Mwaka mmoja wa Mama Samia madarakani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Sudi Mnette anazungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuhusu mwaka wake mmoja madarakani unaotimia Machi 19, 2022. Uzoefu wa kiti cha urais, masuala ya katiba mpya, mapambano dhidi ya rushwa na haki ya vyama vya siasa kufanya mikutano ni baadhi ya masuala yanayozungumziwa katika mahojiano haya. #Kurunziextra 19.03.2022.

ความคิดเห็น • 7

  • @fikiriramadhani6702
    @fikiriramadhani6702 2 ปีที่แล้ว +1

    Sudi Mnette unahoji vuzuri sana kiasi ya kwamba Rais anajibu zaidi.Asante Dw

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 2 ปีที่แล้ว +1

    Mom amejibu vizuri ktk swali la je usemi wako wa kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake sio kama ameruhusu wizi na rushwa viendelee. Lakini kidogo kauli ya Raisi kwa watu ambao ( viongozi hovyo)kwakweli hiyo ya Raisi kweli wanaona wsneruhusiwa kuiba na kutafuna fedha. Sasa basi mom asahihishe kauli yake la sivyo tutarudi kulekule tulipo toka.nasio mbali sana wataanza kweli wanamvutia mom pumzi.

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 2 ปีที่แล้ว

    NAPIGA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KWA JINA LA YESU AMEN.

  • @lusetheshadow2821
    @lusetheshadow2821 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe mnafurahi vile watu walivyo masikini na hawatambui haki zao

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 ปีที่แล้ว

    Hebu jikumbushe jambo moja th-cam.com/video/9Y3b_0SmfYc/w-d-xo.html

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 2 ปีที่แล้ว

    Bado ni kiongozi zwazwa tu. Anamtumikia na kufuata maagizo ya Kikwete. Kikwete ndo rais sasa hivi. Huyo mwanamke ni kioo cha Kikwete. Tusidanganyike.

  • @evancefreddy3775
    @evancefreddy3775 2 ปีที่แล้ว

    We dont want her. Kwan kipindi cha jpm kulikua hamna covid