Mkandarasi atakiwa kukamilisha stendi ya mabasi Nyegezi Mwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2021
  • Tovuti @BMG BLOG www.bmgblog.co.tz/
    Facebook @BMG HABARI / bmghabari
    Twitter @bmghabari / bmghabari
    Instagram @bmghabari / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

ความคิดเห็น • 21

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli,,,hautosahaulika kabisa katika historia ya nchu hii. REST IN ETERNAL PEACE OUR HERO.

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 3 ปีที่แล้ว +3

    Nafurahia na kufarjika Sana,sana nionapo mwendelezo wa kazi zilizoachwa na Hayati Magufuli. Pongezi kwako Mama Samia hata Kama awamu yako itamalizika kwa kukamilisha tu miradi yote ilyoachwa na Jpm pasipo kuongeza yako bado Utaenziwa Sana maana, wengi hawaamini wakirejea historia ya baadhi ya awamu zilzopita.🌄🗻🇹🇿

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Hakika

    • @dulabori9922
      @dulabori9922 3 ปีที่แล้ว +1

      Akamilishe ilioachwa ndio anze ya kwake maana ya mwanzo na yeye anahusika

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      @@dulabori9922 hakika

  • @emmanuelmkama3000
    @emmanuelmkama3000 3 ปีที่แล้ว +4

    Uthubutu wa JPM haukuwa wa dunia hii, Daah!

  • @emmamtusi9868
    @emmamtusi9868 3 ปีที่แล้ว +2

    Alama za jpm

  • @ayoublupande3987
    @ayoublupande3987 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm kwa huyu mkuu wa mkoa wangu sina shaka nae najuwa kila kitu kitakuwa sawa maana naona uzalendo na uchapa kz ndani yake hana mchezo ndo wazalendo wachache walo baki nchin kwetu nakupenda sana bro kz njema

  • @jacobmakono6983
    @jacobmakono6983 3 ปีที่แล้ว +3

    Wkt Wa Magufuli huyo mkandarasi tungeona anavyokoma kujibu maswali!..leo hii wanaongeaongea hapo wakimaliza wanardi ofisini kunywa maziwa!Tutamkumbuka JPM!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia pia imejidhatiti kuhakikisha miradi yote ya kimkakati inakamilika, iko macho.

    • @dulabori9922
      @dulabori9922 3 ปีที่แล้ว

      Wewe nawe sasa tufanyeje na ameshafariki ? Tukamfufue!!!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      @@dulabori9922 tumuombee apumzike kwa amani

  • @raymonddarwingsofia3484
    @raymonddarwingsofia3484 3 ปีที่แล้ว +1

    Safisana bmg kwa taarifa hii maana kila cku tunapita hapo stend na hatujui kinachoendlea. Pia twamshukuru Mkuu wa mkoa mwanza kwa ufatiliaji wako.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana kwa mrejesho

    • @jacksonkagwala5097
      @jacksonkagwala5097 3 ปีที่แล้ว +1

      Na ile inayojengwa nyamongoro vpi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      @@jacksonkagwala5097 tukijaaliwa kufika, tutaleta updates

  • @rosesanford73
    @rosesanford73 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mbeya wakurugenzi mpoo mbona hatuna stendi mmenyamaza au mbeya haina watu wanaoitakia mbeya maendeleo?

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 3 ปีที่แล้ว

      Mbeya tumezidiwa hadi na sumbawanga