MPINA AWAKOMALIA BASHE NA MWIGULU MAHAKAMANI| AMSHTAKI SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @AlphonceMasende
    @AlphonceMasende 2 หลายเดือนก่อน

    Kama kusingelikuukwa kitu fulani basi tusingeona hiki kinachoendelea ila naiomba mahakama itende haki tu katika kusimamia hili jambo, la sivyo moto wa Mungu unawasubiri

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 2 หลายเดือนก่อน

    Hata mm na muunga mkona, nipo tayar kumuchangia hata pesa ya nauli,

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 2 หลายเดือนก่อน +1

    NARUDIA TENA KUKWAMBIA DUGUYAGU KITENGE USITUMIE KUFANYA FURAHA KWA MAGOMBANO YA WAKU WA SEREKALI NA BUGE ITAKUPOZA NDUGUYANGU KITEGE UNAONESHA UNAFURAHISHWA KWA MAWAZIRI NA SPIKA KUPELEKWA MAHAKAMANI SASA SHAURI YAKO UTAKUJA KUNITAFUTA YAKIKUKUTA

    • @Bruno-ed1ps
      @Bruno-ed1ps 2 หลายเดือนก่อน

      HAFURAHII HUYO NI MFUMO WAKE WA UTANGAZAJI ILI KUWEKA MVUTO

    • @rashidiiddi2433
      @rashidiiddi2433 2 หลายเดือนก่อน

      mpina nimzarendo ila kwenye nchi hii angeweza magufuli alikua amefanikiwa kwaaasilimia kubwa ispokua maviongozi matapeli hayakupendezwa kabisa nakasi Ile ya mzalendo mwiguru anahujumu uchumi wetu kwakiwango kikubwa sana lkn rais yupo kimya

    • @JosephatMsukuma
      @JosephatMsukuma 10 วันที่ผ่านมา

      😂 nidhamu ya uoga

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y 2 หลายเดือนก่อน

    Kinachopelekwa mahakaman ni maamuzi yasiyofata sheria. Hata rais asipofata sheria anashtakiwa kwenye mahakama husika hata kama si za ndan ya nchi yake. Alafu spika ni mwanasheria wa kisiasa anayeminya haki za watu kwa kujikomba kwa rais tokea alipokula kiapo

    • @GabrielSky64
      @GabrielSky64 2 หลายเดือนก่อน

      Hii Nchi Rais hashtakiwi😅

    • @BrightShumbusho-i4y
      @BrightShumbusho-i4y 2 หลายเดือนก่อน

      @@GabrielSky64 sawa..ila anashtakiwa kwenye mahakama za kimataifa. Pia tunaenda kumpata rais wa TLS atakaepigania katiba mpya

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 2 หลายเดือนก่อน

    Anaweza kuwa na haki kweli ila kwa hii country 😂 akishinda nipo pale mniite Mbwa😅

    • @BrightShumbusho-i4y
      @BrightShumbusho-i4y 2 หลายเดือนก่อน

      @@GabrielSky64 nakuondoa hofu...atashinda tu.

    • @ce-08
      @ce-08 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน

    Achen kujikombakomba na nyie

    • @BrightShumbusho-i4y
      @BrightShumbusho-i4y 2 หลายเดือนก่อน

      @@jizzotheking9238 kujikomba wapi?! weka wazi

  • @SaidMkome
    @SaidMkome 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe vichwa panzi