MITIMINGI # 665 KINACHOWAVUTA WANAUME KUCHEPUKA NA KUTELEKEZA FAMILIA ZAO NI HIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Asilimia kubwa ya wanaume wametekwa na wanawake makahaba ambao ni wachafu, hawafai, moja ya sababu ni hii hapa.
    Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

ความคิดเห็น • 63

  • @wgsaempiretv864
    @wgsaempiretv864 5 ปีที่แล้ว +33

    Wewe ni mchungaji unayejielewa kipawa chako cha ufundashaji na kwa hakika baki kwenye seksheni hiyo hiyo.kama unakubaliana nami,twende sote dondosha like zako hapo zenye uzito.

    • @tumtumkhan3115
      @tumtumkhan3115 5 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kabisa huyu mchungaji anongea maneno yanyo tuhusu cc kimaisha mana ndoa zetu kwa sasa nizamvuto tuu

    • @contactaffassociation1388
      @contactaffassociation1388 4 ปีที่แล้ว

      .

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +8

    Mchungaji huwa sichoki kukusikiliza napata somo zuri sana

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizri mtumshi wa mungu

  • @pendopereus6190
    @pendopereus6190 5 ปีที่แล้ว +4

    Kuna wasiobemvelezwa jaman umalaya unakuwa kwenye damu yake tuu Ni Basi labda kumuomba mungu aendelee kututunza ili tuepukane na maradhi

  • @roseindekhwa7637
    @roseindekhwa7637 5 ปีที่แล้ว +6

    Amina Baba balikiwa sana

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 4 หลายเดือนก่อน

    Wape ukweli ❤❤❤

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 5 ปีที่แล้ว +5

    Somo zuri sana, zidi kubarikiwa Pastor... 🙌

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaaa

  • @sebastianbwile6659
    @sebastianbwile6659 5 ปีที่แล้ว +4

    Ubarike mtumishi

  • @Bnlodebv
    @Bnlodebv 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante nataka nijifunze ukimya

    • @trophainamagogwa1163
      @trophainamagogwa1163 5 ปีที่แล้ว +1

      Hdjbfh High huo ukimya uangalie nao usilete dhambi ndani maana kama alizoea sauti yako akisema akaona uko kimya atajua umemdharau

    • @neemamathew7465
      @neemamathew7465 2 ปีที่แล้ว

      Hata mm😢

  • @ozwardfungo6983
    @ozwardfungo6983 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema nyakati zote

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 5 ปีที่แล้ว +5

    Nikweli kabisa ubalikiwe kwafundisho zuri ambalo umetupa

  • @hamidakassim4
    @hamidakassim4 4 ปีที่แล้ว

    💯💯💯💯 ukweli mtupu mtumishi😷😷duhhh kifoo jamanii hakina huruma Mungu akuwekee majali pako hakika

  • @mauwabijoux6966
    @mauwabijoux6966 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante baba mutumishi wamungu uwa napenda mafundisho yako na nikizingatia nagutekeleza nafaidi kwenye ndoa yangu nashukutu najifunza vingi sana na ndo maana siwezi kushinda bila gusikiliza mafundisho yako na kila mutu ambae anaskiliza mafundisho yako nakutekeleza hatokaaa ajute nikwenye uchumba mpaka kwenye ndoa barikia zaidi nazaidi mungu akuzidishie kipawa uzidi kutufunza amina

    • @mitimingionlinetv9896
      @mitimingionlinetv9896  5 ปีที่แล้ว +1

      mauwa Bijoux Amina mauwa Mungu akubariki sana

    • @rebekajohni9383
      @rebekajohni9383 5 ปีที่แล้ว

      mauwa Bijoux najifuza

    • @gwikileambakisye7793
      @gwikileambakisye7793 5 ปีที่แล้ว +1

      mwanaume mchafu hata ungembembeleza ukatoa na sauti nyororo bado atatoka nje ya ndoa cha msingi ni kuziombea ndoa zilizo halibikiwa na uchafu huo

    • @MtanzaniaJitambueCoLtd
      @MtanzaniaJitambueCoLtd 5 ปีที่แล้ว

      Wanawake wajifunze

    • @MtanzaniaJitambueCoLtd
      @MtanzaniaJitambueCoLtd 5 ปีที่แล้ว

      @@mitimingionlinetv9896 naomba hizi clip kuzipata kwenye WhatsApp +255742777715

  • @jacksonchimomo554
    @jacksonchimomo554 5 ปีที่แล้ว +4

    Amina Amina

  • @felisterjoaeph432
    @felisterjoaeph432 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante baba

  • @gamelahg4613
    @gamelahg4613 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe Baba

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 4 หลายเดือนก่อน

    Wape ukweli alooooo

  • @gabrieladam491
    @gabrieladam491 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina

  • @oliverlyimo1972
    @oliverlyimo1972 5 ปีที่แล้ว +5

    Siku hizi hata hawapo, wachache sana wamesha shituka,Waliopo ni wale wanaopenda kupewa na wanawake.

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 ปีที่แล้ว +10

    Kwwli unacho sema wanawake wa siku hizi wanawake wamekua na midomo michafu kweli

  • @wilfredmtumkubwa9854
    @wilfredmtumkubwa9854 5 ปีที่แล้ว +2

    God bless u all

  • @ozwardfungo6983
    @ozwardfungo6983 ปีที่แล้ว

    Tumtangulize Mungu kwa Kila Jambo yeye atatushindia

  • @denisgermany3288
    @denisgermany3288 4 ปีที่แล้ว +1

    Aki nagswa sn pastor

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 5 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa mchungaji wanaume hawalidhiki

  • @ridiamwainunualsee7495
    @ridiamwainunualsee7495 5 ปีที่แล้ว

    Nayakubali maneno yako mtumishi

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 5 ปีที่แล้ว +5

    duh malaya hawa jamaaan

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢

  • @niceladeus1697
    @niceladeus1697 5 ปีที่แล้ว +9

    jamaaniiii jamaaaniiiij jamaaaniii

  • @JohnMungas
    @JohnMungas 4 หลายเดือนก่อน

    Kutopewa utamuu

  • @snugglethegreat5155
    @snugglethegreat5155 5 ปีที่แล้ว +3

    I see u have a word!🤔🤔

  • @samwelichotola3308
    @samwelichotola3308 3 ปีที่แล้ว

    nikweli kabisa

  • @sallys7454
    @sallys7454 5 ปีที่แล้ว +2

    Anazambi huyo mume. Na ndo wanaleta magonjwa kwa mke.

  • @goodluckkelebesha9311
    @goodluckkelebesha9311 4 ปีที่แล้ว

    Rip😭😭😭😭😭😭

  • @estherlornaachieng1377
    @estherlornaachieng1377 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama wanatunzwa mzuri huko inje na hao makahaba mbona anarudi kwa mke wake siaende kabisa

    • @neemamwaipungu2842
      @neemamwaipungu2842 5 ปีที่แล้ว

      Aaahhhh, amerudi kutimiza wajibu ila hayupo kabisa kimwili apo,na akiondoka mazima siku,miaka akirudi jua karudi kwa makombo sababu wameshamuambikiza,wamemsha mmalizia pesa zote unabaki Kama kopo apo

    • @ridiamwainunualsee7495
      @ridiamwainunualsee7495 5 ปีที่แล้ว

      Ujikubali

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 4 ปีที่แล้ว

      Nyie ndy mnaachwa

  • @trophainamagogwa1163
    @trophainamagogwa1163 5 ปีที่แล้ว +8

    Ni shetani tu anayekuwa ametaka kuiharibu ndoa kwa Tamaa ya hao waume zetu .mwanaume mwingine hata ungembembelelezaje kama anataka kwenda huko atakwenda tu,tuwaombee tu wasiwe na hizo tamaa

  • @lucresiamamremi9645
    @lucresiamamremi9645 5 ปีที่แล้ว

    bitoke

  • @lawindizi1395
    @lawindizi1395 ปีที่แล้ว

    0

  • @giftmwale7648
    @giftmwale7648 5 ปีที่แล้ว

    P