BABA LEVO Ataja sababu za Nairobi kuishinda daresalaam "Asema dar itachukua miaka 25 kuishind nairob

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2021

ความคิดเห็น • 558

  • @Superfly254
    @Superfly254 2 ปีที่แล้ว +86

    I have been to Dar es salaam this October and to be honest the level of infrastructure between Dar and Nairobi can not be compared... Nairobi is on another level.. But I love Tanzanian women😂😂😂😂

    • @theben6756
      @theben6756 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪

    • @samwelmoronya602
      @samwelmoronya602 ปีที่แล้ว +1

      B levo baa anaonggea ukwer

    • @opaslifestyle
      @opaslifestyle ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so I'm not alone

    • @Andrew_Kibe991
      @Andrew_Kibe991 ปีที่แล้ว

      Damn! Those ladies are cute and sexy fr💯

    • @petergicheha9681
      @petergicheha9681 11 หลายเดือนก่อน +1

      Me to, ni warembo kuliko wetu wa kenya

  • @ksgrmdsdl2383
    @ksgrmdsdl2383 2 ปีที่แล้ว +92

    I have never been to Dar Es Salaam. But I have been living in Kenya's Nairobi for the past 7 years plus. One thing I can confirm to you is that the rate of development in Nairobi is mind boggling. Skyscrappers and residential condo/ apartments are emerging everywhere. And also road infrastructure has been improving significantly. If Nairobi continues with the same pace of development for the next like a decade, I am positive that we will become a trully world class city, with the likes of Dubai and London.

    • @ligerbeats6824
      @ligerbeats6824 2 ปีที่แล้ว +1

      Uwongo...ati Dubai, London.

    • @mathssolutions3635
      @mathssolutions3635 2 ปีที่แล้ว +2

      @@ligerbeats6824 Did you understand the statement? Being positive doesn't mean we're there yet. If the pace is maintained we'll be getting there soon

    • @ligerbeats6824
      @ligerbeats6824 2 ปีที่แล้ว

      @@mathssolutions3635 the problem ni umetumia SOON,, for us to even come anywhere close to even Cape Town let alone Dubai, we need at least 50 years of stable development with no corruption.

    • @boniemmugendi6874
      @boniemmugendi6874 ปีที่แล้ว +1

      @@ligerbeats6824 I believe you are broke without a doubt with this kind of thinking

    • @chomasensi
      @chomasensi ปีที่แล้ว +1

      I suggest you visit Dar, it’s the most beautiful city in East Africa, makes you realise Kenya ni nchi chafu sana

  • @chuchudorice8531
    @chuchudorice8531 2 ปีที่แล้ว +67

    Huyu mtu mshamba jamani in Africa Nairobi is number 3 beautiful city Mimi ni mtz ila Sina ubishi

    • @abdul-rasheedal-bassam1187
      @abdul-rasheedal-bassam1187 2 ปีที่แล้ว +7

      Nairobi was listed number 1 city in Africa recently

    • @kennitohnyash8201
      @kennitohnyash8201 2 ปีที่แล้ว +2

      Am a south African

    • @moxekushde3488
      @moxekushde3488 2 ปีที่แล้ว +1

      Am frm Nrb (kanairo) baba Levo I agree with you.. 💯

    • @iankiprotich3111
      @iankiprotich3111 ปีที่แล้ว +1

      You are right,Lot's of love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @officialkassimu7791
      @officialkassimu7791 ปีที่แล้ว +1

      Nakupenda sana haina haja ya ubishi ukweli isemwe tu ila mimi bongo ni my second home na napenda bongo music

  • @hillaryjones5069
    @hillaryjones5069 2 ปีที่แล้ว +24

    The man supporting Dar es salaam is not exposed enough; how does he expect Nairobi to have a bridge yet there is no ocean or a lake in Nairobi? What does beauty lights ( taa za urembo ) adds to the development of a city? If you want to see bridges in Kenya, you go to Mombasa, you will see three bridges , including a floating foot-bridge which opens in the middle when a ship is approaching. You will also see a port for the first time in your life( the port in Dar is just a quarter of Mombasa port), you will see a working SGR; the SGR in Dar is not working yet. In some aspects of development, Mombasa is ahead of Dar such as port, SGR and roads, Dar will on beat Mombasa interns of land size, population, stadium, and economy.

  • @stanleymatasa9955
    @stanleymatasa9955 2 ปีที่แล้ว +12

    Mm ni mtanzania lakini kenya wanajitahidi juzi nilikua mombasa na nimeshangaa kumejengwa ma barabara ya juuu na sehemu za kupumzikia wallahi wako sawa

  • @officialkassimu7791
    @officialkassimu7791 ปีที่แล้ว +14

    Nairobi now 2022🇰🇪 is on another level vitu vingi vimejengwa sana ikiwemo barabara za kifarahari za juu. Thank you rais uhuru Kenyatta 🇰🇪❤️

  • @suemaggoh
    @suemaggoh 2 ปีที่แล้ว +76

    The guy wearing sunglasses alipelekwa Nakuru akaambiwa hiyo ni Nairobi 😂😂😂

    • @News254Kenya
      @News254Kenya 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata vitu ANATAJA Zina taratibu za Nakuru City 😂😂😂😂😂

    • @gabpodcast
      @gabpodcast 2 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaha..huyu alipelekwa naivasha hata sio Nakurur.

    • @tresorblues9097
      @tresorblues9097 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhh

    • @tresorblues9097
      @tresorblues9097 ปีที่แล้ว +1

      Alitembea Garisa

    • @franjohn2302
      @franjohn2302 ปีที่แล้ว

      Thats rude man

  • @japhetho.m7439
    @japhetho.m7439 2 ปีที่แล้ว +36

    For those who have not been to Nairobi recently, you will be shocked at the kind of massive construction going on.it is one big construction site. Nairobi should be labelled, CLOSED FOR RENOVATION. The roads being constructed are huge and many. The Nairobi expressway,an elevated road is the longest of it's kind in Africa. It is due completion by mid next year. The massive estates, skyscrapers, real estate under construction is mind boggling. The Global Trade Center skyscraper nearing completion will be tallest in east and central Africa, and if not top 3 in Africa, then top 5.I can go on and on. I don't think that there is any other African city under so much construction. Plus, just recently, Nairobi was voted the best city to work and live in Africa, and 12th globally by a survey done by expatriates.

    • @eddykaburu1683
      @eddykaburu1683 2 ปีที่แล้ว +4

      Then we have the two rivers mall the biggest mall in east and central Africa.

  • @willysunday5181
    @willysunday5181 ปีที่แล้ว +6

    Nairobi iko mbele sana kimaendeleo ikilinganishwa na Dar, labda tulinganishe Dar na Mombasa lakini pia kuna vitu vingine Dar imeshindia Nairobi, kwanza Muziki.. God bless Dar Es Salam, God bless Nairobi. Nairobi na Dar ni mandugu jameni. Nairobi the Big brother.

  • @harmonyybn5739
    @harmonyybn5739 2 ปีที่แล้ว +37

    Baba levo alifika kenya akaona ako newyork😂😂😂sasa baba levo njoo kisumu ujionee

  • @victordomminick
    @victordomminick ปีที่แล้ว +6

    Nqshindwa kusifia vyakwenu mtasifiwa nanan love Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @globalcollectionkenya8019
    @globalcollectionkenya8019 2 ปีที่แล้ว +29

    Barabara ziko apa Nairobi Mingi sana 😂😂😂😂😂tembea kenya 🇰🇪

    • @qaisali4636
      @qaisali4636 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweliiiiiii

    • @sultanaswaleh8892
      @sultanaswaleh8892 2 ปีที่แล้ว

      👍🏻👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @2.0BuzzDre
    @2.0BuzzDre 2 ปีที่แล้ว +9

    Ipe mwaka kesho Kuna daraja inakuja Mombasa hiyo ya kigamboni haifiki hata kidogo ogopa Kenya 6th best country in Africa 12 kwa dunia achana na Kenya

  • @Worldround1
    @Worldround1 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwa EA. Tunakubali Nairobi ipo kwenywe kiwango chake. Ila tujivunie wana Afrika Mashariki. Miji zetu ni bora kuliko miji zote za West Africa. Yaani na zungumzia miji ya Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda. Hamna mji ata moja West Africa ya kulinganisha. Ukifika West Africa. Utashangaa.

    • @almastv8270
      @almastv8270  2 ปีที่แล้ว

      Kweli ? Kaka

    • @Worldround1
      @Worldround1 2 ปีที่แล้ว

      @@almastv8270 hamna aise. Mfano, Utalinganishaje Dar na Lagos. Lagos ipo nyuma sana. Au Zoo na Abuja mweeee!

    • @niceupendo9798
      @niceupendo9798 ปีที่แล้ว

      Umesema ukweli.Mimi ni mkenya lakini west africa ni kubaya kweli.

  • @ephraimodhiambo9735
    @ephraimodhiambo9735 ปีที่แล้ว +12

    Baba Levo much love brother you speak the truth much love from 🇰🇪

  • @globalcollectionkenya8019
    @globalcollectionkenya8019 2 ปีที่แล้ว +20

    Mwambie atembeee Nairobi.....na aulize two rivers ni nini?

  • @shelly797
    @shelly797 2 ปีที่แล้ว +40

    Anayebishana hajafika Nairobi 😂😂🇰🇪...ebu angalia...Kenya is the 6th richest country in Africa

    • @SateDew-my5ug
      @SateDew-my5ug ปีที่แล้ว

      Ila Kenya hakuna anaemiliki aridhi ni nchi yenye njaaa Sana yaan kuna maeneo mengine hadi watu wanakufa na njaa na amani ndogo Kenya sisi watz amani ni yakutosha hakuna vulugu Wala ubaguzi yaan Kenya kuna madhehebu hadi ya shetani kama unavyofahamu Yule jamaa aliwambia watu wafunge mpaka wafe Kenya is fuck

  • @monetroshi
    @monetroshi 2 ปีที่แล้ว +28

    I left Nairobi 15 yrs ago and the development has been amazing. I can’t even believe it. It’s better than New York and cleaner

    • @almastv8270
      @almastv8270  2 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh réally ?

    • @pietrojenkins6901
      @pietrojenkins6901 ปีที่แล้ว +1

      @@almastv8270 they're compeletely delusional or drunk. That's obviously not true.

  • @Farmer737
    @Farmer737 ปีที่แล้ว +13

    The level of patriotism in that guy with glasses is very high....kila mwamba ngoma ngozi huvuta kwake

  • @ezekielmburu3418
    @ezekielmburu3418 2 ปีที่แล้ว +69

    Kimara to kibaha is 8 lanes and is 21km .Thika road is 12 lanes and is 40km

    • @allanbrano5362
      @allanbrano5362 2 ปีที่แล้ว +1

      Umemaliza story

    • @normanachoki
      @normanachoki 2 ปีที่แล้ว

      Mwambie...this guy ajafika Nairobi ana argue chenye ajui

    • @ezekielmburu3418
      @ezekielmburu3418 2 ปีที่แล้ว +1

      Na hio kimara to kibaha inalala Chini kama nyoka,haina interchanges, over passes na service lanes.mesium hill interchange pekee ni kama umbungo kijazi interchange

    • @MrEsotericK
      @MrEsotericK 2 ปีที่แล้ว

      50km

    • @briankeith5499
      @briankeith5499 2 ปีที่แล้ว

      Waambie hawa hawajui lol

  • @anyevery
    @anyevery ปีที่แล้ว +7

    Flyover, bichi kidimbwi, vilima😂😂😂🤣🤣tanzanian Swahili I don't understand but I looove😂😂🤣

  • @bennjanja2382
    @bennjanja2382 2 ปีที่แล้ว +12

    SHILLINGI MOJA YA KENYA is equivalent na 30 bob ya TZ.......................Even mwalimu nyerere once told tanzanians instead ya kuenda london wafike tu Nairobi juu yale yako kenya kwa hakika ndiyo yako ulaya

    • @hoseastephen4508
      @hoseastephen4508 ปีที่แล้ว +2

      CORRECTIN: KES 1=TZS 18 bro do so research before posting

    • @user-ul8xh7dk5p
      @user-ul8xh7dk5p 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hoseastephen4508but it's worhy

  • @irenejoyce8456
    @irenejoyce8456 2 ปีที่แล้ว +40

    I live in Westlands and it’s so funny because I really hate this town, but this debate has made me appreciate the development 😅😅😅😅

    • @dwigzo15
      @dwigzo15 2 ปีที่แล้ว

      lol same

    • @angelanjeru6552
      @angelanjeru6552 2 ปีที่แล้ว +2

      Siuhame uone kama Nairobi itasink😉

    • @user_4046
      @user_4046 2 ปีที่แล้ว +1

      Nairobi is a nice place to live if you're rich. Otherwise, it looks like a massive stressful slum. Dar si mchezo pia

    • @jacaranda100
      @jacaranda100 ปีที่แล้ว +1

      I'm with you Irene. Index ya development sio bridges na skyscrapers. Serenity pia ni development and Nairobi doesn't even offer you that.

    • @ewm4266
      @ewm4266 8 หลายเดือนก่อน

      Me too, I hate Westy with a passion😂😂😂

  • @ChibuleBaron
    @ChibuleBaron 2 ปีที่แล้ว +14

    Dogo tembea Kenya wacha Nairobi tu, mombasa izo barabara waimba ndo zimejaa pia

  • @hamissuche6576
    @hamissuche6576 ปีที่แล้ว +6

    mie humpenda babalevo tu kwa kuongea ukweli jmni

  • @KWEEN_TV
    @KWEEN_TV 2 ปีที่แล้ว +31

    Nairobi is on its own lane

    • @jacaranda100
      @jacaranda100 ปีที่แล้ว +1

      Nairobi is a big slum.

  • @masskkymwangi3378
    @masskkymwangi3378 2 ปีที่แล้ว +9

    Its true Nairobi ni mji wa kifahali in terms of gardens,roads,buildings en etc...

  • @tinatina8193
    @tinatina8193 2 ปีที่แล้ว +12

    Kenya iko level 😁eti 25yrs watufikie

  • @mrfixit2514
    @mrfixit2514 2 ปีที่แล้ว +10

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...inaitwa kanairo

  • @georgemukoya8749
    @georgemukoya8749 2 ปีที่แล้ว +37

    We are number 12 best city 🏙️ in world 🌎🌍🌍 KENYA 🇰🇪 #Nairobi

    • @KuntukumuSadam
      @KuntukumuSadam ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wewe Amna mji Africa uaweza shika ata na namba 40 Dunia imendeeaa

    • @hashimmwipallo7056
      @hashimmwipallo7056 ปีที่แล้ว

      Sasa Seki anasema Nairobi hawana daraja la kwenye maji kama Tanzanite mwambie Nairobi hakuna bahari sasa ilo daraja litajengwa wp

    • @briankeith5499
      @briankeith5499 ปีที่แล้ว

      @@KuntukumuSadam tumia Google nugu

    • @KuntukumuSadam
      @KuntukumuSadam ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅 we jamaaa kuwaga siriasi bhana acha kusifu vitu vyenye haviendani na hizo sofa sikatai Nairobi na namba moja East Africa Ila kwa upande wa dunia nzima sizani hata kwenye 70 Bora inaweza kuwemo

    • @alimwema
      @alimwema 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@hashimmwipallo7056Kwanza wamesahau hata Dodoma ndio capital yao😢

  • @wazanami
    @wazanami 2 ปีที่แล้ว +15

    We are Africa my african brother's development is my pride ..every country is unique ,we need a borderless Africa ,we need to do away with the colonial borders ...

    • @kingpinmavoko653
      @kingpinmavoko653 2 ปีที่แล้ว

      yah we agree 100 % competition is also healthy for development in Africa we must tell them so as to catch up we know that Africa but we also need other countries to develop to make Africa great no way is better than a wake up call Tanzania of today isn't the Tanzania of yesterday why it's that it's from the pressure From Kenyan's side where they bring the competition on there door step so as they can catch up without the competition we wouldn't be having development in between this two beautiful city like Mombasa it's competing with Nairobi and see where Mombasa is right now with beautiful project a push is needed to make Africa beautiful and competitive with other nations it's not all about colonial border or hate for other cities or country or looking down in other cities or country it's all about competition to make Africa create by competing with development projects

  • @cosmaswambua7758
    @cosmaswambua7758 10 หลายเดือนก่อน +1

    In terms of road infrastructure in africa we compete with south africa and that's pure truth.the man in sun classes is talking of a six lane road while we have a 12 road lane in thika supper highway..bona uliganishe usingizi na kifo..tofauti kubwa sana.

  • @afrikanakevs
    @afrikanakevs 2 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mwenzio ana chuki na Kenya..

  • @BOOM-js4wd
    @BOOM-js4wd 2 ปีที่แล้ว +12

    Umsee ataki kukubali bado wako na time ya kufika level ya kanairo but with time

  • @juliuswambua
    @juliuswambua ปีที่แล้ว +3

    I love this discussion 😂😂 huyo mwenye anakataa arudi Nairobi for updates

  • @sedubenjamin5
    @sedubenjamin5 2 ปีที่แล้ว +8

    Na Sasa Kuna wakenya pia hawajui Nairobi... Ni life

  • @Nabwire999
    @Nabwire999 2 ปีที่แล้ว +12

    This debate cracked me up..But it's the "Mwehu, umekufa wewe!" that stole the show 😂😂

  • @BlackHistoryChronicles00
    @BlackHistoryChronicles00 2 ปีที่แล้ว +20

    Do they know we have malls😂 the biggest one in east and central Africa

    • @Tata-bd9nx
      @Tata-bd9nx 2 ปีที่แล้ว +1

      Amesema hatuna Kariakor 😂..ni sawa, tunayo Two Rivers Mall.

    • @itsomwenga
      @itsomwenga ปีที่แล้ว

      Tanzania still has a long way to go to reach the level of Kenya in general

    • @itsomwenga
      @itsomwenga ปีที่แล้ว

      @@Tata-bd9nx true... We have a lot that they don't have

  • @official_bmk_ke2771
    @official_bmk_ke2771 2 ปีที่แล้ว +5

    I once told you guys that Tz are building shopping malls and calling them rail stations,,,come and have a glance on our staions

  • @kennedyolang1175
    @kennedyolang1175 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere mwenyewe aliwaambia hakuna haja ya kwenda ngambo,nenda nchi jirani kenya tayari umefika ulaya . Next time uje na hoyo jamaa umtebeze Kanairo na kama hana macho nne anunuwe

  • @jaihind4601
    @jaihind4601 2 ปีที่แล้ว +10

    Nairobi haiwezi kuwa na daraja kwa sababu haina bahari ndugu...acha kuongea ushamba...njoo Mombasa tutakuonyesha madaraja

    • @allanbrano5362
      @allanbrano5362 2 ปีที่แล้ว +2

      Mombasa ni ligi ingine usimueite ata huko. Aende mbita

    • @briankeith5499
      @briankeith5499 2 ปีที่แล้ว +3

      Hajai ona floating bridge. The only of its kind in Africa. Na jee Dongo kundu road?! 🤔

  • @UncertifiedDiplomats
    @UncertifiedDiplomats 2 ปีที่แล้ว +7

    Its the Umekufa for me

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 2 ปีที่แล้ว +7

    Kusema tu ukweli Daresalam naifananisha na kwetu Mombasa...Mara yangu ya kwanza kufika Nairobi ndo nilijua kuna watu Afrika wanaishi kama ulaya🤣..Nairobi iko ligi nyengine pengine Nairobi itake kushindana na Johannesburg ama tripoli

  • @johnrugunya5386
    @johnrugunya5386 2 ปีที่แล้ว +11

    No cap 🧢 but pure truth 💯🇰🇪EAC❤️🇹🇿

  • @abulhamidjuma3617
    @abulhamidjuma3617 9 หลายเดือนก่อน +1

    They call it the beautifully city in Africa...Nairobi is another level bro that is really

  • @mlenglewis1747
    @mlenglewis1747 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante San baba levo narobi yetu😂💪💪💯

  • @itsnicli
    @itsnicli 2 ปีที่แล้ว +11

    uyu jamaa mwengine ata hajui hanachokiongea kabisa... labda utulinganishe na S.A na pia ni mtihani

  • @binmakka8693
    @binmakka8693 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu jamaa anaongea bure aisee kenya ni level nyingine mzee tukasumbuwana na S.A/Nigeria/ huyu haijuwi kenya Nairobi afanye kama anapotea Nairobi ajione

  • @mylekaka4630
    @mylekaka4630 2 ปีที่แล้ว +7

    Baba levo sijui kama ulifika outering road uone maajabu ya barabara wachana ata na Nairobi super highway iyo ni story ya siku nyingine

  • @williambenedict6074
    @williambenedict6074 10 หลายเดือนก่อน +2

    as a Kenyan im struggling to understand what they're debating about...!!? Buh anyways All Love for Mama Africa

  • @kijanawajana
    @kijanawajana 2 ปีที่แล้ว +8

    Karibu Kanairo , Karibu Kenya 🇰🇪 .

    • @almastv8270
      @almastv8270  2 ปีที่แล้ว +1

      Is cannairo in Nairobi?

    • @WammyOnDe
      @WammyOnDe 2 ปีที่แล้ว

      @@almastv8270 Kanairo is Nairobi's nickname.

  • @PeterMutuku254
    @PeterMutuku254 2 ปีที่แล้ว +6

    Saa hawa wanavutana juu ya Nairobi, naomba in the next 3 years wasafiri kuja KENYA waanzie Lunga Lunga>Diani>Mombasa>Nairobi>Kisumu waone barabara zote Kenya

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mashindano mazuri,ikiwa yata endelea kuyaboresha maisha ya wananchi wa Tanzania 🇹🇿 na Kenya 🇰🇪

    • @dylankanyubi3700
      @dylankanyubi3700 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tunafaa tuungane

    • @heraldloshi1864
      @heraldloshi1864 10 หลายเดือนก่อน

      @@dylankanyubi3700 Nakuunga mkono mia kwa mia.

  • @gabpodcast
    @gabpodcast 2 ปีที่แล้ว +13

    Kama sisi kama wakenya tunashangazwa na maendeleo ya nchi yetu, huyu ni nani kulinganisha TZ na Kenya?

    • @titusngetich1222
      @titusngetich1222 2 ปีที่แล้ว

      Walai 😂

    • @our10picks18
      @our10picks18 ปีที่แล้ว

      True! I’m a Kenyan and there’s a lot of projects going on in Kenya that it’s hard to keep track of everything 😳 Most projects even catch me by surprise!

  • @rowenanjeri5
    @rowenanjeri5 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu hajui Kariakoo ni Eastleigh huku,
    Roads ni nyingi kubwa
    We don’t need a kigamboni bridge, we’re an inland city. Hatuvuki maji 🤦🏻‍♀️

  • @lucykamande9700
    @lucykamande9700 ปีที่แล้ว +6

    We are Boarder Less. I love Tanzania❤️

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard5583 2 ปีที่แล้ว +41

    Mi ni Mtanzania natokea Dar,naishi Nairobi!.
    Let me say this!,
    For a bunch of reasons,Dar is incomparable to Nairobi!.
    Kenyan fella use their brains effectively!.

    • @iddeydarusi9357
      @iddeydarusi9357 2 ปีที่แล้ว

      Kaka blaza unakaa mole😂😂😂

    • @mjm135
      @mjm135 2 ปีที่แล้ว +3

      Kamanda Sirro atakupiga pingu ukirudi...umeisaliti nchi!!

    • @quicksilver6837
      @quicksilver6837 2 ปีที่แล้ว +3

      Nairobi ligi yake ni ya kina lagos cairo na jo'burg
      Dar es salaam eka na mobasa 😂😂
      🇰🇪🇰🇪

    • @allanbrano5362
      @allanbrano5362 2 ปีที่แล้ว

      Tisha soda kwa bill yangu

    • @jacaranda100
      @jacaranda100 ปีที่แล้ว

      @@quicksilver6837 Mombasa.

  • @Tata-bd9nx
    @Tata-bd9nx 2 ปีที่แล้ว +28

    This debate was funny😂 As a Kenyan i must say Tz inakuja mbio sana,Magufuli alijitahidi,.electric train,new dams.Sisi sote ni Eastafricans at the end of the day💛🧡

    • @thomasmosesmganga2552
      @thomasmosesmganga2552 2 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu tz kabisa

    • @lordcamau
      @lordcamau 2 ปีที่แล้ว

      The fact is, Nairobi is more developed.

    • @rehemambeere7029
      @rehemambeere7029 ปีที่แล้ว

      You are not Kenyan clearly

    • @jacaranda100
      @jacaranda100 ปีที่แล้ว

      @@rehemambeere7029 I'm Kenyan, lived in Dar and I can confirm what he's saying is accurate.

    • @bingorolly
      @bingorolly 6 หลายเดือนก่อน

      True, and more organized

  • @nibeeboy6482
    @nibeeboy6482 ปีที่แล้ว +6

    Nairobi iko mbele ki maendeleo,,kitu tanzania wametushinda ni hawana ufisadi kama sisi

    • @jacaranda100
      @jacaranda100 ปีที่แล้ว

      Maendeleo ni nini? Skyscrapers? What index do you use to define "maendeleo"? Tanzanians are socially developed and you can see in the way they're not divided along tribal lines. It's only primitive people who pigeonhole others according to their tribes. That makes Kenyans backward.

    • @AmazingMania
      @AmazingMania 11 หลายเดือนก่อน

      Eti Tanzania hawana nini?😂😂😂😂uko sawa kweli? Ufisadi Tanzania uko level yake....only that they fear to expose coz they are a one party state....one party itself is dictatorship........in Kenya we are better of... people think Kenya is corrupt coz we expose the corrupt...we have that freedom.... something that is not in Tanzania

  • @dm.dar-masus4396
    @dm.dar-masus4396 ปีที่แล้ว +4

    In Africa Nairobi city is among the top three beautiful cities

  • @Josephmakokha-pn9mu
    @Josephmakokha-pn9mu ปีที่แล้ว +1

    The man wearing sunglass stood up i thought he wanted to fight hahahaha proud of being a Kenyan citizen citizen by birth.

  • @observant23
    @observant23 ปีที่แล้ว +1

    Mm ni mkenya daina lakini tanzania ni my 2nd home,we are exactly the same & hope siku moja tutakua INCHI moja😎

  • @patrickochieng79
    @patrickochieng79 2 ปีที่แล้ว +6

    No cap walai 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😎ndovu ni kuu

  • @zablonnyonje
    @zablonnyonje ปีที่แล้ว +2

    Yaani Nairobi inasifiwa hivi na ndio viwango vya ufisadi pia ziko juu....aki Mungu atusamehe wanairobi na wakenya kwa ujumla.

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 2 ปีที่แล้ว +4

    Uzuri ya baba levo husema ukweli🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bennjanja2382
    @bennjanja2382 2 ปีที่แล้ว +2

    Nairobi has express way , the largest in Africa, NBO has the largest building in africa toooooo

  • @faithfuraha3057
    @faithfuraha3057 ปีที่แล้ว +5

    Baba levo nakupenda bure ❤💘

  • @nairobinyeusi5811
    @nairobinyeusi5811 2 ปีที่แล้ว +9

    Nairobi ni Matata😂😂😂. Thika Super Highway inatisha

  • @ngache46
    @ngache46 2 ปีที่แล้ว +8

    Kariarkoo haingiii hata nusu ya gikomba

  • @pascalmganga8756
    @pascalmganga8756 2 ปีที่แล้ว +6

    Nairobi is untouchable 🔥🔥🔥

  • @stanstano6064
    @stanstano6064 ปีที่แล้ว

    Huyo mkulima hajui Nairobi...Jomo Kenyatta Airport is best, big in East and central Africa...Kwa barabara, Kenya is number 3 in good roads, mwanzo ni Sauzi, pili ni Egypt tatu Kenya...

  • @abdallasarai6327
    @abdallasarai6327 ปีที่แล้ว +2

    Kuna tofauti ya kupitia Nairobi na kutembea Nairobi. Huyo mshkaji hajatembea kapitia na kando

  • @vidahachieng9437
    @vidahachieng9437 2 ปีที่แล้ว +8

    Si flyover, inaitwa express way

    • @anoldwako102
      @anoldwako102 2 ปีที่แล้ว

      Haha achana na washamba wa kitanzania

    • @AmazingMania
      @AmazingMania 11 หลายเดือนก่อน

      You're right and they're also right

  • @simonmwangi2142
    @simonmwangi2142 2 ปีที่แล้ว +1

    Ambia huyo umeita ' mwehu'Nairobi inazo viwanja mbili za ndege
    The only city in subsahara to have a support airport
    Kunayo JKIA na mna Wilson Airport zote ndani ya jiji la Nairobi.
    Napenda watanzania sana,Kiswahili chenu ni kimbambe

  • @ussijuma7213
    @ussijuma7213 ปีที่แล้ว +1

    me naamini katika tulichowazidi kenya mpaka saivi ni uwanja wa mpira tu basi!!!..hakuna chengine utabaki ubishi tu wapo juu sana interm of economy sijui kuhusu social service na mengine lkn kwa infrastructure wapo mbali sana . ujenzi kiukweli ni kujenga miji mipya na sio miji ishajengwa na kuibomoa tu.

  • @peterkimtaqesh8109
    @peterkimtaqesh8109 ปีที่แล้ว +2

    For your information Nairobi is the capital of Africa

    • @jacaranda100
      @jacaranda100 ปีที่แล้ว

      Not true and you know it. Tembeeni jamani.

  • @bentonnyongesa3820
    @bentonnyongesa3820 2 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania mnapenda ubishi,, ukweli ni kwamba Nairobi iko juu Sana

  • @briankeith5499
    @briankeith5499 ปีที่แล้ว +1

    Mwehu.. umekufa! 😅 PS.. New York is like Nairobi.. ata SA tumepiku kwa sky scrapers by 2021.

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo sawa… Nairobi iko juu sana East and Central African

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 10 หลายเดือนก่อน

    Sisi sote ni mmoja ✊🏿kutoka 🇰🇪
    Wakenya wamefifia kwa matumizi ya Kiswahili, tafadhali Watanzania tunawatarajia muhame huku kutuokoa na kutupatia dira kwenye matumizi ya Kiswahili kwa jumla. Tuko pamoja, hakuna mashindano wala kipute. Sote ni mmoja.

  • @roberttai4694
    @roberttai4694 11 หลายเดือนก่อน

    Been to moshi , need to visit Dar.

  • @victoreleonardmdee9158
    @victoreleonardmdee9158 10 หลายเดือนก่อน

    Kitu ambacho Dar es Salaam Imeizidi Nairobi ni Idadi ya Watu 5.5M kwa 7.7M
    Mambo Mengine Nairobi Imeiacha Mbali Dar es Salaam

  • @leen2733
    @leen2733 2 ปีที่แล้ว +17

    How can you even argue with a person who is putting on sun glasses indoors?

    • @gabpodcast
      @gabpodcast 2 ปีที่แล้ว

      Oh my! hahaha, ambia waiter nimesema akupatie mbili kwa bill yangu!

    • @titusngetich1222
      @titusngetich1222 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 that's emotional damage

    • @mwenjesammy1179
      @mwenjesammy1179 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @Dymitri-Babushka.
      @Dymitri-Babushka. ปีที่แล้ว

      😂🤣😂🤣😂

    • @leen2733
      @leen2733 ปีที่แล้ว

      yaani this guy is an idiot! Nairobi is landlocked! how will it have a bridge like the Tanzanite bridge?

  • @blacksignaturevisuals694
    @blacksignaturevisuals694 ปีที่แล้ว +2

    Dar can only compete Mombasa... Nairobi is on a level of its own....

  • @suziahmaina3533
    @suziahmaina3533 ปีที่แล้ว +2

    Nairobi is beautiful Kwanza with the expressway😂❤️❤️❤️🤤

  • @yalafredrick6607
    @yalafredrick6607 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenzetu Nairobi itakuaje na daraja wakati upo kwenye mlima 😅😅😅😅😅

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 2 ปีที่แล้ว +2

    Nairobi is one of its kind bro...Nairobi iko Mbele sana

  • @H-moneybags
    @H-moneybags 2 ปีที่แล้ว +1

    Nairobi imewin best city to live in 2021 sasa munashindana kwanini na maisha ya tabadilika kwa muda tu kote Kenya na Tanzania

  • @jojofresh1019
    @jojofresh1019 2 ปีที่แล้ว +3

    No offense Nairobi is wells developed the city is huge and tall buildings they have tallest building in Africa under construction

  • @ngashjr
    @ngashjr 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawana kariokor......
    Wako na ma west gate na 2 rivers ..... I died

  • @kingpinmavoko653
    @kingpinmavoko653 2 ปีที่แล้ว +2

    I agree 100% with babalevo that guy doesn't know Nairobi anafikiri ni Uganda kila saa mnaambiwa heshimu kitu inayo itwa Nairobi bado anabisha basi aje apigishwe utalii na babalevo cause babalevo amelijua jiji we can't take it away for you people dar es salaam it's a beautiful city we all love that city but when comes to Nairobi we call it kanairo never compare it cause the project been done in Nairobi alone can buy the whole city of dar es salaam babalevo is 100% right the other guy don't or doesn't know which Nairobi is he talking about hapa levo amalijuwa jiji.

    • @WammyOnDe
      @WammyOnDe 2 ปีที่แล้ว

      Stop exaggerating, that's not true.

  • @itsnicli
    @itsnicli 2 ปีที่แล้ว +11

    umeongea babalevo

  • @husseinramadhani1540
    @husseinramadhani1540 ปีที่แล้ว +1

    Nimeishi Nairobi alighamu tumezidiwa wakenya wapo juu tutasubiri sana ache ubishi

  • @dreamtvkenya4096
    @dreamtvkenya4096 10 หลายเดือนก่อน +1

    baba levo is my kingdong from today

  • @kimarecords4721
    @kimarecords4721 ปีที่แล้ว +2

    KUNA BARAJA KADHAA HADI MOMBASA SIO TU NAIRIBI

  • @kakageorges6229
    @kakageorges6229 11 หลายเดือนก่อน

    TZ kabla ifikie Kenya..ipe miaka 30 kwa calendar.

  • @jahashinuri7102
    @jahashinuri7102 2 ปีที่แล้ว +30

    Dar es salaam can be compared with Mombasa not Nairobi, Nairobi competes with Joburg,cape town , Cairo

    • @thomasowino5927
      @thomasowino5927 2 ปีที่แล้ว +2

      Acha bangi

    • @lordcamau
      @lordcamau 2 ปีที่แล้ว +1

      This is true

    • @lordcamau
      @lordcamau 2 ปีที่แล้ว

      @@thomasowino5927 It's true. Where is your patriotism?

    • @saidibrahim5931
      @saidibrahim5931 2 ปีที่แล้ว +3

      Even Mombasa is better than dar es salaam

    • @almastv8270
      @almastv8270  2 ปีที่แล้ว

      Mmmmh really?

  • @KIM-xl6zs
    @KIM-xl6zs ปีที่แล้ว +1

    As a kenyan who has been to dar es salaam I would like to educate the guy with glasses that we don't have a bridge in Nairobi because our city is not located in the seaside its in the central regions where we don't have large water bodies so no need of a bridge, plus dar is far much behind in infrastructure development, far behind Nairobi

  • @user-fw7fc5vr8y
    @user-fw7fc5vr8y ปีที่แล้ว +3

    Huyo mtu haja fika nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @stratonchallenga1185
    @stratonchallenga1185 2 ปีที่แล้ว +5

    Wanaobishana huwa wajafika Nairobi..