Hakika umefanya jambo kubwa sana la hekma busara na upendo kubwa nikutambua na kukumbuka na kuwakumbusha walio gereza kuwa kuna mungu umefanya jambo kubwa mno mungu akulipe zaid na zaid your brilliant ameen thuma Ameen
Watu Huwa wanatoa msaada sehemu mbali mbali ila kwa Asilimia kubwa huwa Tunawasahau sana wafungwa magerezani, kwa kudhani kwamb ni wakosaji sana kwamba wanahitaji kutelekezwa, ila ukitafakari vizuri Utagundua Hata sisi Tuliopo uraiani Mungu ametulinda na kutusamehe Mengi, JANJARO NGARENARO REPUBLIC 🙏👊👊👊🤝 UNATUKUMBUSHA KITU HAPA🙏🙏
Ongera dogo, na Mwenyezi MUNGU akuzidishie, Zaidi yaan apo kwenye masahafu, biblia, miswala, na Pedi za kujihifadhi Kwa wanawake daaah nimependa sana, BARIKIWA DOGO,,,
Hii ni Ibada njema na ndio Dini iliyo safi.. Mtume Muhammad S.A.W anasisitiza haya pia kwenye mafundisho yake.. YESU kristo anasema Dini iliyosafi ni kuwatunza Yatima na Wajane pamoja na wenye uhitaji kama wafungwa mbali mbali walioko Magereza
Mungu akuzidishie zaidi ya hivyo ulivyotoa nikijana wakuingwa kabisa godbless you my brother
Umechagua fungu lililo jema Sana,Mungu akubariki sana dogo.
Hakika umefanya jambo kubwa sana la hekma busara na upendo kubwa nikutambua na kukumbuka na kuwakumbusha walio gereza kuwa kuna mungu umefanya jambo kubwa mno mungu akulipe zaid na zaid your brilliant ameen thuma Ameen
Mungu akubariki sn 4:56
Watu Huwa wanatoa msaada sehemu mbali mbali ila kwa Asilimia kubwa huwa Tunawasahau sana wafungwa magerezani, kwa kudhani kwamb ni wakosaji sana kwamba wanahitaji kutelekezwa, ila ukitafakari vizuri Utagundua Hata sisi Tuliopo uraiani Mungu ametulinda na kutusamehe Mengi, JANJARO NGARENARO REPUBLIC 🙏👊👊👊🤝
UNATUKUMBUSHA KITU HAPA🙏🙏
Ongera dogo, na Mwenyezi MUNGU akuzidishie, Zaidi yaan apo kwenye masahafu, biblia, miswala, na Pedi za kujihifadhi Kwa wanawake daaah nimependa sana, BARIKIWA DOGO,,,
Hongera Sana Dogo Janja Hakika Wewe Ni Msanii Pendwa Unaejitambua Kiyoo Cha Jamii Mungu Aendelee Kukupa
Arusha kid❤ Tunakupenda sana Home boy
Nzuri Sanaa
Upendo ni kila kitu huwa ndio ukaji wa kiroho na Mungu atakuimarisha katika Imani yako.Ubinafsi sio jambo jema
Safi sana umetukumbusha na sisi hivyo Mungu akubariki sana
Mashaallah mdogo umekumbuka jambo jema sanaa Allah akuongezee zaidi
Waaaoooo hongera sana umefanya jambo zuri hakika! MAY GOD BLESS YOU🙏
Mashallah mungu akupe maisha marefu amin
Hakika umefanya vyema sana Mungu akubariki
Bado na imani yote na pitia bado naimaniii bado duuuh! Janjaro amefanya kitu chapekee mungu ampe hekma zaid 🙏 🙏 🙏 🙏
Mungu akubariki kioo chetu a Arusha 😊
Hongera sana kaka umefanya jambo jema sana
Mungu akubariki.
Nakupongeza saana mr, unajaza ukamilifu wa msemo usemao " MSANII NI KIOO CHA JAMII" 👏👏👏
Janjaro upo vizuri mwenyezi mungu atakuzishia kwa upendo
Big up dog hata vitabu vimeeleza umeguswa kwenye mshono god bless
Daah hongera sn mpk.chozi hapo kwa misaafu❤
Masha Allah nimeona misahafu
Janjaroo Much love from Kenya 🇰🇪
Mungu akuzidishie dogo janja upate zaidi
❤safi dogo umecheza sana
Hongera sana ila maaskali Mungu anawaona naomba viwafikie walengwa🤝🤝🤝
❤❤❤ Hongera Sana brother
Daah asee ubarikiwe Sana ndg maana mazingira hayo huwa nawaonea huruma Sana na pia Mwenyezi Mungu tusaidie na kutuepusha na sisi kutofika apo ameen
MUNGU akubariki 🎉🎉🎉janjaro
Jambo jema hizo ndio zinaitw sadaka tujaria allah akubarik sana
Fantastic and smart boy kujua maisha
Dogo Mungu akuzidishie
Masha allah lakini muhimu sana ni mayatima pia musi wasahau pia shukran mungu akubariki
Mwenyezi mungu akuzidishie
Mashaallah mwenyezi mungu akupe moyo wa himani ivyoivyo dogo janja
Kwakwel dg janja Kisha kuwa, MASHA ALLAH ❤️❤
😭😭😭😭😭😭 Allah akujaalie kheri
Hongera sana broo nikitu cha kitofauti kabisa mungu akubarik
We kweli dogo janja ✊✊
Mungu akubariki dogo janja
Mashaallah allah akupe umli zaid
Nimejifunza kitu...Allah Akujalie In sha Allah.
Mungu akuzidishie ulipo punguza
Mashaallah Mwenyezi mungu Akujalie zaid na zaidi daah 😢🤲🏻🙏❤️
Mungu akujalie dogo langu❤
jamaniiii munguu akubariikii sanaaa ❤❤
Safi mwana mungu akupe zaidu
Good, Mungu azikumbuke sadaka zako,I love you mdogo angu
Allh bless you br
Jamani roho Moja safi Mungu akuzidishie Kwa hilo
Kweli bro Mungu akulinde sana na akubariki kwa fadhila uliyoifanya
Mashaa'Allah namuomba Allah akuongoze urudi katika dini yetu ya uislam Innshaa'Allah
We nawe ,hovyo kweli
iko pwa san kaka mungu akupende said
Mashallah Janja na wengine waige ❤❤❤❤❤❤
Allah akuongezee ulipotia❤
Mungu akujaalie sana dogo janja
Ume Tisha brother 👊
Mwenyenzi mungu akuogezee apo ulipotoa kwasababu umefanya jambo jema sana na pia lakuigwa na wengine
Maashallah tabarrak allah, honger sana happy birthday 🎂🎉
MashaAllah MashaAllah MashaAllah ❤
Barikiwa sana dogo j
Hongera sana kwa kujitoa kwa ajiri ya wengine
Mungu akubariki janja,uneona mbali
God blessed you jangaro
Mw.mungu akuzidishie pale ulipotoa.
Mashaallah sheikh wang
Jaman mungu akulipe.kwenye ilo ulietendalo
Vizuri sana mdogo wetu💯🫵
Hazuu uchawa kwa wasaniii sjui ataachaga lini 😂😂
Mungu akuongezee ulipo toa jamani hikika ni jambo njema sana
Mwenyezi Mungu aendelee kukujaalia sana ni jambo la kher
🎉🎉🎉🎉sana janja🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki sana
Mfano huu nimfano wa kumfurahisha mungu
Mashaa Allah 🥰 🙏 🙏
Mwenyez mungu azidi kukujalia inshallah,
Mungu akubariki Sana kwa upendo ulioonyesha kwa uhitaji
Mungu akupe maisha marefu dogo uje ufanye makubwa zaid ya hayo.❤❤❤❤
Ameeeen, Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏
big up guy👍👍👍👍
Daaah imenifanya nimwage machozi mungu wabariki maskini wenzangu
Smarrrrrrrt.....👏👏
Dogo una maono ya mungu ndani Yako ubarikiwe
Hakika... Bless up Sana dingi
Janjaroooo🎉
hongera sana janja umefanya kubwa kuna wasanii wengi wakubwa hawajawahi wewe umethubutu
Mashallah allah amuwezeshe amefanya kitu chamana sana kwakwe
Allahuma Aameen 🤲
Ndugu Allah andika kwa herufi kubwa Shukran
Safi Sana mungu akubaliki Sana umefanya jambo jema aasana
Allah akuongoze
Safi Janjaro❤
Hii ni Ibada njema na ndio Dini iliyo safi.. Mtume Muhammad S.A.W anasisitiza haya pia kwenye mafundisho yake.. YESU kristo anasema Dini iliyosafi ni kuwatunza Yatima na Wajane pamoja na wenye uhitaji kama wafungwa mbali mbali walioko Magereza
Mungu akuongoe urudi ktk mstari ulio nyooka
Mungu ukuzidishie uo moyo kaka
Hongeraa
Fresh dogo
Hapo kwenye vyakula na mafuta na sabuni watagawana😂😂😂
Nimeona miswala🤲Qura'an
Afazali uliondoka arusha kwasasa ungekua unaitwa wadudu 😂
Dogo, ulichokifanya,maneno na, dhamira yk , Kila kitu ulichobeba the way ulivyo Ongea ni Hekima na Busara tupu
Upo sw Janjaro
Saf sana dogo uko sawa
Dogo umeamua kulisha wasionacho sio wale wanaolisha wasionacho, huku chukua ukumbi kufurahisha waliona furaha bali umechukia kheri kuwapa wasionna furaha
Amen ❤❤