| NYAYO ZA MEKATILILI | Mekatilili wa Menza aliongoza Wapwani kupinga ukoloni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Ni miaka 56 sasa tangu Kenya kuwa jamhuri na taifa halijasahau mashujaa walionyakua utawala kutoka kwa muingereza. Katika ukanda wa pwani, hususan jamii ya wagiryama, mekatilili wa menza anaenziwa kwa kueneza jumbe za kumfurusha mkoloni kwa ngoma.
    #Jamhuri #MekatililiWaMenza

ความคิดเห็น • 6

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 4 ปีที่แล้ว +3

    Sumillan agiriama!!

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 ปีที่แล้ว +1

    Tena wadhulumika Sana n Sana n hakuna sheria zichukuliwa Kwa dhulma z watoto washukiwa utawkuta wanarandaranda

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 11 หลายเดือนก่อน

    Kwann kubadilishwe jina kwan hilo halifai

  • @dailysparktvke3540
    @dailysparktvke3540 2 ปีที่แล้ว

    ✌️✌️✌️✌️

  • @MitchellErmina
    @MitchellErmina 5 หลายเดือนก่อน

    Kubadilisha kina kivipi sasa kwani mama gina hapo anatokea vipi na anawekwa kivipi mwataka kupoteza history sasa kwahivyo pwani tulikolonaziwa na wahindi alafu mnayaka kubadilisha jina nataka hilohilo mekatilili wa menza

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 ปีที่แล้ว

    NAAAAM