1. AINA ZA FAMILIA MNAZOTOKA-Chunguza na angalia kwa makini aina za Familia (Kiuchumi , Malezi, na backgrounds zaote) 2. MTOTO WA NGAPI KWAO- ( Must know numbering, kila Nafasi ya mtoto Ina hulka tofauti Mtoto wa kwanza hawez kua sawa na WA mwisho,kitabia 3. HAIBA YAKE - Personality yake introvert and extrovert MKIMYAA SANAA ana kaa peke ake ndani AMA NI MUOONGEAJI 4.HISTORIA YA MALEZI KIUJUMLA (Family backgrounds, single parents eg single mothers etc 5. JIULIZE UKO TAYARI KUMALIZA SAFARI PAMOJA NAE?
Mi niliwahi kuambiwa nimerogwa kwanini napenda kukaa pekee yangu muda mwingi haijalishi kuna umeme wala hakuna napenda sana kuwa pekee yangu muda mwingi sana
Asante San Dr. Kwa mafundisho lakini ningependa kufahamu kati ya Introvert and extrovert ni kina nani wanaweza kukaa pamoja na kuelewa vizur kwenye mahusiano?
Nawezaje sasa kurundisha yule niliyo muumiza jp nilimdhalilish je inawezekn na je kosa moj kwa mtu akupendae hawez kusamehe km kweli alikuwa na upendo wa dhati
1. AINA ZA FAMILIA MNAZOTOKA-Chunguza na angalia kwa makini aina za Familia (Kiuchumi , Malezi, na backgrounds zaote)
2. MTOTO WA NGAPI KWAO- ( Must know numbering, kila Nafasi ya mtoto Ina hulka tofauti
Mtoto wa kwanza hawez kua sawa na WA mwisho,kitabia
3. HAIBA YAKE - Personality yake introvert and extrovert
MKIMYAA SANAA ana kaa peke ake ndani AMA NI MUOONGEAJI
4.HISTORIA YA MALEZI KIUJUMLA (Family backgrounds, single parents eg single mothers etc
5. JIULIZE UKO TAYARI KUMALIZA SAFARI PAMOJA NAE?
Tena kunawakati narudia kujikumbusha,napenda kukufatilia kaka,asante sn Dr.
Hili somo limenigusa sana.
Ahsante mwilim wangu wa saikolojia pale UD
Asante Mwenyez Mugu akutie nguvu na kukuinua ktk kazi yako honestly najifunza mengi kutoka kwako
Asante Saaaana Dr Chris haya ni ya Muhimu Sana Ila wengi hawayapi kipawa mbele
Ahsante Sana.. Nimejifunza kitu hapa kwakweli.. 🙏🙏MUNGU akubariki
Fact. Baba Nimekuelewa Sana doctor Mungu akubariki sana
Amen kaka jaman hiii mada imenihusu mim kabisa kwan nlikuwa sjaawah kumchunguz barikiw san
Hapo Kwenye mtoto wa kwanza na wa mwisho Mimi , umeenielewesha Sana
Asante saannaaa Dr. Mungu akubariki sana
Asante Kaka nimetokwa machozi ,umenifunza kitu
Asante sana kaka nimeelewa ila nina swali kama uko kwenye uchumba alafu asiseme vitu hivyo vitano akagunzia labda tatu inakuaje kaka
Na kumwacha siwez tutapmbn hv hv tunapendana
Ubarikiwe Sana mkuu
Mi niliwahi kuambiwa nimerogwa kwanini napenda kukaa pekee yangu muda mwingi haijalishi kuna umeme wala hakuna napenda sana kuwa pekee yangu muda mwingi sana
Nimekuelewa sana Brother heshima kwako barikiwa sana
Asante sana mkuu
Aksante sana bro Mauki hii mada imenilenga maisha yangu sana🙏🏾🙏🏾
Mungu akupe afy asate sana nimejifunza
Amen natumaini ume subscribe channel
Mtumishi, naomba zako,
Mungu akubariki doctar
Asante sana
Thanks for your advice bro chris
Ubarikiwe Dr
Asante dr Chris mauki be blessed
Asante kwa ushauri nakuelewa Sana . Vipi kuhusu mtoto wa pili kwa mtoto wa pili kati ya watoto 5
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Nimepata kitu Cha ziada asante
Thx Dr god bless u
Nimekuelewa kaka
Nimekuelew sanaaaa kaka
Be blessed
MUNGU akubariki sana doctor! Umenifumbua ufahamu kwa upana sana kuhusu hayo makosa👏👏👏
All right doctor god blessing you
Asante sana doctor chris masomo yako yanikomamaza na kuyaimalisha mahusiano yangu na kupata maarifa kabla ya mahusiano
Asante San Dr. Kwa mafundisho lakini ningependa kufahamu kati ya Introvert and extrovert ni kina nani wanaweza kukaa pamoja na kuelewa vizur kwenye mahusiano?
Kiuiwer tumeolewa na kula kwa kuangali tyuu yyunaenda hayo yote unayosema Dr no wachache mno wanafuatilia
Nawezaje sasa kurundisha yule niliyo muumiza jp nilimdhalilish je inawezekn na je kosa moj kwa mtu akupendae hawez kusamehe km kweli alikuwa na upendo wa dhati
Umenigusa mwanzo mwisho
Jmn mm boyfriend Wang ni wakwanza na mm ni wamwisho tunafanyeje
Good lesson
Hauna vitabu kaka