Bi Msafwari - Mke Mwema ni Yupi?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @smsu05
    @smsu05 10 ปีที่แล้ว +5

    Gotta love Bi Msafwari's advise. She's making a lot sense and hope women learn something from this video. Bravo!

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtume Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam, alieleza mke mwema ni yule mumewe akimtazama hufurahi na akimuamrisha anamtwii......

  • @mirimwa
    @mirimwa 10 ปีที่แล้ว +2

    asante be msafwari nimesoma mengi kutoka kwako barikiwa

  • @munasalah4598
    @munasalah4598 6 ปีที่แล้ว

    Bi mswafari.. asante sana , kutuelimisha .. mwenyezimungu akubariki sana😍

  • @johndestar7261
    @johndestar7261 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana Bibi msafwari hakika nimeweza kujifunza mambo mengi jins ya Kumpata Mke mwema ni yupi lkn Samahan naomba kukuuliza hv hzo Sauti 21 za Mahaba kwa Wanawake ni zipi? Na Sauti 10 za Mahaba Kwa Wanaume ni zipi? Hebu nieleweshe tafadhal

  • @eliaswachira4807
    @eliaswachira4807 8 ปีที่แล้ว +3

    mimi nilioawa halali kanisani kafunga pingu cha maisha, lakini kwasasa mke wangu nikama mwenye hasila kila saa ame nuna ukimlisa jambo lolote kwanyumba hasira, mimi nilifikiri nikioa furaha tele tele Kwamke lakini nima juto ooh ooh mungu nisaindiye maishani mwangu

  • @jonnyaga8904
    @jonnyaga8904 7 ปีที่แล้ว +1

    Dada Kanze naona anamaswala mengi sana juu ya maelezo ya Bi Msafwari kuhusu mke mwema kama ilivyo elezwa na Bibilia Proverbs 31. Ni kweli mke mwema ni kua na hekima an kuelewa kazi zake na kuchukua jukumu hilo vizuri na akiwa ana elimu ya juu, asije akamuona mumewe hastahili kutunzwa kwa sababu pengine elimu yake ni yachini ama pengine hana kazi kwa sababu bado anaitafuta baade ya kampuni yayo kufnwa.

  • @muthelle
    @muthelle 10 ปีที่แล้ว

    Very Interesting. I enjoyed this thoroughly. More content please.

  • @mwanashasuli2639
    @mwanashasuli2639 3 ปีที่แล้ว

    Nayule mume mwenye kuntengea mwanamke alafu anaenda kuowamke mwengine uwaamekosa nini

  • @miltonanyanga570
    @miltonanyanga570 8 ปีที่แล้ว

    thanks alot vipindi vyako vyanirekebishia mwenzangu kwa nyumba mpaka afura

  • @anthonyngwenya358
    @anthonyngwenya358 8 ปีที่แล้ว +2

    mi Nina mke mmoja shinda yangu ni moja huyu mke wangu akikasilika haniongeleshi karibu wiki moja matusi nayo hata mbwa akipewa hali wala ngurue pia Ana hasira mbaya sana tena sanasijui nifanye aje nanampenda kwa dhati

    • @ayush8642
      @ayush8642 7 ปีที่แล้ว

      Anthony Ngwenya pole sana hahaha

    • @bintiiddy7043
      @bintiiddy7043 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana muvumlie na umpe nasahaa kwaktumia khekima

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 5 ปีที่แล้ว

      Mimi nikikasirika nikama hanipi mapenzi ama mpango wakando amahanijali nakaa kama sina bwana

    • @erikikilaboma2993
      @erikikilaboma2993 5 ปีที่แล้ว

      Pole, yk kak

  • @njoramichael7051
    @njoramichael7051 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wa siku hizi ni opposite completely

  • @djlarrythebigfish2543
    @djlarrythebigfish2543 3 ปีที่แล้ว

    Ukwelo

  • @mpendamuziki
    @mpendamuziki 10 ปีที่แล้ว +1

    tulikosea wapi sisi wanaume mpaka sikuizi hatubarikiwi na wake kama hawa wanaojua utamaduni wetu wa kiasili?wanaotufanya tujihisi kama wafalme ndani ya nyumba zetu?

  • @kimuhuivy
    @kimuhuivy 4 ปีที่แล้ว

    ili MJUE! huo ndio utaratibu hata BEYONCE anasema 'untie your shoe strings" katika wimbo wake 'cater to you",ni international,mwanamke mwema na mume mwema ni mwema kote duniani

  • @dankago8668
    @dankago8668 6 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Bi msafiri

  • @MariamuOboto-vc1sh
    @MariamuOboto-vc1sh ปีที่แล้ว

    Mama vyote hivyo tunafanya na wakati wa kumkalibisha na magoti tunapiga lakn jamaa akisha shiba na kupendeza anaerekea kwa mchepuko ww tena na heshima zako unaitwa premetive yaan mwanamke wa kushindia unatushaulije?

  • @mohamedthoya7436
    @mohamedthoya7436 7 ปีที่แล้ว +2

    wengine hatukuoa kwa sababu yakupikiwa...wengine tu machef...

    • @issaabdi9129
      @issaabdi9129 6 ปีที่แล้ว

      kaka kama ww chef ni wewe lkn hp wanangalia walio wengi na cha pili je hata kupika deki nyumba atakuongoka

  • @tomasmandella9799
    @tomasmandella9799 6 ปีที่แล้ว

    Bin Safari be blessed Hehehe

  • @sirymwamengo489
    @sirymwamengo489 5 ปีที่แล้ว

    maria uko wapi mbona kama ebony huskiki...???

  • @Giftonyinyelove
    @Giftonyinyelove 6 ปีที่แล้ว

    😍😍👌👌👌

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 2 ปีที่แล้ว +1

    This is high level of stupidity I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine

  • @ngaritv5566
    @ngaritv5566 4 ปีที่แล้ว

    Watching

  • @michaelnjora5407
    @michaelnjora5407 5 ปีที่แล้ว

    Hawako kabisa

  • @tianatiana7199
    @tianatiana7199 3 ปีที่แล้ว

    Mwe

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 7 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahahaha jaman topic imeshika asante mama

  • @wanguimetv8319
    @wanguimetv8319 5 ปีที่แล้ว

    Ameongea mengi sana mazuri lakini kitu kimoja tu hakukiaddress vizuri, swala la mahari.
    Kwanini umnunue mkeo? Unafikiri kuendeleza mtqzamo huo unaongeza thamani ya mwanamke au anakuwa mtumwa wa mmewe?
    Afrika lazima tuyachunguze tena mila amabzo zinajenga familia bora.
    Falsafa za mwaka 70 haziwezi kutumika kujenga familia za mwaka 2019.