢😢😢😢 nimelia sana

  • @redemptervictor5006
    @redemptervictor5006 2 หลายเดือนก่อน

    Nawaza uyu dada aliyefanyiwa unyama ule atawezaje kuomba ata kazi apate kma amesoma, na vipi jamii inayomzunguka atawezaje kuishi kwa amani 😢

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu unyama waliomfanya huyo msichana kwa kweli sheria iwahukumu sawa sawa na makosa yao.Ukatili mbaya sana utafikiri hawana dada kwao.

  • @SalaDLDMKagema
    @SalaDLDMKagema 2 หลายเดือนก่อน

    Wanyongwe hao manina zao,mmoja hayupo jao walikuwa watano

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kurecord na kurusha mitandaoni sio moja ya makosa ?
    Kama kubaka ni kosa moja na kulawiti ni kosa jingine , basi hata kurecord na kurusha mitandaoni ni makosa mengine . 😢😢😢

  • @HawaJuma-d2i
    @HawaJuma-d2i 2 หลายเดือนก่อน

    Kama upelelezi umekamilika mbona wawili wahusika hawaonekani uyoo afande na uyo mbakaji tunataka tumuone jamani

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wanasafirishwa kwa gari nzuri, isiyopitisha baridi tofauti na Mbeya. Hawajapigwa wala kurushwa kwenye gari.
    Dah!

  • @tumainilaizer6517
    @tumainilaizer6517 2 หลายเดือนก่อน

    Yan cjui nafikiria kitu gn lkn moyo wangu unaogopa sana kwahabari ya hili jambo 😮😢

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 2 หลายเดือนก่อน

    Wamekana vp wakati video zinaonyesha tena wafungwe milele laana ao naniwashezi na mungu awalaani wao na vizazi vyao mungu tenda miujiza yako lnshaallah

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ety wamekana mashtaka 😂😆😆
    Kwan kukana maana yke ni nn?!!

  • @BabuAli-zv8gn
    @BabuAli-zv8gn 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi wanayo wanasubiriwa nyumba kubwa na wanaume wenye upwiru malipo ni hapa hapa duniani walikua hawajui washamba hao kwanza mioto yao yenyewe ni ya kupepea wasenge hao

  • @EverywilliamMsafiri
    @EverywilliamMsafiri 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo mama aliesema anajiuza alatumwa. na nani mana mi mwenyew nashangaa ujinga aloongea tena yuko makini kabisa kuongea ujinga wake

  • @bennyjoram9030
    @bennyjoram9030 2 หลายเดือนก่อน

    Anza kuhesabu namba hapoooooooooooooo,,mule mule serikali mmetishaaa

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani wanaume 😢hivi Kama mwaume mwenyewe akili unawezaje kuchangia sehemu za siri kwa mara moja

  • @BenardSadani
    @BenardSadani 2 หลายเดือนก่อน

    Eti ,.....usalama wa watuhumiwa daah Tanzania

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 2 หลายเดือนก่อน

    Kamtu kenyewe kafupi kama nn kwanza kalipitaje kwenye usaili wa jeshi

  • @ZamzamJuma-em4ql
    @ZamzamJuma-em4ql 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona wanatembea ki boss kabisa hawajafungwanpingu ivi jamani nikweli ndio hawa

  • @thabit5775
    @thabit5775 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kimsigi huyo bint asimamiwe na watu wahaki za binadamu

  • @SarahNambela-m1v
    @SarahNambela-m1v 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nashindwa kuelewa arieye tuma picha ni hawo hawo au ni boss wawo

  • @IshaYahaya-s9o
    @IshaYahaya-s9o 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo alie kua anaipuliza bangi mwenyewe mfupi kama mavi ya asubuh 😡😡

  • @mercydirisha8903
    @mercydirisha8903 2 หลายเดือนก่อน

    Afande aliyewatuma yupo wapi mbona hazungumziwi

  • @edisonsanga5288
    @edisonsanga5288 2 หลายเดือนก่อน

    Shida Tanzania tunadekezwa sana jitu limefanya maovu eti jera watu wamezoea sana mbona maovu yamezidi sana tubadilishe sheria mbona watu wanajiamini sana kufanya matukio yakutisha

  • @barakalyatuu3057
    @barakalyatuu3057 2 หลายเดือนก่อน

    Binafsi nimekuwa disappointed na mahakama! Haiwezikani makosa mawili kwa ukatili uliofanyika kwa bint.

  • @abcosecomartialarts4321
    @abcosecomartialarts4321 2 หลายเดือนก่อน

    Kosa la kwanza kuteka la pili kubaka kwa kundi,kosa la tatu kumuingilia kinyume na maumbile

  • @ShamsaHassain
    @ShamsaHassain 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi ndio nimeskia vibya au wamekana au wamekiri😢😢😢😢😢😢😢

  • @EuniceRobert-z6s
    @EuniceRobert-z6s 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo Tanzania tunayoitaka sasa, mtu akifanya kosa awajibishwe ili na wengine wasiendeleze kuepusha vizazi vya laana

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku atakuja kufanyiwa bint wa polisi halafu tuone kesi inaisha vipi

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 2 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAOMBA HAKI ITENDEKE NA WAPATE AZABU KALI ILI LIWE FUNZO KWA WENGINE.

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyewatumabona mmemficha nae akamatwe nae ahukumiwe.hapo hakuna hakuna kesi kuongelewa hapo ni hukumu tu.sababu kila kitu kipo wazi

  • @joshuasolomoni935
    @joshuasolomoni935 2 หลายเดือนก่อน

    mkamateni na aliyewatuma kwann yeye hachukuliwi sheria

  • @SiaCollins
    @SiaCollins 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyewatuma yu wapiiiiiiiii😭😭😭😭

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 2 หลายเดือนก่อน

    Tandika 30yrs jela iwe fundisho.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 2 หลายเดือนก่อน

    Yule shetani mama RPC amedanganya watanzania hamna police kwenye hiyo kesi, ilitakiwa afukuzwe kazi kwa kukosa uadilifu

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa jamani wanacheleweshwa nini? Ushahidi upo, uchunguzi gani tena???? Hao ni maisha au miaka 30 au kunyongwa, upelelezi gani tena????

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 2 หลายเดือนก่อน

    Kwann wasingebakwa na wao

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na hukumu itatoka kuwa wamekutwa hawana hatia ila bint alikuwa kahaba😂😂😂😂😂ila nchi ngumu hii🙌

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 หลายเดือนก่อน

    Wote ni 6 watano wabakaji na mmoja boss wao

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 หลายเดือนก่อน

    Unambiwa kuw usipokuwa star 🌟 unaweza kufanya kaki2 ambako kanaweza kukufanya ujulikane zaid na ukapata umaarufu mkubwa sana ! Ko hawa jamaa wamekuwa mastar kwa mda mfupi sana mana kila m2 anataka kuwa jua ! Hongera vjana kwa kaz nzur 😅😅japo badiliken unapofanya v2 kama vile hakiksha ukimaliza unajiuwa lakn ety urecord ukimbie na sura inaoneka nchi hii n uongo bana!!😅😅

  • @jamesKamanga-u2g
    @jamesKamanga-u2g 2 หลายเดือนก่อน

    Naiomba jamhulinya muungano wa Tanzania ikiwapamoja na mahakama hawa watu wapelekwe jera kamamimi ningekua akim au lais wahichii wangepewa adhabu Kali nakwendajela

  • @bitcoinandforex1001
    @bitcoinandforex1001 2 หลายเดือนก่อน

    na usikute jamaa wanashinda kesi maana hii nchi , ngoja tuone hio ijumaaa watasema nini

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo alowatuma ndo muhimu na ndoanayeitajika zaidi jamani 😥

  • @EmanuelIdd
    @EmanuelIdd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hasa boss wao afikishwe mahakamani

  • @redemptervictor5006
    @redemptervictor5006 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi yule afande mbona atuoni mrejesho wowote kumuhusu

  • @victorianchimbi8640
    @victorianchimbi8640 2 หลายเดือนก่อน

    Du wamekutwa na ajali mbaya sana hawa vijana, sijui wanajutaje mioyoni mwao

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabakwa ila na yy muda huo alikuwa wapi? Au ni mtu wao ?

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 2 หลายเดือนก่อน

    Machozi yananitoka jamani

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani hata hawana wasiwasi maana wanajua soon Afande anakwenda front line kuwapigania dah Tanganyika Tanganyika Tanganyika 😢

  • @elizabethlinusndanzindanzi
    @elizabethlinusndanzindanzi 2 หลายเดือนก่อน

    Millado ayo naomba namba ya huyu wakili nna jambo langu