yall know I had to capture this flyover. estimated flight height was 130 ft . I hope you all enjoy it because it was a nice flight . #Ubungo #flyOver #tanzania #drone #travel
Magufuri kweli Jembe Tokea 1961 Hakuna Rais aliyethubutu kufanya Hivi lakini JPM just 6 Years Tanzania Kama South kwani na Ndiyo Maana Tunamuita Mfalme Wetu, nathani tukimuita Mfalme Ndiyo Ndiyo Tutakuwa Tunakuwa Tunamtendea haki
hata sisi watz tunafurahi kuona nanyi ndugu zetu wakenya sasa mnaanza kujenga madaraja ya kisasa kama sisi, madaraja ambayo huku kwetu tz tulishakuwa nayo kitambo na tulishayazoa na wala sio jambo geni kwetu kwa mfano Daraja la Mkapa, daraja la Kigamboni au unaweza kuliita daraja la mwalimu Nyerere, sikwambii na hayo mengine yanayozidi kutengenezwa, kuna la huko baharini ndani ya Dar na kule ziwani ndani ya ziwa Vktoria Mwanza na mikoa mengine.
Sasa badala ya kufanya kazi tunataka hata nyumba tunazoishi pia serikali itujengee?! hii sio sahihi, hapa serikali yetu ishatekeleza wajibu wake kwa kutujengea miundo mbinu imara itakayoturahisishia kufanya shughuli zetu za kiuchumi kwa wepesi hivyo kuinua vipato vyetu nasi tukaweza kuwa na maisha mazuri. Barabara hurahisisha kupitishia bidhaa zetu kutoka sehemu za uzalishaji kwenda kwa mteja, kwa mfano kutoa nafaka mikoani kuja kuuza mjini kwa wepesi. Zamani kabla ya ujenzi huo kufanyika eneo hilo lilikuwa linasumbua sana kama umetoka na mzigo wa biashara mkoani na ulitakiwa uufikishe kwa mteja muda flani unajikuta ukifika hapo unakwama na unaingia kwenye misukosuko na mteja wako kwa kumcheleweshea mzigo wake, lakini baada ya ujenzi huo tatizo hilo kwa sasa halipo tena. Je hatuoni hapa kama serikali imetusaidia?!
@@rayisadesigns2646 Kwaiyo uliposoma comment ukaona pameandika Serekali itujengee nyumba? Na asijua kwamba hapo palikua nafoleni nani? Si ndo maana ilijengwa!! Hizo nyumba unazoziona hapo pembeni ni maduka hayo sio makazi.. kwaiyo kazi zinafanyika ila hizo kazi ni kwaajili ya kula na kuvaa uwezo wa kujenga ni mdogo
@@emmansabu9300 ndugu, hayo maduka yamechanganyika na makazi ya watu, siku moja jaribu kuingia hapo ndani utaona hali halisi. halafu chengine logic ya maneno yako ndiyo inayotoa tafsiri hiyo, hebu jaribu kuyapima na kuyachekecha wewe mwenyewe halafu utaona inakuja tafsiri gani?!!
Our neighbors TZ 🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏 Mh.Rais ongeza muda Watanzania tunahitaji huduma yako bado
I will be back in 2 to 3 months to make more great videos of tanzania. I love the place alot. Thank you for your kind words friend.
Wengine awataki eti duu
@@emmanuelbonifase1114 ambao hawataki ni vyet feki,wapiga dili,watetezi wa mabapari,wezu wa tadilimsli za Watanzania n.k
@@venancemalima1181 salute kwako
@@venancemalima1181 Ambao Hawataki wanamatatizo Ya Akili
Hongera kubwa kwa serikali ya awamu ya tano
Wow
Nice video beautiful highway you got my subscription
Appreciate it
Good
Nzuri sana 👍
Beautiful 👍🤝🌷
waooh nilikuwa naona uku tu kwa wezetu haya mambo ss ata nyumbani kumenoga magufuri mitano tena
Beautiful bridge ☺️
bila kigugumizi!!!
Wow nice new subscriber here please also do kibaha expressway and sale der bridge by drone as well as oyster bay
Nice flyover
UMEONA!! DODOMA.NA DSM WAPI BATA WANALIWA. DSM JUUUUUUU
Magufuri kweli Jembe Tokea 1961 Hakuna Rais aliyethubutu kufanya Hivi lakini JPM just 6 Years Tanzania Kama South kwani na Ndiyo Maana Tunamuita Mfalme Wetu, nathani tukimuita Mfalme Ndiyo Ndiyo Tutakuwa Tunakuwa Tunamtendea haki
Nafurahia kuona wezetu tz wako na fly over za kisasa. This is the norm here in Kenya. East Africa has the best cities
Except these are being built without fisadi scandals and definitely without the chokoraa thing, surely trust you!!!
One more thing check.the map!!! Shit is going Southside now to Zambia to Angola!!! So is definitely a flyover to the South!!!
Jack pamoja sanaa
hata sisi watz tunafurahi kuona nanyi ndugu zetu wakenya sasa mnaanza kujenga madaraja ya kisasa kama sisi, madaraja ambayo huku kwetu tz tulishakuwa nayo kitambo na tulishayazoa na wala sio jambo geni kwetu kwa mfano Daraja la Mkapa, daraja la Kigamboni au unaweza kuliita daraja la mwalimu Nyerere, sikwambii na hayo mengine yanayozidi kutengenezwa, kuna la huko baharini ndani ya Dar na kule ziwani ndani ya ziwa Vktoria Mwanza na mikoa mengine.
@@rayisadesigns2646 😀😀
Will you guys return back in US
Going home now :(
@@jctravelpartners2890 appreciate
R.I.P Magu
WaKenya mkuje hapa muone
Iko sawa
Tuone nn😂😂bado hamtuoni sisi tulishapitua hizo... Sahiii ndo mnaona hio🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️kenya is far ahead of you
Bonge la fly over
Angalia sasa hizo nyumba za pembe
Tunajenga njia za kutembelea
Tunaishi kwenye vibanda 🤣🤣
Sasa badala ya kufanya kazi tunataka hata nyumba tunazoishi pia serikali itujengee?! hii sio sahihi, hapa serikali yetu ishatekeleza wajibu wake kwa kutujengea miundo mbinu imara itakayoturahisishia kufanya shughuli zetu za kiuchumi kwa wepesi hivyo kuinua vipato vyetu nasi tukaweza kuwa na maisha mazuri. Barabara hurahisisha kupitishia bidhaa zetu kutoka sehemu za uzalishaji kwenda kwa mteja, kwa mfano kutoa nafaka mikoani kuja kuuza mjini kwa wepesi. Zamani kabla ya ujenzi huo kufanyika eneo hilo lilikuwa linasumbua sana kama umetoka na mzigo wa biashara mkoani na ulitakiwa uufikishe kwa mteja muda flani unajikuta ukifika hapo unakwama na unaingia kwenye misukosuko na mteja wako kwa kumcheleweshea mzigo wake, lakini baada ya ujenzi huo tatizo hilo kwa sasa halipo tena. Je hatuoni hapa kama serikali imetusaidia?!
@@rayisadesigns2646
Kwaiyo uliposoma comment ukaona pameandika Serekali itujengee nyumba? Na asijua kwamba hapo palikua nafoleni nani? Si ndo maana ilijengwa!! Hizo nyumba unazoziona hapo pembeni ni maduka hayo sio makazi.. kwaiyo kazi zinafanyika ila hizo kazi ni kwaajili ya kula na kuvaa uwezo wa kujenga ni mdogo
@@emmansabu9300 ndugu, hayo maduka yamechanganyika na makazi ya watu, siku moja jaribu kuingia hapo ndani utaona hali halisi. halafu chengine logic ya maneno yako ndiyo inayotoa tafsiri hiyo, hebu jaribu kuyapima na kuyachekecha wewe mwenyewe halafu utaona inakuja tafsiri gani?!!
Kweli kaka
Nyumba nzuri zipo nying tu kwa wanaojituma
🙏🙏🙏🙏 Mh.Rais ongeza muda Watanzania tunahitaji huduma yako bado