BMG TV: Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • BMG Media- Pamoja Daima!
    Tovuti www.bmgblog.co...
    Facebook / bmghabari
    Twitter / bmghabari
    Instagram / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

ความคิดเห็น • 130

  • @lucasmveyange3339
    @lucasmveyange3339 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bikira Maria uliyemtokea mtoto Yunis Julias Ogoti naomba uniombee kwa Mungu baba nifanikiwe.

  • @nicolasoduor7695
    @nicolasoduor7695 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sisemi kitu Wacha mapenzi yake mwenye enzi Mungu yatimike adui wapende wasipende katika Jina la Yesu Kristu.Amani

  • @PienciaFrancis-xi6mi
    @PienciaFrancis-xi6mi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Namshukuru sana mama yangu bikira maria kwa zawadi ya uhai

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amen 🙏🙏🙏 I'm watching you from middle east.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Be blessed

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nilishaonana na Eunice, nilishangaa kuona ukarimu wake wa kutukaribisha na kutufanya tujisikie nyumbani.
    Zaidi sana anavyoonhoza saña, hata alipotumwagia maji niliona ni kweli wenye mapepo yanatoka.
    Pia anapocheza na watoto wenzake kwa Amani bila kelele.
    Hapendi ile Rosary kubwa iliyowekwa juu kwenye sanamu ya Bikira Maria ikushatumika iachwe, ikitumika ipekwe mahalii pake mara moja😢

    • @beatricenangale5439
      @beatricenangale5439 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nakubaliana sana na wewe mwandishi wa Habari. Tunapaswa kuwaombea wazazi wa Eunice

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @chebsemmie8691
    @chebsemmie8691 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mbarikiwa Eunice aniombe Pamoja na familia yangu

  • @hilttiti8550
    @hilttiti8550 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwelii sadaka ya Yukis ? Au ni sadaka ya baba ili aweze kuwachukua wake wengine?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Fuata moyo wako unachoamini

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe mzee taperi kama babu WA kikombe acha utaperi watu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

  • @AlphonsinaSangawe
    @AlphonsinaSangawe 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nasikitika sana Baba wa mtoto yunis.Anatumia utapeli mkubwa sana niomba maji lakini nasikitika sana mpaka hivi leo sikupata hayo maji nanikiuliza ana sema nitatuma lakini bado mwaka wa pili huu.arudishe hela yangu tu.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  22 วันที่ผ่านมา

      Tulishauri, anayetaka maji aende nyumbani, hii mambo ya kutumiwa maji inaleta usumbufu usio na maana

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uongo labda aliota na mjinga anamporomote mtoto au amekaririshwa nakumbuka Siku za nyuma alitokea shehe Sharifa mashehk wakawa wanazunguka hapa Tanzania, Kenya,na kwingineko kumfanya ni mradi kujipatia pesa acheni hizo na wewe mtangazaji naona unaelekea huko kwa Mashehk wa Sharif

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Shika sana imani yako

  • @BethshebaOkila
    @BethshebaOkila หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hayo maelekezo nayo mlipewa na Mama Bikira Maria,,?

  • @FatumaBayolo
    @FatumaBayolo วันที่ผ่านมา

    Naomba namba

  • @chesangSoi
    @chesangSoi หลายเดือนก่อน +2

    My Question is, who made for her the clothes even the vail those clothes are they concegrated or not😅

    • @chesangSoi
      @chesangSoi หลายเดือนก่อน +1

      Why Eunice did not put ordinary clothes? Who will answer me. Not for bad. It's just a concern.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  18 วันที่ผ่านมา

      Herself

  • @DM.2200
    @DM.2200 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nauli toka kilimanjaro hadi kumfikia eunice ni sh ngap?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Ulizia Arusha- Mwanza huko huko uliko watakuambia. Kisha Mwanza- Tarime hadi Bukama ni 18,000

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi binafsi namkubali Aunise. Walio na wivu washindwe

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa

  • @beatriceindash5095
    @beatriceindash5095 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ulimwengu una roho nyingi. Watu hufuata yoyote.....bila wenyewe kuuliza Mungu kama wanachoona ni roho wake.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Ni kuzidi kumwomba Mwenyezi Mungu

  • @janeanet6209
    @janeanet6209 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @fransiscambithe7674
    @fransiscambithe7674 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni fransisca mbithe kutoka Nairobi Kenya sr unice siti kuniombea uparikiwe sana

  • @simonmchami
    @simonmchami 2 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani nipate namba za wazazi wake ninashida na wazazi wake nakumbuka nilishagika hapo kwao lakini namba nilipoteza kwa bahati mbaya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane

    • @simonmchami
      @simonmchami 2 หลายเดือนก่อน

      @@BMGOnlineTV sawa lakini mawasiliano ni namba ya simu tu naomba kuipata

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina. Mimi naitwa Teddy Mhenga. Naomba unionbee.

  • @Nelius-h7e
    @Nelius-h7e 24 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba ya simu.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Iko kwenye hii video

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wanamnyima mtoto haki yake ya kuwa kama watoto wengine kwa tamaa zao, hamna chochote hapo, baba ameongeza mke kwa utapeli

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Waombeeni sana

    • @hilttiti8550
      @hilttiti8550 3 หลายเดือนก่อน

      Wengine wanaweza kubadilishwa na maji ya mtoto lakini baba wa mtoto yeye habadiliki.Baba Yunis, rudisha mama wa mtoto awalee watoto wake kwa amani. Hilo ndilo jambo la muhimu

    • @hilttiti8550
      @hilttiti8550 3 หลายเดือนก่อน

      Baba Yunis, mtoto akikuwa atajionea utapeli wako. Sasa ni mtoto na unamtesa sana

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe alimwacha mama wa anayemfanyia utapeli! Dunia ina mambo! Ndo watu mjue hapo anaye tawala ni shetani, angekua ni Yesu yasingetokea hayo! Huyo mtoto anatumiwa na guvu za giza coz Mariam hana mamlaka kuzidi Yesu! Hapo Yesu hana nafasi kabisa ! Ni wazi shetani yupo kazini na watu wamefungwa fahamu zao kabisa! Ni huruma sana!!​@@hilttiti8550

    • @EmmilianaMyovela
      @EmmilianaMyovela หลายเดือนก่อน

      Wewe usiye amini baking hivyo sawa motor ni wa baba na mama yake haikujusu saaaaanaa

  • @lucasmveyange3339
    @lucasmveyange3339 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uniombee nipate kazi nipate Amani

  • @RoseGathoni-d3j
    @RoseGathoni-d3j 3 หลายเดือนก่อน +2

    🙏

    • @BurundiBurundi-ru7vu
      @BurundiBurundi-ru7vu 3 หลายเดือนก่อน

      Nayitwa alphonsine nayishi Burundi muniombeye

  • @MariethaJohn-gu6lx
    @MariethaJohn-gu6lx 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @marygordian55
    @marygordian55 3 หลายเดือนก่อน +1

    Niombee mtoto yunis nasumbuliwa na afya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Imani yako na ikuponye, amen

  • @Juliana-gd8ej
    @Juliana-gd8ej หลายเดือนก่อน +1

    Tumsifu Mama maria siku zote.

  • @collinskoech8406
    @collinskoech8406 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tazama kutoka kenya mama maria tuombee

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @KBUILDERS996
    @KBUILDERS996 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka niwaulize nyie nyote mnaokubali kama yesu ni bwana na mungu wenu hebu jalibu Filipino anathamani Gani mzazi wake alimbadilisha nguo bwana wetu na mwokozi wetu akamuogesha tunaye muhabudu mwana wa mungu anajua kula yake vaa yake na lala yake mama Pelee aliyejaliwa mimba kutoka juu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa

  • @ErnestShija-y2f
    @ErnestShija-y2f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bado anaendelea hadi leo 4/08/2024

  • @RoseGathoni-d3j
    @RoseGathoni-d3j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shukulani. Kwa mungu Mimi naitwa Rose gathoni kutoka Kenya niombee

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

    • @margarethshirima5654
      @margarethshirima5654 3 หลายเดือนก่อน +1

      Rose wewe huwezi kuomba? Biblia/neno la Mungu linasema. Ombeni bila kukosa. Halisemi ombeweni bila kukoma.

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 2 หลายเดือนก่อน +1

    Au babu wa Loliondo

  • @Josephinelatin
    @Josephinelatin 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu mpe yunis Miaka mingi ya kuhishi mm naomba yunis anikumbuke kwa maombi yake kila mara amen

  • @MarithaObare
    @MarithaObare 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mm naomba munguam ampe sister eunis miaka 112 wishi afanye jazz ya mngu

  • @apondisinozieber3038
    @apondisinozieber3038 3 หลายเดือนก่อน +1

    The comment above is a very ignorant one.Truth will come to you very late to your disappointment.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      God bless you

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hahaha Hongera kwa kupata kitega uchumi,,sasa bikira Maria anawaambia mjenge nyumba ya mawe,na mnasemaga hamuangaliwi mavazi mnaangaliwa rohoni inakuaje tena mnaangaliwa Hadi nyumba na waungu wenu😂

    • @rosemarytikiti1514
      @rosemarytikiti1514 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amini, unachoami. Siyo lazima uamini na kufuatia hii habari. Mungu akubariki uamini hicho unachoamini

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Mambo ya imani

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 หลายเดือนก่อน

    Umbwa nyie mwaona ni rahisi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  หลายเดือนก่อน

      Kuwa mtulivu

  • @theresiakiwale2090
    @theresiakiwale2090 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli sinamashaka na huyu mtoto sema Baba yake tapeli mkubwa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Mungu amsamehe sana, mwombee pia

  • @shadrackgwamwanza4987
    @shadrackgwamwanza4987 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi Waroma Maria aliwafanyia nini mbona mnamchukulia kama ndio Mungu wenu kuna siri gani kati yenu na Maria?

    • @MeshackErnest-qt6xi
      @MeshackErnest-qt6xi 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kanisa Linamheshimu kwasababu ni Mama wa Mkombozi wetu Yesu Kristo ambae Mwanae alikuja kuukomboa ulimwengu ukiwemo na wewe kama Mungu mwenyewe alimpa heshima hio Mimi na wewe ni nani tusimuheshimu. Kwa mfano Wazazi wetu waliotuzaa tunawaheshimu je na Mama wa Yesu je ambae mwanae alikufa msalabani Kawajiri yetu Sisi kwanini aonekane kama sikitu chochote tukimdharau tunakosea

    • @maryntukula8988
      @maryntukula8988 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe kana ni mkristu na unamwamini Bw. Yesu Kristu, utaamini pia Yesu alizaliwa na Mama Maria. Na kama Mama Maria ni Mama Wa Yesu wewe unawezaje kumdharau? Kwa mfano wa kawaida unaweza ukamdharau Mama yako? Au je mtu akimdharau Mama yako utamchukuliaje? Kumbuka hata pale msalabani Yesu alimwambia Yohana tazama Mama Yako. Pia akamwambia Mama Maria, Mama tazama mwanao. Maana yake ni kwamba Bwana Yesu alimkabidhi Mama yake wanadamu wote kupitia Yohana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Watakujibu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uwongo mtupu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Imani tu

  • @bibianamashamba9022
    @bibianamashamba9022 3 หลายเดือนก่อน +10

    Lies. Bikira Maria is not bikira anymore alizaaga watoto wengi na mumewe alikuwa jusufu. Bibilia hakusema amebarikiwa kuliko wanawake wote bali inasema Maria amebarikiwa miongoni mwawanawake. Maria ashakufaga zamani zakare. Read your Bible and do not be decieved in this last days. Soma Mathew, Mark, Luke and John for more iformation kuhusu topic hii.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa

    • @aminamacha5594
      @aminamacha5594 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unapendekeza aitwe nani???

    • @bibianamashamba9022
      @bibianamashamba9022 3 หลายเดือนก่อน

      @@aminamacha5594kwani Biblia imesa anaitwa nani?

    • @yusterngoye3282
      @yusterngoye3282 3 หลายเดือนก่อน +6

      Vizazi vyote wataaniita mbarikiwa kwakuwa Mwenye nguvu amenitendea Makuu. Nyie mnaomsema vibaya endeleeni na mnachoamini . Joseph hakumjua hata baada ya kumzaa mkombozi wetu.

    • @kadzitswacho
      @kadzitswacho 3 หลายเดือนก่อน +1

      Joseph aliishi miaka mingapi wewe mjua biblia?

  • @MaryLeea-ru6it
    @MaryLeea-ru6it 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 2 หลายเดือนก่อน +1

    Au babu wa Loliondo

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Yunis wa Bukama

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      God bless you

  • @GiftChisombo-t3w
    @GiftChisombo-t3w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      God bless you

  • @paulinemwangangi7246
    @paulinemwangangi7246 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

    • @MarithaObare
      @MarithaObare 3 หลายเดือนก่อน

      Nafurahi xana mm n Martha nyanchera kutoka Kenya kisii naomba sister eunis uniombe

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa unalalamika nini Baba Yuni?yote yapokee tu kwa imani.Wale ni Mababa wa Kiroho

  • @LomayaniLukumayi
    @LomayaniLukumayi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @rubanimponzi8259
    @rubanimponzi8259 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa