Rais Samia ‘’Nashukuru sana Watanzania kwa tozo wamekubali’’

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.8K

  • @angelangaiza2274
    @angelangaiza2274 3 ปีที่แล้ว +60

    Tuseme tu, tumelishwa maneno, wa tz hatujakubari tozo, naomba ieleweke ivyo. Kama mimi muongo shukeni uku chini mtuulize.😌

    • @shariffswalleh9847
      @shariffswalleh9847 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli kuna watu hayo maji hawawezi yalipia yamekatwa kisha unakuja mkata tozo eti yaenda kwa maji...

  • @wemamtundu7906
    @wemamtundu7906 3 ปีที่แล้ว +53

    Hivi JPM aliwezaje kufika pale Tanzania ilipo leo, barabara, no school fees, maji, umeme n. k. ♌♌♌♌

    • @yowtz5450
      @yowtz5450 3 ปีที่แล้ว

      kunywa bia ntalipa

    • @eliyajeremia1447
      @eliyajeremia1447 3 ปีที่แล้ว +1

      Haw nimajizi Yana tuumiza wananchi wachini hawa siyo watu

    • @mirajimohamed8347
      @mirajimohamed8347 3 ปีที่แล้ว

      Apewe muda tuone anayoahidi

  • @brunokimaro1053
    @brunokimaro1053 3 ปีที่แล้ว +228

    "SIKU NIKIFA MTANIKUMBUKA KWA MEMA NA SI KWA MABAYA"

    • @sallahsultan2404
      @sallahsultan2404 3 ปีที่แล้ว +3

      Ndo nn

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 3 ปีที่แล้ว +12

      @@sallahsultan2404 maneno ya Mpendwa wetu Reis Magufuli hayoo

    • @leganmwambona3881
      @leganmwambona3881 3 ปีที่แล้ว +5

      @@zulfahussein6784 pamoja sana

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +8

      R. I. P my papa

    • @zainabghalib6848
      @zainabghalib6848 3 ปีที่แล้ว +7

      Jamani magufuli tutamkumbuka sana yaani mambo yamekuwa magumu sana.

  • @masterdaveprojections
    @masterdaveprojections 3 ปีที่แล้ว +60

    Kikeke Alipaswa kuuliza "Lini wananchi waliulizwa kuhusu tozo wakakubali?"

    • @catherinethomas4261
      @catherinethomas4261 3 ปีที่แล้ว

      Realy

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 3 ปีที่แล้ว +2

      Kikeke ni mjumbe wa wazungu so usitegemee aulize maswal ya msingi

    • @carlableyotham3556
      @carlableyotham3556 3 ปีที่แล้ว

      @@fadhilaongezaongeza226 u have high maturity level of your thinking ......i saluteee

    • @younginspired3899
      @younginspired3899 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa, yan amekua very weak as if sio proffesional

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂ila kweli man.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 3 ปีที่แล้ว +96

    Aliyeshiba hajui mwenye njaa!

    • @mwaminmbendenga5186
      @mwaminmbendenga5186 3 ปีที่แล้ว +3

      Mmmmh kikeke usihoji sana maana huyo mama anafanya kazi na team sio yake na ndo wanaompoteza

    • @mwaminmbendenga5186
      @mwaminmbendenga5186 3 ปีที่แล้ว +3

      Vituo vya Afya vyote nchini vilivyojengwa havikujengwa kwa tozo za miamala ya cm kikeke.

    • @mwaminmbendenga5186
      @mwaminmbendenga5186 3 ปีที่แล้ว +4

      Wananchi tunaumia sana kupitia hizi tozo

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 3 ปีที่แล้ว +3

      Nashangaa mafuta ya petrol yako juu kwetu lakin utashangaa nchi zinazo tumia bandari yetu kama Zambia, mafuta yapo chini kuliko kwetu, tuna enda wp

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Humphrey hawamjui mwenye njaa!!👍👍

  • @Mwakasyuka1803
    @Mwakasyuka1803 3 ปีที่แล้ว +30

    Ahsante sana bbc niny ni watu welevu sana piten mikoa michache ya tanzania, nenden hata lind muone kama kuna mwananchi kakubaliana na tozo

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 3 ปีที่แล้ว

      ?kodi zipo nyingii Baba alisema kodi hii hii tuikusanye effectly itatusaidia
      Vikao vimerudi vinamaliza pesa zisizo za msingi Mwenge tungeuazimisha kwa siku moja ili pesa ziende hukoo tupunguze magari ya bei kubwa ili pesa ziende huko tumegundua gesii inatusaidia vipii jamanii mafuta bei juu mbolea bei juu dah...kila kitu bei .....

    • @vumiliamwakasyuka2911
      @vumiliamwakasyuka2911 3 ปีที่แล้ว

      Wewe mama mungu anakuona

    • @khamisalikidarasa6331
      @khamisalikidarasa6331 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Mungu anamuoona

  • @queenjames3999
    @queenjames3999 3 ปีที่แล้ว +64

    Uwiiiii!,tumekukumbuka,uliejitoa muhanga kwajili yetu, mungu tuhurumie

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      'Alijitoa muhanga...' ? Nachojua mimi, alituomba kazi, na Wananchi tukampa kazi hiyo... Mimi nampongeza tu kwa kazi nzuri aliyoifanya na Mungu ampe pumziko analostahili...

    • @salimhusseni4784
      @salimhusseni4784 3 ปีที่แล้ว

      Sio tozo tu halipandisha mafuta kwanza tena kwa makusudi kamaatoshi wakaongeza natozo kumnyonya mlalaoi ukipandisha mafuta maanayake umeruhusu mfumko wa bei

    • @eliyajeremia1447
      @eliyajeremia1447 3 ปีที่แล้ว

      Naunaona hili linavo ongea kwakujiamini Mungu alikata wanawake wasiongoze kwasababu wanataka mwanamuke akiwa namilioni5 akiwa ameolewa akiona laki haiachi atasaliti mumewe mume sahau edeni walivyo ongea nashetani birashaka huyu amesha ongea nae ndomana halina hata huluma

  • @nazirkatabaro6347
    @nazirkatabaro6347 3 ปีที่แล้ว +18

    4:10 Kikeke, nenda kaulize kweli upate realistic answers kama anavodai, she is obviously bluffing about this whole thing... it's a shame...

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 3 ปีที่แล้ว +88

    Tutaona mengii Eee Mola tupe Maarifa na Akili zaidi tujue namna ya kujikimu #RIPMagufuli

    • @benjatv2493
      @benjatv2493 3 ปีที่แล้ว +4

      Wanaichi kama wanaichi hatujakubali hiyo kodi yaan hiyo kodi niyakinyonyaji sana kama mnaona hizo tozo za miamala tumelizikana nayo wafanyakazi wote wa serekali yote pamoja na bunge anzeni kulipana mishahara yenu kupitia mitandao ya simu tuone kama mtazikubali hizo tozo.

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani badala ashughulikie maliasili yeye anatupiga tozo

    • @kaicy165
      @kaicy165 3 ปีที่แล้ว

      Amina🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @mdyoung5163
      @mdyoung5163 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅🙌

  • @IBENGM
    @IBENGM 3 ปีที่แล้ว +17

    R.I.P Jemedali JPM, mzalendo wa kweli...a true visionary leader! Nilisikitika sana alivyofariki sio tu kwasababu ya ubora wake yy kama kiongozi wa kweli ila pia niliona tatizo tutakalo pata kama nchi baada ya yeye kuondoka.

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 3 ปีที่แล้ว +67

    Tuzo ni kubwa kuliko hata la makampuni yenyewe hebu wahurumieni watanzania masikini jamaani.

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 3 ปีที่แล้ว +45

    Mama umetuonea Sana kwenye tozo,Mioyo yetu inauma sana

    • @nazhak4573
      @nazhak4573 3 ปีที่แล้ว

      hakika wallah unakatwa tozo then tuna nunua madawa madaftari na kila kitu anasema na yy anakatwa pia tozo ila wanyonge sio kundi lake

  • @mathewben6833
    @mathewben6833 3 ปีที่แล้ว +36

    R.I.P JPM 😭😭😭😭,kwa huyu mama Katiba imetupiga kumweka madarakani.

  • @beatusgodfrey9220
    @beatusgodfrey9220 3 ปีที่แล้ว +35

    R.I.P JPM

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 3 ปีที่แล้ว +64

    Kwan Milladi yote ya Magufur alikuwa anatoa wapi ela?Madini mnapekeka wapi?Nchi hovyo hii😎

    • @pendopendokimathkimath1218
      @pendopendokimathkimath1218 3 ปีที่แล้ว +2

      Toa ti usiishi na kidonda ndugu maana hii nchi atuelewani kila mtu anafanya kwa faida yake binafsi alafu wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa kilio chetu ichi

    • @lightnesselirehema1464
      @lightnesselirehema1464 3 ปีที่แล้ว

      Hapa kila mmoja analipa kodi. Ni kwa vile tu haiitwi kodi.

    • @shariffaramadan6026
      @shariffaramadan6026 3 ปีที่แล้ว

      Yn ww mama hv Nani alkubal hyo tozo

    • @reginariwato6204
      @reginariwato6204 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mama ni zaidi ya shetani limama gani halina hata huruma na watoto wake Mungu anakuona

  • @emmaalfredy7217
    @emmaalfredy7217 3 ปีที่แล้ว +46

    Some people are very important when they lost
    We really miss u dady😭😭😭

  • @geralddaud9763
    @geralddaud9763 3 ปีที่แล้ว +64

    I hàte listening to this voice.

    • @allyhassan2136
      @allyhassan2136 3 ปีที่แล้ว +3

      Same to me bro.Na nimegundua wengi sana wanachefukwa wanapoisikilizaga sauti hii ya huyu.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Angelic voice Mama Africa! Bless 🤲🏾🙏🏽🌹🇹🇿

    • @elizabethstephen4326
      @elizabethstephen4326 3 ปีที่แล้ว +2

      @@j.c.maxima816 l reveal hate you mama your a killer why umefungua mipaka wakati iKenya mbaya ulitegea Mimi kama sio kutuuza wewe upate ruzuku umeuza nchi mama

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      @@elizabethstephen4326 hahaha! Chuki hizi, jamaani ! Mmmh ! Imekuwa kero sasa kwenye Tanzanian society! Nikuulize dadangu, ww unaona mabaya tu ? Hayati alikuwepo, na mahindi yenu yalikwama kuingia Kenya... Yalipokwamuliwa, mbona hamkushukuru?! Daah! Kazi ipo! Mungu tubariki watoto wa Tz! 🙏🏽

    • @edwardstivini355
      @edwardstivini355 3 ปีที่แล้ว

      mama unafeli kwani mzee magu mbona alikuwa hafanyi ayo mambo napesa ilikuwepo na mambo makubwa yalikuwa yanafanyika sasa kwanini wewe umekuwa mnyonyaji mama

  • @masuodkolowa3819
    @masuodkolowa3819 3 ปีที่แล้ว +36

    hakuna aliekubali tozo.JPM aliijenga nchi bila tozo.

  • @yusuphcharles1497
    @yusuphcharles1497 3 ปีที่แล้ว +63

    Mama hapana hakuna aliyejubali tozo za miamala ya simu
    Hapo cha kufanya ingia mtaani omba maoni kwa wananchi wenyewe

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 3 ปีที่แล้ว +4

      Nani kakubali tozo jaman

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว +4

      Mama muogope mungu, kumbe samia muongo kweli hapa kiongozi hamna

    • @suziemichael9177
      @suziemichael9177 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyu mwanamke atachomwa moto na mungu hata jivu lake halitaonekana maana anasema uongo sana me ananikera cn bas tu

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว +2

      @@suziemichael9177 eti anasema tumekubali tozo kweli jamani

    • @suziemichael9177
      @suziemichael9177 3 ปีที่แล้ว +2

      Anaumiza watu hajui halaf kampun hz mpes , tigo airtel wameajili watu weng san mfno zifungwe zote yy atajil watu

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว +38

    Sasa ndo nmemwelewa MAGUFULI HIL CLIELEWI KABISA

  • @lucasferuzmilenge5580
    @lucasferuzmilenge5580 3 ปีที่แล้ว +47

    Mungu amuhurumie bure, mi binafsi sikubaliani na tozo nakatwa kwakuwa hakuna jinsi, ila nasubilia nione hicho watakacho kifanya na hizo fedha zetu.

    • @brunoalex6702
      @brunoalex6702 3 ปีที่แล้ว

      Labda kununua chanjo hatuwezi jua

    • @nassorbinfundi1196
      @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo lenu linajulikana na sie tumewafaham

  • @johnchuwa2888
    @johnchuwa2888 3 ปีที่แล้ว +13

    Wewe unazo punguzeni matumizi yasiyo ya lazima.kwa mfano waziri mkuu kwenye ziara zake,anatembea na magari mangapi?lakini pia rais unapokua kwenye ziara zako unatembea na msafara wa magari mangapi.aina ya magari mnayotumia nayo ni aina yakubana matumizi tuwe kama uingereza.mnatamba wakati nchi hii ni maskini.yani serekali hii haina tofauti na mzazi anaye mpa mtoto chakula chakutosha wakati wanalala nje.tani mtoto anaonekana kanona lakini analala nje.kikeke ebu niambie hii nchi inavitu vingi vimepanda bei mafuta yakula ni juu.nondo ni juu .cementi ni juu.bati ni juu.yani kila kitu ni juu.hizo kodi haziwatosh sasa wamekuja kwenye miamala.lakini pamoja na haya yote maisha ya mtazania nbado ni magum sasa hii nchi mchawi ba nani kama si viongozi akiwepo raisi wetu?kila miaka tunajenga nchii hii ni nchi gani isiyokua?hatutaki porojo.raisi awatume watu wawaulize wanchi wanataka nini katika chi yao.maana miaka mingi tumewaamini viongozi lakini wanatuangusha kila mwaka.

  • @lucksonkaleshi539
    @lucksonkaleshi539 3 ปีที่แล้ว +32

    This total deception. Watanzania hatujakubali tozo yoyote, mnachofanya selikari ni mabavu wakati mwingine huwezi sikia kama unatumia mabavu. Mungu awasadie viongozi wa selikari. Pia raisi don't answer confidently huku ukijua Watanzania wanakuelewa. Listen even to that small group kama Mwalimu alivyofanya wakati wa kuleta democrasia.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

      The problem hakuna anofata DEMOCRACY TANZANIA WALA HAWAJUWI NINI MAANA YA DEMOCRACY. Kila kitu chao wanafanya kwa mabavu na WIZI...wanopata tabu ni Wananchi MASKINI.

    • @renatusdalama5208
      @renatusdalama5208 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna mwananchi aliyekubaliana na tozo. Isipokuwa wamelazimishwa. Inamaana serikari haijaona vyanzo vingine vya kiuchumj

    • @yasalaam590
      @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว

      Kwakweli tozo ni wajibu lani muangalie kima mnachoeka mbona mnapandisha sana juu kiwango

  • @benjunior6605
    @benjunior6605 3 ปีที่แล้ว +44

    The real president we elected died & he will be remembered forever,, we don't know others. We wish to go for a by-election.

    • @neckaphotostudio728
      @neckaphotostudio728 3 ปีที่แล้ว

      Exactly brother

    • @veronicajoseph3841
      @veronicajoseph3841 3 ปีที่แล้ว +1

      Mama Samia utatua naomba uangalie sana tozo ni kubwa tutakufa.mihamala ya simu imekufa natural death.

    • @alexboyoo6110
      @alexboyoo6110 3 ปีที่แล้ว

      Exactly

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Sisi tunaye Rais tena mpambanaji... We kama huna, pole sana ! Kazi iendelee

    • @leahmagaiwa9099
      @leahmagaiwa9099 3 ปีที่แล้ว +2

      @@j.c.maxima816 anapambana ndio anapambana kutuibia

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 3 ปีที่แล้ว +43

    Mama hujakopi chochote toka Kwa mtangulizi wako magu??? Haukuona jema hata moja toka kwake mpaka umeruhusu huu uvamizi wa tozo

    • @petermarco8656
      @petermarco8656 3 ปีที่แล้ว +2

      Magu alisema nchi hii ni tajiri,ndio maana alinunua ndege kwa cash,vp leo mnaweka tozo kwa ajiri ya maendekeo?

    • @jumadaudi2583
      @jumadaudi2583 3 ปีที่แล้ว

      Umenena kaka kila alichofanya mtanguliz wake walidai eti hakushauriw vzr kwahiyo yeye kuumiz wananchi ndio anashauriw vzr jaman!! Kweli tunamkumbuka tena kwamazur na sii kwamabaya ila mungu yupo panapomajaaliwa 2025 siombali yeye ngoja atudangany eti wananchi wamekubali

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 ปีที่แล้ว +45

    Hii serikali inawaangalia matajiri

  • @legendmusic2848
    @legendmusic2848 3 ปีที่แล้ว +69

    If you are well educated you understand we live in two different countries with our leaders

    • @shabanngondavi143
      @shabanngondavi143 3 ปีที่แล้ว +1

      absolute mr.

    • @c-4839
      @c-4839 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atuhurumie

    • @saramss7262
      @saramss7262 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa pesa zetu ndio uzifanyiye tozoo maghu mbona kakaaa mdaaa akifanya Kama unavyoongea unattuumixa SANA wanyongee endeleeni mungu anawaona uongo tunalalamikia tozoo achaa

    • @hassankibwana450
      @hassankibwana450 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo tozo yamiamara hakuna Alie kubali kukatwa tozo ya hivyo sikweli mama aagalia

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo sio tozo... Tatizo ni kiwango kikubwa... Kilio chetu, tozo hiyo ipunguzwe... Lazima tuijenge Nchi yetu, kwa faida yetu!

  • @johnmamba682
    @johnmamba682 3 ปีที่แล้ว +36

    Jamani, bandari, madini, utalii, gesi, ardhi nk
    Hivi vinamsaidia nani?

    • @lusajomshani622
      @lusajomshani622 3 ปีที่แล้ว

      Niukwli jamani anashindwa2 kuji ereza magufuli asingefanya hayo? Ko yye ndo ameona jambo jema

    • @JIWEtv6484
      @JIWEtv6484 3 ปีที่แล้ว

      Vinawasaidia wao na watoto wao

    • @Urchristiano9
      @Urchristiano9 3 ปีที่แล้ว

      Vinalipa mishahara yao mkuu

    • @yowtz5450
      @yowtz5450 3 ปีที่แล้ว

      kunywa bia ntalipa

    • @fassykibona7212
      @fassykibona7212 3 ปีที่แล้ว

      Mafisadihaooo

  • @festonayingo2135
    @festonayingo2135 3 ปีที่แล้ว +19

    Kwn mpango wa kutumia rasilimali zetu kama Madini, Mbuga za wanyama, utalii na utajiri mwingine mwingi kukuza uchumi na kujiletea maendeleo uko wapi.? Maana hatusikii siku hizi.! Mpaka mkavigeukia vijiihela tunavyotumiana na wazee wetu.!

  • @alexboyoo6110
    @alexboyoo6110 3 ปีที่แล้ว +34

    Magufuli we real miss you hero😪😪

    • @nassorbinfundi1196
      @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

      Wewe fitna kale kande ulale

    • @alexboyoo6110
      @alexboyoo6110 3 ปีที่แล้ว

      Little brain you can't understand what i mean ......relax

    • @alexboyoo6110
      @alexboyoo6110 3 ปีที่แล้ว

      @@nassorbinfundi1196 ubongo wako unaona uko sawa

    • @batulimangare724
      @batulimangare724 3 ปีที่แล้ว

      Mama mbona unatuonea hivyo ss hatujaikubali Hali zetu ngumu

    • @batulimangare724
      @batulimangare724 3 ปีที่แล้ว

      Wewe unaongea kwa sababu unazo pesa laiti ungejua maisha yetu usingeonge hivyo

  • @Mokiwa
    @Mokiwa 3 ปีที่แล้ว +51

    Tumche Mungu maana saa ya hukumu imekaribia... 🔬

    • @lugranmrisho6041
      @lugranmrisho6041 3 ปีที่แล้ว +2

      It's true

    • @kiyawisawanda7702
      @kiyawisawanda7702 3 ปีที่แล้ว

      @P M . Hukumu ni bado kabisa, to prove this read the Bible Psalms 90.4 for Old Testament and 2 Peter 3.8 where all verses indicate that 1000 years is equivalent to one day according to our Creator! Jesus Christ went to His Father circa 33 A.D. hence to date He has been with His father for only 2 days (2000 years)! Definitely as human being we expect Him to be with His father for at least one week before coming back to earth for the armageddon which means there are roughly 4965 years to go!!! However live as if the end of your life is just withing next second, or withing the comming hour.

  • @nazirkatabaro6347
    @nazirkatabaro6347 3 ปีที่แล้ว +41

    Very weak points... it's disgracefully depressing...

  • @mohdomar7060
    @mohdomar7060 3 ปีที่แล้ว +67

    Maguful yy pesa alizipata wapi na hakuweka matozo km haya

    • @sabbob574
      @sabbob574 3 ปีที่แล้ว +10

      Umeongea vizuri Brother. Magu pesa alipata wapi, swali zuli. Na uchumi umeshashuka kwa miezi minne baada Mzee Magu kufariki.

    • @alanusrespicius1796
      @alanusrespicius1796 3 ปีที่แล้ว +4

      JPM alisema tutamkumbuka kwa mazuri

    • @stevengaspa1567
      @stevengaspa1567 3 ปีที่แล้ว +2

      Anasema uchumi ume shuka kashusha Nani wakati uchumi uoisemekana upo Kati Leo hanasema umeshuka wewe una mwelewa kweli jamani

    • @amosimariba9820
      @amosimariba9820 3 ปีที่แล้ว +5

      Mwanaume ni mwanaume tu, ana akili nyingi za utafutaji na akili za uongozi wanawake watusubirie nyumbani watupokee tukitoka kazini

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +1

      @@amosimariba9820 Mawazo mgando hayo... Tatizo sio mwanamke wala mwanaume... Wanawake wanaweza... Achana na mfumo dume, brother!

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii kichwa Cha habari kimetukosea Sana wananchi,Hakuna mwananchi anaekubariana nahuu unyonyaji wakiwango Cha Rami.

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 3 ปีที่แล้ว +43

    Nani alikubali tozo.usitusemee

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo sio tozo... Tatizo ni kiwango kikubwa mno... Lazima wasikilize kilio chetu Wananchi, tozo hii ipunguzwe...

    • @pendopendokimathkimath1218
      @pendopendokimathkimath1218 3 ปีที่แล้ว +2

      Mama makubaliano ni mazuri na kuomba ushauri kwa wananchi ni jambo la heri sisi kama wa Tz wanyonge ndani ya serikali unatufanya kukulaumu na kumkumbuka marehemu yote unayoongea ni muhimili wa bunge si sehemu yako mama ongea vizuri na mawaziri uliowateua coz wabunge awana uchungu na wananchi wakijua kwamba walijiteua awakuchaguliwa ndiyo maana wanatakakutuibia kwa nguvu na pia rudisha jicho nchi angalia secta nyeti mama vijana wanaisha kwa madawa ya kulevya malumbano aya yanaleta giza watu wanajifanyia chochote coz polic wapo bz na wanasiasa wamesahau majukumu yao wiz umezidi na mengine mengi mama usijibu hoja za ajabu mitandaoni tafuta faragha si umu mama sikia kiliochetu tozo zirudi palepale bajeti ipangwe kupitia kwenye bajeti si wazo la mtu na mkewe anatuletea kwenye bunge kivuli lisilo na uchungu na Tz

    • @msuyadora1350
      @msuyadora1350 3 ปีที่แล้ว +5

      Mungu anipe subra maana natamani nitoe koment ambayo nitafungwa

    • @jeitangogo6422
      @jeitangogo6422 3 ปีที่แล้ว +1

      Mama tunaumia vibaya muno sisi wahali ya chini wewe unachanga unazo nyinyi tunaumia ni sis unavyo sema tunakuba wapi

    • @jeitangogo6422
      @jeitangogo6422 3 ปีที่แล้ว

      Hata wa ccm yani wapendwa wezako wanalia Ila kweli waliipenda wenyewe tozo kubwa mno

  • @robertmichaelshayo9876
    @robertmichaelshayo9876 3 ปีที่แล้ว +13

    "Wananchi wamekubali tozo" inawezekana mimi sio mwananchi Wa Nchi hii maana sijakubaliana na tozooo

    • @saudasimba3378
      @saudasimba3378 3 ปีที่แล้ว

      Which wananchi?

    • @robertmichaelshayo9876
      @robertmichaelshayo9876 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saudasimba3378 nikikuwa mkubwa nataka niwe mwananchi

    • @pendopeleus9943
      @pendopeleus9943 3 ปีที่แล้ว

      Huyu hana Shea huko tunaangaika eti anatafta maendeleo mwenzie aliyapataj mbn akutunyonga ss

    • @eliyajeremia1447
      @eliyajeremia1447 3 ปีที่แล้ว

      Mwana nchi gani rabuda kauliza watoto wake wakamwambia nisawa nawa bunge namawazili nalilejinga lispika ndugai ambao Wana tumia benki kulipana mishahara watumie simu tuone nashetani hawa eti Wana tuwakilisha

  • @jorampeter6131
    @jorampeter6131 3 ปีที่แล้ว +30

    Hizo tozo hakuna alie kubal ni kuwanyonya wananch maskin,,mishahara ya wafanya kazi hamishen kweny miamal ya simu tuone kam watakubal,,,RIP MAGUFURI utaish milele ndan ya mioyo yetu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Tupo wengi waliokubali! Wazo la tozo si baya... Ombi letu, tozo hiyo ipunguzwe... Lazima tuchangie maendeleo ya Nchi yetu...

    • @mohamedgombe8559
      @mohamedgombe8559 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyeww sijakubali

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 ปีที่แล้ว

      Mtu maskini ni mtu ambae ni kilema wa akili mvivu, muhongo, msariti, mwizi, na asiye tumia akili yake na mali za kuzaliwa na maanisha udongo, maji, miti, jua nagiza na mwanga,usiyejua mbele na nyuma, juu na chini sasa mnataka kutuambia kuwa kweli watanzania tuko maskini km wewe nimaskini ni wewe sisi wengi tuna pumzi na macho fanyeni kazi

    • @veronicajoseph3841
      @veronicajoseph3841 3 ปีที่แล้ว +1

      Heri yao matajiri ktk nchi hii.sisi maskini hatujui hatima yetu.Tozo hili heri corona.

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 ปีที่แล้ว

      @@veronicajoseph3841 mwenyezi mungu ana kusikia baada ya kuomba baraka kwani una mikono na miguu kilema watu wengine atuwezi kulingana ni km kiganja vidole vyote vinayegemeana uvivu na tamaa wengi wenu

  • @oliviaambrose2907
    @oliviaambrose2907 3 ปีที่แล้ว +1

    hatujakubali...hata MUNGU anajua

  • @stanlaymsabaha4038
    @stanlaymsabaha4038 3 ปีที่แล้ว +13

    Mama muongo huyu eti wananchi tumekubali tozo acha uongo

  • @shabanngondavi143
    @shabanngondavi143 3 ปีที่แล้ว +12

    mmm kwa mwendo huu, mwisho wa siku tutafwata majumbani kuchukuliwa chenchi zilizo baki, mungu isaidie tanzania , mungu iyokoe tanzania.

  • @shammhagama4297
    @shammhagama4297 3 ปีที่แล้ว +26

    Hayo maswali ni levo ya uwazir tu, mnamuuliza maswali ya kitoto hayo kashatuharibia nchi yetu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Nchi yake pia! Unapomzungumzia Rais wa Nchi, yy ndio Raia number moja! Kwa hivyo, anaipenda Nchi yake, kama ulivyoipenda ww !😂😂😂

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 3 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁daaa watanzania eti walikubali tozo kweli ???🤔🤔🤔🤔😥😥😥r.i.p mjomba magu ✈️✈️

  • @michaeltangi5120
    @michaeltangi5120 3 ปีที่แล้ว +20

    Nchi hii tunaviongozi wa ajabu sijapata kuona Aya kweli aliyeshiba hamjari mwenye njaa

  • @hakizimanajean7702
    @hakizimanajean7702 3 ปีที่แล้ว +10

    Nipo kimya lkn si kwamba nimefurahishwa na TOZO ZENU.
    MTANIKUMBUKA SI KWA MABAYA, MAZURI.
    Rest in Power JMP!

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 3 ปีที่แล้ว +27

    Suala la tozo umelijibu kama punguani kwa kweli.
    Unadhani Watanzania wa chini hawana uelewa kwa kiasi gani wanaumizwa na tozo sio! Kwa hiyo kutokuwa na uelewa inatosha kuwa sababu ya kuwaumiza.

    • @regenerativerestorationsci3197
      @regenerativerestorationsci3197 3 ปีที่แล้ว +2

      Madam. Hauoni uchungu kuwatoza wananchi wa kipato cha chini kama sisi wa vijijini tozo? Hata hayo makato yenyewe yanatuumiza na wewe bado unaafiki, MBONA KWENYE MABENKI haujagusa? Haufahamu watumiaji wakubwa wa miamala hii ya simu ni wananchi wa kipato cha chini? Watu wa kipato cha juu hawahangaiki kutuma milioni mia kwa njia ya simu...wanatumia Mabenki...kwa hivyo huo mchango unawahusu tu watu wa kipato cha chin? Hao wa miamala ya kibenki hawahitaji kuchangia madawati, hospital nk? Hapo hatujakuelewa.... Watanzania wanyonge wamekukosea nini?

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 3 ปีที่แล้ว +4

      @@regenerativerestorationsci3197 Wanaelewa vyema wakiwagusa wa vipato vya juu wataishia kuhamisha pesa zao kutoka nchini kwenda nchi zenye mifumo na utaratibu wa uhakika kwa muda mrefu. Tanzania tunarudishwa nyuma sana na viongozi mapunguani🙁

    • @samwelkataraia4525
      @samwelkataraia4525 3 ปีที่แล้ว

      Hapo tulipigwa hakuna alie kubali

  • @saidfhamad
    @saidfhamad 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu raisi kama hajiamini sana, sijaona akitoa majibu ya moja kwa moja juu ya swali lolote!!!

    • @sizzamonela8451
      @sizzamonela8451 3 ปีที่แล้ว +1

      Mimi na wenzangu tunaenda kulifanyia kaz

    • @saidfhamad
      @saidfhamad 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sizzamonela8451 🤣🤣🤣🤣 Naona umekariri jibu lake pendwa!!

  • @anwaromar9380
    @anwaromar9380 3 ปีที่แล้ว +28

    R I P mwendazako tumekumis sanaaaaaa tutzidi kukuombea na kuukumbuka mchango wako kwa Tanzania Africa

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Hayati/ Marehemu sio Mwendazake,,,

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama,mama,mama,mama ni mama.Huruma yako mzazi wetu,Tozo Tozo tozo Tozo tozo Tozo Tozo tozo za nini? Mama!!!!!Mamigodi na wawekezaji,hii huduma ni muhimu Sana,wamama wanaomba uwahurumie,,Mungu kwanza unahekima Sana Mama,Tatizo Tozo unakwama wapi mama yangu kipenzi ❤️

  • @richardmadoshi529
    @richardmadoshi529 3 ปีที่แล้ว +15

    Nikionaga Hii sura najisikia vibaya, nikisikia sauti najisikia vibaya sana....
    Acha kusikiliza wanasiasa chumia Tumbo, pitia hata comments Sisi wananchi tunasemaje..!!

    • @meshackmlaki2066
      @meshackmlaki2066 3 ปีที่แล้ว +1

      Atakufa tu., Anafikiri Ataishi milele 2025 Tuachie Nchi yetu Mama Nakupenda Sema unabana vijana sana

    • @nathaliamayo8311
      @nathaliamayo8311 3 ปีที่แล้ว +1

      Tozo zimaumiza sana sisi ambao ni maskini

  • @teophilmbalamwezi
    @teophilmbalamwezi 3 ปีที่แล้ว +1

    Sitaki kuamini kama anaye jibu maswali haya ni rais wa Tanzania 😢😢😢😢😂😂😂😂

  • @pastorhermantv5420
    @pastorhermantv5420 3 ปีที่แล้ว +7

    Samia umefeli kwenye tozo nani amekubali tozo nimegundua kumbe mlitupangia kabisa kutuchukulia hela ili mseme zinaenda kwenye miladi mbona magufuli kwa miaka mitano hakuwahi kutoza watu tena alionya msiwatoze ushuru wananchi wa hali ya chini dah magufuli fufuka baba wanachi wako huku twateswa

  • @williamicwillyjohn2715
    @williamicwillyjohn2715 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila hizo TOZO jaman kero huyu raisi wetu anadanganya kilamtu analalamika sisi nimawakala malalamiko nimengi adi watu wameacha kutunza hela kwenyesimu wameridi ile yazamani yakutunza ndan wewe mwandishi kaonane na wamakamphuni yasim wao ndo watakupa ukwel kwamba miamala imepungua kwa % ngap? Nawanaotuma nakutoa hela niwale wenye shida zahalaka halaka anakua hana namna

  • @danieltoroka7281
    @danieltoroka7281 3 ปีที่แล้ว +23

    Huna lolote mama 🤔👎 ushaharibu sifa zako zote yani mungu turehemu nchi yetu sijui itafika wapi 😱☹️

  • @yohanamarco5630
    @yohanamarco5630 3 ปีที่แล้ว +1

    Ulikua namkutano wapi uko uliko kubaliana na wana nnchi kupitisha tozo.

  • @danieljoram8533
    @danieljoram8533 3 ปีที่แล้ว +20

    TOZO NI KUBWA SANA MATHALANI UKITAKA KUMLIPA MTU ELF50 na unataka atoe elf50 unapaswa uweke elf57 kabla ya tozo ungeweza kutuma elf53 tu , MAKATO YAPO JUU SANA.

    • @paulshija7632
      @paulshija7632 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama unaweza kuhonga laki kwa mwanamke unashindwaje kuchangia mapato kwa maendeleo ya Nchi yako? Maendeleo mnayoyataka yatapatikanaje bila kuchangia? Tulipe Kodi na Tozo mbalimbali kwa Maendeleo ya Nchi yetu!

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +3

      @@paulshija7632 Paul shija wewe nipunguwani unafikilia uchumi wako ni sawa na watu wengine acha kutetea upuuzi

    • @paulshija7632
      @paulshija7632 3 ปีที่แล้ว

      @@lulanjamd3886 Mkuu, inawezekana umesikiliza lakini hujaelewa, Mh. Rais kazungumza kuna madaraja katika utozaji wa hizo tozo, kila mtu anatozwa kulingana na hali ya uchumi wake.
      Kingine tambua Serikali haina Shamba au kiwanda cha kuzalisha pesa, pesa lazima zitoke kwetu wananchi.
      Unapolalamikia kwanini hakuna madawa, hakuna madawati, hakuna madarasa nakadhalika jiulize umechangia kiasi gani katika pato la taifa? Kwenye suala la tozo naungana na Serikali kwab100% la msingi tozo hizo zikafanye kazi iliyokusudiwa!

    • @stellamsokwa7030
      @stellamsokwa7030 3 ปีที่แล้ว +1

      @@paulshija7632 naunga mkono hoja

    • @wisdomhalisi......8891
      @wisdomhalisi......8891 3 ปีที่แล้ว +1

      @@paulshija7632 swali kwako MAGU aliijenga nchi bila makati nA alisema nchi hii ni TAJIRI je tulichanga sh ngapi kujenga nchi hata kufika uchumi wa kati....? je unaweza kumtoza MASIKINI na ukafanikiwa kujenga nchi.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Siasa siasa wananchi hawana RAHA.. chakula ,afya bora na elimu... nyiye mnawapa wananchi maisha magumu kwa miaka mingi.. kazi yenu Siasa siasa inachekesha hii NCHI..Jengeni Nchi muwe pamoja. DEMOCRACY haikufaini hapo Tanzania .... wacheni kufata WAZUNGU...

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 3 ปีที่แล้ว +18

    Mh rais,
    Kuhusu tozo hatukukubali,maana mlijadiliana wenyewe wabunge wa ccm na kupitisha hizo tozo,ni kweli hatujakataa tozo,isipokua kiwango,na hakuna mtanzania aliewahi kukataa kuchanga kuchangia taifa letu lakini hivyo viwango vya kuchangia mnavipanga bila kufikiri kwa kina,mnakurupuka mno,mnaacha njia sahihi za kusimamia mapato ya nchi,badala yake mnabana walala hoi zaidi,
    Mbona madini yetu ni mengi hamuweki mkazo wa kiwango sahihi kukusanya hizo hela,bandarini kuna ujinga na uzembe kila mwaka mbina hamsimami wima kukusanya mapato mnakuja kuhangaikia vibanda vya m pesa,hii ni sera ya kihuni ya ccm,
    Na ndio maana walipiga vita cdm isiwe na wasemaji bungeni ili wao tu ndio wapange na kuamua na ndio hayo yanayoendelea kwa sasa,
    Na hapa niwajulishe tu watanzania tulijisahau sana,na tulifurahia upinzanzani kupotezwa,lakini tujue upinzani unasaidia kutufumbua macho,kama hamhelewi eleweni sasa ccm kabla ya magufu hajawa rais,na ccm ya magufuli akiwa rais,na ccm baada ya magu kutwaliwa,kwenda kuongoza malaika,,na ccm ya huyu wa sasa,angalieni wabunge,na spika wao,hii ndii ccm na namna inavyofanyaga mambo yake,hii ndii sababu ya kua na uhuru miaka60 lakini bado kuna shule watoto wanakaa kwenye mawe,hawana madawati,lakini wakati huohuo kuna misitu mibene,na hadi magogo hua yanakamatwa bandarini yakisafirishwa nje ya nchi,yaani kwa mwenye akili sijui kama unaweza kuishangilia ccm kwakweki.

  • @neemachintelele1077
    @neemachintelele1077 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani amekubali tozo mama kama sio wabunge namawazili hamjawauliza wananch

  • @speriussimba6717
    @speriussimba6717 3 ปีที่แล้ว +29

    Nani kakubali tozo 😜🤣huyu mama jmn duuh

    • @omarsultan7195
      @omarsultan7195 3 ปีที่แล้ว +1

      Tupo paamoja na mawakili waaliofungua kesi kwa ajili ya tozo kuondolewa ati na yeye anakatwa sasa yeye ni sawa sisi uyu rais ni shida

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 3 ปีที่แล้ว +1

      Yupo sawa sema ujamwelewa

    • @nasorobangara2924
      @nasorobangara2924 3 ปีที่แล้ว

      Mama shida

    • @speriussimba6717
      @speriussimba6717 3 ปีที่แล้ว

      @@samwelimoshi5614 sijamuelewa wwpi nawakati kasema watanzania tumekubali tozo bali tumelalamika kupunguziwa kiwango mpk sasa nani anakubali tozo?mbn mzee magufuli alikusanya pesa nyingi na miradi tukaiona lakini hakuwahi kuja kuchukua pesa kwa wananchi

    • @agnessjohn1222
      @agnessjohn1222 3 ปีที่แล้ว

      Tozo Nani kakubali munapora vya wanyonge Kwa nguvu wakat rasilimali zetu tunaweza kujitegemea wenyewe bila kuombaomba misaada zipo umeshindaje kufwatwa nyao za JPM na mlikua wote umetuangusha hatukutegemea kabisa unayo yafanya saizi vibanda vya tigo pesa havina wateja na vitafungwa vingi

  • @chrizantuspantaleo6928
    @chrizantuspantaleo6928 3 ปีที่แล้ว +9

    Let me keep it silently into ma heart ,God talk with our leaders ,direct them ,discuss with them in decision making and show them the way and give them spritual eyes

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 ปีที่แล้ว +17

    Mimi naumia kwa binti yangu namtumia hela za matumizi kila siku 3000,4000,5000 mpaka 10000 kila wakati kwasababu kipato changu kidogo so nalazimika kutuma kahela kakutosha ili mtoto wangu akiwa chuo apate kahela kamatumizi akiwa chuo,kwahiyo hizo tozo kwangu mimi zinaniumiza kwakweli.

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 3 ปีที่แล้ว +2

      Tozo ni kubwa hamna asiyelalamika piteni kwa wananchi musikie

    • @neemamasala7167
      @neemamasala7167 3 ปีที่แล้ว +1

      Inaumiza kla mtu

    • @lotimwansule5017
      @lotimwansule5017 3 ปีที่แล้ว

      Wala sio kundi dogo watu wote wanalalamika shida anayetuma na anaye pokea wote tunakata hii sio.

    • @christophermgimba6966
      @christophermgimba6966 3 ปีที่แล้ว

      @@lotimwansule5017 DAH POLE SANA NDUGU. MESSAGE YAKO IMENIGUSA SANA. NIPE NAMBA YAKO NAMIMI NIMCHANGIE MDOGO WAKO HATA SIKU MOJA

  • @jwisetv4833
    @jwisetv4833 3 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi tu hamna la maana vjaona point ya msingi

  • @janethsamwel1494
    @janethsamwel1494 3 ปีที่แล้ว +10

    Nilivo sikia mwanamke anatuongoza nilifurahi kuona wanawake nasisi tuna weza kiukweli mama unatuumiza sn km inawezekana katiba kubadilishwa bora ibadilishwe

    • @fednandnews2240
      @fednandnews2240 3 ปีที่แล้ว

      Kwakweli sikuwai kudhan anaweza kuwapo kiongozi anaefanya vitu ambavyo ata mtoto anaviona ni ujinga kama

    • @fednandnews2240
      @fednandnews2240 3 ปีที่แล้ว

      Kwakweli sikuwai kudhan anaweza kuwapo kiongozi anaefanya vitu ambavyo ata mtoto anaviona ni ujinga kama
      ...

  • @mwajumankalamba240
    @mwajumankalamba240 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaa Allah mbadilishe Huyu mama ayafanye yanayoluhusiwa Katka Dini yetu

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +36

    Wabunge kwa nini hawachangii tozo za simu?wabunge walipwe mishahara yao kupitia simu waone machungu ya tozo

    • @williammwaisunga3407
      @williammwaisunga3407 3 ปีที่แล้ว

      Tunachagua wabunge mbumbumbu kabisa.wanasahau walikotoka
      Msukuma,yule mbunge dereva wa basi,Gwajima,pole polepole mbunge wa mtera,mbunge Shabiby wapo na wengine wachache wateteeni wananchi wanahali mbaya sio kama Zungu na jafo hadi kabadilika sana na wengine wengi hawako kuwajali Watanzania wao kwa nini hadi sikutegemea kama anaweza sema maneno kama yale.aliekupa wewe ndie kaninyima mimi anaweza akakunyang'anya unachotulingia.kama MUNGU uishivyo na haki yako ni kweli naaam naomba Utete nao wanaotenda watu wako MUNGU

  • @abiudedward9123
    @abiudedward9123 3 ปีที่แล้ว +1

    yaan katika vp tumepigwa bas nihuy mwanamke!

  • @stanlaymsabaha4038
    @stanlaymsabaha4038 3 ปีที่แล้ว +13

    Ewe mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi kwa Nini usikichukue hiki kiumbe haraka maana mateso yamezidi

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 3 ปีที่แล้ว

      Kwakwelii

    • @dawhiteschola8847
      @dawhiteschola8847 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiiii alafu ni muongo magufuli alijenga ma barara bila tozo yani yeye anapeleka Ela kununua chanjo anatubana sisi yani huyu mama Ana Roo____😭😭😭Magufuli. Baba tunakukimbuka

    • @jonahagust3287
      @jonahagust3287 3 ปีที่แล้ว

      @@dawhiteschola8847 LIONGO ILI MBWA

  • @myaudipilato7913
    @myaudipilato7913 3 ปีที่แล้ว +1

    anatukazimisha kukubali tozo ili ajisifu hatukutaki wewe nenda zako huko

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 3 ปีที่แล้ว +25

    Yaan uyu mtu anachukiza hakunamfano ila kwa vile sisi watanzania wanatuona kama mazezeta ndio maana tunapelekwa pelekwa tu.

    • @hamiduhamdun1858
      @hamiduhamdun1858 3 ปีที่แล้ว +1

      Watz tupo na akili nyingi sana mtu akiongea vitu vya hovyo hatupendi na tunajua sababu gani hawataki kuunda katiba mpya sababu watunyonye na kuandaa watoto wao waje kutuongoza kila kukicha ukweli tumeshachoka na mnayofanya.

    • @speranciangunwa3314
      @speranciangunwa3314 3 ปีที่แล้ว

      Huna huruma kabisa na wanyonge

    • @speranciangunwa3314
      @speranciangunwa3314 3 ปีที่แล้ว +2

      Ulale pema magu ulitutetea

    • @corneliamatesha3163
      @corneliamatesha3163 3 ปีที่แล้ว

      Lala pema baba JP

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Ww unayesema "huyu mtu anachukiza", sikuelewi, b'se huwezi kumchukia mtu kwa wazo la tozo tu! Sema tozo hii ni "pretext"... Ninyi mnasumbuliwa na chuki zenu binafsi... Hamna sababu ya msingi... Mungu awahurumie:-)

  • @yohanamashauri7742
    @yohanamashauri7742 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo tozo hata mm skubar

  • @jofreygudson5908
    @jofreygudson5908 3 ปีที่แล้ว +15

    Imeandikwa; Hawa wanawake mkae nao kwa akili!! Kwahiyo mwanamke ni mwanamke tu tunahitaji akili zaidi ili kuishi naye huyu mama.

    • @stevengaspa1567
      @stevengaspa1567 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa nishida

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +1

      Mfumo dume mwingine!

    • @neemamasala7167
      @neemamasala7167 3 ปีที่แล้ว +2

      Pia akili za mwanamke Ni za kushkiwaaa

    • @williamray7751
      @williamray7751 3 ปีที่แล้ว +1

      A president doesnt make desicions alone,its an institution, wanaomshauri ndio wenye shida, decisions are collective ,kulaumu ni serikali nzima

    • @jofreygudson5908
      @jofreygudson5908 3 ปีที่แล้ว +3

      Yeah akili ya mwanamke na yakushikiliwa ndomana mwanamke hata akiwa ma masters anaweza danganywa na mwanaume mdogo sana amabaye hata darasa la saba hajafika🤔 kwahy mbaya sio mama wabaya ni hao wanaomuongoza mama!!!!!

  • @eliasinnocent8629
    @eliasinnocent8629 3 ปีที่แล้ว +1

    Aache uongo uyu maza hakuna alie kubari tozo hajaongea na raia afu anasema tumekubali tozo ln kafanya mkutano na wananchi kira cku kawa mtu wa kusafiri nje hatembei kujua kero za wananchi

  • @consolathambuya2563
    @consolathambuya2563 3 ปีที่แล้ว +25

    Tozo,Tozo, Tozo dah!😭😭😭😭

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 3 ปีที่แล้ว +1

    Comments za umu ni jibu tosha watanzania wanataka nini

  • @endrewmponda6717
    @endrewmponda6717 3 ปีที่แล้ว +15

    Huu niuongo ulio tukuka watanzania hatuja kubali tozo tunaumizwa uchumi ni mgumu tena tunaongezewa mzigo. Thamani za ujenzi kila kukicha bei juu mazao beichini mbolea bei juu mbegu bei juu tena huyu huyu massikini anaubeba msalaba wakuinua uchumi wa taifa yani nisawa na ng'ombe usiye mlisha kumtaka kumkamua maziwa yakutosha.

    • @meshackmlaki2066
      @meshackmlaki2066 3 ปีที่แล้ว

      Usiseme ivo ndugu inauma sana

    • @danielmiren4107
      @danielmiren4107 3 ปีที่แล้ว

      Mbona siku hizi hatuoni wananchi wanashiriki kwenye shughuli za Maendeleo mfano mashuleni madawati vyumba vya madarasa na mifano mingine mingi hatuoni tunaelekea pagumu serikali imezidiwa nchi yetu ni kubwa hatulioni Hilo limeka vibaya

    • @jeitangogo6422
      @jeitangogo6422 3 ปีที่แล้ว

      Mama ingia mtaani watu wanalia vibaya mno unasema nawe unachanga wewe unazo nyinyi huwezi kufananisha na sisi wahali ya nchini

    • @josephjohn7003
      @josephjohn7003 3 ปีที่แล้ว

      @@jeitangogo6422 hachangi chochote Huyo mi naona 98% ya maneno anayoongea hapo ni uongo tumekubali SAA ngapi hizo tozo yaani

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Eti "Hatuoni Wananchi wanashiriki kwenye shughuli za maendeleo, mfano shule, zahanati, madawati..." Utaona watakaposhirikishwa, mtasema Mama anatukamua sisi Wanyonge, Magufuli tutakukumbuka, Wanyonge tunaumia... !!! Sijui binadamu tukoje!!!

  • @mathiassalumu5255
    @mathiassalumu5255 3 ปีที่แล้ว +1

    Bora arudi anko magu sioni cha maana hapo umewajaa wivu tamaa chuki ba ubinafisi mungu anawaona

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 3 ปีที่แล้ว +16

    Sehem alipofel zaid mama yangu samia ni juu ya TOZO lakn oky tusubr huenda hili ni dogo yatakuja makubwa zaidi Mola atupe subira

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Kwa tozo hatujakubaliana Malo nalo kabisa huko umeenda mbali Marais waliopita mbona hawakufikia hatua hiyo unabana hata vijana wanakosa ajira hivyo vituo vya afya inategemea tozo

    • @restutameshack1626
      @restutameshack1626 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna kipya hapo zaid ya kuonea wanachi tu.

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 3 ปีที่แล้ว

      Hata hao ma-informal wa ikulu wanajua hal ya huyu demu ikoje baada ya tozo....

  • @tumainiobedi3029
    @tumainiobedi3029 3 ปีที่แล้ว

    Amakweli hii ndotanzania yetu na viogozi musitubadilishie viswahili tulikataa tozo lakin leo hii mwatubadilishia eti tumekubali tozi na tumekataa makato subhanallah mungu anawaona viongozi kama nyie na malipo ni hapa hapa duniani

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 3 ปีที่แล้ว +6

    kumbe huyu mama kichwani ni mweupe namna hii, ama kweli keki ya nchi wachache wanaila, ni mtanzania gani aliyekubali uharamia huu shwaini kabisa...

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam 3 หลายเดือนก่อน

    Tozo nijanga ulipo ingia madalakani.. hawajakubali. Leo umenifurahisha kwa majibu ya ufafanu!i wa majibu kuliko ulipo ulizwa ukajibu kikatili safi 🤝🤝

  • @alexalexander3027
    @alexalexander3027 3 ปีที่แล้ว +5

    Majibu ya raisi 🥰🤣🥰🤣🤣🤣😍😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @katabilacharles38
    @katabilacharles38 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani rais wang magufuri maana tuliyenae duuuuuuuuuu

  • @nsomimalongo8004
    @nsomimalongo8004 3 ปีที่แล้ว +11

    Mapato ya serikali tunatoa ushulu tunalipa atakagunia kamojatu, napesa za kwenye CM tozo tunaumia sana Mama

  • @harunimwanawima7851
    @harunimwanawima7851 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sijakubaliana na hilo

  • @ramadhanbakarimtambo2024
    @ramadhanbakarimtambo2024 3 ปีที่แล้ว +16

    Mama anaongea kama mambo yote yakio sawa lakini moyoni anajua mambo yalivyomagumu kwake

  • @edmark_datieeeeeee1940
    @edmark_datieeeeeee1940 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusamehe tu mheshimiwa hujakaa mitaani ukasikiliza vilio vya watu kama mtangulizi wako. Fika mitaani uwasikilize

  • @sadamrisho7719
    @sadamrisho7719 3 ปีที่แล้ว +11

    Mama yangu wewe mbona magufuri alikuwa anaendesha nnchi bila Makato ya miamala ya simu na nnchi ilikuwa inaenda vzr tu kwako imekuwaje Tena mpaka utubane wananchi kwa Makato

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 3 ปีที่แล้ว

      Makato ni ya kawaida Na Kwa muda. Tumia akili. Shida hapa ni shule inakusumbua ni ndogo

    • @immaculatemakene7546
      @immaculatemakene7546 3 ปีที่แล้ว

      @@tanzanite9944 Wewe ndo shule hauna, Makato ni makubwa hata kwa wasomi kwa taarifa yako !!!!! Tena wafanyakazi ndo wanaumia sana wakatwe kodi kwenye mishahara ambayo ni kubwa sana sana bado waje kukatwa kwenye miamala !????

    • @farzanakhani2043
      @farzanakhani2043 3 ปีที่แล้ว

      @@tanzanite9944 Nafikiri ww huna mtu wakumtumia pesa ndio maana unaongea hivo makato yalikuwepo isipokua yako juu ww ndio sio mwelewa

  • @francisowiti816
    @francisowiti816 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama aiseee anaongea pumba Sana

  • @ismailmazina2710
    @ismailmazina2710 3 ปีที่แล้ว +15

    Huyu mama simuelew kabisa

  • @elisonrisasi8647
    @elisonrisasi8647 3 ปีที่แล้ว +3

    Huku kwetu Barbara nimbovu Sana olewako msijenge hapo itafaamika

  • @saidially6310
    @saidially6310 3 ปีที่แล้ว +8

    Hakika hii nchi bila mtu kama marehemu magufuri hatuwezi kuinuka kamwe. Magufuri asinge kubali kaliakoo mpaka Sasa hakuna kinachoendelea. Hakika akuna mwananchi aliyekubaliana na tozo pesa zilikuwa zikipatikana bila tozo apo awali.

  • @kicheko4980
    @kicheko4980 3 ปีที่แล้ว +19

    Your advisory is misleading you badly aisee!!!! I wish you could see, imagine you being considered worse than you predecessor.

    • @c-4839
      @c-4839 3 ปีที่แล้ว

      The predecessor looks like a choir boy now

    • @nazirkatabaro6347
      @nazirkatabaro6347 3 ปีที่แล้ว +2

      She doesn't have an advisory board, she has a board in command...

  • @annaluganha7021
    @annaluganha7021 3 ปีที่แล้ว +9

    Wewe mama usitake watu waongee hovyo wakamatwe! Pita huku uchukue maoni ya watu kuhusu tozo ili ujue. Kumbuka kuwa kipato chako ni tofauti na sisi.

  • @bunzarisisa2831
    @bunzarisisa2831 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama muongo sana

  • @twahathomas3514
    @twahathomas3514 3 ปีที่แล้ว +8

    Yaan jamani huyu mama mm sijui hata km kweli anauchungu na hii nchi au labda kapewa mzigo ambao unamzidi

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani unatia hasira bac tu wee Mama😭😭

  • @officialbenben9148
    @officialbenben9148 3 ปีที่แล้ว +11

    Mama sisi hatujakubali yani natamani hata kuhama nchi kwa huu unyonyaji mana naumia sana napoteza ajira yangu ya uwakala

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 3 ปีที่แล้ว

      Sisi nyinyi mnatilia kura ccm ndio faida yake hii mazuzu mtakiona sasa hata bado

    • @officialbenben9148
      @officialbenben9148 3 ปีที่แล้ว

      Sisi hatukuchagua hawa ccm. Tunasubir 2025 ifike ili tuachane na hawa wanyonyaji

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 3 ปีที่แล้ว +1

      @@officialbenben9148 eeeh wizi , wajanja sana tume gani ya uchaguzi ambayo itawasaliti ccm wakati wao wenyewe ni ccm sizani rabda dunia Ishe .

    • @meshackmlaki2066
      @meshackmlaki2066 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu Atakuvusha mpendwa

    • @officialbenben9148
      @officialbenben9148 3 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 6 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri mama yetu

  • @aloycemrianga8725
    @aloycemrianga8725 3 ปีที่แล้ว +11

    Hizo njia za ndani ndio zinazotuuwa sisi,,naomba rudini kwenye madini

  • @zawadijuma6872
    @zawadijuma6872 3 ปีที่แล้ว +1

    Usemi wako baba kweli umetimia tutakukumbuka sana watanzania tanalia😭😭😭😭😭😭😭