MITIMINGI # 181 UKIONA MUME HAKUTUNZI WEWE, HATUNZI FAMILIA - REKEBISHA HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 117

  • @marinemodest1798
    @marinemodest1798 6 ปีที่แล้ว +16

    mh Mchungaji nashukuru kwa somo. nataka kukuambia kuwa niko kwenye ndoa bt kitu kinachoshangaza mume unaweza kumfanyia kila kitu chema. unyenyekevu umo ndani yake, utii umo ndani yake usafi wa kila namna hadi nguo za ndani atakatishiwe apasiwe na apangiwe still hana heshima wala kuthamini kile unamfanyia. chake chake na chako ni chake. majibu ya mkato. ukiuumwa hutakiwi hali wala kuhudumiwa jamn mh. ninachotaka kukuambia wanaume wengi ni mashetani

    • @issaramadhani9714
      @issaramadhani9714 6 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Dada yangu huo ni mtihani mkubwa ni lazima ufaulu,ushinde majaribu yote usikate tamaa dada japo nyie wenzetu wakristo hamruhusiwi kuachana hata itokee jambo la kuhatarisha uhai wa maisha yako ktk Uislam huku ikiwa wanandoa watashindwana watafikia ktk hali ya kuleta madhara baina yao wanaruhusiwa kutengana ili kuzuia yasitokee madhara mengine makubwa na hata lile lengo la ndoa na makusudio halitaweza kufikiwa ipasavyo kwa hivyo taraka imewekwa ktk hali ya emergency tu.Fuatilia mafundisho vizuri ya Dk.Mitimingi nafikiri utapata solution ya mazito uliyonayo ikiwezekana umpigie simu upate ushauri wake na jitahidi kwanza ufungue moyo wako uwe safi kwa mumeo pamoja na mabaya anayokutenda ww usijali kuacha kufanya wema kwake jichunguze ni wapi unakosea ktk mambo yote ya faragha pia huku unazidisha maombi kwa Mwenyezmungu na jitahidi subra iwepo naamini utafanikiwa kwa kuwa jitihada yako ataiona Mwenyezmungu pamoja na moyo wako namna ya yale uliyonayo na yeye ndiye Mjuzi wa kujua yote na kinachoendelea baina yenu.

    • @amamlen3731
      @amamlen3731 5 ปีที่แล้ว

      Usijijenge kwanza wanaume nimashetani kama mumeo nishetan sio wote mama wengne wanajitambua....sema ndoa nyingi zmekosa maombi.iyo ndo nguzo ya familia kama unaishi bila maombi shetan lazma awapge

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 4 ปีที่แล้ว

      Liangalie neno la mwisho hilo ndilo tatizo ulilonalo litatue kwanza
      Kwasababu wanaume tunahisi ukiachana na kuona tunahisi pia

    • @azariasmercyline5134
      @azariasmercyline5134 4 ปีที่แล้ว

      OK

  • @MariamObote
    @MariamObote 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho mazuri tutapona wanawake🎉🎉🎉🎉

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 10 หลายเดือนก่อน

    Safi m chungaji m ungu akubariki sana

  • @monicaelias3801
    @monicaelias3801 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi kabisa Mwalimu barikiwa zaidi kwa mafundisho

  • @neemachalamila9494
    @neemachalamila9494 6 ปีที่แล้ว +7

    Kuna mambo mengine yanahitaji neema ya Mungu tu, nilimpenda mume wangu Sana, lakini mume wangu hajawahi kuwa mwema, nilikopa na nikajenga naye nyumba nimechukuwa mkopo, lakini mambo niliyolipwa Mungu mwenyewe anajua Bado sikutakiwa Hata kuhamia Kwenye nyumba Mpya, ndoa yangu imekuwa kampuni ya familia, Hata kila tulijadililo lazima cabinet ya familia ama tume ya familia ipitishe, Hakuna Jambo tumefanya bila familia kupitisha mswaada, very heart mchungaji miliangalie pia hili so wanawake tu, mioyo yetu wanawake imefunga mengi Sana tena yenye kuumiza na kukatisha Tamaa !!!!!!!!!!

    • @itikamwakanyamale9870
      @itikamwakanyamale9870 6 ปีที่แล้ว +1

      Iv wanawake ndio wakosaji tu

    • @lazaruslazaro2161
      @lazaruslazaro2161 6 ปีที่แล้ว +1

      Pole Na sisi wanaume tunateseka Na mengi kama mwaka Jana nililima mpunga Mke wangu ndio Alikua msimamizi mavuno alipata gunia 100 kumbe alinificha kihalisia zilikua250 Na nipo nae toka 2009 Na kuna mengi mno

    • @mitimingionlinetv9896
      @mitimingionlinetv9896  6 ปีที่แล้ว

      Pole sana Neema na Changamoto. Unapatikana wapi?

    • @newjaybilali3150
      @newjaybilali3150 6 ปีที่แล้ว

      Helow mama pole sana unapatkana

    • @fehiciteand8784
      @fehiciteand8784 5 ปีที่แล้ว

      Sio wepeke nduguangu

  • @abbasathumanimsumari5391
    @abbasathumanimsumari5391 11 หลายเดือนก่อน

    mungu akubariki wape hao

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakushukuru mno baba mtumishi kwa mafunzo ni mazuri sana . Mungu akulinde na akubariki

  • @faithkwamboh322
    @faithkwamboh322 7 ปีที่แล้ว +8

    I dont know how i landed here but i love this Tanzanian Pastor, big up from Kenya

  • @AKaline12
    @AKaline12 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kabisa,Mungu akubariki sana Mchungaji

  • @mhachependo4656
    @mhachependo4656 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi wa Mungu.Mungu akubariki sana umenifundisha kitu

  • @noelyschila9323
    @noelyschila9323 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubaliki mtumishi nakpenda

  • @nyanzalakaporo4219
    @nyanzalakaporo4219 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza mengi sana kwehii semina ,
    Mwl ubarikiwe sana.

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa bwana ubarikiwe sana sana ,masomo yko mengi ni kama vile unaniambia mimi !!!!

  • @ramadhankijana9442
    @ramadhankijana9442 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @eddahmateba5185
    @eddahmateba5185 3 ปีที่แล้ว

    I really loved your preaching God rest you in peace

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 6 ปีที่แล้ว +2

    barikiwa mtumishi

  • @bethlameck5329
    @bethlameck5329 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mtumishi,Mungu akubariki

  • @خديجها-ه9ق
    @خديجها-ه9ق 6 ปีที่แล้ว +4

    Asant Kwa mafunzo baba ubarikiwe kweli

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 6 ปีที่แล้ว +4

    Wewe ni mwalimu wa uhakika aisee, majumbani wengi hawafundishwi hayo.

  • @josurecharles428
    @josurecharles428 4 ปีที่แล้ว

    Da!😍😭🙏be blessed my father rest in peace MUNGU naamin amekupokea kwa furaha Sana uliishi katika kusudi lake atakulipa siku ilee inayokuja kwa Kasi Sana kuufikilia mwisho wake Ila tulikupenda na tunakupenda Sana pastor ✍️

  • @liyanakarzan182
    @liyanakarzan182 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor

  • @mussamaholi7169
    @mussamaholi7169 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @happynyonga4536
    @happynyonga4536 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe saana baba

  • @joscahnjeka9729
    @joscahnjeka9729 4 ปีที่แล้ว

    Thanks for blessings pastor RIP 🙏

  • @bangirasta6679
    @bangirasta6679 7 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @loisafelix881
    @loisafelix881 7 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana MTUMISHI wa Mungu naamini umekuja kuokoa ndoa za watoto wa Mungu

  • @christinapaulo2718
    @christinapaulo2718 7 ปีที่แล้ว +3

    nabarikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @judygasper8894
    @judygasper8894 7 ปีที่แล้ว +3

    Asante mtumishi kwa somo nmejifunza sana

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh mchungaji naona unasema mwanamke tu je wanaume wanatabia mbaya kuliko kawaida

  • @ednerkenedy8646
    @ednerkenedy8646 7 ปีที่แล้ว +1

    Unasema ukweli mtumishi wanawake saiv n too much ubarikiwe sana

  • @emmanueltwaha1489
    @emmanueltwaha1489 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda, safi mtumishi, Ubarikiwe.

  • @hamidakassim4
    @hamidakassim4 5 ปีที่แล้ว

    hapo sawa mtumishiiii! walaiii uko mbeleee! ukwelii duhhhh

  • @miriamasubwa1552
    @miriamasubwa1552 4 ปีที่แล้ว

    Sorry pastor ave cried alot Rest in peace

  • @beatriceninga466
    @beatriceninga466 7 ปีที่แล้ว +1

    mtumishi kweli kabisa

  • @mariaedwardfalagha1736
    @mariaedwardfalagha1736 6 ปีที่แล้ว +3

    mtumishi ubarikiwe sana ila mbna wengne hufanya haya yote kwa wanaume lkn unakuta mwanaume bado anamnyanyasa tu mwanamke anashuka anajifanya mjinga lkn bado hii inakua ni pepo au

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 6 ปีที่แล้ว

    ahsante kwa fundisho mazuri

    • @ericaerick4197
      @ericaerick4197 6 ปีที่แล้ว

      mafundisho ni mazur mchungaj lkn kuna wanaume ata ufanye vizur vp yy bado anakuona mazi akiwa na shida ndo atakuina mtu cku hana shida anakuona mbwa koko ....

  • @agnessmollel1249
    @agnessmollel1249 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba

  • @jumannesadiki768
    @jumannesadiki768 7 ปีที่แล้ว +4

    Nimeona wataalamu wengi mno katika mada hozi lakini wewe ndg unatisha sana none comparable

  • @emmanuellaizer4548
    @emmanuellaizer4548 7 ปีที่แล้ว +6

    aiseee shukrani sanaa licha ya kuwa umeongelea wanawake ila mimi mwenyewe nimejifunza hata kama n mwanamume;;;;~

  • @ramadhanichilumba3610
    @ramadhanichilumba3610 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hapa nilipo najuta maana nyumba naiona chungu maana nimemkosea sana mke wangu moja haikai mbili haikai

  • @mirajamal3767
    @mirajamal3767 6 ปีที่แล้ว +1

    Masomo mazuri.

  • @aggiebarton8315
    @aggiebarton8315 7 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

    • @zawadkidunda1484
      @zawadkidunda1484 6 ปีที่แล้ว

      Tunaomba uongelea haya ya wanaume ndoa niyawawili siyo mke tu wanaume wanatunyanyasa sana wewe hujui tu

  • @clarafussi8149
    @clarafussi8149 7 ปีที่แล้ว +7

    Katika maisha yangu mpaka hapa sina ndoto za kuolewa sababu wanaume wasasa ni wapumbavu

    • @andrewnyambega5590
      @andrewnyambega5590 6 ปีที่แล้ว

      Clara Fussi sio hamna muoaji😃😃

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 6 ปีที่แล้ว

      Clara Fussi mbona wapo wa zamani jamani

    • @dauditumaini5998
      @dauditumaini5998 6 ปีที่แล้ว

      sema umemkosa tu

    • @sephaniandabila8651
      @sephaniandabila8651 6 ปีที่แล้ว

      heshima ya mwanamke ni kuolewa na kuishi kwa amani hata wazaz humpenda asiye mpata mume anakasoro
      Amen

    • @fademoonlinetv
      @fademoonlinetv 6 ปีที่แล้ว +1

      Clara unahitaji ushauri wa kisaikolojia!! Hauko sawa! Nenda ukaombewe!

  • @charleskabaka3015
    @charleskabaka3015 7 ปีที่แล้ว +1

    Kweli tupu, Ni siri kubwa sana hizo

  • @cheskomwakipesile6436
    @cheskomwakipesile6436 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 7 ปีที่แล้ว +7

    Mchungaji, yote uliozungumza ni mazuri, lakini siku hizi wanawake ndio tunao lipa ada,

    • @bongetpinto2742
      @bongetpinto2742 6 ปีที่แล้ว +1

      unatakiwa kua mtii, mpole na unyenyekevu, ukifanya hayo ada atalipa mwenyewe

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 6 ปีที่แล้ว +1

      Olivia Seth soma Mithali 31 :10 - - - - -
      Mke ukiwa vizuri kwamume anaye jitambua hakosi mapato

  • @ngailofabiana1501
    @ngailofabiana1501 7 ปีที่แล้ว +2

    kweli wanawake tunakazi!

  • @bbguwu2410
    @bbguwu2410 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nikweli lakin mwanaume mmmmmmm

  • @sarahjoseph1345
    @sarahjoseph1345 6 ปีที่แล้ว +5

    Mwanamke mwanamke mwanamkeeeee kila kitu mwanamke huyo mwanamke atabeba mangapi jamaniiii!!!! Kuna wanaume ni matatizo hawana hata shukrani hata ufanye nn! Wanatia mpaka kichefuchefuuuuu!

  • @godwinemaganga218
    @godwinemaganga218 6 ปีที่แล้ว +1

    wapo wanaochezea fursa

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 6 ปีที่แล้ว +1

    Hapa kuna mfumo dume...hiyu bwana anataka wanawake waabudu wanaume....wanaume anataka wapendwe wao tu....

    • @Winner_Maggie88
      @Winner_Maggie88 6 ปีที่แล้ว

      Victoria Rwerengera sema baadh ya wanaume wana mifumo dume, wanataka wafanyiwe ivo

  • @benadetamwashala62
    @benadetamwashala62 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha et kku hakmbizwi na mmja barkiwa mtumish

  • @naomiseverine1766
    @naomiseverine1766 7 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @bettykaai5192
    @bettykaai5192 6 ปีที่แล้ว +2

    Is it all about man???

  • @nkeshimanaemmanuel5031
    @nkeshimanaemmanuel5031 6 ปีที่แล้ว +2

    Una kipaji.Watu ni wapumbavu kwa kuwa hawajingatie maneno yako

  • @asjelenterprisesltd7805
    @asjelenterprisesltd7805 7 ปีที่แล้ว +7

    Mmmmmh! Jamani? mbona mizigo mingi anatwishwa mwanamke tu?

    • @bongetpinto2742
      @bongetpinto2742 6 ปีที่แล้ว +1

      ndie aliepewa majukumu makubwa

    • @josephloy7638
      @josephloy7638 6 ปีที่แล้ว +1

      kwa sababu mke mpumbavu ndie anayebomoa nyumba.

  • @stellajobjohn6958
    @stellajobjohn6958 6 ปีที่แล้ว +2

    Badilisha Maada

  • @beatriceninga466
    @beatriceninga466 7 ปีที่แล้ว +1

    semina zako unafanyia wapi mtumishi?

  • @teresanyachomba9015
    @teresanyachomba9015 3 ปีที่แล้ว +1

    ...

  • @dianaaloyce5115
    @dianaaloyce5115 6 ปีที่แล้ว +1

    duuu

  • @Suzanhermanwamtv
    @Suzanhermanwamtv 5 ปีที่แล้ว +1

    Ata mimi mke wangu alinisema nilivyo mletea keki na chips mayai

  • @umiy1971
    @umiy1971 7 ปีที่แล้ว +6

    kwani mbona ni kuhusu wanawake tu ??? shekhe mhubiri mchungaji wote wanawake wanawake jamani na nyie wanaume muna sifa nyingi mbaya pia ukianza kusema kuwa wanawake wengi wataka kuolewa na pia wako wanaume weeengi wanatafuta wanawake walokuwa wanasifa njema .......tuacheni eeeehhhhh! tumechoka kunyanyaswaaa

    • @wambulasson2592
      @wambulasson2592 6 ปีที่แล้ว +1

      umiy1971 kwanini wote wazungumzie wanawake tu? Badala ya kuwachukia inatakiwa uliangalie swala kwa uyakinifu badala ya kuchukia,
      Sababu kubwa ya wanawake kusemwa sana ni kwa sabb ndiwo walioshikilia familia na jamii kwa ujumla sasa kama wanawake hawajanyooka, familia na jamii kwa ujumla itapinda, utulivu wa ndoa,familia na hata taifa unategemea sana ufanisi, wa mwanamke, mama jaribu kutambua umuhimu wenu

    • @dicksonalex6055
      @dicksonalex6055 6 ปีที่แล้ว

      umiy1971 0

    • @rajabumaige880
      @rajabumaige880 6 ปีที่แล้ว

      Unagusa maisha yangu

    • @neemanicholas1663
      @neemanicholas1663 4 ปีที่แล้ว

      Asant mchungaji tunayaenzi mafundisho yako Mungu akupokee kazi umeifanya na umetuachia hazina nzur. Rip

  • @neemamkambwahamisi4718
    @neemamkambwahamisi4718 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini amheshimu Mahandiko nyinyi wa kristo.?mbona Wana wake munawasimamisha Madhabauni.?? polesana.

    • @emanuelmwasote2535
      @emanuelmwasote2535 7 ปีที่แล้ว

      heshimu imani ya mwenzako

    • @emmanuelmwaka6070
      @emmanuelmwaka6070 6 ปีที่แล้ว

      Umepotea njia uku akukuhusu kasuku we umetumwa pepo punda we

    • @emmanuelmwaka6070
      @emmanuelmwaka6070 6 ปีที่แล้ว

      Umepotea njia uku akukuhusu kasuku we umetumwa pepo punda we

  • @ladybilionaire379
    @ladybilionaire379 6 ปีที่แล้ว +5

    Lakini mbona mafundisho haya yamelenga wanawake tuu wakati hata wanaume ni tatizo kubwa saana na wamesababisha familia kuharibika kabisa

    • @andrewnyambega5590
      @andrewnyambega5590 6 ปีที่แล้ว +1

      Lady Bilionaire mnazungumzia nyie sababu ndo uwaga hamuoni mapungufu yenu lkn yapo tena makubwa sana...mnahisi mpo sawa lkn uwaga mnashida kweli

    • @rabiakhamis1880
      @rabiakhamis1880 6 ปีที่แล้ว

      ahsant

    • @papilumona1896
      @papilumona1896 6 ปีที่แล้ว

      Soma topic

    • @dianamalingumu4516
      @dianamalingumu4516 6 ปีที่แล้ว

      Lady Bilionaire hata wanaume wanasomo lao fatilia

  • @janekimaro7952
    @janekimaro7952 7 ปีที่แล้ว +3

    mtumishi kweli umezidi jamani mbona kila leo kuwasema tu wanawake??? au kwa kuwa wewe mwanaume??