HISTORIA YA JIJI LA DAR NA IKULU YA DAR ILIVYOKUWA KITOVU CHA WASOMI TOKEA MWAKA 1865, SHEKH ZUBER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • saimugwao ni chanel inayojihusisha na habari zinazohusiana na uislam na matukio yote yenye faida kwa jamii tunapatikana tik tok face book instagramu jina saimu gwao

ความคิดเห็น • 161

  • @abrahamreginald5780
    @abrahamreginald5780 4 ปีที่แล้ว +12

    me ni mkristo, ila nimependa sana iyo historia. kwa kweli inaonekana huyu shehe anachosema ni kweli kabisa. na ni maneno yaliyojaa hekima.

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว

      Nimefurahi sana kuwa unapenda ukweli na huwa ukweli unabaki ni ukweli tuu hata ikipita miaka elfu utafichuliwa tuu..fuatilia video hizi ili ufaidike..th-cam.com/video/gL16UggL21w/w-d-xo.html

  • @aboumsouth6498
    @aboumsouth6498 5 ปีที่แล้ว +15

    Allah akulaze Mahala pema sheikh wetu 🙏akupe kauli thabit insha allah

  • @dattymanne
    @dattymanne 5 ปีที่แล้ว +7

    Yaarabi mlaze mahala pema peponi yaarabi takabal-dua

  • @ibbutv4275
    @ibbutv4275 5 ปีที่แล้ว +7

    innalinlah wainailaih raajiuun
    MUNGU akuweke mahala pema peponi immam wetu wa masjid mtoro
    MUNGU alitie NURU kaburi lako aaamin.

  • @barakaramadhani4813
    @barakaramadhani4813 5 ปีที่แล้ว +11

    hama kwel uhongo unakufa ukwel unabaki huu ni ukwel ulio hai allah akutangulie shk zuber bin yahaya

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 5 ปีที่แล้ว +6

    Innalilah wahinahilah warahajiun ya rabbi akupatie nusra na akuweke ktk firdausi

  • @jahshikimweri2712
    @jahshikimweri2712 5 ปีที่แล้ว +11

    Allahumma ghfril lahu

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 5 ปีที่แล้ว +14

    اللهم إرحم موتانا وموتى المسلمين واجعل قبورهم روضة من رياض الجنة ولا تجعله حفرة من حفر النار اللهم امين يارب العالمين

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว +1

    yani ndio kwanza leo nimeipata hi hadithi ila chakusikitisha ni kugundua sheikh huyu msema kweli kwa hekima ya hali ya juu ameshatangulia mbele za haki Mwenyezi Mungu amrehemu amjalie kauli Thabit

  • @fadhilihussein6580
    @fadhilihussein6580 ปีที่แล้ว

    Mashallah!!!!
    Mwenyezimungu akuhifadhi alifanye kaburi lako kua sehemu ya viwanja vya peponi,
    Innalilah wainailayh rajiun

  • @aishamalaki116
    @aishamalaki116 5 ปีที่แล้ว +6

    INNALILLAH WA INNA ILAH RAJUUN ALLAH AWAHIFADHI MASHEKH WETU PEPONI
    "AAMYN"

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Watanganyika mlituandama zamani

  • @sultanalghaothy1543
    @sultanalghaothy1543 5 ปีที่แล้ว +9

    Innalillahi wainna ilayhi raajiun,
    M'mungu akupe qaul thabbti akusameh dhambi zako,firdaous iwe makaazi yako shekh wetu dua turakumbea.

  • @alimuhsin6655
    @alimuhsin6655 5 ปีที่แล้ว +5

    innaalillah wainnaailaih rraajiun Allaahumma ghufir lahu warhamhu

  • @MohdMohd-nf1wz
    @MohdMohd-nf1wz 5 ปีที่แล้ว +11

    Allah amrehem amape makazi mema Peponi

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 5 ปีที่แล้ว +20

    Innalillah wainna ilayh rajiun mbele yko nyuma yetu Allah akupe kauli thabit akusameh dhambi zako

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +1

      Aammin YAARABIY amlaze pahala pema

    • @TheM1953
      @TheM1953 4 ปีที่แล้ว +1

      Hii historia ya kweli. Apatikane mwislam afanye baathi, aandikie shahada ya PhD historia hii adhwiim inayopotezwa.

    • @TheM1953
      @TheM1953 4 ปีที่แล้ว +1

      MUM mpo? Kisha zichapishwe nakala za kutosha. Clip hii muhim, Saim Gwao muitunze.

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 5 ปีที่แล้ว +17

    Inna lillah wa hinna hillah rajúín
    Allah akulaze mahala pema Sheikh wetu in shaa Allah

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 5 หลายเดือนก่อน

    Shekh zubery ALLAH ailaze pema pepon roho yako

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 ปีที่แล้ว +1

    Inna lilahi wainna ilaihi Raajiuuna
    Ewe Mola Msamehe Sheikh Wetu Zubair bin Mussa Bin Yahya
    Na Umpe Rehma Zako

  • @afreybuli3476
    @afreybuli3476 5 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wainalilah rajiun...!_@#Hii ni zaidi ya Darasa kabisa Ukweli wa Nchi Hii unafichwa Mpaka kesho ila Nimepata japo kujua Alhamdulilah

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah akurehemu shekhe zuber akulaze mahalapema peponi

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว +6

    Inna lillahi waina ilayh rajiun

  • @neemaabdi4791
    @neemaabdi4791 5 ปีที่แล้ว +8

    innalillahi wa innalillahi raajouun

  • @jafaritwahatvonline828
    @jafaritwahatvonline828 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah Amrehemu Shekhe Wetu Hakika Ametufundisha Mengi Sana

  • @maryamadam9086
    @maryamadam9086 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah akurehemu Mzee wetu.

  • @mudipoa6053
    @mudipoa6053 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe kauli dhabit inshaallah

  • @idayakeymataifa7999
    @idayakeymataifa7999 5 ปีที่แล้ว +10

    Innalillah wainnalillah rajun

  • @sabrycdy3214
    @sabrycdy3214 5 ปีที่แล้ว +4

    Inalillah wainah ilaihi rajiuni🤲

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 ปีที่แล้ว

    Innalilah waina illah rajiun Allah mjalie wajalie pepo mashekhe wetu wazazi wetu na waislam wote waliotangulia mbele ya haki amiina,

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 ปีที่แล้ว

    mashaahlaah shekh bin zuber m/mungu ampe firdaus inshaahlaah

  • @mariammohamed2543
    @mariammohamed2543 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyenzi'mungu'akulaze'pema'peponi

  • @shantoally4976
    @shantoally4976 5 ปีที่แล้ว +6

    Innalillahi wainna ilayhi rajiuun

  • @abubakariramadhani1372
    @abubakariramadhani1372 5 ปีที่แล้ว +2

    rip Mzee Wangu mungu akuweke pema amina

  • @RamaZuberi
    @RamaZuberi 5 หลายเดือนก่อน

    Kilashekhe alietoa historia ya uisilamu mda mfupi mtasikia kafa nandiomana wanaotoa historia niwazee Allah atukinge na madhwalim

  • @zubedamrombo8792
    @zubedamrombo8792 5 ปีที่แล้ว +5

    mwenyez akutilie wepesi insha - allah

  • @Neighborsjiran
    @Neighborsjiran 5 ปีที่แล้ว +4

    Ya Allah mrehemu na mpe qaul thabit

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah waina lilay rajiuun Allah akujalie kauli thabit

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 ปีที่แล้ว

      Mtukufu ni Mungu peke yake na si waislam au wakristu

  • @user-sz8ct3ni9z
    @user-sz8ct3ni9z 4 ปีที่แล้ว

    Allah amulehem.chehe wetu.amupanulie kabiri lake amupe.mwanga nandoto.nzuri.mpaka yaumuri.kiama

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amrehemu amjaalie kupana Firdaus ya juu. Asante kuanzia Sheikh huyu na waliohusika kuchukua picha na kuituma TH-cam mungu awabariki..

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainalilah raajjiun

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 ปีที่แล้ว +1

    innalilahy wainna ilayhy rajiuun.mwenyezmungu akupe.kheri zoote za kabri na akuindoshee mabaya yooote kwenye kabri lako inshaallah

  • @TheYasser23
    @TheYasser23 5 ปีที่แล้ว +3

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun

  • @seemanishekiao
    @seemanishekiao 4 ปีที่แล้ว

    Allah akurehemu sheikh pamoja na wazazi wetu na wema waliotangulia. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Na Uongo haubadiliki kuwa ukweli. Ila mara nyingi huwanza uongo kisha huja ukweli.
    Zamani tuliambiwa binadam alikuwa nyani kabla ya kuwa binadam.

  • @mejumaaalimejumaamejumaaal6901
    @mejumaaalimejumaamejumaaal6901 5 ปีที่แล้ว +1

    Innalilahi wainailaihi rajiun Allah akulaze mahali pema peponi in sha Allah

  • @jumahory5249
    @jumahory5249 5 ปีที่แล้ว

    Allah akurehem shekh wetu kwa maneno makubwa cjawai kumsikia hats mufti mkuu akichambua histolia kama hyo upon sahihi

  • @mussachamwenyewe9499
    @mussachamwenyewe9499 5 ปีที่แล้ว +1

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك

    • @saidkhamis8700
      @saidkhamis8700 5 ปีที่แล้ว

      Allah akujaalie nuru kwenye kaburi inshaalah. Amin

  • @hassanipuntina3149
    @hassanipuntina3149 5 ปีที่แล้ว

    Historia nzuri inatukumbusha tujitambue na tujue nn cha kufanya maana tumepambana na tunahitaji tupambane zaidi inshallah

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 5 ปีที่แล้ว +4

    unajua history Bwana Yesu akubariki sana..! na siku akirudi akufufue bila uharibifu..!

    • @shekhshaban122
      @shekhshaban122 5 ปีที่แล้ว +2

      Steven Hinjo allah arehemu msamehe muingize peponi kwa rehema zako ya allah kwa baraka za bwana wetu mtm mhmd s.w.slm

    • @conradbuberwa6792
      @conradbuberwa6792 5 ปีที่แล้ว

      kwahiyo hilo ndo liliwatoa kwao...sawa...nani aliyewakamata waafrika kuwapeleka utumwani.mbn hatuambiani ukweli.

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 5 ปีที่แล้ว +4

      Conrad Buberwa kila mtu amehusika kwenye utumwa kwa njia moja ama nyingine, utumwa unaenda sawa na historia ya binadamu, wazungu walifanyiana utumwa dhidi ya wao kwa wao mwanzo katika zama za mawe na za kati, waafrika dhidi ya wao kwa wao katika zama hizo, waarabu na wahindi pia wao kwa wao, utumwa ulikithiri katika kipindi cha mwisho cha ubepari, na mabepari walikuwa ni wazungu tu, waarabu na wahindi walikuwa ni madalali wa kuuza watumwa kwa wazungu, baadhi watumwa walinunuliwa kutoka kwa machifu vibaraka wa wazungu, hivyo basi utumwa haukuanzishwa na waarabu na wala waarabu hawakuwa wanunuzi wakubwa wa watumwa, ila wazungu walikuwa ndo wanunuzi wakubwa wa watumwa kwa sababu waliwahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kulima mashamba yao amerika ya kaskazini na kusini. Na ukisoma uislamu vizuri utajua kuwa moja ya matendo mema na makubwa sana ni kumuacha mtumwa kuwa mtu huru na pia moja ya makosa makubwa sana ni kumfanya mtu huru kuwa mtumwa, hivyo basi uislamu haukusapoti utumwa ila uliutambua utumwa na kutoa fursa kwa wamiliki kutafuta radhi kwa mola wao kwa kuwaacha watumwa huru na kuwahamasisha watumwa kujikomboa kutoka kwenye utumwa.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 ปีที่แล้ว

      @@conradbuberwa6792 huko utumwani waafrika walipelekwa bara gani? na bara gani lenye watu wengi weusi waliochanganyikana na watu weupe ambao wote sio asili yao?! na ni nani aliyewapeleka huko na kuwatumikisha kwa maslahi yake?!

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jumahamis227 hata na bi yusuph aliuzwa na wafrica hawa wanauchukia uislam unajua kisha yesu kwa ujinga wao wamemfanya ni wa wa zingu na manbii wote ni wamoja na wametoka bara la earbu nashangaa huyo yesu ni mtume wa mmungu hata yesu walimpiga na kumsulubu na mayahudi mayahudi wana fini yao wanagonga vichwa na ukuta ndio dini yao mmungu aliwaalasni kwanza wslikua watu wanao pendwa na mmungu ilia kwa kukufuru kwao kua hamna mmungu ndio wakallaanika

  • @siwahassan1246
    @siwahassan1246 5 ปีที่แล้ว +1

    Inalilay wainairay rajuon

  • @hosniyhassan5946
    @hosniyhassan5946 5 ปีที่แล้ว

    Innaa lillaih wainnaa illaih rraji'oun. Allah akuhifadhi Sheikh wetu. Maana tumepata msiba mkubwa sana ktk taifa letu la Tanzania. Tutaendelea kukumbuka na kuzikumbuka nasaha zako ulizotuachia. M/Mungu akutangulie. Aaamiiin

  • @aimanchilwan8540
    @aimanchilwan8540 2 ปีที่แล้ว

    Hamna sauti katika khutba ya pili

  • @zakariamgen933
    @zakariamgen933 5 ปีที่แล้ว

    Allah akulaze mahala pema pema shekh wetu

  • @moslihimhamad5541
    @moslihimhamad5541 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli nimekukosea sheghe unatisha kwa historia sana nisamehe bwana

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 5 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi wa Inna Ilaihi Raajiu’un Allahumma ghufirlahu warhamhu

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 ปีที่แล้ว +8

    Watu wema hawadumu mwenyezimungu amrehemu

  • @suleymansele9291
    @suleymansele9291 3 ปีที่แล้ว

    Asante maalim

  • @sulaymuallyuthumaniy3061
    @sulaymuallyuthumaniy3061 5 ปีที่แล้ว

    #انا الله وانا الیه راجعون الله#اناالله ما اخذا وما اعطی وعنده لکل شیٸ الی اجل مسمی اللهم غفرله وارحمه واجعل جنة الفردوس مأواه #اللهم غسل خطیاه کما ینقی الثوب الابیض من الدنس#اللهم جعل قبره روضة من ریاض الجنة # وجمعنا معهم فی دار کرامتک ومستقر رحمتک مع عبادک الصالحین#لهم دار لسلام عند ربهم وهوولیهم بما کانوا یعملون#انک ادی الامانة وبلغ الرسالة#ونصح الامة# وجاهد فی الله حق جهاده حتی اتاک الیقیین#

  • @habibukavabuha6461
    @habibukavabuha6461 5 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH ampe pepo. Amiin.

  • @sabrycdy3214
    @sabrycdy3214 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainna ilayh rajiun

  • @msafiliabdala2558
    @msafiliabdala2558 5 ปีที่แล้ว

    Ebwana ehh kumbe shekhe atupo nayee Allah amlaze mahari pema ishaalla

  • @jaliabahati7905
    @jaliabahati7905 5 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi apunguzie adhabu zakabri

  • @athumanhassan9360
    @athumanhassan9360 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar innah Lillah wahin Lillah rajiun Allah akujalieh uko uendako

  • @ashirafukhamisi424
    @ashirafukhamisi424 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sheh kwa historia

  • @faizabdullah3565
    @faizabdullah3565 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 5 หลายเดือนก่อน

    Duu!!! Somo zito somo hili yafaa kila muislam likae kichwan mwake

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 ปีที่แล้ว +10

    Yaani wamefanya uhalibifu dhulma kupora mali za kiislam laanakum.

  • @alrahmahschools
    @alrahmahschools 9 หลายเดือนก่อน

    طيب الله أثره

  • @hemedymkala7566
    @hemedymkala7566 5 ปีที่แล้ว

    Umeacha kitu kikubwa mwenyezi mungu akulipe heri ishaallh

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainailah rajiun mpe kaul thabit

  • @nabiiilyaaseliya2551
    @nabiiilyaaseliya2551 5 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainna ilayh raji'un kanisaidia Sana kazi yangu ya kuifanya Tanzania kuwa nyumba ya Amani.

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว

      Nabii wa uongo, angalia usiwe ktk dalili za qiama

    • @zainaburajabu2863
      @zainaburajabu2863 5 ปีที่แล้ว

      NABII ILYAAS/ ELIYA mmh !!!?CIO kweli

    • @allynassor9127
      @allynassor9127 4 ปีที่แล้ว

      Huyu apelekwe hospital akacheki akili

    • @allynassor9127
      @allynassor9127 4 ปีที่แล้ว

      Unabii cyo ropo ropo yako

  • @zingzong3928
    @zingzong3928 4 ปีที่แล้ว

    Maashallaaah maashallaaah

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 2 ปีที่แล้ว

    historia nzuri

  • @maryamibrahim4039
    @maryamibrahim4039 3 ปีที่แล้ว

    Innallilahy wainna ilaihy raajiun

  • @abdallahomari8680
    @abdallahomari8680 5 ปีที่แล้ว +1

    Innalillahi waina ileyhi rajiuna, mungu amuweke mahalapema peponi.

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 ปีที่แล้ว

      Uongo huo hizo ni siasa za dini mbona kabla sultan said toka Omani kulikuwa na missionary na dini ya kwanza kufika zanzibar ni ukristo wa k rc

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 ปีที่แล้ว

      Mzee unajitahidi kuwa shija masikio watu wazi ma na akili zao kipindi hicho kulikuwa na umilikishwaji rasmi wa Mali hata hata huyo unaemsema akanunua u wanja? ????😂😂😂😂😂

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 ปีที่แล้ว

      Walikuwa takriban 1000 umesema wanaenezwa dini ya haki ya kiislam kwa hiyo wakatoka huko ujerumani kufanya fitina watu elfu moja wasienezwe uislam

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 ปีที่แล้ว +1

      Muongo wewe dar es salaam haikutakana na hilo unalolisema iliasisiwa na sultan turmbul ilimaanishi bandari salaam na waarabu hawakuju kueneza uislam bali kufanya biashara ya utumwa vipusa na bidhaa nyingine..uislam hiyo ilikuwa dini yao tu Acha mihemuko ya dini ya uongo na hiyo dini yenu ya majini na mashetani😀😁😂😃😃

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@casttraining1575wewe ndio muongo na hujui kitu, we no zako wanatoa fact sio porojo tu kama la,na wewe toa ushahidi wako

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndio maana baba wa Taifa akataka kuhamia dodoma na Magufuli nae akapigilia misumari akashikilia kuhamisha ili kuindowa kabisa ukweli halafu Waislam wenzetu hamuaki mpaka anafika kuwafutia kodi za nyumba wanajeshi Waranzania wanampogeza anataka kutimiza ndoto zake atawale maisha Waislam tuamke tuzijuwe mbinu hizo namna gani tunavyochezewa akili zetu

  • @jamalsalimalmahry6878
    @jamalsalimalmahry6878 5 ปีที่แล้ว +4

    الله يرحم زوبيري

  • @kassimali1943
    @kassimali1943 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe mwanga wamirere

  • @SulemanKhan-lr1mu
    @SulemanKhan-lr1mu ปีที่แล้ว

    Please please add some more clips from Sheikh Zubair speeches

  • @faizabdullah3565
    @faizabdullah3565 ปีที่แล้ว

    Taqbiir

  • @shacshac7120
    @shacshac7120 5 ปีที่แล้ว

    allah yarham

  • @salumnondo6435
    @salumnondo6435 5 ปีที่แล้ว

    Umeacha pengo ungekuepo tungeendelea kujifunza mungu akurehem.

  • @guledomary2812
    @guledomary2812 3 ปีที่แล้ว

    SAIMU GWAO HII VIDEO IKIFIKA MBELE SAUTI INAPOTEA ,,, KAMA UTAWEZA KUIWEKA TENA KWA MARA NYINGINE TUTAFAIDIKA SANA NA MAWAIDHA YA AL MARHUM SHEIKH ZUBERI IBUN YAHYA,, ALLAH AMREHEMU,,AMIYN....

  • @ramadhantungirayo852
    @ramadhantungirayo852 5 ปีที่แล้ว

    Innalillah wannailahi rajiuuun

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 5 หลายเดือนก่อน

    Makafiri wabaya

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 ปีที่แล้ว +3

    Waislamu wenzangu munaziona athari walizoziwacha wenzetu?sina elimu ya kutosha ila nahisi hii na sadaqatu jaaria,Allah nasisi usitufishe ila ispokua tumeacha athari nzuri katika dini yako ambazo zitakua na manufaa ya kheri kwa wengine yaa raabb.

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

    Ndio zetu Waislam

  • @saidimrisho883
    @saidimrisho883 5 ปีที่แล้ว +1

    الحق يعلو ولا يعلي عليه

  • @jumakitwana6338
    @jumakitwana6338 5 ปีที่แล้ว

    amani ya alha iwe juyako

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    aslm baba yakwmtu ndio hivyo

  • @tamaraabdi247
    @tamaraabdi247 5 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainnailaihi raajiun

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    wahusika wakuuu ndio hao

  • @hassanramadhan1036
    @hassanramadhan1036 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kwenye ukweli upingwa uislam ni dini ya haki Mungu muweza was kila jambo

  • @moslihimhamad5541
    @moslihimhamad5541 5 ปีที่แล้ว +3

    Hugo sheghe kwanza historia ya DSM huiijui maana hio yote ilikuwa ni eneo LA Zanzibar

  • @akanishabani5789
    @akanishabani5789 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa wewe unataka dini, au unamtaka Mungu? Badala ya kuwaza juu ya Mungu! Unawaza juu ya uislam ambao asili yake ni Waarabu. Sisi waafrika asili yetu mizimu, ila kwa neema tumempata Yesu.

    • @katerelomkuyati6764
      @katerelomkuyati6764 3 ปีที่แล้ว +1

      KAFIRI WEWE NEEMA YA YESU UIPATE WAPI
      WAKATI YESU MUISLAM
      ALIKUWA AKIFUNDISHA MSIKITINI KAMA HUYO OSTADH

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 ปีที่แล้ว

      Hili jinga usimlaum hajasoma wenzie wakristo sasa wanafatilia sana uislam wanajua kua ni dini ya haki yy anasema yesu haitwi yesu ni wao walpa jana hilo na mzungu hana mitume kwao mitume wote asli yao no nchi za kiarabu ukifatilua mi ba shanga wano sema ni dini ya warabu bora warabu wana dini kwa kua mitume wote imetokea kwao joradn sirya irag palistine misri yemen kuliko hao wazungu walio beba picha ya mzungu wapi na yesu ni isa ametajwa ktk quruan na pia ibrahim nai kizazi chake isa na muhamnad saw)

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 ปีที่แล้ว +1

      Farilia migadhara utajua ukweli mzungu hana dini kaweka bench tu kukussnya pesa

  • @azizbhaloo206
    @azizbhaloo206 4 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleykum,Sheikh Mbona Kuanzia Dakika Ya 43 Na Kuendelea Hakuna Sauti?Naomba Uipitie Upya!

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว

      Kweli baada ya khutba ya mwanzo inaishia dakika ya 40 baada ya hapo ni picha hakuna sauti ila nadhani kipande cha pili ni marudio ni marudio ya ile ya mwanzo..

  • @yusufhassan5
    @yusufhassan5 5 ปีที่แล้ว

    Mbona hutuba imekatwa (haikumalizika) ??

  • @harounali9057
    @harounali9057 5 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiun, baada ya kusikia khuta yako sasa kama nimepata suala la kujiuliza hivi . jamani nauliza nime angalia video clip ya mazishi ya huyu sheikh sija muona sheikh mkuu wa mkowa wa Dar-es-alaam au hakuwa na Taarifa.

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 5 ปีที่แล้ว

    Watotot wetu tusiache kuwaeleza historia hizi hususani Ukoloni

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 5 ปีที่แล้ว

    Yaani sisi wakunduchi no watu wa asili

  • @sadikingonyani8124
    @sadikingonyani8124 5 ปีที่แล้ว

    tunawaomba masheghe wetu mliobaki mtusaidie kuandika historia ya UISILAM kabla na baada uhuru katika nchi yetu. ili WAISILAM wa sasa na wa baadae waufahamu WAISILAM wanamchango gani kwa nchi yetu

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว

      Ipo nenda kasome vitabu vyake Mohamed Said vinauzwa maktaba nyingi tuu hapa Dar..au nenda Google andika mwana historia Mohamed Said utazikuta kurasa nyingi fungua ufungue bongo lako yaliyofichwa na Nyerere..pia zipo video zake humu TH-cam..th-cam.com/video/gL16UggL21w/w-d-xo.html