"MKINIUA ATATEULIWA MWINGINE, HAMUWEZI KUPONA KWA KUUA WATU" - WAZIRI MPINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amesema hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wavuvi waliomuua Ibrahim Juma na wananchi wa watatu aliyekuwa Afisa Mfawidhi wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi wilayani Ukerewe akiwa katika majukumu yake ya kikazi kisiwani hapo Julai 22 baada ya kukataa kukaguliwa dhana zao za kivuvi kisiwani Siza.
    Waziri Mpina amesema mauaji hayo hayawezi kuzuia kupambana na uvuvi haramu “Hamuwezi kushindana na serikali na hapa natangaza vita ya uvuvi haramu inaanzua hapa” waziri Mpina

ความคิดเห็น • 23

  • @lameckeliakimu8677
    @lameckeliakimu8677 5 ปีที่แล้ว +5

    Muheshimiwa Waziri MPINA, umekuwa mtu muhimu sana katika tathinia ya Uvuvi na mifugo Nchini Tanzania, Ongera sana Kwa utendaji wako, pia Mwenyezi MUNGU aziweke Roho za marehemu mahala pema peponi.

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amlaze mahala pema peponi marehemu amina

  • @antipaschaulo87
    @antipaschaulo87 5 ปีที่แล้ว +2

    Hata wakiua watakomeshwa tu
    Big up Mpina

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 5 ปีที่แล้ว +2

    Duh Seema baba

  • @bakariramadhani8644
    @bakariramadhani8644 2 ปีที่แล้ว

    Akue Nani utajimaliza mwenyewe unaulichofanya kwenye uvuvi haramu

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 5 ปีที่แล้ว +3

    Wauwaji wapo wapi? Kamata haraka sana kisha sweka LUPANGO👀.

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว

      Kichwa cha kimenibabaisha,nilidhani anawambia watu wasiojulikana.

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 5 ปีที่แล้ว +1

    Sikilizen malalamiko ya wananch Kwanzaa, japo si sahih Kwan walichofanya

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 5 ปีที่แล้ว

    Sheria zifatwe tu watanzania niwaelewa sana.uchunguzi huru ufanyike may be kuna uonevu pia.kikubwa haki itendeke huku mkimhofu Mola

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 ปีที่แล้ว

    jamani mimi baharini ni mgeni naombeni kuuliza tu kwa anae jua uvuvi haramu ni kama upi?

  • @bakariramadhani8644
    @bakariramadhani8644 2 ปีที่แล้ว

    Rushwa ajawaikumuacha mtu salama

  • @munguhashindwijambo2681
    @munguhashindwijambo2681 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuua mtu si busara kwa namna yoyote, waziri nakushauri kaa na wavuvi waseme yanayowakera ili zoezi hili la kusaka wavuvi haramu liwe na mafanikio makubwa na lifanyike bila kundhurum mtu, ni muhimu busara itumike ila si nguvu kwa maana tukiendekeza iila mahali kutumia nguvu matokeo yake tutaketa balaa kwa familia, hili litupe funzo na tupime njia tuloitumia huenda ndo chanzo cha hayo, Mungu awape moyo wa uvumilivu hawa wafiwa

  • @wailesdeus3764
    @wailesdeus3764 5 ปีที่แล้ว

    Wabeja gete hiiiii

    • @zunyagapeter4647
      @zunyagapeter4647 5 ปีที่แล้ว

      Wabeja kulumba nkoyi

    • @vamo2082
      @vamo2082 5 ปีที่แล้ว

      Yan huyu wakwetu kabisa

    • @masagatifishnet4840
      @masagatifishnet4840 5 ปีที่แล้ว

      Waziri wangu kwanza pole sana kwa kupoteza afsa wa wizara na wavuvi kwa ujumla, sote tumepoteza watu muhimu sana lkn nashauri usilipize kisasi wewe kama kiongozi kaa na pande zote mbili wasikilize kisha tatua tatizo ili damu za ndugu zetu zisiendelee kumwagika, Huo ndo ushauri na maoni yangu. asante.

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama inavyowafuata damu ya Lissu. Hiyo ndiyo serikali ya CCM tunashangaa mnapojenga matabaka.

    • @nururajab1281
      @nururajab1281 5 ปีที่แล้ว

      Eee Mzee iv chadomo ipo,?

    • @nururajab1281
      @nururajab1281 5 ปีที่แล้ว

      Wee mzee iv chadomo ipo?

    • @babaharunakipindula3895
      @babaharunakipindula3895 5 ปีที่แล้ว

      Uelewa.....usamehewe 🙏🙏🙏

    • @nururajab1281
      @nururajab1281 5 ปีที่แล้ว

      An chadomo mkirudisha ata wabunge 30 tuu bunge lijalo mjipigie makofi, safar hii kaz mnayo!

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 5 ปีที่แล้ว

    PAMBANA YAWEZEKANA UKAWA RAIS AJAE