Baada ya kusubiri Kwa Muda mrefu... Sasa Kwa Utukufu wa Mungu... Ubarikiwe na video hii ya wimbo wetu pendwa wa #Nakutegemea baba... Usisahau ku #subscribe chanel yetu pia ku #share# na ku #like... Ili wengine wabarikiwe pia... Nawapenda katika Kristo
Mungu akubarikiye akuwogezeye nawa kenya doté mungu awabariki nimeyishi Kenya Mombasa myakatanu sikuwa navitambursho arakini wakenya awakunisumbuwaa mungu awabariki ichiyenu iyendereye vizuli ❤❤❤❤❤
MUNGU akubariki sana Mtumishi Yona Chilolo, hakika kazi yako ni njema sana Mimi nimefurahi sana kukutana na wewe hapa Gairo maana nilikua nakusikia tu kwenye Mitandao 🙌🙌🙏🙏
Asante sana,God bless you Maana nimepigiwa sim na mtu ananipa hongera sana nimeisikia nyimbo Yako,nikamwambia Mimi umekosea number,nilpokata simu afu napenda sana kuimba nahisi Mungu ananikumbusha Leo nimemuuliza ni nani huyo kanambia Ayse nimebarikiwa sana🎉🎉🎉🎉🎉
I remember last year I was in a worse situation my workmates and my boss to never wanted to see me near them yaan wivu to ya biashara hadi wakaniitia chairman wa soko I was almost giving up jụ nmepitia mengi mabya but whn I listened to this song I felt like crying but God is great yaliisha and now am doing my own bussines
Ndio na sikiza leo 9/5/2024 wapi likes za mchungaji
Kazi nzur mkuu utafika mbali sana mungu akubles mtumishi wa mungu### good job good 👍🔥🔥🔥
Baada ya kusubiri Kwa Muda mrefu... Sasa Kwa Utukufu wa Mungu... Ubarikiwe na video hii ya wimbo wetu pendwa wa #Nakutegemea baba... Usisahau ku #subscribe chanel yetu pia ku #share# na ku #like... Ili wengine wabarikiwe pia... Nawapenda katika Kristo
Good work ❤❤❤ congratulations 👏👏👏👏 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 more grace be upon you always God protect you and guide your steps 🧎🧎🧎🙏🙏
Conguration Cuzoo so nice
Waauuu! God Bless you, this song do real Blessed me🙏🙏🙏
@@KarenKetura Amen and Amen, I'm Blessed my Rev🙏🙏🙏
@@janeatjaneat6599 thenks for your support my queen ♥️♥️ sikutaka ubaki nyuma nakumiss i will give you a call kiu iishe ♥️ ♥️
Nice song wapi likes from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naupenda sana huu wimbo
Barikiwa sana mtumishi
Hallelujah huu ni wimbo mzuri sana🔥. Wapi like za wakenya.
Hallelujah, habari njema kupitia kwa wimbo ubarikiwe sana kwa kipaji chako cha utumishi katika nyimbo na ibaada
So napenda nyimbo zako aki✌✌✌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe sana
Mtoto wetu anapenda mdogo anapenda wimbo yako
Ningependa niimbe na wewe wimbo zako zinanibariki sana
Nice song keep up mjungaji wa mungu 😊😊 wapi like za wakenya
Wapi likes za mtumishi chilolo. Jameni👍👍 share na rafiki zenu..
Ubarikiwe sana
@@yonachiloloofficial amen 🙌 mtumishi 🙏🙏
🙏
Nice job keep it up
@@yonachiloloofficial mungu amufikishe mbali Sana ...hii wimbo inanibariki sana
Hongera mtumishi wa Mungu.
Naomba no mtu aliyekufanyoa video tafadhali,, naishi Arusha.
Nataka nifanye video ,ASANTE
0714373636 vendeko
Hii song na Nyumbani kwetu ilifanya nkujuwe bro ur on fire may God bless you🙏🙏💖💖
Ameen
Sawa wa nyumbani Mungu akuinue viwango vya juu. Fahari yetu
Asante mungu na mimi naamini ipo nitarikiwa magari na nitawapa lift wote wanaonipita tena wengine ni majirani 😢😢😢😢
Yani kuna kanisa moja nilienda kusali nikakukuta vijana wanacheza sana nyimbo zako ndipo nilipo kujua hapa kaka umebarikiwa na mungu 🙏🙏❤
Ameen
Mfunangu mulungu yakudime sinyimbosako sikuning'a faraja, Kwimage mndugusangu ani mndugusake wa Daudy Andason ayo mgambo.
More blessings brother @Chilolo🙏🙏🙏and keep going.mbele kwema
Chilolo e uko vizuri . kutoka kanisa la anlikana mwendapole ulisha wahi kuja. nakufarilia sana mimbo yako Inanibariki sana🤝👍
Mungu akubarikiye akuwogezeye nawa kenya doté mungu awabariki nimeyishi Kenya Mombasa myakatanu sikuwa navitambursho arakini wakenya awakunisumbuwaa mungu awabariki ichiyenu iyendereye vizuli ❤❤❤❤❤
Nimekuja hapa kutoka E.f.m masanja kaicheza leoi hii nyimbo ni nzr sana
Ameen❤
Mungu akubariki Sana Mtumishi, napenda Sana wimbo huu Sana.Maadui wako wengi tuzidi kumtegemea Mungu.
Kazi Safi sana brother ❤
Wow wow wow wimbo nzuri ya kutia watu mioyo barikiwa sana kaka na uzidi kutoa na kuhubiri neno la Mungu
Yeeeeeedh nitamu sana wakened wooooyeeeeer😮😮😮😮
Nakubali
MUNGU akubariki sana Mtumishi Yona Chilolo, hakika kazi yako ni njema sana Mimi nimefurahi sana kukutana na wewe hapa Gairo maana nilikua nakusikia tu kwenye Mitandao 🙌🙌🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vya juu sanaa
wimbo huu utaishi vizazi na vizazi barikiwa sana mtumishi kwa kazi hii.
Wimbo tamu much love
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🙏
Kazi nzuri sana 🎉❤❤ ngoja tukupe maua yako mapema mtumishi
Asante sana,God bless you Maana nimepigiwa sim na mtu ananipa hongera sana nimeisikia nyimbo Yako,nikamwambia Mimi umekosea number,nilpokata simu afu napenda sana kuimba nahisi Mungu ananikumbusha Leo nimemuuliza ni nani huyo kanambia Ayse nimebarikiwa sana🎉🎉🎉🎉🎉
Ameimba aisee.....daaah!!!
Hii imeenda 🔥🔥🔥🔥 👍👍
From tiktok to TH-cam pita na like am really blessed with this song 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe chilolo kwa nyimbo zako za kujenga na kubariki mtu.mungu azidi kukuinua na akubariki ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu amzidishie Neema hiyo
❤❤❤❤❤❤❤❤, wow such a heart touching song, be blessed akiii😢😢
Wajina wajina wajinaaa 💥 keep it
Pamoja sana wajinaaa
nmebarikiwa sana na huu wimbo ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Mungu Akubariki mungu akulinde pamoja na uduma yako brother chilolo
Ishafika🇰🇪. Barikiwa sana mtumishi
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, kweli huu ujumbe huwa naupenda sanaaa uinuliwe viwango vya juu zaidi
❤❤❤❤❤❤naipenda Sanaa hiii nyimbo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Ubarikiwe sanaaa
Yani wimbo huu ndo chai yangu ya asubuhi, ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Ameen
Ubarikiwe Sana umenibariki nimeutafuta huu wimbo mpaka nimeupata bariki mtumishi wa Mungu
Jamani Mungu ana vita. Dah umeua!! Hii imeendaaaa
Can't get enough of this song nakutengemea wew Baba🙏🙏🙏🙏
NAKUTEGEMEA BABA VIDEO NZURI SANA 🙌🙌🙏🙏
Asante Sana
I remember last year I was in a worse situation my workmates and my boss to never wanted to see me near them yaan wivu to ya biashara hadi wakaniitia chairman wa soko I was almost giving up jụ nmepitia mengi mabya but whn I listened to this song I felt like crying but God is great yaliisha and now am doing my own bussines
Huu wimbo umenitua moyo Be blessed bro
Hogera sana mtumishi wa mungu nyimbo nzuri saña God bless you
What a song!! Inspiring and blessing. May the Lord bless your ministry
Hongera mdogo wangu
Mungu azidi kukupandisha viwango vya juuuuuuu zaidi
Hongela sanaa kusema kweli umebarikiwa na bwanaaa
Congratulation my brother video ni nzuri sana Mungu akubariki kamanda
Ameen
Hongera Sana kazi nzur Mungu azidi kukuinua zaidi
Ameen
👍👍👍👐👐❤❤❤my. God bless you chilolo
Umefanya vizuri mtumishi tumebarikiwa sana na video tuliingoja Kwa hamu👏👏👏
Amina mtumishi chilolo❤❤,yaani huu wimbo unanitia nguvu,maana Kuna 😂😂,kipindi nilipitia machungu,lkn mungu Nimshindi🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwa kweli anajua sana kazi nzuri sana
Mungu akubariki mtumishi ✋kazi nzuri inatubariki Sana God bless you
Hallelujah wimbo mazuri sanaaa mungu azidi kukutunza ❤❤❤
Ameen
Hongera sana mtumishi wa Mungu, uendelee kuinuliwa.
Ameen
hallelujah,wimbo nzuri sana wakuimiza moyo,be blessed bro from another mother, much love❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiwaaa sana kaka
Ubarikiwe san wimbo mzuri san nimebarikiwa mno
Mungu akupe zaidi maoni amina❤❤❤❤
More Grace MOG.nmetoka tiktok nkaja huku mbio 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ameen
MUNGU wa mbinguni akuinue zaidi mtumishi
Si wimbo tu pali ni maubiri ndani mwake
Gog bless you my brother ❤❤❤ love this song so much give happy for my life🔥🔥🔥from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waoooo mwimbo mzur jaman ubarikiwe sana
Huu wimbo unanijenga sana na amini mungu atatimiza malengo yangu
Mdogo wangu mimi dada ako nipo daa safi sana mungu akutie nguvu
Ameen
Mungu akubariki Mtumishi 💯
Amen nashukuru kwa wimbo nzuri 👏👏👏👏👏barikiwa unapo tubariki🙏🙏🙏🙏
Ameen
Hatimae nipo hapa kwaraha zangu mtumishi wa Yesu
Wimbo mzuri sana
❤❤😢
Kazi nzuri sana Mungu akuinue viwango vingine
What amazing song is this may the lord protect you sir of God
Kazi njema zaidi kaka.nilingoja video sana.Good work brother🎉🎉🎉
Ameen
Mungu akuinue viwango vingine nimependa Sana daah
Wimbo mzr Kaka barikiwa sana
Wimbo mzuri sàna yoh, lakini baadhi ya picha jamani 💔
Zinatisha mno! Kwanza ukitazama huu wimbo na mtoto kwisha wewe 😢
Amen amen mtumishii, waoooo dahh kazi ni nzuri, UUJUMBEE nimeuelewaa njoo kwa Director dahh nimekosa manenoo, Yesuuuu akuteteteee
Ameen Ameen
Good🎉and be blessed for your good job
Ninakushukuru mungu wewe hauna mafungu ukitaka kubariki hausuiwi na mtu🙏🙏🙏.barikiwa saaaaana next nipende tu.
Kabisa
Mungu ni kila kitu tia bidii 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Bg up ,wmbo nzuri
Hallelujah 🙌🙏 Wacha mungu azidi kukuonekania kwa kila jambo kwa jina la yesu 🙏
Ameen
I like this song very much Na siku uwezi pita kama sijaicheza
Nibarikiwa Sana na hii nyimbo barikiwa sana mtumishi
Kazi yako ni njema mungu azidi kukuinua
Chilolo mtumishi wa mungu huu wimbo unanibariki sana pia unaendelea kuipepelusha vyema ya mkoa wa morogoro wakaguru mpooo
Ameen
Wimbo mzuri sana unanibariki mim sana wamejipanga kila kona ila hawawez
Duu Mungu akubarki sana nimebarikiwa sana na nyimbo zako❤