MZEE MWINYIKAI MWENYE MIAKA 110 AELEZEA HISTORIA YA WADIGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2019
  • Subscribe our Channel
    Jimbo tv 254
    Facebook: / jimbo-tv-2-5-4-2926765...
    Instagram: / jimbo_tv_254
    Twitter: / bujmoh
    #Digo #Utumwa #Wadigo
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 78

  • @abumoyo840
    @abumoyo840 5 ปีที่แล้ว +10

    Sawa ntsawee wangu nkakuelewaa sanaaa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +8

    Maa Shaa Allah Miaka 105 Allah akuzidishie ln Shaa Allah,Bado uko sawa.

  • @munamuhammad211
    @munamuhammad211 5 ปีที่แล้ว +7

    Proud of u uncle,ww ndiwe tunakutegemea katika familia yetu,Allah akuifadhi na akupe umri mrefu zaidi na akuepushe na hasad na vijicho vya waja.

  • @munaidi9312
    @munaidi9312 5 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akuzidishe umri sana

  • @wemakalam3233
    @wemakalam3233 5 ปีที่แล้ว +6

    Babu mwenyeezi mingu akuzidishie umri inshaallah

  • @khalifahmwarangi4845
    @khalifahmwarangi4845 5 ปีที่แล้ว +7

    I like the person who translated the content, he did it perfectly

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว

      Unajalishwa nini na tafsiri...kwani huelewi Kiswahili....

  • @rukiamwakuzimu3863
    @rukiamwakuzimu3863 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah,, mungu akuzidishire umri tsawe na akuongoze na ibada

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah, mzee miaka 105 na bado ako na afya zake

  • @faithjoel3900
    @faithjoel3900 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallh mungu akuzidishie zaidi na zaidi🙏🙏🙏

  • @aisharamadhan8778
    @aisharamadhan8778 5 ปีที่แล้ว +4

    105 years!!...Masha Allah

  • @Thatisme001
    @Thatisme001 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda hii lete zaidi Kama hizi bro👏👏

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah tsawe mwenyezimungu akupe nguvu zaid inshaallah

  • @ayshaayush8539
    @ayshaayush8539 5 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah tabarakallah Mungu akuzidishie umri babu yangu

    • @aishamohammed3547
      @aishamohammed3547 5 ปีที่แล้ว +2

      Somu njoo muhaka hapa kuwaitwa mtsangatifu

    • @ayshaayush8539
      @ayshaayush8539 5 ปีที่แล้ว +2

      @@aishamohammed3547 ni muhaka zengwa somu yangu si mtsangatifu

    • @aishamohammed3547
      @aishamohammed3547 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ayshaayush8539 kumekaa kama hapa kwa mwayanga dukani

  • @abudimuddy517
    @abudimuddy517 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee yupo sahihi 100% mashallah ALLAH Amjaalie umri na afya.

  • @aishamohammed3547
    @aishamohammed3547 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaya pharaa pha yanga. Mwinyikai nakuona vzr sana.

    • @bittybitty2712
      @bittybitty2712 4 ปีที่แล้ว

      Masha Allah tabaraka Allah mungu akupa uzima na umri babu
      inshaa

  • @khalifahmwarangi4845
    @khalifahmwarangi4845 5 ปีที่แล้ว +4

    Kalii

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +7

    Chidigo chimtswano mino ni muungu wa msambweni achinondo niano aphu 😃😃😃😃

  • @mkuukiko6832
    @mkuukiko6832 4 ปีที่แล้ว +2

    My sons namesake long live babu

  • @muonlinetv1879
    @muonlinetv1879 ปีที่แล้ว

    Ave watched till the end and the research i have the Mzee is speaking the truth ... May he live long

  • @mohammedjohari8094
    @mohammedjohari8094 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kidogo Kuna mushkil mahali,historia ya 1330 ibn batutta a morrocan explorer alitembea east Africa wakati ikiitwa Swahili land sultan akiwa based in kilwa alikuta waswahili,wabajuni na wabarawa na waarabu(Persians,Turks),it's said Digore came with his brother father and mother,na mamake wa Kambo na nduguze watatu walipotoroka shungwaya baada ya kushambuliwa na wa Orma,inasemekana Waliingia coast in 1630's wakati wa Reno (Portuguese) walikua watawala, Portuguese waliweza kuwaua wa falme wa pate,Lamu na Mombasa (bw. Sheikh mvita) ndiposa waswahili wakashikana mikono na mwana wa Digore na kwenda safari Hadi Oman kuomba msaada kwa kunyanyaswa na wareno

    • @mohamedndaro1431
      @mohamedndaro1431 4 หลายเดือนก่อน

      Safari za ibn batuta ziliegemea sana visiwani, ambapo kulikuwa na mataifa...jamii za nyika hazokutembelewa wala kujulikana

  • @monamizi1010
    @monamizi1010 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe umri zaidi babu❤

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 5 ปีที่แล้ว +5

    Hivi ndio vitu vya kutuletea Sasa madini kama yote

  • @shaffimwakz1413
    @shaffimwakz1413 4 ปีที่แล้ว +2

    Congratulation jimbo TV.... But I have arequest.... Ebu jimbo TV go back to Mr Mwinyikai... And interview him over this mzee jomo kenyatta allegation, I heard he was also a digo

    • @JIMBO_MEDIA
      @JIMBO_MEDIA  4 ปีที่แล้ว +1

      He isn't a digo iko wazi... hahahah

    • @amourbundrez3731
      @amourbundrez3731 3 ปีที่แล้ว

      I heard this too among my family

    • @sellamwani7300
      @sellamwani7300 2 ปีที่แล้ว

      Kama huyu mzee asema wadigo watoka macca,mecca, Kenyatta atakua mdigo!

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 ปีที่แล้ว

    Tulitoka Makkah sisi kumbe... Alhamdhulillah nitarudi Gulf home sweet home

  • @issamathenge4305
    @issamathenge4305 ปีที่แล้ว

    wow this mzee is speaking wisdom. anaongea ukweli. mdigo mzigoooo😅

  • @faridimdzomba6157
    @faridimdzomba6157 3 ปีที่แล้ว +1

    Perfect fact..💯

  • @udahudah5004
    @udahudah5004 4 ปีที่แล้ว +2

    Hehee... Utsai wa chidigo ni upuzi kpweli tsawe

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 ปีที่แล้ว

    Kali

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 5 ปีที่แล้ว +5

    eti,,,mdigo ni mzigo...jamani?

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 3 ปีที่แล้ว

    Wakina mwansimba tujuwane
    Ilakujuwakabilayako raha
    Leo nimeelewa siri yawadigo
    Hasante sana mwinyi kai
    Mungu akupe hafyanauzima...
    🤲🤲🤲

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 ปีที่แล้ว +1

    To be continued

  • @ayshaayush8539
    @ayshaayush8539 5 ปีที่แล้ว +1

    Hadisi na ngano ikasirira iphoo

  • @hshsh3302
    @hshsh3302 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah yani babu miaka 105 bado HB

  • @KwehuMedia
    @KwehuMedia 4 ปีที่แล้ว +1

    waduruma asili yao wakamba,wamakua na wadigo

  • @fatumakirowa4507
    @fatumakirowa4507 3 ปีที่แล้ว +1

    Mlungu akusengeze mbere tsona

  • @shaffimwakz1413
    @shaffimwakz1413 4 ปีที่แล้ว +1

    Mduruma kana aphu.... Aphuye ni mdigo ....

  • @ashahamisi5833
    @ashahamisi5833 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mdigo sijui kuongea kidigo,lakini natamani sana kukiongea. Naomba mtu ajitolele kua mwalimu...

  • @superwoman6180
    @superwoman6180 4 ปีที่แล้ว

    Usawa mzee

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว

    Mdiqo ni mziqo

  • @kecha5251
    @kecha5251 3 ปีที่แล้ว +1

    Adigo Ramkani.

  • @MkalaTsanje-pi7ps
    @MkalaTsanje-pi7ps ปีที่แล้ว

    Mbavi sino mijikenda tuna Lana ya kurogana duuu

  • @ramadhanbaraka6474
    @ramadhanbaraka6474 2 ปีที่แล้ว

    Nadzivunira kuvyarwa mdigo

  • @sellamwani7300
    @sellamwani7300 2 ปีที่แล้ว

    Mzeee azingua huyu.

  • @chotaramswahili2835
    @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว

    Mzee akovizuri sana,ila napinga na nakataa kwamba waswahili ni zalio la ndoa mseto kati ya mijikenda na mwarabu..nitafteni niwape ukweli kuhusu Mswahili

    • @hassanjuma2688
      @hassanjuma2688 3 ปีที่แล้ว

      Ndio ukweli huo muarabu na mijikenda ndio zao la waswahili...haya tuelezee waswahili hasili yao ni..maana kwanza yakupasa ujue maana ya neno SWAHIL nini maana yake.ni neno la KIARABU likiwa na maana ya UFUO AU FUKWE

    • @chotaramswahili2835
      @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanjuma2688 hahaha,ama kweli weye umelipiga juu..mm nadhani ingekuwa bora tuandae mkutano wa ana kwa ana tuelimishane mengi..maana hatasijui nikuanzie moo wa kitwa..yaani nashindwa pakukuanzia mpaka ufike katika barabara ya ukweli..naomba andaeni mkao kwa ajili ya ASILI YA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI 🙏

    • @chotaramswahili2835
      @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanjuma2688 kwakweli nakupinga ww na babu kitaalamu..naomba hili tulifanyie kazi tutafutane ana kwa ana tuelimishane..maana tumezidi kuwapwekesha weupe..kila jambo zuri lenye maendeleo Afrika mwalipa weupe paka lugha zenu wenyewe jamani?!NITAFTENI NIWAPE ASILI YA MSWAHILI KWA USHAHIDI WA KITAALAM NA KIMAZINGIRA

    • @kombomwakaribu8252
      @kombomwakaribu8252 3 ปีที่แล้ว

      Mtoto ulizaliwa juzi tu wajua lipi kuhusiana na asili ya mambo...kama hukusoma kwenye vitabu, vilivyoandikwa na watu kupoteza asili ya mambo.

    • @chotaramswahili2835
      @chotaramswahili2835 3 ปีที่แล้ว

      @@kombomwakaribu8252 ni kweli unacho kisema,ila elimu haipimwi kwa kigezo cha umri.Kumbuka sio kila mzee ana elimu hata wajinga huzeeka.Ashakum sio matusi.

  • @fatimamv2723
    @fatimamv2723 2 ปีที่แล้ว

    Mm nilisema sisi wadigo n warabu watu wakanipingaa mm mwenyewe nko n hasili y kiarabu