Samia Suluhu: 'Nitaendeleza mema yaliyopita na kuleta mema mapya''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มี.ค. 2022
  • Mwishoni mwa juma hili itakuwa ni mwaka mmoja tangu Samia Suluhu Hassan ambae alikuwa Makamu wa rais wa Tanzania aliposhika hatamu za nchi hiyo kufuatia kifo cha mtangulizi wake hivyo kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza taifa hilo.
    Aliapishwa, katikati ya kipindi cha janga la corono, mwezi Machi baada ya mtangulizi wake John Magufuli alipofariki gafla alipokuwa madarakani. Na mara tu aliposhika uongozi , alinukuliwa akisema kuwa ‘‘yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja.’’
    Lakini hatua zake katika muda wa mwaka uliopita umedhihirisha mambo tofauti. Mwanahabari wa BBC Salim Kikeke alifanya mahojiano na Rais Samia kubaini mtazamo wake kwa miezi 12 iliyopita.
    Sehemu ya pili ya makala haya ni katika matangazo yetu ya Dira TV leo jioni.
    ‪@BBCNewsSwahili‬ #uongozi #tanzania #dirayadunia

ความคิดเห็น • 53

  • @gloriafriday1637
    @gloriafriday1637 2 ปีที่แล้ว +3

    Ila we mama mungu anakuona unavotufanyia watu wa Hali ya chini

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 ปีที่แล้ว +7

    Mama yupo vizuri kwenye kujibu😀😀😀she is so smart brain..Anaupiga mwingi kwenye majibu mpaka kikeke anapata kigugumizi..mama anapata jibu kabla kikeke hajamalizia sentesi....Love you mama mweshimiwa wetu.

    • @muletv7489
      @muletv7489 2 ปีที่แล้ว

      Brain ipi sasa☺️utakuwa mwanamke pia wewe, your mind are so limited

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 2 ปีที่แล้ว +1

    NAPIGA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KWA JINA LA YESU AMEN.

  • @wazirabbasy1652
    @wazirabbasy1652 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah. allah ampe swiha njema na afya yenye kudumu katika majukumu yake yote

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mama ana majibu ya jeuri mnoo na ndio maana hauwezi kuipata full interview hii TH-cam, majibu yake ya kishamba mnoo sio raisi kabisa huyu kaitia tuu nchi madeni, kaulizwa kuhusu kubadilisha katiba anajibu kwa jeuri mama huyu kuma tuu hamna Raisi hapo

    • @hamdincatalonia3272
      @hamdincatalonia3272 2 ปีที่แล้ว +2

      Akili yako ndipo iliishia

    • @shaqdizo7678
      @shaqdizo7678 2 ปีที่แล้ว +1

      Wee yako imeenda hadi wapi? Fala sio kurukia comment za wanaume kuma wewe

    • @afrikkanmukbang9734
      @afrikkanmukbang9734 2 ปีที่แล้ว

      @@hamdincatalonia3272 Stress zake za maisha anakuja kummalizia mama wa watu Kima huyu🤣🤣🤣

    • @masoudsamizi2666
      @masoudsamizi2666 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 wewe bhna sasa ulitaka ajibuje hapo

    • @shaqdizo7678
      @shaqdizo7678 2 ปีที่แล้ว

      @@afrikkanmukbang9734 huelewi maana ya freedom of speech, na mama kama angekuwa hataki kufanyiwa interview ilikuwa hamna haja ya yeye kwenda, kama wewe kweli una akili na zinakutosha kuweka kusoma between the line then you would understood the context better, ignorance is a bliss, mama anakuwa mkali baada ya kujibu maswali muhimu ya msingi kwa ajiri ya watanzania, mama Yuko kwenye period inaonekana full attitude

  • @melie-mun123
    @melie-mun123 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulunde Mama

  • @josephmangalu9671
    @josephmangalu9671 2 ปีที่แล้ว

    I wish I get full interview. Bravo SSH

  • @farajamaduhu1981
    @farajamaduhu1981 2 ปีที่แล้ว +2

    May our good Lord bless Our own President Samia Suluhu Hassan
    We thank the Lord for Her Excellency..!! Tanzania mbele kwa mbele..!! Samia mbele kwa mbele

  • @josephsira1276
    @josephsira1276 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman mi naomba tu kuuliza,tunakatwa kodi kwenye umeme,maji,nyumba,makato ya simu kutoa hela ama kutuma hela,je hizi kodi tunazokatwa zinaenda wap na zinafanya nn? Na hizi anazokopa zinaenda wap ama zinafanya nn na zina msaada gani kwa wananchi? coz naona tunakoelekea sasa nchi imerudi enzi ya kikwete na enzi hiyo hapakuwaga na makato hivi,sasa tunaelekea wapi jamn?

  • @cnm2976
    @cnm2976 ปีที่แล้ว

    Heeee! Mbona you muted from time 0.57?

  • @marceljohnkimaty4986
    @marceljohnkimaty4986 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mama.

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 2 ปีที่แล้ว +5

    ..Rais Samia ameitumbukiza nchi kwy madeni makubwa kwa kipindi kifupi nchi imerudi tena kwy utegemezi wa kutegemea nchi za ulaya kwa misaada na mikopo wakati tuna rasimali chungu mzima

    • @sleimbh
      @sleimbh 2 ปีที่แล้ว +1

      Unakanyagwa wewe

    • @adamdango
      @adamdango 2 ปีที่แล้ว

      Fuatilia rekodi zake za kukopa, deni la taifa limeoungua kwa trillioni mbili, tokea achukue madaraka, halafu linganisha na foreign direct investments iliyowekewa sahihi juzi za trillioni 18.

    • @alirissa4474
      @alirissa4474 2 ปีที่แล้ว

      Kama hujui tuulize wenzako pitia kwwnye doc za BOT utaona na utajuwa nini kinafanyika

  • @fatumanasoro5057
    @fatumanasoro5057 2 ปีที่แล้ว +3

    Hamna lolotee kazi kututia ufukaratu bora magufuli japo mchele ulikua afadhali

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว

      We wawaza kula tuu kwani maendeleo ni mchele tu si ule hata ugali

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 ปีที่แล้ว

    Watanznia hstutaki maneno mengi Tunakaka katiba Mpya sisi

  • @moseshaule586
    @moseshaule586 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaa wapi

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 2 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @ashuramtutalainaumasanajpm2341
    @ashuramtutalainaumasanajpm2341 2 ปีที่แล้ว

    Mama tunakuomba utuletee waziri mwambe masasi yetu ilianza Kuwait bora umetuangusha sana

  • @cnm2976
    @cnm2976 ปีที่แล้ว

    Ah hii video umezima majibu anayotoa

  • @MarcSmith-zg8bl
    @MarcSmith-zg8bl 2 ปีที่แล้ว +2

    Malaya wee

    • @imranijuma6955
      @imranijuma6955 2 ปีที่แล้ว

      Udini na ROHO MBAYAAAA imewajaaaaàaaaaaaaaaaaa

  • @saidibongo1750
    @saidibongo1750 2 ปีที่แล้ว +1

    Raisi Samia ameiweka nchi kwenye har mbaya yamadeni anakopakopa tuu bira msimamo

  • @mumwimalemo
    @mumwimalemo ปีที่แล้ว

    MUNGU ndo mpangaji wa yote hata mh Samia suluhu Hassan kuwa rais ni mipango ya mwenyezi MUNGU naamini tutaenda sawa sawa na mipango ya MUNGU.

  • @lovsply
    @lovsply 2 ปีที่แล้ว

    Unauza nchi Tu hakuna kipya

  • @nazirkatabaro6347
    @nazirkatabaro6347 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama ana matatizo... Rais wa nchi huwezi kuwa na majibu ya dharau na kejeli namna hii kwa muandishi wa habari toka kampuni ya habari ya kimataifa... Ni aibu sana...

    • @icclcharters3389
      @icclcharters3389 2 ปีที่แล้ว

      Mataifa ndio nini acha uoga wa kizamani,mama anatoa majibu kulingana na maswali na ameupiga mwingi tu,tuache unafki watanzania hakuna kiongozi anaekuwa madarakani na kusifiwa mpaka madaraka yaishe so huu ugonjwa ufike mwisho leo tujenge nchi.

  • @Cyper255
    @Cyper255 2 ปีที่แล้ว

    Hii Interview Kikeke kazingua. Alitaka rais aongee vitu ambayo vingemfunga baadae

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 2 ปีที่แล้ว

    Kwan mbowe ni Nan?

  • @josephsira1276
    @josephsira1276 2 ปีที่แล้ว

    Yaan huyu mama iko siku utasikia tumeuzwa

  • @The_Nubianommetry_Podcast
    @The_Nubianommetry_Podcast 2 ปีที่แล้ว

    Krayonikia: Uwezo wa Kufufua Maiti Kisayansi? : th-cam.com/video/bRP_JOQeBNU/w-d-xo.html

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 ปีที่แล้ว

    Interview Ndio Ilikuwa Fupi Hvi Au Imefupishwa Maana Yakuuliza Ni Mengi Salim Kikeke

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 ปีที่แล้ว

    Hebu jikumbushe jambo moja th-cam.com/video/9Y3b_0SmfYc/w-d-xo.html
    Tutaona mwisho wa hawa wanaomtukana

  • @steefervid5143
    @steefervid5143 2 ปีที่แล้ว +3

    Salim has poor technique in asking Questions he sounds like he is trying to put words in the president's mouth .

  • @evancefreddy3775
    @evancefreddy3775 2 ปีที่แล้ว

    Hana utendaji mzuri mafisadi wanarudi kwa kasi ya 5g tozi zinaongezeka mfumuko wa bei kila wiki spidi ya utekelezaji hakuna

  • @The_Nubianommetry_Podcast
    @The_Nubianommetry_Podcast 2 ปีที่แล้ว

    Vita vya Pili vya Dunia: Sababu Kumi: th-cam.com/video/uM-fFDeKxlA/w-d-xo.html

  • @The_Nubianommetry_Podcast
    @The_Nubianommetry_Podcast 2 ปีที่แล้ว

    Vita Ukraine: Historia Fupi na Sababu za Urusi Kuvamia Ukraine: th-cam.com/video/riDXKbPGyxQ/w-d-xo.html

  • @The_Nubianommetry_Podcast
    @The_Nubianommetry_Podcast 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini Urusi Inavamia Vituo vya Nyuklia Kule Ukraine: th-cam.com/video/t59z9_cqKE4/w-d-xo.html

  • @josephsira1276
    @josephsira1276 2 ปีที่แล้ว

    Mafuta lita sasa hivi 6500,mchele wa chini kabisa 2200,je mwananchi wa hali ya chini anaweza kununua? kuna wazazi wanategemea watoto wao walioko mijini na wao wanafamilia zao,je kwa huu mfumko wa bei za vitu utamsaidia yupi umwache yupi?

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 2 ปีที่แล้ว

    Liar