INAJUZU KUOA MKRISTO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @AbdulazizMshamu
    @AbdulazizMshamu วันที่ผ่านมา

  • @kadhwibakari6387
    @kadhwibakari6387 หลายเดือนก่อน

    Shekh jibu swali

  • @AbdiNdayishimiye
    @AbdiNdayishimiye 2 หลายเดือนก่อน

    Swali rimemushinda kujimbu

  • @bonnycharles1239
    @bonnycharles1239 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza, kama mtu ana mke na watoto wakiwa wote ni wakristo halafu mume aka amuwa kuslim, lkn mke wake hataki kuslim je huyu mtu anatakiwa afanye nn ili awe mkamilifu katika dini maana inasemekana mke wako kama si muislam bado hujakamilika samahani naomba mnisaidie katika hilo.

    • @ustadhkhatibomar9848
      @ustadhkhatibomar9848  2 หลายเดือนก่อน

      KARIBU, SHEIKH ATAKUJIBU MUDA SI MREFU, ENDELEA KUTUFUATILIA

    • @wasafisong8471
      @wasafisong8471 2 หลายเดือนก่อน

      Mke umlinganie kama akikataa umuache na nawatoto kama hawajabalehe ni waislamu kama wamebalehe uwalinganie pia

  • @khamissulaiman1937
    @khamissulaiman1937 หลายเดือนก่อน

    Shekh tumbo

  • @LucasNicoraus-xi5ux
    @LucasNicoraus-xi5ux 23 วันที่ผ่านมา

    jibu lishajibiwa nyie kueni na akili waislaam... kumuoa mkristo inajuzu

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 หลายเดือนก่อน

    Hujajibu suali
    Umeongea porojo tuuuuu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน +1

    Je Muislam anaruhusiwa kumuoa Mkristo..?....Jibu swali

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh maneno mengi hujabibu swali umepiga story tu. Hajapinga kama hawako.ila swali nihivi wakirisito wanafa kuwawowa?

    • @salimmapande4668
      @salimmapande4668 4 หลายเดือนก่อน

      Sijui kwanini inakuwa vigumu kwa mtu kukubali kwamba swali limemshinda

    • @isaachassan43
      @isaachassan43 4 หลายเดือนก่อน

      Hapa kwetu Kenya wengi ni washirikina hapo vipi?

    • @idrissamustafabukenya6110
      @idrissamustafabukenya6110 4 หลายเดือนก่อน

      @@isaachassan43 niharamu kumuwowa mushirikina ata kama amekufurahisha

    • @m.othman866
      @m.othman866 4 หลายเดือนก่อน

      Usihukumu mambo bila kufahamu kwa sheria.​@@idrissamustafabukenya6110

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa evo hakuna sio

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmmmmh 😢

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo na mayahudi ndo ahlulkitaab. Wamejaa tele mitaani kwetu sijui kwa nini tunajipa kazi ya kuwatafuta watu wanaojulikana au tunajipa fikra ya kukataa uhalisia. Ahlulkitaab ni mayahudi na wakristo sasa watu tunakataa kwa kutumia akili. Hapo ndo utaona ujinga wa waislamu walio wengi. Ruhusa imetoka kwenye surat Maaidah aya ya 5.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      Ahlulkitabu wenyewe ndiyo hawa wandengereko, wachaga, na wanyakyusa wanaofata maandiko ya yaliyochakachuliwa au vipi?! 😂😂😂 tambua waliokusudiwa sio hawa ni wale wa zamani waliofata taurati na injili ya kweli ambao tayari walishapambanukiwa bishara watakayoifata ya Mtume Muhammad (S) baada ya ujio wake kwao, ahlulkitab hawa wa sasa asili ya mafundisho yao imetoka kwa nani?! Yesu Mussa au Fikra za wazungu waliyoyachakata mafundisho sahihi ya ahlulkitab halisi?!... kaka usiwe mwepesi hivyo... tafakari!!

    • @lolilaacademy1449
      @lolilaacademy1449 หลายเดือนก่อน

      You are right. tuko sawa