Najiita Msegeju: Sehemu ya Kwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Wasegeju ni kina nani? Jee kuna kabila kama Wasegeju ama ni pande la Wadigo? Katika kisa hichi Mzee Ali Suwaka anakumabana na maswali haya na kujaribu kupata undani. Tokea amezaliwa aliitwa Msegeju na alijitambua hivyo lakini katika uzee wake watu wakaaanza kumhoji utambulisho wake. Mfuate Mzee Ali katika uchunguzi huu tokea kijijini Mnyanjani mpaka kwenye vijijini vya mlimani kama Bwiti huko Usambaani.

ความคิดเห็น • 19

  • @moonz15
    @moonz15 2 ปีที่แล้ว +1

    Dope

  • @abdulrahmansalim3016
    @abdulrahmansalim3016 3 ปีที่แล้ว +2

    Ninashauku ya kujua kitakachoendelea Wallah.... Loh

  • @jumahamisi9328
    @jumahamisi9328 ปีที่แล้ว

    njoo Pongwe Kidimu Kenya utawapata

  • @salehalkharousy7317
    @salehalkharousy7317 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Nyumbani Huko

    • @gomakuu
      @gomakuu  3 ปีที่แล้ว

      Wewe ndugu yangu Akhi.

  • @athumanilitunu6462
    @athumanilitunu6462 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii nimeelewa its good Idea. Ila bado sijaelewa je Msegeju ni kabila au ni muundo wa maisha
    Endelea kutafiti nzuri hii nimependa ila bado sijajua maji kwa kisegeju wanaitaje na KILIGO PIA wana itaje

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasegeju bado wajajijua wao ni kina nani

  • @APEffects
    @APEffects 3 ปีที่แล้ว

    Sinema nzuri sana inayotupelekea kutaka kujua ukweli ni upi

  • @chicharito4201
    @chicharito4201 3 ปีที่แล้ว +1

    SAFI HII 👏🏼👏🏼👏🏼

    • @mohamedyunusrafiq6930
      @mohamedyunusrafiq6930 3 ปีที่แล้ว

      Umependa nini?

    • @chicharito4201
      @chicharito4201 3 ปีที่แล้ว

      @@mohamedyunusrafiq6930 WAPI WASEGEJU WALIPOTOKEA NA KWANINI MSEGEJU UKIMUITA MDIGO ANAKATAA .

  • @sanjifilm1722
    @sanjifilm1722 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @ramadhanjamali5761
    @ramadhanjamali5761 ปีที่แล้ว

    Duuh kwahio sisi wasegeju hatuna lugha maaluum

  • @hamadimsegeju5568
    @hamadimsegeju5568 3 ปีที่แล้ว +3

    mzee ali natumai atatwambia sisi ni nani

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa wasegeju na wagunya ndioo wapi au wabaajun ndioo wap

  • @gomakuu
    @gomakuu  3 ปีที่แล้ว

    Mjomba @abdulrahman nakuona aisee. Begi bado unalo hilo?

  • @gomakuu
    @gomakuu  3 ปีที่แล้ว +1

    Jee Mzee Ali atachukua hatua gani sasa? Atawapata hao Wasegeju? Wewe unaonaje?